Тёмный

PENZI JIPYA | NITABADILISHA DINI | HELA IPO | ATANITUNZA | GOLDEN GIRL | HELLO MR RIGHT 

ST BONGO TV
Подписаться 169 тыс.
Просмотров 216 тыс.
50% 1

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 633   
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 6 месяцев назад
Nimempenda mr right akiongea anaonekana mstaarabu na hana mdomo mdomo kama wnaume wengine 😂😂😂hongera lolo umepata bwana inshaallah abadili din kweli akuoe mama
@zeynabuhussen8740
@zeynabuhussen8740 6 месяцев назад
lolo nae pia mpole mashaAllah❤
@salmakivo4073
@salmakivo4073 6 месяцев назад
Lolo wanafanana na nelly
@rehemamgata224
@rehemamgata224 5 месяцев назад
Wangon ni nyoko
@sethjohnson7266
@sethjohnson7266 5 месяцев назад
Hapo Greyson umepata mke. Na kuhusu dini jitahidi kumshawishi Lolo atakubali kubadilisha deni baadae
@doriselipokea651
@doriselipokea651 4 месяца назад
Awa wastaarabu shkamoo
@siame.abraham9707
@siame.abraham9707 6 месяцев назад
Nimefurahi sana na couple ya leo yaani vitu ni Boom boom ❤❤❤❤
@liannsambu7264
@liannsambu7264 6 месяцев назад
Uyo eliza mtoeni ni bibi aende nje anakera na kuwaharibia kazi buana ,amejikuta jaji wa mr.right hafato protocol atolewe buana
@ghayamjombo6582
@ghayamjombo6582 6 месяцев назад
😂
@MwaJuma-zf8sk
@MwaJuma-zf8sk 6 месяцев назад
Bora angechukuliwa na yule mzee stukaaa mwananguuu 😅🤣
@lawijosephezekieli1078
@lawijosephezekieli1078 6 месяцев назад
Eliza bibi sana na sula lake kalificha na mekapu😂😂😂
@athumanhamad8522
@athumanhamad8522 6 месяцев назад
Ni bibi alafu masharit kibao atakua nawatoto wengi
@auntygee1194
@auntygee1194 6 месяцев назад
For sure anabore,halafu she is too old for that stage
@mwajabudegwa
@mwajabudegwa 6 месяцев назад
Yaan aliyah apewe 🎉 meng na azid kwenye hiki kipind anajua kuwanyoosha hawa wadada❤❤
@bongoupdatestv9322
@bongoupdatestv9322 6 месяцев назад
Kweli aisee😂😂
@fatumomatano9752
@fatumomatano9752 4 месяца назад
Yani natamani naeza mchamba
@user-su7uo3eu5b
@user-su7uo3eu5b 6 месяцев назад
Nzuli sana leo iko moja to jamani huyu Elizabeth simpendi anajisikia sana huyu kaka yuko very nice ❤😢
@israeluronu9958
@israeluronu9958 6 месяцев назад
Naona kama eliza anamdomo sana na dharau pia. Angeenda zake na yule mzee baharia 😂
@ananiamwatebela3159
@ananiamwatebela3159 6 месяцев назад
Hata kwenye ndoa hawez kudum
@asiliyetuonlinetv5063
@asiliyetuonlinetv5063 6 месяцев назад
😂😂😂shituka mwanangu
@neemaneychricious6493
@neemaneychricious6493 6 месяцев назад
Ahhahahahahahahah jamn jamn hatr na nusu hahahah
@FatmaSaid-j9o
@FatmaSaid-j9o 6 месяцев назад
Fact
@elizabethswai7777
@elizabethswai7777 6 месяцев назад
😂😂😂😂mzee baharia
@ngusiupdates4363
@ngusiupdates4363 6 месяцев назад
Imagin ndo umemchukua Eliza akawe mke wako my dear nakwambia utanyookaa 😅😅😅
@GiftAbduly
@GiftAbduly 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 6 месяцев назад
😂😂😂 na komwe lake uyo Eliza haha bibi akalee wajukuuu uko atolewe
@ericmellau3783
@ericmellau3783 6 месяцев назад
Amna uyu unamwitikia afu ungya nae ndoa unamnyosha bora ndoa ife ila ajue akuna zuzuu
@ancyjoakim8308
@ancyjoakim8308 6 месяцев назад
😂
@user-rj4cd7oc4x
@user-rj4cd7oc4x 5 месяцев назад
😂😂😂😂
@Spicekingnushinwe.-kt5lp
@Spicekingnushinwe.-kt5lp 6 месяцев назад
Lilu diva napenda unavyo cheka hadi raha my sister ❤❤🎉🎉
@AnnoyedMarsh-is4nr
@AnnoyedMarsh-is4nr 6 месяцев назад
Mashaallah wamependezana sanaa nimependa sanaa hiyo mkaka mzurii sanaaa handsome hatimaye Lolo amepata mwenzawake jamn
@liannsambu7264
@liannsambu7264 6 месяцев назад
Grayson + lolo was natural love wameendana na kupendezana
@user-zt1db4wm4k
@user-zt1db4wm4k 6 месяцев назад
Eliza aelew bwana mtoen apo
@FaridaCharema
@FaridaCharema 6 месяцев назад
Huyo eliza atolewe mana hasikilizi hata maongezi,anachoreka tu
@stevenemwakasimba-pt8er
@stevenemwakasimba-pt8er 6 месяцев назад
Huu ni mnada wawanawake kweli dunia ipo mwisho mungu tuangalie wanao tunapotea tuoneshe njia sahihi
@user-lu3ls3xf9y
@user-lu3ls3xf9y 4 месяца назад
I..like..the..couple..it's.. awesome..🎉🎉
@edinarobert6716
@edinarobert6716 6 месяцев назад
Nimependa wanaendana sana 😘😘😘😘😘😘😘
@israeluronu9958
@israeluronu9958 6 месяцев назад
Eliza bado niko na ww au wamtaka Gara B😂😂😂😂
@user-gb3sf9fy2u
@user-gb3sf9fy2u 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@DorcasAmos-mv8cy
@DorcasAmos-mv8cy 6 месяцев назад
Hahahahaaaaaa
@WinWilly4162
@WinWilly4162 6 месяцев назад
😂😂
@NasmaBanka
@NasmaBanka 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@AsyaHamad-tx9vr
@AsyaHamad-tx9vr 6 месяцев назад
Anataka wakumpeleka Dubai ana paspot Haina muhuri na ana leseni Haina gari
@taupenisanshimirimana475
@taupenisanshimirimana475 6 месяцев назад
Eliza atakuja kumaliza hizo soda tu 😂😂😂
@RozzyTom-fw8qh
@RozzyTom-fw8qh 6 месяцев назад
Hahahahaha 🤣🤣🤣
@user-xd5ox4th4t
@user-xd5ox4th4t 6 месяцев назад
😂😂😂😂
@MwaniPh
@MwaniPh 5 месяцев назад
😅😅😅😅
@ashamshona9321
@ashamshona9321 3 месяца назад
Hahahaaaa
@NetNuggets60
@NetNuggets60 2 месяца назад
​@@ashamshona9321😂😂😂😂
@bwetungegodfrey4131
@bwetungegodfrey4131 6 месяцев назад
That was the best couple of all this 5th season so far.That man has dignity
@edierichie
@edierichie 6 месяцев назад
AISEE SIJAWAI KUKOMENTI MR RIGHT , KIUKWELI HUYU DADA ELIZA MTOENI SIONI KAMA KUNA CHOCHOTE ANACHOKIFANYA HAPO.
@lizndunchez720
@lizndunchez720 6 месяцев назад
True kuwaste tu masaa nvny sura ata akna
@justinambrose3577
@justinambrose3577 6 месяцев назад
Kuna huyu Eliza na kuna yule Glady ni bure kabisa.... kujifanya na ujuaji mwingi😅
@Geraldmbesere-fn2de
@Geraldmbesere-fn2de 6 месяцев назад
Uyo eliza ana mambo ya kijinga siku zote haelewi ana kichwa kigumu 😂😂😂😂😂
@FatmaaFatoom
@FatmaaFatoom 6 месяцев назад
Ni kiazi ajifanya nzuri
@Geraldmbesere-fn2de
@Geraldmbesere-fn2de 6 месяцев назад
@@FatmaaFatoom ana uzuri gani mwenyew kama bibi
@Geraldmbesere-fn2de
@Geraldmbesere-fn2de 6 месяцев назад
Au yeye kawekwa kwa ajili ya kuchangamsha shoo nini
@nancyg8664
@nancyg8664 6 месяцев назад
Sasa bibi kizee kumbukumbuku zitoke wapi
@zaynabmohammed6521
@zaynabmohammed6521 15 дней назад
congratulation lolo you got a man i hope you guys still together
@user-pg6db8jl2y
@user-pg6db8jl2y 6 месяцев назад
Naombeni icho kibibi kieliza mkitoe pumbavu zake sanaaa
@DoreenDaniel-hd7kv
@DoreenDaniel-hd7kv 6 месяцев назад
Anaongea kama kengele
@user-mm8zs1qm1f
@user-mm8zs1qm1f 6 месяцев назад
Sigupendi gu eliza
@user-pg6db8jl2y
@user-pg6db8jl2y 6 месяцев назад
@@user-mm8zs1qm1f 🤣🤣🤣Yan mm Eliza na zalishi siwaelew kabc
@zaitunirashidi5532
@zaitunirashidi5532 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂kwanz kibaya kimezeeka kama queen Elizabeth 😂
@user-pg6db8jl2y
@user-pg6db8jl2y 6 месяцев назад
@@zaitunirashidi5532 😁😁😁bila shakaaaa
@MaryamRamadhan-n9m
@MaryamRamadhan-n9m 2 месяца назад
Uyo eliza cmpend jman mtoeni hapoo hn hja y mchumba huyo mtu kashazeek anatk akuzeesh n wew Aalya😂😂😂
@rahabu1497
@rahabu1497 6 месяцев назад
Ila nikua nakapenda kalolo Kako sweet Sana I love the couple
@janethdavidsanga5999
@janethdavidsanga5999 6 месяцев назад
Yan hii ndoa mtuletee humu ndani tuione😊
@muhammadmuhammad5043
@muhammadmuhammad5043 6 месяцев назад
Huyu Msichana Mbona Anaharibi MR.. Kwanini Hamupigia Marufuku Asije Hapo Anakera Sana....
@48kingfahadem63
@48kingfahadem63 6 месяцев назад
Sana
@Given-Norman
@Given-Norman 6 месяцев назад
Inasikitisha sana yaani kubadili dini kutoka Grayson mpaka shabani madobe duh 😂😂😂 huyu jamaa anatakiwa afikirie mala mbili mbili
@salmakivo4073
@salmakivo4073 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌
@AgathaMatambula-lf7fv
@AgathaMatambula-lf7fv 6 месяцев назад
😊😊😊😊
@MwaniPh
@MwaniPh 5 месяцев назад
Kama mzize alivyobadili kutoka Clement mpaka Warid
@ummyhoza4495
@ummyhoza4495 6 месяцев назад
Hii nimeipenda mno mungu awape maelewabo inshaallah ❤
@poulmbogo1770
@poulmbogo1770 6 месяцев назад
Hakuna wanwake hapo ni matapel kama wa tuma namba hiii😅😂
@judithminja6386
@judithminja6386 6 месяцев назад
Ni wa kwel kabisa ata me nimepata mume apa
@reganngamilotv7237
@reganngamilotv7237 6 месяцев назад
😂😂
@rosemaryjohn3860
@rosemaryjohn3860 6 месяцев назад
He is romantic ❤❤
@fidelitekarigirwamuyangwa973
@fidelitekarigirwamuyangwa973 6 месяцев назад
Hatamimi kabadir kanifata mumewangu utapata baraka❤
@fatumomatano9752
@fatumomatano9752 4 месяца назад
Ndio kheir Mimi kama mwanaume si Muslim staki pressure
@bernadetageorge6039
@bernadetageorge6039 6 месяцев назад
Kaka ni gentleman saana❤️🥰
@petroniesindarubaza2420
@petroniesindarubaza2420 6 месяцев назад
Jamaniii iyi couple nimeyipendaaa❤❤
@user-gg4kw6le3b
@user-gg4kw6le3b 6 месяцев назад
Huyo anajifanya mzuri halafu bibi😂😂😂
@user-wh2bl8kk6j
@user-wh2bl8kk6j 6 месяцев назад
Hivi ni mweli kwenye hii stage ya mr. Right unaondoka nae au ni danganyatoto?😅
@symonmhoja3102
@symonmhoja3102 6 месяцев назад
Sio rahisi men kubadili dini, tuliosoma Cuba tumemuelewa mwamba, ila anazambi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@IreneMwenda-nl2hu
@IreneMwenda-nl2hu 6 месяцев назад
😮niww ndy uwez kwendra uko
@claudiamassay2635
@claudiamassay2635 6 месяцев назад
Hahahhahaha sanaaa
@AminaOmary-cn5vb
@AminaOmary-cn5vb 6 месяцев назад
Nimerudia mara mbili kuangalia hii .nimeipenda sana hii couple.mkaka anaupendo sana
@mrliverpoolynwa7641
@mrliverpoolynwa7641 6 месяцев назад
Lolo ni mzur sana hongera zake
@khamoshmikidadi618
@khamoshmikidadi618 6 месяцев назад
Kaka handsome Mashallah nimemuhusudu
@rubenmsimbe934
@rubenmsimbe934 6 месяцев назад
Ni tukio la kufurahisha sana, kuna golden girls wengi sana waliopita walipojijua kuwa ni golden girl maringo kibao,lkn huyu mrembo hakuwa na mengi,ningekuwa na namba uaje ningemtupia buku big LOLO❤❤❤
@user-zb2mj5nd5g
@user-zb2mj5nd5g 5 месяцев назад
Ile notion ya bcz of love, nnamashaka nayo, mwamba anaenda kula mzigo nakuuacha kwenye njiapanda🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@MwaniPh
@MwaniPh 5 месяцев назад
😅😅😅
@JaysonHango
@JaysonHango Месяц назад
Eliza hajawahi kumiliki akili 😂
@mamtuhhassan809
@mamtuhhassan809 6 месяцев назад
Eliza alijuwa yeye ndo golden girl ndomaana alikuwa anajizima data 😂 sasa kapigwa nakitu kizito kabaki mdomo waazi 😂😂😂😂😂😂😂
@diva_20162
@diva_20162 5 месяцев назад
Huyo Eliza anadharau na atazeekea humo anaropokwa hovyo kazi ipo ashuke stejin tu😊😊
@WinnElirehema
@WinnElirehema 20 дней назад
Hivi wanakumbukaga na kupima hawa😂😂😂😂
@AmosSniper
@AmosSniper 6 месяцев назад
Huyu msela zaifu sana! Na huyu demu huko mbele ya safar atampelekesha sana msela
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 6 месяцев назад
Umeona kama mm😮
@Switielie
@Switielie 6 месяцев назад
Hapana kawaida tu
@banguha
@banguha 6 месяцев назад
Hawez kubadili anamdanganya ivi nyie wakatolik mnawajua Yan hapa kasema tu ila mwanaume kubadili Dini anaweza kubadili mbele za watu lakin badae akalud lait wangemuwa wanatupatia mrejesho tungejua
@paulmchele1627
@paulmchele1627 6 месяцев назад
daaaah kweli jamaaa zaifu sanaaa dem atamutesa mnooo
@magreciousthomas3527
@magreciousthomas3527 6 месяцев назад
Yan apo anamchukua anaend kuhakikish binti kafall atachagua yy kupotez mwanaum au kufat dini ya mwanaum😂 uyo kaka akibadil niitwe mbwa
@christainc.5217
@christainc.5217 6 месяцев назад
Je warundi wanakuja my❤😂
@fatumahapesamohamedfatumah4633
@fatumahapesamohamedfatumah4633 6 месяцев назад
Huyo Elizaa hajielewi.Atasimama xana hapo kwenye podium
@GreysonMbisse
@GreysonMbisse 4 месяца назад
Congratulations wajina greyson
@Letsia-n1l
@Letsia-n1l 6 месяцев назад
Eliza hana bahat yakuolewa anaringa sana anajiona mzur wakat ni wakawaida tu
@SamweliMwalyungu-du5ln
@SamweliMwalyungu-du5ln 6 месяцев назад
Aaa ww msenge una badl din kisa uyo dem
@Daniella249
@Daniella249 6 месяцев назад
Imagine😢😢
@freidyalufreidy8652
@freidyalufreidy8652 6 месяцев назад
Kipenda roho kaka 😂
@barakalawrence742
@barakalawrence742 6 месяцев назад
Nimeona wanaume wengi wakifanya hivyo mwishowe hurudi tena kwenye dini yake akishapata alichokitaka
@sheemaryam
@sheemaryam 6 месяцев назад
Muisilamu na hana hijab subhanallah amebadika manywele ata sio ajabu hajui kuoga janaba
@MwaniPh
@MwaniPh 6 месяцев назад
Wajanja hao hzo ni mbinu zakumpata mume
@MariaMagele
@MariaMagele 4 месяца назад
Kuoga tena jamani mmmh
@sheemaryam
@sheemaryam 4 месяца назад
@@MariaMagele elewa sentence mwanzo nmesema kuoga janaba kama hujui n nn sema ufundishwe juu pia nyie wakristo hamjui kuoga janaba
@fikiriisaya5803
@fikiriisaya5803 6 месяцев назад
Toweni eliza hapo sio mwana mke wakuowa
@RozzyTom-fw8qh
@RozzyTom-fw8qh 6 месяцев назад
😭
@user-cy3ro8lp8s
@user-cy3ro8lp8s 6 месяцев назад
Elizza atabaki hapo hapo mpuuziiii
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 6 месяцев назад
Huyo Eliza mjuwajii ile mbaya ikisha hajui kitu 😂😂😂😂😂😂
@ChillumbaEdward-nz9xr
@ChillumbaEdward-nz9xr 6 месяцев назад
Oya mwanangu umetisha wemkali kweli uko makin sana
@AgathaMatambula-lf7fv
@AgathaMatambula-lf7fv 6 месяцев назад
Wameendana jaman lolo na grayson ❤❤❤
@user-ei2ud7gh5h
@user-ei2ud7gh5h 6 месяцев назад
Kalolo kazuri ,karembo na kasitarabuu wow good couple ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤i wish you all the best❤❤❤❤
@luganoesomu5301
@luganoesomu5301 5 месяцев назад
ukitaka upoteze mwelekeo na ukuu wako kwenye maisha jaribu kubadili dini hata kwasiku moja ,watu wanadhani ni jambo la kawaida kama vile kubadili nguo lakini kiukweli unapo badili dini unabadili yule unaemwabudu siku hii unaabudu mungu kesho unaabudu pepo(shetani), mungu wetu ni mungu mwenye wivu. mfalme sulemani mwana wa daudi aliemjengea mungu hekalu jerusalemu hadi watu toka dunia nzima wakawa wanaenda kuabudu huko kila mwaka, siku alipo oa mwanamke anae abudu miungu na suleimani akaiabudu .,Mungu akauvua uzao wake ukuu juu ya israel katika makabila 12 ya israeli akambakizia 2 mengine yote wakapewa wengine.nahiyo imetokea kwa wafalme wengi kama vile yeroboumu, belishaza, na wengine wengi. mwanaume yeyote mwenye misingi imara misingi yake inapimwa kwa uwezo wa kuitunza imani yake.
@user-ek1wi8ly4q
@user-ek1wi8ly4q 5 месяцев назад
Mr right yupo straight en brain ake smart sanaaa wadada hatuna akil muda mwingine
@queensiku
@queensiku 6 месяцев назад
Eliza ata shule alikuwa haelewi ni class mate wangu kichwa maji 😂
@user-hv8ch5rd6b
@user-hv8ch5rd6b 6 месяцев назад
🤣😂🤣Ndio ni class mate wetu aelewagii na mm namjua 😂🤣
@HellenCyrus-cp3rn
@HellenCyrus-cp3rn 3 месяца назад
😂
@HellenCyrus-cp3rn
@HellenCyrus-cp3rn 3 месяца назад
Hatarii
@user-it6to6ws5r
@user-it6to6ws5r 6 месяцев назад
Aliya tha best ana juwa kukweli wanaendanaaa ❤❤❤❤❤❤ kweli
@ollenshamba
@ollenshamba 6 месяцев назад
Wamependezana sana Lolo yuko mucute sana jamn najiona mm huwiiiiii😅
@user-ix5uo6ks7j
@user-ix5uo6ks7j 4 месяца назад
Nawapenda ndie lolo maua🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-qv7qv5rt7k
@user-qv7qv5rt7k 6 месяцев назад
Waooooo nawapenda sana ❤❤❤
@naftalkileo5224
@naftalkileo5224 Месяц назад
Halafu sura ya Eliza mbona anaonekana kama mchawi. Au nyie wenzangu mnamuonaje😀😀
@monicasemsey1125
@monicasemsey1125 6 месяцев назад
Waoooo wamependeza
@aika3024
@aika3024 6 месяцев назад
Nipeni namba ya Mr Right😍😍😍 anajielewa sana😊
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 4 месяца назад
Safi sana ww ndio mwanamke naam haijuzu mwanamke kuolewa na mwanaume mkristo mpaka abadili dini
@user-mo3wn6cc7h
@user-mo3wn6cc7h 4 месяца назад
Uyo dada asipande on stage wapen watu nafasi ya kumpata mr.right wao
@estherkisilu632
@estherkisilu632 3 месяца назад
Yaaan hako ka Eliza kaondoke kabisa maan astahili kuwepo
@lumo9999
@lumo9999 6 месяцев назад
Mbona mnaleta na wabibi huku, huyo eliza m’bibi mtoeni banaa
@elvilamwambambale950
@elvilamwambambale950 6 месяцев назад
Yaan Elizabeth mpaka leo upo rudi home tu unamdomo sana ukikataa mtu sema tu hpn sio kakaenda kakarurud😊
@zarinatv2024
@zarinatv2024 6 месяцев назад
Jaman huyu kaka anaonekana mstaarabu sana😊❤
@deborahmollel3170
@deborahmollel3170 3 месяца назад
Eliza asubiri wazee waliofiwa waje kumchukua 😂😂😂😂
@chimamilion
@chimamilion 6 месяцев назад
Hili nikundi lavibaka mapenz gn sikuiyo iyo wanapendana hakuna ata kuzoeana mara unaingiza shingp kwa mwez yn hawa wanaunda kundi lavibaka
@redizo_tz
@redizo_tz 3 месяца назад
Maleo Umetuwakilisha Vema Kaka😊😊😊
@ZainabuJumbe-cg2lg
@ZainabuJumbe-cg2lg 3 месяца назад
Jamani Greyson na Lolo Huwa napenda kuwaangalia kila wakati Greyson anaonekana kijana mwenye upendo wa kweli Lolo mwanangu umepata mume nawatakia kila kheri
@KhalfanSaid-mo9jh
@KhalfanSaid-mo9jh 6 месяцев назад
Nyinyi mnaoendesha kipindi mjue mnadhambi Sanna , kweli dalili zakiama.......mnakaa uchi mitandaoni tu
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 6 месяцев назад
Siku zote ukijifanya muelevu mambo yatakushinda😂😂😂😂😂 eliza kwani apo alikua kua teacher ama vip??
@ellymwampashe8927
@ellymwampashe8927 6 месяцев назад
Bhanaaa hawa wadada wanataka nini lakini😢😢 alivyoita hiyo eliza......chaiiiii this guy ooo😊😊
@MamaMairaa
@MamaMairaa 6 месяцев назад
Huyo eliza anamaliza soda tu mfukuzen
@deejayassamix4891
@deejayassamix4891 6 месяцев назад
Lolo nakupendaaa bureeee umenifurahisha saana kbisa
@ZakariaMatinde
@ZakariaMatinde 2 месяца назад
Kaka wewe ni mjinga sana unafata dini ya mwanamke pole sana
@user-sq4mo3mg2q
@user-sq4mo3mg2q 6 месяцев назад
Eliza na huyo mwenzake mungu awape pigo,au wanamtaka mwanaume yupi,bc wakae uchi kama akina fulani walosahau hofu ya mungu
@KelvinAlfred-rc1hq
@KelvinAlfred-rc1hq Месяц назад
Jamaa umefeli Wee huon sana Ubadili dini kisa k Wee unadhan Huyo dem hana ×
@siamuchunguzi
@siamuchunguzi 6 месяцев назад
Sioni Neema ya Mungu kwenye haya mambo, yapo kidunia zaidi, hakuna hata hofu ya Mungu hapa.
@NetNuggets60
@NetNuggets60 2 месяца назад
unaangalia ya nini pimbi wewe, nenda youtube ya mwamposa
@bilshanmartin7660
@bilshanmartin7660 6 месяцев назад
Ntakuja niondoke na huyo mwanamke mwenye kidomo domo Eliza jiandae nakuja kukutoa hapo 😂😂
@mariamitaba3967
@mariamitaba3967 6 месяцев назад
Eliza ajifunze kauli zake zinamponza
@user-km6lj1sm6o
@user-km6lj1sm6o 6 месяцев назад
Wakina Elizabeth sio kama ww hujitambui dada utazeeka hapo
@asiliyetuonlinetv5063
@asiliyetuonlinetv5063 6 месяцев назад
Linaboa sana alafu linajikuta kigori kumbe saa kumi jioni.
@rayyanomary
@rayyanomary 6 месяцев назад
Hahahaha
@iluminataeugen7625
@iluminataeugen7625 6 месяцев назад
Wifii njoo kwetu sisi wangoni tunajua kupenda😁😁😁
@joyabby6981
@joyabby6981 6 месяцев назад
Wow love is beautiful 😍 ❤
@maysheby1437
@maysheby1437 3 месяца назад
Elizabeth unamdomo sana utaganda hapo we dada hyo sehemu malumbano
@user-st8uu3fo8n
@user-st8uu3fo8n 6 месяцев назад
..❤Woow🎉
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 6 месяцев назад
Wow nice ❤️
@elizabethcharles6527
@elizabethcharles6527 6 месяцев назад
Ivi uyo dada naitwa eliza uwa anajielewa kweli😂😂😂
@celinekenedy870
@celinekenedy870 6 месяцев назад
Iko ki Eliza hata kikija kupata mwanaume kitamsumbua tuu hajitambui haelewi bichwa gumu kuelewa. Cheeefu.
@nervashonza587
@nervashonza587 6 месяцев назад
Eliza shavu linachuma kunde lkn bado yumo kwenye uchambuziii....
@salmamumba8507
@salmamumba8507 6 месяцев назад
😂😂😂wallah
@user-jd6vr9xw1o
@user-jd6vr9xw1o 6 месяцев назад
Wanapendezana sana
@noelrobert4646
@noelrobert4646 6 месяцев назад
Eliza ni mbaya mbovu kichaaa asepe Hana ishu kwanza ni bibi kizeeee mtoeni aende kudanga
@salmamumba8507
@salmamumba8507 6 месяцев назад
Wow kijana wa kingon mr right
@petersynto2043
@petersynto2043 6 месяцев назад
Kuwa uyaone huyu mwanamke anayeitwa Eliza Ni hamnazo kabisaaaaa mbona jamaaa yupo.wazi sana amenyoooka
@zamzamyusuphukagemulo
@zamzamyusuphukagemulo 3 месяца назад
Nimekupenda wewekijanq mpole
Далее
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00
miss grand Tanzania 2024
11:57
Просмотров 592
Пришёл к другу на ночёвку 😂
01:00