Тёмный

BULAYA AWAKA BUNGENI | AWAKINGIA KIFUA WASTAAFU | ALIA NA KIKOKOTOO KUWA NI JANGA 

ZamaradiTV
Подписаться 248 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Mbunge wa viti maalumu, Ester Bulaya ameliambia bunge kuwa kikokotoo cha wastaafu bado ni janga akiiomba serikali kukaa mezani na wastaafu kujadili namna bora ya kuwapa mafao yao kutoka asilimia 33 iliyopo hivi sasa hadi asilimia 50 kwa mkupuo.
Usisahau ku"SUBSCRIBE" RU-vid channel yetu kwa videos nyinginezo
#zamaraditv #mambonimengi

Опубликовано:

 

13 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 32   
@devotamutayoba9373
@devotamutayoba9373 4 месяца назад
Huyu dada Kila bunge anawatetea watumishi,Mungu akulinde
@modestamashoke9038
@modestamashoke9038 4 месяца назад
Sijawahi kuchoka kukusikiliza Mh ESTER Bulaya,Mungu akulinde wewe na uzao wako
@notbulgamnenuka1766
@notbulgamnenuka1766 5 месяцев назад
Mungu akulinde mwanangu
@gastordominic410
@gastordominic410 5 месяцев назад
Mungu azidi kukulinda na kukupigania katka kazi zako
@JescaMwagama-oc9yt
@JescaMwagama-oc9yt 5 месяцев назад
bulaya nizaid ya geniuse
@user-gb4yp3um8o
@user-gb4yp3um8o 4 месяца назад
Mama mungu akubariki Sana malaika wa mungu anakuona kwa kujalibinadamu wenzio mwaka mungu akuone uingie Tena bungeni tupata kumsikuliza binge wengine tunaingia kwaajili Yako kuhusu kikokoto waache IPO siku watakapo kuja kuomba kura watajibu maswali hayo
@stellacosmacy4785
@stellacosmacy4785 5 месяцев назад
Mungu yupo wengine wamekufa Analalamika mungu yupooo
@Piscesblair
@Piscesblair 3 месяца назад
CHADEMA angalieni maslahi mapana ya jamii, malizeni tifauti zenu, hawa akina mama bado tunawahitaji katika siasa za nchi yetu.
@gastordominic410
@gastordominic410 5 месяцев назад
Mungu akubariki sana
@matildamfoi8313
@matildamfoi8313 5 месяцев назад
Mungu wa mbinguni tuonee huiruma
@ramadhanimdillah67
@ramadhanimdillah67 5 месяцев назад
Huyu ukweli huwa ampenda kwani kila akisimama yy Ni wastaafu ukweli namuunga mkono sasa naomba uwaaambie kuwa wabadilishe Sheria na wao wawe wanapandishwa japo Si kila pale wanapopadishwa watumishi
@YakoboJohn
@YakoboJohn 4 месяца назад
Ubarikiwe sanaaaa Bulaya wastaafu tunaishi Kwa shida endelea kututetes
@TatuRashid-d6t
@TatuRashid-d6t 4 месяца назад
Hatukitaki unatumiaje sheria ktk pesa ya watu na hawakuhusishwa,WAPEWE PESA ZAO HAO WALOATHIRIWA NA KIKOKOTOO,bulaya upo saw madam utakipwa na Mungu
@gracekawiche
@gracekawiche 4 месяца назад
Kwa kweli kikokotoo hakifai tupeni hela zetu tuna mengi ya kufanya 😊
@tumsifumartine612
@tumsifumartine612 5 месяцев назад
Ester Bulaya mbunge makini sana Mungu akutunzae
@matukutajuma156
@matukutajuma156 5 месяцев назад
ESTA UPO VIZURI SANA
@AkwiliniQawoga
@AkwiliniQawoga 4 месяца назад
Hapo mungu akubariki Binti yangu Serikali yetu inatunyonga. Tumewakosea Nini sisi wastaafu. Tunaomba calculator ya zamani irudishwe
@musasabuu2808
@musasabuu2808 4 месяца назад
Dada bulaya naomba uwambie na nyie wabunge muingie kwny kikokotooo
@stellacosmacy4785
@stellacosmacy4785 5 месяцев назад
Ester mungu Akulinde, kikokotooo kimewauwa wazee wetu.
@menelus911mene5
@menelus911mene5 5 месяцев назад
Mungu skulinde uzidi kuwa ombea wastaafu 🤲
@mahijayusuph8186
@mahijayusuph8186 4 месяца назад
Dada naomba simu yako nikueleze shida zangu
@ashelmichael4308
@ashelmichael4308 5 месяцев назад
Mungu akubariki Ester tumeonewa
@catherinemathayobajuta8893
@catherinemathayobajuta8893 4 месяца назад
❤ my dear
@matildamfoi8313
@matildamfoi8313 4 месяца назад
Hiyo kuwekeze fedha zetu kny miradi ndiyo imetuletea balsa warudishe hizo hela zetu wastaafu tunakufa
@MusaJuma-jr7wb
@MusaJuma-jr7wb 5 месяцев назад
Rais anapambana watendaji mnamuangusha
@MusaJuma-jr7wb
@MusaJuma-jr7wb 5 месяцев назад
Mnashirikisha lini jamani tumewachoka
@mahijayusuph8186
@mahijayusuph8186 4 месяца назад
Watumishi watafanya kazi kwa mazoea tu . hawana motisha wataiba sana kama mnavyochukua nyie mafao yenu
@michaelnzowa
@michaelnzowa 5 месяцев назад
KIKOTOO NI MAUAJI WABUNGE SIMAMIENI JAMBO HILI, NDIO MAANA WASTAAFU WANAKUFA MAPEMA BAADA YA KUSTAAFU
@OliverMbwambo
@OliverMbwambo 5 месяцев назад
Wastaafu wote waliokutwa na kikokotoo wamekufa sijui mtapata wapi wapiga kula na hao mnao wanynyasa nfo wanao wasaidia kuwaibia kura sasa mnawauwa huruma
@menelus911mene5
@menelus911mene5 5 месяцев назад
Mafao ni shida hapa nchini wengine toka 206 mpaka leo hawajapata mafao yao barua zime enda kila ofisi hakuna jibu sijui itakuwaje??
@JescaMwagama-oc9yt
@JescaMwagama-oc9yt 5 месяцев назад
wastaaf wote walioanza kupata kikokotoo wamepata strok presha juu visukali kama vyote
@osmond9266
@osmond9266 5 месяцев назад
Muda wooooote napoteza kufanya kazi nikijihusisha na shughuli zingine mmeleta mifumo inaifanya kazi kuwa ngumu badala ya kuwa rahisi Sasa kikokotoo mie cha nini Ndio maana watu wanafanya kazi wanavyojisikia na elimu inashuka mjitathmini
Далее
🔴#TBCLIVE: MAPENDEKEZO YA KIKOKOTOO KIPYA
44:39
Просмотров 1,3 тыс.
RAIS WA NYUMBA NDOGO AANZISHA CHAMA CHA KUDAI MADENI
45:17