Тёмный

MWIGULU AMVAA ESTER BULAYA / UNANIANGALIA SANA MIMI / WABUNGE HAMUONI AIBU 

Gangana Info Channel
Подписаться 366 тыс.
Просмотров 178 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 май 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 139   
@hrehemaandreson1970
@hrehemaandreson1970 Год назад
Uko vizur mheshiwa Bulaya, kuna wabunge wako serious bungeni na sio kuuza sura
@anosiata8242
@anosiata8242 Год назад
Hatari kweli kweli. Sisi wananchi wa kawaida ndo tunaonewa kwenye Nchi hii.
@jimmymbella997
@jimmymbella997 Год назад
SAFI SANA WE ESTA BULAYA, DAM YA MARA HIYOO, HONGERA KWA KAZI NZURI
@selinatogolai3314
@selinatogolai3314 Год назад
Ni kweli sana unayose ma esta bulaya aweso ni mnyenyekevu sana hajavaa cheo
@user-qg1iy5ov3u
@user-qg1iy5ov3u 4 месяца назад
Estar hongera kwa kazi nzuri sana Kuna wabunge wengine hawaongei waache ububu hotel 77 madai yetu hatujalipwa mhe Ester tutetee Arusha hawaongei
@dostovan5142
@dostovan5142 Год назад
Ester apewe maua yake na miti na product nyingine za kilimo
@BahatiMwamewa-jk5wx
@BahatiMwamewa-jk5wx Год назад
Hongera sana ester umenifurahisha sana ,ingekuwa raia angekatiwa maji tena kwa kiasi kidogo tu ,
@elizabethmassi7327
@elizabethmassi7327 Год назад
Esther Bulaya sijawahi kuchoka kusikiliza hoja zako bungeni
@jamilmwinge3695
@jamilmwinge3695 Год назад
Yani hua nikiwaona hao wa dada Halima na Ester hua nafurahi sana wanavyo sumbua ccm bungeni
@julianamasato5655
@julianamasato5655 Год назад
We Estar mwaka 2025 njoo ugombee jimboni kwetu bunda vijijini maana mmbunge wajimbo letu hana anachokifanya jimbo limepoa .kazi yake nikununulia Wazee maandazi nakahawa na soda .anatafuna pesa zajimbo tu .
@aminaomary5567
@aminaomary5567 8 месяцев назад
Kazi ya kudai watu wa chini na wanyonge tu.Ongera dada👍👍👍❤❤
@winniefridamutakyawa5943
@winniefridamutakyawa5943 10 месяцев назад
Ester na Halima ni majembe kweli kweli.Njooni Chadema.
@user-uy2dk2yv2c
@user-uy2dk2yv2c Год назад
Mpigieni makofi AWESO hata kama hamtaki ila mkuu Aweso yuko vizuri sana kumbe Ester bulaya anaona kama ninavyoona
@carteq
@carteq 8 месяцев назад
Kweli Aweso anapiga kazi
@daffagunda-rm3hj
@daffagunda-rm3hj Год назад
Aweso ni mtu safi SANASANA, actually watukutoka tanga ni watu safi na wasio na Tamaa
@umyazinkath167
@umyazinkath167 5 месяцев назад
Apana umeferi
@nyamwekomatoke9951
@nyamwekomatoke9951 Год назад
Ester Uko vzr Nimekupenda bureee Uliyosema yote nikweli kbs Bunda stor Na nyamakokoto maji yanapotea sanaaaaaaa
@saloujohn3639
@saloujohn3639 10 месяцев назад
Mama kuhus maji umeongea point na Waziri kakuckia kwa makini hyo ndo raha ya kuwa mtanzania .Uweso godbless u
@mustaphampandi137
@mustaphampandi137 Год назад
sisi Kama hatujalipa mwezi Moja tunakatiwa
@HamisiMbinga-lg6nv
@HamisiMbinga-lg6nv Год назад
huko vizuri mbunge
@DicksonLudoviko
@DicksonLudoviko Год назад
Nakupongeza sana mwana mke Jasiri wambie kabisa ukuchini Tunateseka sana
@esterstaphord5184
@esterstaphord5184 Год назад
Namesake 🥰🥰🥰🥰 very confident woman safiiiiiiii 🥰
@CathelinMdoe-kf6xr
@CathelinMdoe-kf6xr Год назад
Asante Ester wapehabari hao wamezidi kutubana bhana wengi wanajipenda wenyewe
@anosiata8242
@anosiata8242 Год назад
Esther Uko vizuri .
@ezekiellotoishe3664
@ezekiellotoishe3664 Год назад
Safi sanaaa ww ni Jasiri sana
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts Год назад
Hizi jembe hiziii, Ester na Halima Mdee, Wanawake majasiri kama hawa ni wachache hapa nchini
@IssaAbdallah-rt2sh
@IssaAbdallah-rt2sh 2 месяца назад
Mbona Barabara.za.kwao pangani Tanga pongwe tongoni maguzoni.korogwe.hazijengwi kwa.lami hamnakitu hao
@piniellaizer5753
@piniellaizer5753 Год назад
Ester Bulaya mwanamke jasiri
@atamotivetv8104
@atamotivetv8104 Год назад
Nampenda Sana uweso jamaniii nampenda ester jamaniii nawapenda sanaaaaaaaaaaa
@maadigitalpro
@maadigitalpro Год назад
Namkubali Sana @Esther Bulaya
@charleselijah-vq3hq
@charleselijah-vq3hq Год назад
Ni swali nzuri sana Aksante sana Mweheshimiwa Ester Bulaya.Mchango wako ni safi sana
@soberhousetv2245
@soberhousetv2245 Год назад
🎉🎉🎉Aweso kapewa maua yake
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 Год назад
Taasisi za serikali zifungiwe pre paid meters ndio suluhisho. Ingawaje kwa ubabe wanaweza kuweka by pass.
@hildananyaro3231
@hildananyaro3231 Год назад
Nakupenda unavyojiamini mama 🥰🥰🥰
@ellylyatuu7302
@ellylyatuu7302 Год назад
Safii Mh Juma uko vizuri ila watendaji wako hapa kinyerezi mongolandege kuna shidaaw
@adamshaban5336
@adamshaban5336 8 месяцев назад
Mama yetu mpendwa chukua hatua kwa hawa majambazi wa nchi hii? Wanatudhulumu sisi wananchi wanyonge wavuja jasho ambao hatujui hata kula yetu ya siku, mheshimiwa rais hii ni dhulma kwa watanzania wanyonge
@Mery-st4nu
@Mery-st4nu Год назад
Mimi nimelipa maji kiomboi iramba toka mwaka jana sijapata maji😢
@mustaphampandi137
@mustaphampandi137 Год назад
kumbe hata taasisi za serekali zinadaiwaga? maji?
@user-hp2ix5wp6i
@user-hp2ix5wp6i 9 месяцев назад
Asenga yuko vizuri ulanga poleni hamna mwakilishi
@tajirifransis729
@tajirifransis729 Год назад
Hongera San uwatetee watanzania wanyonge
@AaAa-vm8bb
@AaAa-vm8bb Год назад
Si maskini wanalipia deni zao ya nini walipe wao na sisi wanyonge wa Mungu tupo kuwalipiadeni zao lakini Mungu atatulipia nguvu zetu wanazo tuzulumu
@octavinaalphonce6898
@octavinaalphonce6898 Месяц назад
Kwa kweliiii upewe maua yako❤
@PaulKhaday-gm4hq
@PaulKhaday-gm4hq Год назад
Wajiangalie hawa ndio wanawaibia wanainchi Huku wakidai kujenga nchi.
@shuhudiamtasiwa6646
@shuhudiamtasiwa6646 Год назад
Sisi wananchi ndio maana tunabambikwa madeni kumbe huwa tunawalipia serikali😢😢😢😢😢
@kisangageorgethomasi2830
@kisangageorgethomasi2830 Год назад
Umeonaee
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Год назад
Umeona eee
@VenasiVenasi-gf2pz
@VenasiVenasi-gf2pz Год назад
ESTA safi sana SS wanaichi tunakatiwa wao hawakatiwi ndio maana tunaitaji uwepo wenu
@pascarmwatosya5855
@pascarmwatosya5855 Год назад
Daaa ukiwa na mbunge kama huyu kwa Nini usilinge na kutembea kifua mbele hongera dada
@jumakapola419
@jumakapola419 Год назад
Anakuangalia sana kwasababu ata mpendwa wetu hayati John Joseph pombe makufuli alikupiga chini kwasababu ni aufai ata kidogo
@messiasulleydidy2585
@messiasulleydidy2585 Год назад
Lkn waziri Wa fedha ww
@otianasanga9106
@otianasanga9106 Год назад
Wakakatiwe na nyumbani kwao
@naimunaimu2312
@naimunaimu2312 Год назад
Halima utavunja hichokitabu 😅😅
@mariamheinz8582
@mariamheinz8582 Год назад
Huyu mama anafaa hapa kenya
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 10 месяцев назад
Mwigulu ni mpumbavu sana yaani kiufupi ni kero katika taifa letu
@DicksonLudoviko
@DicksonLudoviko Год назад
Arafu ivi wabunge wario pigiwa Kura na wanaichi mbona Siwasikii wakitowa oja vi
@shikuhata
@shikuhata Год назад
Kuna maeneo tunawahitaji kina mh Easter Bulaya wengi ili tufikie malengo ya serikali ya awamu ya sita
@maulidwhyder8848
@maulidwhyder8848 Год назад
Mdee nakugotea kwa juu upo vzri mummy
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 26 дней назад
Waziri alie filisika kifkra,ni ufisadi tu, Rip JPM
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj Год назад
Kaka mwiguli atoke kwenye hiyo sehemu
@FadhirSaid-hf2cp
@FadhirSaid-hf2cp Год назад
Hana ishukabisa huyujamaa huyu nimzizi wamatatizo kwenyenchihii
@geremanamzoo-up2og
@geremanamzoo-up2og Год назад
Kabisa huyu jamaa ni takataka
@alphoncekagezi4950
@alphoncekagezi4950 Год назад
Mwanachi wa kawaida akilaza deni la mwezi mmoja anakatiwa maji kwa deni la lisilo fikia hats tsh elfu 50 iweje hao wa mamilioni hamkati maji ktk ofisi zao?
@jacklinelyimo7407
@jacklinelyimo7407 Год назад
Anaongea kama anawagombeza😂
@kamanapomo7029
@kamanapomo7029 Год назад
Ndio, hatakiw kuomba kwasababu anatetea Mali ya umma na wenye kuhusika na usimamiz wanafanya dhulma
@mirumbeihema2589
@mirumbeihema2589 Год назад
Ivi ww una pata ujasli wapi wewe miguu juu kujibu wana nchii
@olivermlebele3894
@olivermlebele3894 Год назад
Hongera Esther
@GodfreyMagagi-yh2fr
@GodfreyMagagi-yh2fr Год назад
Yes aweso yupo vzr
@nurunswebe4203
@nurunswebe4203 10 месяцев назад
Ahahahahahahaahaaaaa mwigulu bana eti taasisi walipe basi ili wasaidie kuchachua uchumi
@user-xl3sr4jj4l
@user-xl3sr4jj4l 8 месяцев назад
Hongera bulaya
@Titonazaleth-py8ol
@Titonazaleth-py8ol Год назад
Hata machame kilimanjaro wanatabia hyooo😂😂😂
@emanuelsamson-hq2jv
@emanuelsamson-hq2jv Год назад
Dadaangu barikiwa sana
@robertkavishe-fk1ve
@robertkavishe-fk1ve Год назад
Aweso Safi sanaa
@user-gu9dv6fh1i
@user-gu9dv6fh1i 2 месяца назад
Waooo uko visuri san dada
@shahadaushindi7745
@shahadaushindi7745 Год назад
Hamlipi nyie tunabambikiziwa sisi wananchi, wananchi tunateseka sana.
@JosephuSwai
@JosephuSwai 3 месяца назад
Aweso namkubali japo mi sio ccm
@geofreysimpepo9945
@geofreysimpepo9945 Год назад
Hayo madeni wanayo daiwa ndio tunabambikiwa sisi wananchi wa kawaida Ili kufidia fidia,bado matozo haijulikani peza zaenda wapi
@elibarikmafie7490
@elibarikmafie7490 Год назад
safi sana mama
@gideonpaulo2238
@gideonpaulo2238 Год назад
Jamani bunda huyundo mbunge bunda wengine amazi ganyanza tulilo lituma bungen limelalatu sijui liko wapi jani nkupenda esita mwana wa bulaya ❤❤❤❤❤❤
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 10 месяцев назад
Wambie hao wamekosa haya hoo wala aibu hamna kazi kuwadai raiya maji wao hawataki kulipa nifedheha gani
@kasembewakasembe580
@kasembewakasembe580 Год назад
Kama mwananchi wangemkatia maji!! Kwa nini wao wasikatiwe maji?? Kwa nini wao wasikatiwe maji????
@festokivuyo7121
@festokivuyo7121 5 месяцев назад
Apa nime kueshimu sana wapizani ninaowataka kama hawa
@damasjoachim4451
@damasjoachim4451 10 месяцев назад
Shame, bomba kuvuja kuongelewa bungeni?
@hassanosman3824
@hassanosman3824 Год назад
Mwigulu achaa kzi umeshiba
@lucygwande-jf2cu
@lucygwande-jf2cu Год назад
Walipe bnh wengine tunakosa maji kwaajili yao na kuwanganishiwa mabomba feki yanapasuka pasuka ovyo
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Год назад
Na taarifa yake kubwa inahusugu mambo ya Yanga tu..🤣😂
@sesicasi1364
@sesicasi1364 10 месяцев назад
Sasa mwizi anaenda kulipia bill? Ukoo wa panya unalipia mahindi waliokula stoo? Hii ni serikali au genge la wezi? Ipo siku laana ya viongozi wetu itawatafuna wao na vizazi vyao.
@jakobongwara3038
@jakobongwara3038 Месяц назад
Dada takupenda nikweri hawa wadudu wana tuibia woripe bili
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 10 месяцев назад
Shell ndiyo nini Mhe Bulya??? Ebu Katibu wa Bunge ondoa kwenye kumbukumbu za Bunge hilo jina Shell ilikulinda heshima ya Bunge.
@mosesfrancois752
@mosesfrancois752 Месяц назад
Aliekula ela ya bili ya maji wakamatwe iwe mfano tu ,mbona inajulikana ela zinapelekwa ila kuna mtu anazibugia
@hajihassan5433
@hajihassan5433 10 месяцев назад
Hii kupokea taarifa ndio nini na hupokewa kama ipi?
@akimu-gl7zp
@akimu-gl7zp Год назад
Kata aweso. usivionee aibu kata tu pigakaz
@jumannemagumba619
@jumannemagumba619 3 месяца назад
Damu ya mara hajawahi kutoka mjinga huko
@StephanoMwakilito
@StephanoMwakilito Год назад
Kumekucha, ilo nalo neno wazee jitahidin.
@rhobysagwe1711
@rhobysagwe1711 Год назад
Dadake nakupenda bure
@JosephuSwai
@JosephuSwai 3 месяца назад
Ester na halima rudini nyumbani chadema
@nickolatharwelamila776
@nickolatharwelamila776 Год назад
Kule Mugum mbona hskunaga maji??
@MusaJuma-jr7wb
@MusaJuma-jr7wb 3 месяца назад
Sisi tunakatiwa wao wanakuja bata
@user-ku1kq1mo2z
@user-ku1kq1mo2z 5 месяцев назад
Wabuge wote wangekuwa kama huyu mama tuko mbali
@BahatiMwamewa-jk5wx
@BahatiMwamewa-jk5wx Год назад
Na kubambikiwa bili imekuwa kawaida
@tryc_579
@tryc_579 Год назад
Mi Leo raia mwema nadaiwa 3500 nakatiwa maji afu Watu wanadaiwa billions na wana lipwa mishahara ya mamilion na posho juu ila hawalipi maji? Dah hii Tanzania ya moto Sana viongozi ndio wanaotufanya Tanzania kuwa masikini 😭
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 Год назад
The woman I love the most
@PhilipoShumbi-lp6vg
@PhilipoShumbi-lp6vg Год назад
Lipeni madeni ya maji
@ngusawales2039
@ngusawales2039 Год назад
Ovyo sana
@user-rv7nz6xb6d
@user-rv7nz6xb6d Год назад
Nakupenda Mama
@RajabuLanda
@RajabuLanda 26 дней назад
Ww mavi tuu unamupendaje xx
@charlesathuman6228
@charlesathuman6228 Год назад
Yaani waziri wa fedha sijui nilitaka niseme nini
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 10 месяцев назад
Wabunge wazazibary mnamsikia mwenzenu huyo mtoto wakike esta bulaya nyie kazi kusinzia na kupokea posho toka aondoke bwege hatuwasikii wapinzani
@yakobolusasu1821
@yakobolusasu1821 Год назад
Jasili kutoka Mara 😁😁
Далее