Тёмный
No video :(

BULAYA: MDEE ALINIVUNJIA LAPTOP/ NINA NGUVU NJE YA CHADEMA/ NITAJIUZULU UBUNGE/ NILIMTEMBELEA MBOWE 

Dar24 Media
Подписаться 728 тыс.
Просмотров 39 тыс.
50% 1

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Dar24 #Dar24Media

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 52   
@desiderihugo5704
@desiderihugo5704 25 дней назад
Hongera saaana Ester . Wewe ni kamanda na utabaki kuwa kamanda Big up sana
@jacksonsulle6673
@jacksonsulle6673 Год назад
Bulaya nimekukubali sana!!! Kwa kauli zake .
@bakarimmbaga2344
@bakarimmbaga2344 8 месяцев назад
Bulaya na Halima na wengine kiukweli mko vizuri kimsimamo na tumewa- mis sana mungu awasimamie katika madhila yaliyowatokea
@rogersiddy
@rogersiddy Год назад
Yaan huna chakutushawishi kbs wewe na hao wenzio 19 maana mmeingia kimazabe bila chama leo ukionekana unapiga vita lushwa na ubadhilifu wa mali za uma haingii akili kbs
@user-so9fo5tv3j
@user-so9fo5tv3j Год назад
Big up Ester Bulaya
@jimmydizonga1335
@jimmydizonga1335 Год назад
Esta unaposema taasisi lazima iieshimiwe imekuaje Sasa mpo bungeni nawakati taasisi imewataka mtoke bungeni nanyinnyi hamtaki kutoka.
@monicamwita7865
@monicamwita7865 Год назад
Acha hiyo
@user-nn6zq1ok7i
@user-nn6zq1ok7i 9 месяцев назад
MNATAFUTA KURA MBONA. HAKUJIUZULU KABLA YA UCHAGUZI UNAOTAKA KUFANYIKA MNGELIKATAA KUTUSALITI NA MMSAINI. DPW
@MESHACKMAYENGA-qt4ip
@MESHACKMAYENGA-qt4ip Год назад
Esta nakukubali sana,ilanachóona hampewi nafasi nzuri ya kujenga hoja bungeni nakufuatilia sana wewe na Halima mdee mnapoanza kujenga hoja kunaibuka mambo ya taarifa,nikama mnapotezewapotezewa kinamnafumani hivi.Ila nachofurahi hamkasiriki Wala kususa.Mnajuamnachofanya.keep it up
@mchagagaspar6649
@mchagagaspar6649 Год назад
VIPI WAPEWE NAASI YAHOJA,NAWAO WALIWEKWA BUNGENI KWA KUWASAIDIA MA ccm MUULIZAJI UNASAHAU WALIPO INIKWA MKAA MWEUSI HADI KUJIFUNIKA SANDA ZAMAITI KULEEE ULE WAKATI WANAELEKEYA MAGEREEZA ???
@sharifaamrani654
@sharifaamrani654 Год назад
Msema kweli Ni mpenzi wa mungu ❤
@josephlorri431
@josephlorri431 Год назад
Bulaya uko vizuri..hivi jimbo lako liko wazi au kuna mtu anammiliki
@ResticiousMallya-bg5wd
@ResticiousMallya-bg5wd Год назад
Strong woman ❤
@khaalidcheo5383
@khaalidcheo5383 Год назад
Umekula umeshiba
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Год назад
EASTER BULAYA NI MWANAMKE SHUPAVU NA MWENYE MISIMAMO ASIYEYUMBISHWA , ANA FOCUS MBELE NA NDOTO YAKE IKITIMIA ATASHUHUDIA ULIMWENGU, AMETETEA WANAWAKE WANYONGE HATA BILA KUJITANGAZA MITANDAONI. MWANDISHI UNAMUULIZA MASWALI YENYE NGUVU YA KUMFAHAMU EASTER BULAYA NA MWANDISHI MWENZAKO PIA. BUG UP.
@bakarimmbaga2344
@bakarimmbaga2344 8 месяцев назад
Tupo wengi tu tunaowaunga mkono wanachama la wana insh allaah mtarudi
@haroldshangali1486
@haroldshangali1486 9 месяцев назад
Na wewe uko vizuri ila ingia kwenye siasa safi
@sharifaamrani654
@sharifaamrani654 Год назад
Sana Sana mama chendema juu
@OscarBethel
@OscarBethel 8 месяцев назад
1
@nurdinkisaria9476
@nurdinkisaria9476 Год назад
Sorridarity=Solidarity
@humphreyvidonyi253
@humphreyvidonyi253 Год назад
My favourite mtangazaji
@hashimuuhehwa1320
@hashimuuhehwa1320 8 месяцев назад
Dar 24 huyo sio Mbunge wa Chadema acha kutuletea mikosi wewe
@sharifaamrani654
@sharifaamrani654 Год назад
❤ na kuku Bali jembe
@maspro6294
@maspro6294 Год назад
Na muulize amesha acha kusagana Na Mdee visimi vyao
@halidnaamo6156
@halidnaamo6156 Год назад
Unaushahidi,na hata kama unaushahidi sisi Wtz hoja yako hiyo inatusaidia nini na faida yako nini?
@YekoniaKusiluka-jt2ju
@YekoniaKusiluka-jt2ju Год назад
Mwandishi acha unafiki hao sio wabunge wa chadema
@monicamwita7865
@monicamwita7865 Год назад
Unakuhusu nini. A heni atusaidie wanyonge
@fredrickbaltazar819
@fredrickbaltazar819 Год назад
Mzee baba lambart upo vzr kaka, una kitu utafika mbari 😂😂
@ngenzaprimaryschool9508
@ngenzaprimaryschool9508 Год назад
Dada bulaya songa mbele dadaa
@SeifuNassoro-po6rb
@SeifuNassoro-po6rb Год назад
Nyinyi wasaliti
@monicamwita7865
@monicamwita7865 Год назад
Wasaliyi lkn wanatutetea wanyonge
@thomaskabungo2211
@thomaskabungo2211 Год назад
Huyo ni ccm ndugai
@emmapaul1766
@emmapaul1766 Год назад
upuuz mtupu
@humphreyvidonyi253
@humphreyvidonyi253 Год назад
Bulaya nimempenda bure
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Год назад
ATAWEZAAAA, KUJIUZULU SI KAZI NINI?. 😅😅😅
@georgelukas1272
@georgelukas1272 Год назад
Huna jipya wwe kumbali imeisha hiyo
@user-ns2yo1fj9x
@user-ns2yo1fj9x Год назад
Atukutaki msaliti, umefata ahuahu
@simongwandu7392
@simongwandu7392 Год назад
Unawakilisha kwa chama gani ?
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 8 месяцев назад
Wabunge waccm wanafanya maigizo bungeni kwatuaminisha eti wanatupambania, huuniupumbavu zaidi yakiwango, kwanini hawataki katibampya yenyemisingirafiki naraia kwahiyo wasituchezee tunataka katibampya basi mengine yatajinyokea yenyewe,
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 Год назад
Hana shukurani huyo, leo angekuwa hana UBUNGE wa kupewa angekuwa kisha zimika, chadema ulisha fukuzwa
@monicamwita7865
@monicamwita7865 Год назад
Sawa,lkn anatutetea. Inajisikiaje?
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 8 месяцев назад
Wabunge wamaccm hawaminiki wanatabia yaubinafusi hawana akili yakufikilia maisha yavizazi vijavyo wakopale kwamasilahibinafusi hojazamaccm nizakishenzi wanafanyamaigizo tu , tubadrishe mfumo unaoajibisha kuanzia raisi hapondipo tutakuwa salama
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 8 месяцев назад
Wanatwaminisha wananchi kutusemea kwenye mfumo mbovu usiyoajibisha mafisadi wanchihii, maanayake wanafiki, kwanini wameshindwa kubadirisha katibahiimbovu hapo tutaona ukamilifu
@Bob-kz2ql
@Bob-kz2ql Год назад
Cku nyingin bc begi la mheshimiwa mliweke vzr aseee hapo hapo knamuhoji public figure tena MBUNGE haswa kitu pembn kuna mkoba wake kwel😂😂😂 too local
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 Год назад
Makamu was Rais asichukue nafasi ya Urais Rais anapofariki au jujiuzuru. Nafasi hiyo itangazwe uchaguzi ufanyike naye Makamu wa Rais agombee na Watu wengine .Faida ya Jambo hili ni kuepuka Makamu wa Rais kumhujumu Rais wake akijua kuwa akitoka,. yeye atakuwa Rais wa nchi.
@user-sz7jx1jd6h
@user-sz7jx1jd6h Год назад
Makamu wa rais Hana ubavu wa kumhujumu rais aliyepo madarakani kwanza ukumbuke makamu huaga mgombea mwenza wakati wa uchaguzi na huteuliwa na huyo rais mtarajiwa, pili huo ulinzi anaokua nao rais aliyemadarakani hakuna awezaye kumgusa ispokua MUNGU tuu na tatu utaratibu huo wa makamu kuchukua nafasi umewekwa kwa kuwa kifo kipo wakati wote na kuendesha uchaguzi ni jambo kubwa lenye gharama kubwa mno. Hakuna makamu anayeweza kumhujumu rais bila rais mwenyewe kujua na kuchukua hatua stahiki
@khaliduhadi2336
@khaliduhadi2336 Год назад
Watu wanadai hela zao zimekaliwa kwenye mifuko yao wahuni sana hawa jamaa
@benjaminyakobo7792
@benjaminyakobo7792 Год назад
Dada hogeleni saana wewe pamoja na mdee kazeni mioyo
@user-sz7jx1jd6h
@user-sz7jx1jd6h Год назад
Esta hebu tueleze ukweli sisi mashabiki wako hivi ilikuaje mpaka mkaapshwa kuwa wabunge waviti maalumu wakati chama chenu hakikuyatambua Wala kuyakubali matokeo ya uchaguzi mkuu na kwamba hakitapeleka wabunge wake kushiriki bunge la jamhuri ya muungano? Nini hasa kilitokea dada Esta?
@ladislausriwa7768
@ladislausriwa7768 Год назад
Lakini chama chao hicho kina mbunge wa Jimbo hakihojiwi kinapokea ruzuku ya matokeo ya uchaguzi huohuo na hakihojiwi ila hawa? It is not fair
@user-sz7jx1jd6h
@user-sz7jx1jd6h Год назад
@@ladislausriwa7768 Wacha swali lijibiwe usilete unafiki kwanza huna ushahidi wa hayo unayoyasema mwache esta anijibu swali langu!!!!!
Далее
Новый фонарик в iPhone с iOS 18
00:49
Просмотров 566 тыс.
PEDRO PEDRO INSIDEOUT
00:10
Просмотров 2,9 млн