Тёмный

CHADO MASTA atoboa siri kuhusu mahuasiano yake na NAJMA au KIDEM JAU 

NYUNDO TV
Подписаться 119 тыс.
Просмотров 47 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

23 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 217   
@Zakia-w2s
@Zakia-w2s 3 дня назад
Kila atakae soma hii comet mungu amfanyie wepes inxshallah
@FettyRashidy
@FettyRashidy 3 дня назад
Mm nikajuwa movi tuu kumbe ndo unavyo ongea daaaaaaaah nakupenda san chado mast❤❤k naww unampenda chado mast like hap ❤❤❤
@AnnahAlbert
@AnnahAlbert 3 дня назад
Love❤❤❤❤❤❤❤❤
@MaryKilawa
@MaryKilawa 3 дня назад
Chado uko sawa bana Niko kenyaa big up bro❤❤❤
@SalmaMpinda
@SalmaMpinda 2 дня назад
Chado ,,he is very bright,,anaongea kwa nidhamu kubwa saana ,nimependa namna alivyojibu kuhusu swali dhidi ya Nagwa,,
@ZenaMboya-c4l
@ZenaMboya-c4l 2 дня назад
Big up Sana mwanangu kitengo ila tutolee mbili mbili au kila siku ututolee ila kwenye swala muda lisaa 1: 30 hiyo mindo I like 😂😂😂😂
@aishaomar2287
@aishaomar2287 3 дня назад
Ila chado kutaja kenya hio ndio i like...alafu mi nakuelewa sana ujue🎉🎉🎉
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 2 дня назад
Namkubali sana mwamba kitengo unajuwa sana❤🎉
@FatumaOmari-q6z
@FatumaOmari-q6z 3 дня назад
Usisahau kumuweka ngwengwe kwenye kazi Yako nampenda sana
@LeylaSalumu-s2n
@LeylaSalumu-s2n 4 дня назад
Wa kwanza Mimi jamani naombeni LIKE zangu hapaa😅😅😅
@Maymuna-wc8lz
@Maymuna-wc8lz 3 дня назад
Mmmh Ushamuona Chado Tayar😂😂😂
@Mohamedbiria
@Mohamedbiria 2 дня назад
Chado master nikiwa kenya nakufatilia sn movie zako aise big up sn keep it up yani hiyo mission impossible ndio I like Sanaa....
@HuzaimaAmeir
@HuzaimaAmeir 3 дня назад
Kumbe wapenz kweli me nilisema n film tu hongera zenu🎉🎉
@TanashaDona-t1r
@TanashaDona-t1r День назад
Ndomanake nampenda muhuni wangu❤❤😂😂😂😂 wauni kwenye love hiyo ndo I like bana wauuiuuuuni ❤❤❤❤big love kwa chado bora nile dagaa lakini niwe na furaha
@Tinnah-u1g
@Tinnah-u1g 2 дня назад
Chado uko bomba xana umakini ndo kitu muhmu kwako xo ongera xana mungu yuko pamoja na ww
@fadhiligohalema9452
@fadhiligohalema9452 3 дня назад
Sema Nini chado ni master kweli
@mishimohamed5997
@mishimohamed5997 3 дня назад
Chado nakuombea upate tuzo tz,east Africa, international bt unkumbuke ukifaulu,Kwa dua zangu.inshallah.
@MaisaraMasoud
@MaisaraMasoud День назад
Chado master wajua ngwengwe yuko sawa ila watoto niwatoto tu wengine wanaiga kwenye movie wakiafanya uhalisia ndio inabidi tuwaelekeze kua munawafunza wao wajichunge yasiwapitie hayo Asante sana chado Allah akubarik
@lorettahamaro9065
@lorettahamaro9065 3 дня назад
This guy is very talented,nisimsahau dogo Ngwengwe😊 supporting Chado all the way from Kenya 🇰🇪
@hoodlandtanzania
@hoodlandtanzania 4 дня назад
DAAAAH LEO NIMECHELEWA BHANA NAINGIA NO 2 GONGA LIKE WANANGU TWENDE SAWA NA CHADO
@awadhinhohamisi
@awadhinhohamisi 3 дня назад
Chado unajuw sana kuigiz
@UstadhiRai
@UstadhiRai 3 дня назад
Maisha yasiyo na Allah. Ni problem kweli usiache ibada 🎉 hakika yeye ndiye mwenye kupokea toba
@saumbliz8983
@saumbliz8983 3 дня назад
Mie sauti yanimaliza😂😂😂😂
@Lissahford
@Lissahford 7 часов назад
Umalaya tuu kuoga aah😂😂😂natania
@mwalimusalanga
@mwalimusalanga 3 дня назад
Lahaula bonge 😂😂 😂 ila cheusi
@FloraKikoti-d1m
@FloraKikoti-d1m 3 дня назад
🤣🤣🤣🤣 kweli cheusi
@amimaawazi6643
@amimaawazi6643 3 дня назад
🤣🤣🤣🤣
@tinahminja2452
@tinahminja2452 3 дня назад
😂😂😂
@DedanTheuri
@DedanTheuri 3 дня назад
Lahaula😂
@PaulineKadzo-q7d
@PaulineKadzo-q7d 3 дня назад
😂😂😂😂😂😂
@DaudiMakame-j2f
@DaudiMakame-j2f 3 дня назад
Nawakubali Sana chado
@ShelidaRobert
@ShelidaRobert 3 дня назад
Nimekuw namb 1 nipen like jmn 🎉🎉
@AishHassan-p8l
@AishHassan-p8l 3 дня назад
Nakukubali Mzee baba uko vzr mmnooo❤❤kaza buti unatubitrudisha msalimie cheusi,kidem jau,bonge ,ngwengwe, bila kumsahau mamaa ngwee
@BaddyAhmad
@BaddyAhmad 3 дня назад
Kaka chado mm Ni mkenya lakin nko Poland kwa Sasa napenda sana kutizama kazi zako zote big up bro
@HalimaKazungu-b4g
@HalimaKazungu-b4g 3 дня назад
Mm napenda couple ya kidem jau na chado❤❤😂i like sna jmn
@LilianWanyonyi-v6d
@LilianWanyonyi-v6d 3 дня назад
Mwambie chado naomba kazi natoka Kenya ❤
@MwaishambaKipanga
@MwaishambaKipanga 3 дня назад
MUNGU abariki kazi ya mikono yako chAdo natamani sana kazi ya Sanaa na mm niwe msanii
@rizikikivumbi6499
@rizikikivumbi6499 День назад
Nakukubali sana chado napenda msemo wako.hiyo ndio I like 😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@TumainiJaphary
@TumainiJaphary 3 дня назад
Nampenda uyu mkaka mpaka naumwa Yan akichelewa kutoa episode naludia zile za nyuma😂😂😂😂😂😂😂 ilimlad nimwone tuuu😅😅😅😊
@NemaAli-zh6hr
@NemaAli-zh6hr 3 дня назад
Basi ww pacha wangu, mimi kila siku naludia movie zake
@ZainabuMrima
@ZainabuMrima 3 дня назад
😅😅😅😅😊
@RizikiZiki
@RizikiZiki 3 дня назад
😂😂😂munamambo nyiye poleni😂😂
@TumainiJaphary
@TumainiJaphary 3 дня назад
@@RizikiZiki 😁😁😁 ahsante
@Shakila-pq2gv
@Shakila-pq2gv 2 дня назад
Yaan wewe unaumwa kweli❤ mfate bobo
@SaleheMaulidi-nv9kw
@SaleheMaulidi-nv9kw 3 дня назад
Nimesha kwambia kaka unajuwa sana mm nimmojawa watu wana kufatilia sana towangoma zingine mm ntakupa lik na komenti zangu
@GuyesGalgallo
@GuyesGalgallo 3 дня назад
Ngwengwe is the best wote wako best wenye wako hiyo mission impossible wako 100% best
@SusanMuremi
@SusanMuremi 3 дня назад
Mazee hii filamu vile meme hitegea napenda sana hongera chado master
@stacyiak2023
@stacyiak2023 3 дня назад
Kuhoji chado ndo i like🎉🎉🎉🎉🎉
@RamlaMohamed-zp9fk
@RamlaMohamed-zp9fk 3 дня назад
We chadooooo unajua tena huna baya asikwambie m2 mana mpak mim nakuonea choyo❤❤❤
@MOKAJrtV
@MOKAJrtV 3 дня назад
Wanajua sanaaaa kaka nilipenda niwepo humo ndan semaa daaa one day yes❤❤❤❤❤
@RajabIssa-r8w
@RajabIssa-r8w 14 часов назад
Nakubali Sana kaka chado bless jealous🔙
@HlmS-y5l
@HlmS-y5l 3 дня назад
Chado umeonqea pointi ni kweli watu wanatumia jina lako wanatukwaza cna From Oman naitwa somoe
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
@NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 3 дня назад
Big up Chado masta ,unafanya vizuri
@RukiaManga-z1t
@RukiaManga-z1t 3 дня назад
Kuweka lisaa limoja iyo ndo I like 😊❤chado master
@fabricensengiyumva
@fabricensengiyumva 3 дня назад
Chado yani nakufatilia sna yani ningependa wey naki demu Cao muw wapenzi yani l like it
@MR_RAMSATZ
@MR_RAMSATZ 3 дня назад
Baga ameionogesha sana move jamaa anajua sio poa❤
@maryamantony-u8p
@maryamantony-u8p День назад
Kila akipita wakubwa wanamwita wadogo wanamwitaaa ........ Ekeei ........ Chado chado chado ..... Ekeei ...... Hhhhh gond like apo
@zulfayusra8747
@zulfayusra8747 3 дня назад
Movie za chado unaangalia hadi na watoto zinafunza..mubarikiwe chado family
@JosephMBIRIZE
@JosephMBIRIZE День назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤chado unajuwa kazi nangwengwepia
@SuleimanSalim-q9j
@SuleimanSalim-q9j 3 дня назад
Lahaula ila cheusi Noma xan kijana ngwengwe nakubali team nzima ya chado master
@MariamMZIMBA-zf5ev
@MariamMZIMBA-zf5ev 3 дня назад
Kifupi nakukubar sana Mungu azidi kukupa kibar ktk kazi yako
@SalumuMhomandembo
@SalumuMhomandembo 3 дня назад
Nakukubali sana chado 🎉unajua mpka unakeraaa
@MrAslan47
@MrAslan47 3 дня назад
oya ngwengwe ananinspire 🎉🎉🎉🎉
@VincentChangamu
@VincentChangamu День назад
Nampenda Sana chado masta kutoka Mombasa kenya
@BisharaMohd
@BisharaMohd 3 дня назад
Tunakupenda pia chado
@RadhiaYussuf
@RadhiaYussuf 2 дня назад
Unafanya kazi nzuri sana
@JentaGeorge
@JentaGeorge 2 дня назад
Congrats kwake Chado master
@Ester-vg2ev
@Ester-vg2ev 3 дня назад
Mimi nipo nyuma yako chado hadi kufa🥰🥰🥰
@AshuraMhamad
@AshuraMhamad 3 дня назад
Nakukubali san chado master
@saunanzige3329
@saunanzige3329 3 дня назад
tuta furahi sana ukituwekea li saa limoja uko vizuri sana kaka
@aineaelias8430
@aineaelias8430 3 дня назад
Aaaa we unamjua cheusi akiwa anataka kupeleka umbea
@Khatib-xp6fp
@Khatib-xp6fp 3 дня назад
Namkubali chado kwanza hana kupoa bandika bandua hii inaonesha ni ucreative mkubwa hongera
@TabbyAbby-e6d
@TabbyAbby-e6d 3 дня назад
Jaman weeee mkaka nimetokea kukupenda chado tena iyo sauti daaaaah
@DaudiMakame-j2f
@DaudiMakame-j2f 3 дня назад
😂😂😂😂😂Duh
@khamisabdallah8417
@khamisabdallah8417 3 дня назад
yani mm kiukweli hiyo movi naipenda sana
@JosephMBIRIZE
@JosephMBIRIZE День назад
nawapenda sana sanasana hendeleheni mungu atasaidia
@HawaAbdullah-r2w
@HawaAbdullah-r2w 3 дня назад
Naipenda san iyi sinema❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮
@webnet5652
@webnet5652 3 дня назад
Nc chado na Najma❤❤❤
@عائشه-ن2ق
@عائشه-ن2ق 2 дня назад
❤❤❤❤chado nataka kuacti na Wewe ila nipo kenya❤❤❤
@ClarenceGaudence
@ClarenceGaudence 2 дня назад
Hapo ndo nataka muda uuonhezwe jamani chado wetu. Movie ni fupi bado 41 fupi mbo vitendo vichache sana mkuu
@johnosoro6033
@johnosoro6033 3 дня назад
Chado Masta tunakutambua wewe tu basi wengine michongo
@MwanaidAlly-r1i
@MwanaidAlly-r1i 2 дня назад
Chado naomba kaz jamani
@NemaAli-zh6hr
@NemaAli-zh6hr 3 дня назад
Nimegundua chado anamponda sn nagwa
@AnnaJohn-o6l
@AnnaJohn-o6l 3 дня назад
Asa nagwa ananii misifa ming lkn hamfikii baga
@RizikiZiki
@RizikiZiki 3 дня назад
Ukovizuri chado🎉🎉🎉🎉🎉
@MwanavitaIssa
@MwanavitaIssa 3 дня назад
Chado na me natamn kuect n ww😂😂😂
@Lissahford
@Lissahford 7 часов назад
Hii nayo n maajabu😂😂😂
@ShavannyTitch-z1q
@ShavannyTitch-z1q 3 дня назад
Chado ww noma
@mwanamisi1808
@mwanamisi1808 3 дня назад
Najma
@Mtz-u2t
@Mtz-u2t 10 часов назад
Next kanumba🔥🔥🔥
@Fwarotim
@Fwarotim 3 дня назад
Hio ndio I like
@RadhiaYussuf
@RadhiaYussuf 2 дня назад
Nakupenda chado❤
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 3 дня назад
Baga anajuwa sn wala si uwongo
@LawrenceKiteme
@LawrenceKiteme 3 дня назад
254 tunakuwatch bro
@FsautomotiveGarage
@FsautomotiveGarage 3 дня назад
Nakubal chd
@TimeAly-z1l
@TimeAly-z1l 2 дня назад
tuko moja bac wang ❤❤
@mathayoMathias-k2d
@mathayoMathias-k2d 3 дня назад
Interview ya mzee wa misumal
@HajraMauld
@HajraMauld 3 дня назад
❤❤❤❤ ukweli kabisa chado ni mambo yanafanyika sana 🎉🎉🎉🎉🎉 big up kazi nzr sana
@EshaOmar-vp5uz
@EshaOmar-vp5uz 3 дня назад
Jabisa 🎉🎉🎉🎉
@NasraJuma-b4v
@NasraJuma-b4v 2 дня назад
Congole❤❤❤❤ chado🎉🎉
@KHatibuMlenge
@KHatibuMlenge 2 дня назад
Mwengin ni cheusi 🎉🎉😂
@Kelvincharoh
@Kelvincharoh 3 дня назад
Nakubali 🙏
@MwanaidAlly-r1i
@MwanaidAlly-r1i 2 дня назад
Jamani chado na mm naomba kaz
@SusanMuremi
@SusanMuremi 3 дня назад
From kenya hongera chado 🎉
@NaaJuma-o5u
@NaaJuma-o5u 3 дня назад
Tunakupenda pia ilaapo wavyo posti nikwer tunawaona
@dainty2
@dainty2 3 дня назад
Mm napenda sin mbili ya chado na kidem Chao na pia mama ngwengwe ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🤳🫂🫂
@Pendo-r6k
@Pendo-r6k 3 дня назад
Mtangazaj umepatia mm napenda sin ya yake na kidem jau very apitizer😅
@rumahiamustafa8476
@rumahiamustafa8476 3 дня назад
Kabisa kaka yani wanatukelera sana
@AnamerAnamerykatebaliwe
@AnamerAnamerykatebaliwe 3 дня назад
Naomb na mimi kuigiza maan naend sana ila sna direction yeyot pleas naomb union na mm
@PaulineKadzo-q7d
@PaulineKadzo-q7d 3 дня назад
Tunakupenda saana chado❤❤❤
@irenebenbella
@irenebenbella 3 дня назад
Chado master❤❤❤❤💪💪
@Ester-vg2ev
@Ester-vg2ev 3 дня назад
Muhuni akikupenda utajuta 😂😂😂
@nelsonmikera4582
@nelsonmikera4582 3 дня назад
Mwamna wangu nakukubali sana❤
@AnrietteMamy
@AnrietteMamy 3 дня назад
Chado nakupenda sana
@tommyelikana8737
@tommyelikana8737 3 дня назад
Mbn kama mabango haya kwa nagwa😂😂😂😂😂 ila umeongea vitu point,,,hakunaga tuzo ya masela nagwa aache kung'ang'ania usela😂😂😂😂😂
@HalimaAbdalla-ce7zj
@HalimaAbdalla-ce7zj 3 дня назад
Waooooo chado uyooooo jamani tunampenda sana
@MonaaOm
@MonaaOm 3 дня назад
Safi sana kaka chado 🎉🎉🎉🎉🎉
Далее
MISSION IMPOSSIBLE [43]
23:50
Просмотров 80 тыс.
ТАЙНА ТРАВЫ #shorts
00:22
Просмотров 862 тыс.
NALINDWA ZAIDI YA RAIS 🤑‼️ CHIEF GODLOVE
7:32
MISSION IMPOSSIBLE [1]
16:28
Просмотров 278 тыс.