Safari yetu ni Moja Sote Lazma tutaondoka Ndugu Zangu Tumrudie Muumba Leo Kaondoka Charming Kesho ni zamu Yangu 😢😥😭🙏🙏 Duniani tupo Kwa Muda tu Kila Kitu kipo kwa Allah Dunia sio Kitu Ndugu Zangu RIP 🕊️😢😭🙏 Charming Poleni Ndugu na Wazazi Mungu awatie Nguvu 😭😭
This young man had a very bright future wallahi,personally sikua namjua lakini jinsi amewacha pengo kwa vijana na wananchi wa tz kwa jumla,inauma, Mungu awatie nguvu aisee, 🇰🇪🇰🇪
It's so painfully and unbelievable 😣..but no way out death is a way that everyone will pass no how we can escape from this but all in all may you soul rest in peace charmy wetu🙏😭😭
Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi inshallah 🙏...ampe nguvu ,ujasiri na amani mama yake na ailinde familia yake😢😢..Allahumma amiin yaraby 🤲🤲🙏😭😭😭😭😭
Jamani yaaah Allah mjalie kakaetu maali pema peponi mjalie kitabu chake Kwa mkono wa kulia jamani yaaah Allah tujalie n sisi mwisho mwema yarabi pumzika Kwa amani kaka
Poleni san Tena san nimejikuta nalia san aise alikua kijan anaeangaik keajil ya kuikomboa famil yake alo tusikufuru bal 2 shukul mungu yeye anamapenzi zaid na viumbe wake