Usimdhihaki Mungu maana imeabdikwa usilitaje bure jina la Mungu maana Bwana hatawahesabia kuwa hana hatia mtu alitajae bure jina lake. Heshimu unapotumia jina la Mungu
😂😂😂😅😅😅 kweli hii ni #cheka #tu najuta kwa kuikosa hii show daah. Next time tuko pamoja #Mr #Coy #Mzungu. Naamin huko tunakoendelea mbele hawa "giant comedian" watakutafuta waje wafanye show kwako.🔥💥🔥💥🔥
Ushauri wangu msimzihaki Mungu kwa maneno yasio faaa kisa kuchekesha pia usione ni rahisi kufanya kisa watu wamefanya huwezi kusema YESU kama angekuwa mwanamke sijapenda hio ameharibu na kukosea sana weka limit ya maneno usiseme vilivyo vitakatifu kwa joke bali kwa hekma na adabu na kufunza watu.
@@mahijakapingu395 acha udini wewe. Wakristo sio wakorofi wa kijinga kama Waislam. Nyie akisemwa huyo wenu mnakuja juu kama manyumbu.... Pia inawezekana hajulikani ndo maana hawamtaji