Namkubali sana huyu Mwamba, Kuna Vigingi amefaulu kuvivuka baada ya Ushindi ilikuwa ni Ishu sana Kuikalia Nafasi yake ametumia akili sanaa chupuchupu apite kuleee ✍️ Hongera sana
Leonardo sikuoni Tz bali nakuona kimataifa ila tu ukizidi kujitambua,kupambana kumwomba Mungu nakutafuta fursa yakupenya nje ya mipaka yetu. Keep it up bro.👌👌👌
Vido ni mwanahabari mzuri sana, anajua kuuliza maswali na kutawala interview. Exclusive inayohostiwa na Millard pamoja vido ina mvuto wa kipekee sana Tuwape maua yao hawa watu jamani
Leonard ungekuwa ulaya kwa mazungumzo yako basi ungeshuka sana maana kitu Kizuri ni kuiweka familia yako vizuri sasa wewe umaarufu umeshakuchanganya hadi unazungumzia pacome na Gwede.
Sasa unampangia mtu na lazima ujue kwao kivipi hauwezi sema mm kwetu Morogoro hali ya kuwa umezaliwa Dar es Salaam na umekulia Dar es Salaam na huko Morogoro hujawahi fika...