Тёмный
No video :(

CHEKECHE | Mgogoro wa Iran na Israel utawaibua China na Urusi kukabiliana na Marerkani na Uingereza? 

UTV Tanzania
Подписаться 74 тыс.
Просмотров 39 тыс.
50% 1

Mgogoro mpya kati ya Iran na Israel umekuwa gumzo duniani kwenye siasa za kimataifa baada ya mataifa hayo kushambuliana na kutishiana huku kila upande ukionekana kuwa na nchi zinazowaounga mkono.
Je, hali ya sintofahamu kuhusu mgogoro huu na maneno ya uchokozi yatasababisha mataifa makubwa ya Urusi na China kujitokeza na kuchagua mrengo baada ya Marekani na Uingereza kuonesha wazi kuwa upande wa Israel?
Ungana na Raymond Nyamwihula ndani ya Chekeche akiwa na Ibrahim Rahbi na Abdulshakur Abood kuyatazama hayo kwa kina.

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 89   
@kassimbayuu
@kassimbayuu 4 месяца назад
Dj smaa yupo sahihi kabisa
@TheM1953
@TheM1953 4 месяца назад
Pppppp
@user-oj1zv8in7p
@user-oj1zv8in7p 4 месяца назад
kwanza salam nzangu mze abdu shakur abud tatizo lamze yeye ni mchambuz mzuri sana tatizo ana shabikia israei pia na america
@kassimbayuu
@kassimbayuu 4 месяца назад
Mpo vizur sana, hongerani sana, fantastic job
@Supershopdubai-ck8td
@Supershopdubai-ck8td 4 месяца назад
Utv tunawapenda wote🇧🇮💐 ilamnatukawiza. Chekeche tunaipanda asan jalibuatakilawiki🙏🙏🙏🙏 nikitumhimusan hatuwachoki wazewangu mbalikiwe san
@chancekambale3498
@chancekambale3498 4 месяца назад
abdushakur aboudi na Ibrahim rabi hawa niwa professional Kwenye uchambuzi
@user-fk2ij8gg7x
@user-fk2ij8gg7x 4 месяца назад
Kaka iblahim labi hongela Sana kwauchambuzi uko makini sani
@festokatapila8930
@festokatapila8930 4 месяца назад
Rabi nakukubali kabis kutoka moyoni pokea kongole kwa uchambuzi mzuri
@husseinkahanju2506
@husseinkahanju2506 4 месяца назад
Utv hiki kipindi ni kizuri watu tunapata kujua siasa za dunia zinavyokwenda.Fanyeni mpango kipindi kiwe hata mara mbili kwa wiki.Kazi nzur Ibrahim Ruby
@chidiomari.65
@chidiomari.65 4 месяца назад
Ndio naanza kuisikiliza, Nawatizama kutokea Helsinki Finland 💌 🇫🇮🇫🇮🤝
@zawadimpayo3839
@zawadimpayo3839 4 месяца назад
Vp jirani yenu Putin mzima
@brunoh_bx
@brunoh_bx 4 месяца назад
Uchambuz mzuri sana👏👏👏
@user-ku3om4bu8j
@user-ku3om4bu8j 4 месяца назад
watu wa Israeli ni watu wazuri sana inafaa waishi kwa amani middle east
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 4 месяца назад
Oooh alah jaaliacamani nchini yarabiiii
@NuhuHamisi
@NuhuHamisi 4 месяца назад
Huyu jamaa nimvhambuzi mmoja matata sana nakubali sana
@ManyaSumaili
@ManyaSumaili 3 месяца назад
Nawapenda sana rabi mimi niwako kweli
@mussachichajr
@mussachichajr 4 месяца назад
Rabby ❤❤❤
@kassimbayuu
@kassimbayuu 4 месяца назад
Ibrahim yupo vizuri snaa
@jumaamsuya5
@jumaamsuya5 4 месяца назад
Gd shukrani kwaelim mmarekani nimnafiki
@juliusnyerere5393
@juliusnyerere5393 4 месяца назад
Uko juu brother interview zako ni za kimataifa level za juu hakuna tofauti na DW or ABC or BBC. Or CNN. Uko kwenye level hizo. Tofauti za online TV nyingi za bongo. Head line inasomeka vyengine maongezi yao mengine Hayana mantiki. Hawana wachambuzi wazuri. Wapo wapo tu please wawekeeni semina. Muwasaidie. Angalau. Waweze. Kufanya vyema Shukrani
@ramamabinda5063
@ramamabinda5063 4 месяца назад
Nlivyomuona rabbi tu nmeamua kusikiliza hadi mwisho kwakua ndio mchambuzi pekee bora zaid azam tv
@jumaamsuya5
@jumaamsuya5 4 месяца назад
Upo sahihi ndg
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 4 месяца назад
Kuna mwengine Thabit mlangi jamaa ni balaa na nusu
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 4 месяца назад
Nilifikiri ni Mimi tu .. Rabi anajua anajua tena
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 4 месяца назад
Ibrahim rahab yupo vzr
@user-oj1zv8in7p
@user-oj1zv8in7p 4 месяца назад
Ila sio rahisi kumuelewa anapo egemea mimi nipo kigali
@masikitikomwakyonde1259
@masikitikomwakyonde1259 4 месяца назад
Nimewaelewa sana Nyetanyahu anakili mno very critical man(Gifted Person).
@danielmwandenga5369
@danielmwandenga5369 4 месяца назад
Na ndo kiongozi mwenye IQ kubwa kuliko wote dunian, pia sif yke nyngne anaweza andik barua (mandishi)kwa mikono yak yote n mwandik usijue kandik n mkono upi
@user-nv7jg6xc8l
@user-nv7jg6xc8l 4 месяца назад
Na mmesahau sifa kuu yao kubwa mayahudi ni kutokua na uwezo wa kupigana wao kama wao mpaka wawe na wasaidizi. Wasaidizi wakikosekana yani afadhali hata sisimizi 😂
@karimurashidi3095
@karimurashidi3095 4 месяца назад
🎉🎉🎉🎉 sana Ibrahim ❤❤❤
@ramadhaningulinga217
@ramadhaningulinga217 4 месяца назад
Ibrahim and Adushakulu ❤❤p🙏
@FilbertNjiwane.
@FilbertNjiwane. 4 месяца назад
Mko vizur wajomba endeleeni kutujusa mengi❤
@khalidbelhasa2137
@khalidbelhasa2137 4 месяца назад
Let them fighting each other. Tunahitaji vita ya 3 ya Dunia
@khamishaji6689
@khamishaji6689 4 месяца назад
Itahusisha hata africa not only middle east
@user-fk2ij8gg7x
@user-fk2ij8gg7x 2 месяца назад
Haki kajilu nipo kbh pwani nawatiria matangazo yenu asnte Sana iblahimu labi
@nassibdoma5408
@nassibdoma5408 4 месяца назад
Nakupata nikiwa dar tz ila mm naiombea Irani urusi na china ziungane kuwapiga mashoga
@amosmangura
@amosmangura 12 дней назад
Hakuna Vita ya dunia
@mbogosimba5042
@mbogosimba5042 4 месяца назад
Mungu atunusuru
@RamadhanpMwakilasa-di5hc
@RamadhanpMwakilasa-di5hc 4 месяца назад
Tumesubili sana hii Sasa twende kaz❤❤
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 3 месяца назад
Wapigane ashindwe mmoja tupumuzike na vita hizi
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 4 месяца назад
👍👊✌️.
@yahsavechassala1037
@yahsavechassala1037 4 месяца назад
BINAFSI EBRAHIM RAHBI HUWA NINA KUKUBALI UCHUMBUZI WAKO HUWA NI WAKINA NA WAKUTAALAM KABISA
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 4 месяца назад
Fu linatokea limtu uko linekaza fuvu lina'anza kumfanisha na Dj sma ..
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 4 месяца назад
Nikweli kabisa hii ni uonevu wa nchi za magharibi kwa Irani lakini watu wate ambao wanapenda ushoga kama vile Marekani Uingereza Ufaransa Israel Ujerumani Australia wate hao ni mashoga wakweli ndiyo sababu wanalazimisha nchi nyingine ziwe mashoga kama wao na vita juu
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 4 месяца назад
We unaishi Dunia ipi?? We unazungumzia ushoga kwa wazungu kwani afrika hakuna ushoga !! Wewe unaijua vizuri mikoa iliyopo pwani za nchi? Au visiwani? Je unajua sodoma na gomora ilikua ni uarabuni ?? Leo wangapi Wana lawiti wake zao ? Wanaume wangapi Wana lawiti mabinti na wanaume wenzao ?
@deusisindwa616
@deusisindwa616 4 месяца назад
Israel na washilika wake wanapaswa kipigwa Ili waweze kuishi Kwa kuheshimu mataifa mengine,,wasijione wao ndo wanahaki ya kuishi nakuwapakingia wengine Cha kufanya
@NuhuHamisi
@NuhuHamisi 4 месяца назад
Huyo mchambuzi wa voa hajanyooka kunanamna anaegemea maghalibi
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 4 месяца назад
Unanyookaje sasa angali wewe ni muandamizi sauti ya America .. 😂😂
@aishambarouk4607
@aishambarouk4607 4 месяца назад
Jela nyetanyau haendi ila kaburini ataenda
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 3 месяца назад
Tumewachoka nyie watu wa mashariki ya mbali vita ni kwenu tu kila siku na huko urusi .uwaneni wenyewe huko huko .
@user-oj1zv8in7p
@user-oj1zv8in7p 4 месяца назад
Mimi hua niko mpenzi wawa chambuzi wengi kbs katika chambuzi zangu mimi namuona kidogo mze abudi ni mpenzi kidogo
@shaabanyusufu2997
@shaabanyusufu2997 4 месяца назад
Izrail ni mbabe kwa msaada wa marekani na nato, Lakini ipo siku Hakuna jambo lisilokua na mwisho
@abdulhakimjuma9112
@abdulhakimjuma9112 4 месяца назад
Tatizo la haya yote ni sababu umoja wa mataifa haufanyi haki kwenye mamaazi yote
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 4 месяца назад
Rahbi unajua mpaka unawachoresha wachambuzi uchwara ..
@kibambiibrahim5714
@kibambiibrahim5714 4 месяца назад
Taarifa Za uhakika Israeli haijashambulia irani wamekataa Kwanini mnachochea mgogoro? Tunawashangaa
@user-nk4oq4ek9y
@user-nk4oq4ek9y 4 месяца назад
Na mbona wawe maadui ni juu ya nn lkn
@salehkhalfan7345
@salehkhalfan7345 4 месяца назад
Iran ndo nchi pekee Mashariki ya Kati yenye Technologia ya hali ya Juu na ambayo haijawah kua Kibaraka wa Nch za Magharib Jambo hili Izrael/Wazungu hawatak hata kuliskia
@Lx-fd1tp
@Lx-fd1tp 4 месяца назад
umeludi
@senikomanya7223
@senikomanya7223 4 месяца назад
Afu kwenye Natto mwenyenguvu ni marekan tu lkn wengine wote nifata upepo
@edwinakech6947
@edwinakech6947 4 месяца назад
Unawafahamu waingereza vizuri?
@michaelkavavila7371
@michaelkavavila7371 4 месяца назад
18:02
@Hassan.Nassoro
@Hassan.Nassoro 4 месяца назад
Thabit yupo wapi
@Neema-qm9kk
@Neema-qm9kk 4 месяца назад
Vita ya tatu ya dunia.
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 4 месяца назад
Vita ikianza nistue .. nimekaa uku nyuma
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 4 месяца назад
Ninyi ongeeni tuu bila kujua ,israel lazima alinde heshima yake ,ile ni nchi inayoongozwa kwa Torat kama vile waarabu wanavoongozwa na quran ,ni kosa kubwa sana israel kuwaacha maadui zake waendelee kumtoboa macho na asipofanya hivyo atakua anamkosea Mungu wake ,kama vile waarabu na imani yao juu ya israel chochote watakachofanya waarabu hata kuiangamiza israel waislamu na waarabu itakua ni furaha kubwa kwao, israel hawezi kumuasi Mungu wao ili awafurahishe waarabu ,na waarabu hawako tayari kumuasi mohamad aliesema adui wa uislamu ni israel na wakristo,nani ainue mikono juu awe ameshindwa???
@user-rt7jh8no8p
@user-rt7jh8no8p 3 месяца назад
Kwani Torati Kwenye Qur'an Haipo ? Halafu Jengine Torati Hailekezi Ushoga Saşa Wewe Unazu gumza Torati gani inayotumika Na Israel Mana Mashoga Na Ushoga Unafanyika Kwa Tel-Aviv
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 3 месяца назад
@@user-rt7jh8no8p we unafikiri ushoga kati ya Israel na waarabu ni nani zaidi ,??? Ukumbuke sodoma na gomora ilikua ni uarabuni hata Mungu akaiangamiza ,nikuulize kwani mikoa ya pwani yote na mikoa ilitawaliwa na mwarabu Mfn mombasa nk ni utamaduni Gani unatawala hapo kuanzia dini ,ustaarabu nk mbona ushoga umekithiri ? Au nao ni wayahudi ? kwenye Quran hakuna Torati ,Wala injili Wala zaburi na kama ipo ni wapi tupasome ??
@zawadimpayo3839
@zawadimpayo3839 4 месяца назад
Wachambuzi wazuri sana nyie
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m 4 месяца назад
Hawa wa israel wana akili sana
@AbdallahSalim-is3db
@AbdallahSalim-is3db 4 месяца назад
Abdull shaqru wewe umejuaje kua Israel ina silaha kali zaidi ?
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 4 месяца назад
Acha kuuliza maswali mepesi kwa muandamizi wa sauti ya America .. 😂 hao ndo media regulator sasa walioamua kuishi ivo
@user-ev3pw5me1w
@user-ev3pw5me1w 4 месяца назад
Hilo ndio tatizo leno kusrma Israel wako nasila nzito wakati wanasaidiwa na marekani na wengereza wakati Palestine miezi sita kazi kuuwa wanawake na watoto alafu wajinga wanasema Israel wako na silaha nzito
@yasinchatoa9481
@yasinchatoa9481 4 месяца назад
P P
@zawadimpayo3839
@zawadimpayo3839 4 месяца назад
Ongezeni mda
@hamisramadhan-eb3ie
@hamisramadhan-eb3ie 4 месяца назад
Wasenge nyie
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m 4 месяца назад
Iran n mchumba sana kwa israel na sio iran peke yake bali nchi zote za waarabu
@danstanirubazibwa2494
@danstanirubazibwa2494 4 месяца назад
We unajua nn kuhusu irani??
@danstanirubazibwa2494
@danstanirubazibwa2494 4 месяца назад
We unajua nn kuhusu irani??
@mountaincoffee7
@mountaincoffee7 4 месяца назад
Vita havina mshindi sikuzote lazima watakaa mezani
@user-it7ih1it3m
@user-it7ih1it3m 4 месяца назад
@@mountaincoffee7 toka taifa la israel liundwe halajawahi kupigwa bali huwa linapiga nchi za kiarabu tena huwa wanapigwa wote kwa mkupuo
@festokatapila8930
@festokatapila8930 4 месяца назад
Rabi nakukubali kabis kutoka moyoni pokea kongole kwa uchambuzi mzuri
Далее
СЕРЕГА ПИРАТ - TEAM SPIRIT
02:37
Просмотров 313 тыс.
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Просмотров 21 млн