Тёмный

Prof. Kabudi Awapa Somo la Katiba juu ya Jina la Tume Huru ya Uchaguzi 

WAKILI TV
Подписаться 30 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

#ijuesheria #democracy #election
Amesema hayo Prof. Palamagamba Kabudi kwenye Mkutano wa Kitaifa kutafakari na kujenga uelewa wa pamoja juu ya sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa wa Mwaka 2024 na uchaguzi mkuu wa Mwaka 2025 ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania tarehe 9 Mei 2024.

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 37   
@AdelithaMkulu
@AdelithaMkulu 4 месяца назад
Sawa
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 5 месяцев назад
Professor mzima anadanganya watu na akili zao! Sheria haiwezi kukinzana na katiba. Inatakiwa katiba ndiyo itamke Tume huru ya Uchaguzi
@OliveryHagite
@OliveryHagite 5 месяцев назад
Mzee kabudi unasemaje kuhusu hitaji la katiba ya Tanganyika ili kupata serikali ya Tanganyika ?
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 5 месяцев назад
Mahalama za Tanganyika hazitendi HAKI hazifuati SHERIA.
@BozaDizamile-u1d
@BozaDizamile-u1d 5 месяцев назад
Kabudi Msomi Ulieokotwa Jalalani Ulisema Mwenyewe Wee Msomi Kabudi Wambie Ccm Watangannyika Wanataka Katiba Mpya Ccm Wamebadilisha Jina Tu
@JamesAbel-ig8wb
@JamesAbel-ig8wb 5 месяцев назад
Eleza habari uhitaji wa Tanganyika yetu
@justicebridge
@justicebridge 5 месяцев назад
Kutakuwa na tume na kutakuwa na tume huru is two different things bro
@karushakamusa5525
@karushakamusa5525 5 месяцев назад
Hakuna kitu hapo mkuu.
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 5 месяцев назад
Zinapokea maagizo kutoka juu.
@justicebridge
@justicebridge 5 месяцев назад
Mwanasheria nguri huko sawa lakini shida yako uwa unaongea historia maamuzi mengi yana influence ya watawala
@gilbertfuria5817
@gilbertfuria5817 5 месяцев назад
Shida ndo hiyo
@justicebridge
@justicebridge 5 месяцев назад
Hapo umekosea linavunja na inaleta contradiction mzee katiba inadema tume ya uchaguzi halafu sheria inasemavtume huru is two different things
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 5 месяцев назад
Watanganyika hakuna kusikiliza yoyote yule hadi mupate serikali yenu iwatetee Watanganyika
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips 5 месяцев назад
Porojo huyu mzee ni mfia njaaa
@robertphilip385
@robertphilip385 5 месяцев назад
Tena tapeli la kufa mtu
@karushakamusa5525
@karushakamusa5525 5 месяцев назад
Harmonization siyo kwenye sheria na katiba ni vifungu vya katiba na katiba
@robertphilip385
@robertphilip385 5 месяцев назад
Huyu tapeli mnamsikiliza ya nini? Jamani huyu jamaa mwongo sana anajali tumbo lake tu
@fredrickmwakalinga6390
@fredrickmwakalinga6390 5 месяцев назад
Mahakama gani ya nini Rostam alishasema acha kudangaya na kupoteza muda tu misemo mingi haina maana ni ujinga mitupu na ujinga
@justicebridge
@justicebridge 5 месяцев назад
Sasa nyinyi hamna mambo ya kueshimisha ccm mumevunja mira zetu hata hizo za ovyo
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 5 месяцев назад
👍👊✌️.
@jangalaalexbubehi7658
@jangalaalexbubehi7658 5 месяцев назад
Cjui hata anaongea kuhusu nini 🤣🤣
@KassimLukanza-wp6xn
@KassimLukanza-wp6xn 4 месяца назад
Kwasabab hujui sheria
@richardrugemalira6934
@richardrugemalira6934 5 месяцев назад
Commentary must come from an impartial court of law. There are concerns about the liberty of our courts because all judiciary officials are censored and unilaterally appointed by President including the Chief Justice.
@EmanueliWildausoni
@EmanueliWildausoni 5 месяцев назад
Mzee acha kututajia misamiati migum lisaidieni hili taifa hili kwenye mambo ya msingi
@hajihassan5433
@hajihassan5433 5 месяцев назад
Katiba ya Tanzania ni nzuri sana kiasi kwamba HATUNA namna kupata Katiba bora tatizo lililopo ni kukisekana UADILIFU na UAMINIFU, na yakikosekana hayo hata Katiba Mpya tunayosema tunaitaka haitasaidia. Nakubaliana na Rais itolewe elimu kwanza kuna tatizo kubwa la USHABIKI na ukosefu mkubwa wa UELEWA.
@estonsaimon6671
@estonsaimon6671 5 месяцев назад
Uadilifu na uaminifu unaletwa na ushabiki wa vyama hasa tawala coz hawaangalii ina-effect vp wananchi ktk Kila kitu wanachoamua
@stevenghambi3471
@stevenghambi3471 5 месяцев назад
Mshenzitu
@piusrweyemamu3900
@piusrweyemamu3900 5 месяцев назад
Huyu mzee kawaje????
@ogweyoranga8110
@ogweyoranga8110 5 месяцев назад
Mbona hutoi mfano wa KATIBA YA UINGEREZA ambayo Waingereza wanaifuata badala yake unatoa mfano wa kuzikana
@ladislausriwa7768
@ladislausriwa7768 5 месяцев назад
Katiba ya Uingereza ulishaiona Wewe? Ina kurasa ngapi bro? Unajua maana ya written ( iliyoandikwa) na unwritten ( isiyoandikwa). Kwa taarifa yako hakuna mahali katiba ya Uingereza imeandikwa
@justicebridge
@justicebridge 5 месяцев назад
Kabudi hukisema george na mwingine goji je ni watu sawa
@OliveryHagite
@OliveryHagite 5 месяцев назад
Mzee Kabudi nafikiri wewe ni Mtanganyika , nafikiri unashuhudia jinsi raslimali ya Tanganyika inavyoibiwa , suluhisho ni Kupata katiba ya Tanganyika na hatimaye serikali yake kama ilivyo Zanzibar, ndiyo tuje kwenye katiba ya Muungano.
@EmanueliWildausoni
@EmanueliWildausoni 5 месяцев назад
Shida ya hii nchi wasomi wote wamewekwa kwenye chungu kinachoitwa ccm kwa hiyo taalum zao hazilisaidii taifa taaluma zao niza kuitetea ccm kwann rasim ya jaji warioba mliificha mliona ni kaa la moto mevaa sut kama watuuuu mnalidanganya taifa sababu ya kuitetea ccm kwa ajil yakutaka vyeo
@kyaro5945
@kyaro5945 5 месяцев назад
Tanzania hakuna mungu. kunao mashetani wanasiasa
@happyjeremiahmhuli4043
@happyjeremiahmhuli4043 5 месяцев назад
Baba kabudi mbona hizo mahakama haziwabani mafisadi, tunawao na wanavinjari tu .Raslimali zinatoweshwa.
@kyaro5945
@kyaro5945 5 месяцев назад
Ccm ypu are blunterntly wrong
Далее
Слушали бы такое на повторе?
01:00
Wildest 10 SECONDS OF HIS LIFE 🤯 @TomIsted
00:14
Просмотров 1,1 млн
Prof Kabudi awarudisha wabunge shuleni kwa muda
25:42
Просмотров 302 тыс.
Слушали бы такое на повторе?
01:00