Тёмный

CHIDI BENZI LIVE MJENGONI ATAJA SABABU ZA KUISHI ARUSHA WASANII HAWANI SUPOTI RASHIDI ANAJUTIA 😥😥 

Mega Fm Arusha
Подписаться 9 тыс.
Просмотров 24 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 77   
@khalidsalum1740
@khalidsalum1740 8 месяцев назад
Masha-allah Masha-allah kwa hakika kumuelewa huyu jamaa unahitajia kuwa muelewa ni kweli wengi wanatakiwa wabadirika kimitazamo uyu jamaa ukimuelewa weye muelewaaaa
@tystanjeepsy4769
@tystanjeepsy4769 7 месяцев назад
Kenya we love Chid 🇰🇪🇰🇪❤❤
@TALLUBOY
@TALLUBOY 8 месяцев назад
#Brother chid benzi hakili Yake Nyingi sana hapa Kama amujamuelewa amezungumzia nafsi mwili Na roho hivi vitu vipo tofaut Sana nandiyo maana chid Ameongea ivyo
@bonifaceferdinand566
@bonifaceferdinand566 8 месяцев назад
Chid benz anaakili Sana,sema vichwa vya panzi hawezi kumuelewa,kweli shetani aonei mtu asiekuwa na kitu
@xaverisunday699
@xaverisunday699 8 месяцев назад
#aboi_4rm_makambako dj hazuu kitambo sana kumbe upo huku dahaa nakukubali sana bro toka radio five
@Ali.salimu
@Ali.salimu 8 месяцев назад
Rashidi. Hamjui. Chid. Benz. Nimechekaa. Saana. Nependa. Midia. Za. Chidi. Saaana.
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 8 месяцев назад
mtangazaji punguza kiherehere al right al right nyingiiii😂😂😂😂
@SmilingFuchsiaFlower-jl7dg
@SmilingFuchsiaFlower-jl7dg 8 месяцев назад
Bonge la interview kwa mwaka huu 2024 big up my brother chichichichi hip hop embarrassed 4 ev
@pitbullfamily4499
@pitbullfamily4499 8 месяцев назад
😈💯🙌🏾Real talk Chidi Benz
@EmmanuelLekasango-rt1qx
@EmmanuelLekasango-rt1qx 8 месяцев назад
Hahahahahahaha rashidi amjui chid benz
@victorterry227
@victorterry227 8 месяцев назад
Chidi mwache awe Chidi tu iki ni Chumaaaaa chaukweli sana one love for him
@md.madanganya
@md.madanganya 8 месяцев назад
Mahojiano mazuri sana, kuna some kubwa hapa.
@PulsarLumia
@PulsarLumia 8 месяцев назад
Huyu jamaa kumbe ni Kanye West wa Swahili nation balaa hii Chid Benz big brand hata Kanye anaongelewa na hatoi nyimbo tofauti ni mfuko tu ila respect Chidi kiukweli nikimuona Kaka Chidi namuona Kanye mtupu
@kwisa4899
@kwisa4899 8 месяцев назад
kanye atoi nyimbo Bro a u serious ?
@PulsarLumia
@PulsarLumia 8 месяцев назад
@@kwisa4899 we mwisho uliona lini ngoma yake
@PulsarLumia
@PulsarLumia 8 месяцев назад
@@kwisa4899 Alafu muwe ukielewa Kuna Kiki za mara kwa mara wasanii wanazo toa na ngoma zamara kwa mara Kanye tunae mjua ni wa ma Album sema skuizi yuko busy Kiki aliacha ila Chidi Kiki zime zidi wanamuongelea sana bilaa hata kutoa ngoma ndio ninacho kumaanisha kidogo Diamond hatakama ana Kiki yeye hutoa msururu wa magoma ila wengine dah! Kama ya Nyimbo ya Nandy
@khamishumba6511
@khamishumba6511 8 месяцев назад
Brother chid you are good
@francismacha1693
@francismacha1693 8 месяцев назад
Uko sawa babaake nyimbo za sasa hazina maadili thanks for a very good advice
@mussamunna8477
@mussamunna8477 8 месяцев назад
Wee sio moyo wangu me sajawh kat tamaa
@uwezokinahi7870
@uwezokinahi7870 8 месяцев назад
😂😂
@mussamunna8477
@mussamunna8477 8 месяцев назад
@@uwezokinahi7870 jama huw anaua san kweny interv zake
@josephkusoya6074
@josephkusoya6074 8 месяцев назад
Chid yuko vizuri sana na mkubali
@MkilemaPantaleo
@MkilemaPantaleo 8 месяцев назад
Ibane bane nimeelewa naamini mnatakiwa muelewe watoto wao wa kesho nini kitatokea wallahi mwamba anaongea point
@NasiruHuseein
@NasiruHuseein 8 месяцев назад
Kama kweli namna anavyo saund jaivah asaiv namwanzo kwenye minyama tu ukiisikiliza utamuelewa chid
@AhmedAdan-q9l
@AhmedAdan-q9l 8 месяцев назад
Achee maneno mwambiye twataka ngoma
@fredrickkimaro1969
@fredrickkimaro1969 8 месяцев назад
Benzino Genious sana broo 🦍💯
@Ali.salimu
@Ali.salimu 8 месяцев назад
Chid. Benz. Kumhoji. Ujipangee
@tigejuma9865
@tigejuma9865 8 месяцев назад
Eti Aya nenda kwa producer Yule fulani kapige jiwe...Yani chid nmecheka xna 😅😅😅
@GONGALIFESTYLE
@GONGALIFESTYLE 7 месяцев назад
Madawa mabaya sana
@zaidiissa3714
@zaidiissa3714 8 месяцев назад
Hapo kwa Huyo Anaejiita Nabii mkuu Umeongea Vizuri sana Maavitu Anavyo Vifanya Vipo Nnje kabisa na mafundisho ya Mabiikasaa ilakilamtu atahukumiwa kutokana na Matendoyake
@frankkajoba8372
@frankkajoba8372 8 месяцев назад
Huyu jamaa unatakiwa uwe na akili sana kumuelewa.
@EmmanuelLekasango-rt1qx
@EmmanuelLekasango-rt1qx 8 месяцев назад
Safiiii chid wenimwamba
@indiaboytz5731
@indiaboytz5731 8 месяцев назад
Chini Benzi ilala
@PeterMalima-fc4tf
@PeterMalima-fc4tf 8 месяцев назад
Akili kubwa na ndogo zimekutana ni mtiti 😂😂
@fadhilshafi2947
@fadhilshafi2947 8 месяцев назад
I see Lil Wayne here bro.....
@SayeedSalim-c4j
@SayeedSalim-c4j 8 месяцев назад
Powerful 💪
@fidahusseinkassim9778
@fidahusseinkassim9778 8 месяцев назад
Fido mnamhoji lini
@rayamohammed339
@rayamohammed339 8 месяцев назад
Chidi yupo sawa na anasema ukweli
@D.Hilali
@D.Hilali 8 месяцев назад
Chid interview zake kama Mareham Tupac hamna tofaut
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 8 месяцев назад
😂😂😂 kweli madawa ndo maana yapigwa marufuku
@Gwenoboy
@Gwenoboy 8 месяцев назад
Chid ana akilimingisana
@MTOTOWAvitoto
@MTOTOWAvitoto 7 месяцев назад
Watoto wametuliza akili baada ya chid kuwakazia katika maelezo yake kweli gari uliendeshavyo ndivyo liendavyo
@khamishumba6511
@khamishumba6511 8 месяцев назад
Saivi tunataka Ngoma kali
@rahimmarions5712
@rahimmarions5712 7 месяцев назад
Uwe na akili ya ziada sana kumuelewa huyu jamaa..kuna bonge la kiwanda katika kichwa chake!!..
@VisualsByEnokaOti
@VisualsByEnokaOti 8 месяцев назад
Mtangazaji anahitajika kuwa patient na mgeni wake, usikatize tunachohitaji kuelewa ndugu
@maufijose2294
@maufijose2294 8 месяцев назад
Hivi Watangazaj Wengi Wamekosa Uniqueness ya Kutangaza? Sio Mbaya kuiga presentation ya Watu waliotutangulia Ila Ndo tunaiga Kila Kitu? Unakuzaje career Yako ya utangazaji? Maana Hapo namsikia Lil Ommy!
@mdachiog5211
@mdachiog5211 8 месяцев назад
Aache vilevi vyote
@Dj2nyi
@Dj2nyi 8 месяцев назад
Aache kulalamika
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 8 месяцев назад
Wapi kalalamika😂😂 uwe unasikiliza kujifunza na sio kuskiliza kutafta cha kusema😢
@Dj2nyi
@Dj2nyi 8 месяцев назад
Sasa ana hajagani kumzingumzia jahva kwa ubaya huyu fucken ​@@gilliardgodfriend5745
@jakyjacqueline9198
@jakyjacqueline9198 8 месяцев назад
​@@gilliardgodfriend5745😂
@ismailmshana2828
@ismailmshana2828 8 месяцев назад
Arusha amefata visado vya bangi
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 8 месяцев назад
Leo Nimegundua huyu Jamaa Kuna muda anaongea sense, ila Kuna muda ni Matope Matupu Wallah😂😂😂😂
@makachamusic
@makachamusic 8 месяцев назад
Kakinukisha mwishoni
@AhmedAdan-q9l
@AhmedAdan-q9l 8 месяцев назад
Halo huyo anazungumza sana mfukuzeni hapo studio
@SamuelKing-d1p
@SamuelKing-d1p 8 месяцев назад
Hawa watangazaji uwezo wao wa kusikiliza na uelewa ni mdogo sana, wamefocus na wao kuliko yeye
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 7 месяцев назад
Disrespection😮
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 8 месяцев назад
Jamaa kapita na boda boda AKIENDA huko Mega Fm😅😅😅
@digital-d2t
@digital-d2t 8 месяцев назад
Kwahyo unataka kusema nn au kupanda bodaboda ajabu
@ommylax7231
@ommylax7231 8 месяцев назад
Sema umefurahi kumuona chid beenz leo basi, maana maisha ya cheed yapo wazi na yeye yupo real wala afeki kwaiyo twamjua
@svt3
@svt3 8 месяцев назад
​@@ommylax7231kufeki kila mara nako inahitaji pesa ya ku hakikisha unavyo
@MasoudYahya-dy2wy
@MasoudYahya-dy2wy 7 месяцев назад
Ndo ushubwada huu ndio kapanda boda sasa
@joesimba
@joesimba 8 месяцев назад
20:40 24:06 25:03 25:59 30:21
@kmotivation1130
@kmotivation1130 8 месяцев назад
Majomba kama Hawa elewi
@Gwenoboy
@Gwenoboy 8 месяцев назад
Uku chuga amnakwere
@bonphacearon2428
@bonphacearon2428 8 месяцев назад
Chid hatak all right all right 😂😂😂😂dj azu vp ase all right all right nn bhnaa muache chid amiminike
@AhmedAdan-q9l
@AhmedAdan-q9l 8 месяцев назад
Huyu hajui jamaa kujibu maswali anafeli
@RsPhotography-c1x
@RsPhotography-c1x 8 месяцев назад
Mtangazi jifunze kumuacha mtu ajieleze kwanza ndo uulize au uchangie hoja sio unamu interupt mtu unazingua man
@PeterMalima-fc4tf
@PeterMalima-fc4tf 8 месяцев назад
Mtangazaji ni mjinga alright za nini kila muda,chid kageuka mtangazaji😂 kuwahoji chid na tid unatakiwa kuwa na akili
@gudayakutemile577
@gudayakutemile577 8 месяцев назад
Noma😂
@OCHUMASIHI
@OCHUMASIHI 8 месяцев назад
Akihojiwaga anaongeaga pumba lla mpe bt ss nina kbs
@yrwa313
@yrwa313 8 месяцев назад
Kumhoji child inataka hakili NYINGI sana
@homesgraphics2583
@homesgraphics2583 8 месяцев назад
King kong😂
@joeljenge5714
@joeljenge5714 8 месяцев назад
Weeeeh zombie
@uwezokinahi7870
@uwezokinahi7870 8 месяцев назад
This dude has his own idiology (Philosophy)
@joeljenge5714
@joeljenge5714 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂
Далее
Dakika 10 Za Maangamizi  : Chid Benz | Planet Bongo
11:24