Hongera kwa waingizaji wote,Loveness u nailed it,a good lesson learned that treat anyone with kindness u don't know what tomorrow holds, Kenyans let's gather here ❤❤❤
Alie na macho ambiwi tazama nimejifunza yakutosha Kwa love wewe mama shimo ulijimba mwenyewe tumbukia polepole we mtoto mjinga ka mamake uwancye wapi ondoka aondoke saihi
Yaani huyu mwanasheria alitakiwa kuwa mwanasheria Mkuu yaani yule wa kweli kweli mwanasheria pamoja na love na baba mdogo mnajua mpaka mnajua tena na tena asante sana donta TV