Тёмный

DADA WA KAZI 💞 Love story | DONTA TV 

Donta Plus
Подписаться 65 тыс.
Просмотров 532 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

28 мар 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 461   
@user-wp2fr3si8v
@user-wp2fr3si8v 3 месяца назад
Lovely unanifulahisha kwel ndg yang unavyo mlalamikia dada ako
@user-rt8to2jl8d
@user-rt8to2jl8d 2 месяца назад
Loveness wajina wangu, nakupenda sana unafanya reality ya jina mpaka kwenye movie❤❤❤
@user-hs9qu8gm8b
@user-hs9qu8gm8b 3 месяца назад
kelvin na watu wako na waoenda xna kwa KAZI nzuri from kenya
@JerrysonMahumbi
@JerrysonMahumbi 3 месяца назад
Kuwen na mpangilio wa Kaz co Kila cku mnatoa mpya bila kumaliz iliyopta
@LucyLucy-me5ge
@LucyLucy-me5ge 3 месяца назад
Lakini hamtendi Hali kutumyima ile mchezo wetu pendwa WA kesho yanguu
@user-cy2kb4xf1y
@user-cy2kb4xf1y 3 месяца назад
uko makini kaka me nakukbar sana mjombaa enderea kufanya kaz nzr san
@jaromeedward781
@jaromeedward781 3 месяца назад
Kweli kaka zangu dada zangu muna chapa KAZI vizuli sana mungu awabaliki muzidi kushikamana maishaalefu kwenu wote mumenifundisha vingi sana Mimi kwenye KAZI zeni nipo Zambia❤
@user-mg2nu5sr9b
@user-mg2nu5sr9b 3 месяца назад
Kwaiyo we unafurahishwa na mwenendo wa hawa jamaa yaan hawamalizi move wanatoa nyingine mi naona wanatuchanganya tu
@happyfania9384
@happyfania9384 3 месяца назад
Hajui hata kutega
@HillaryKeraryo-yb1oy
@HillaryKeraryo-yb1oy 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂haelew😊​@@user-mg2nu5sr9b
@DeusAlphonce-mo9bw
@DeusAlphonce-mo9bw 2 месяца назад
Kwel ​@@user-mg2nu5sr9b
@HassanMwachili-lp2gj
@HassanMwachili-lp2gj Месяц назад
@@user-mg2nu5sr9b 00)
@YussufuYussufu-xo6we
@YussufuYussufu-xo6we 3 месяца назад
Nakubali movie Zeni yussuph kutoka🇲🇿🇲🇿🇲🇿🔥🔥🔥🔥
@user-wi5uh1ti4n
@user-wi5uh1ti4n 3 месяца назад
Like zangu naomben
@sadiomane124
@sadiomane124 2 месяца назад
Ngamia wang anifaaye jangwani nmemuombea dua 2siishie njian
@user-rh7hk4il2m
@user-rh7hk4il2m 3 месяца назад
wadada nihatari munapenda wawapelekeye moto saana yaani mudada kamahaujapelekewa moto hamujisikiyagi vizuri nawapa polezaidi
@simonmchilo1032
@simonmchilo1032 3 месяца назад
Hawezi kutega watu huyo😂😂😂 mimi angeweza kula hata mitama
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 3 месяца назад
Hata kama story tofauti ila inabowa
@stephanomgallah6358
@stephanomgallah6358 3 месяца назад
Nakupa bigap sanaa Kelvin na me ni mshabik wa kwanza kkielewa na upo vzr sanaa na mungu azidi kkpa ulinzi wa maisha yako na uzidi kutupa vitu vzr ndg yang..
@user-fn9qu7rl1w
@user-fn9qu7rl1w 3 месяца назад
Ndugu zangu akina kevi ntawapenda sana ila jitaidini kidogo kuitoa kwawakati firam yenu ya kesho yangu naipenda sana
@Alimrisho-bf5ui
@Alimrisho-bf5ui Месяц назад
Yaani nikweli wanachelewa kutowa sijuwi wanafeli wapi '
@EkoniaChiwanga
@EkoniaChiwanga Месяц назад
Sanaaaa
@marxk1186
@marxk1186 3 месяца назад
Aliyetengeneza Hilo beat la mbosso naomba namba zake😂😂😂😂😂
@HeriTarim-sm5tm
@HeriTarim-sm5tm Месяц назад
🤣🤣🤣🤣
@BarakaBoniface-yb6yj
@BarakaBoniface-yb6yj 3 месяца назад
Kelvin nakukubal sana sema movie zako nyingi unazitoa hazifiki mwisho zinaishia njiani inakuwa cyo poa
@user-tn5vb1zj4h
@user-tn5vb1zj4h 3 месяца назад
Mbona brown umekonda
@drinnerfuraha1161
@drinnerfuraha1161 3 месяца назад
Imeweza kma kawa❤❤❤
@DAUDICHALO
@DAUDICHALO 3 месяца назад
Mambo dada 💖
@utukufu133
@utukufu133 3 месяца назад
Donta Family naombeni namba ya loveness nampenda
@user-ox9ti7zj1i
@user-ox9ti7zj1i 3 месяца назад
😂
@rpynoel566
@rpynoel566 2 месяца назад
Umemtamani umbwa ww😂😂
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 2 месяца назад
Umalaya
@user-dg1ke9mu4t
@user-dg1ke9mu4t 2 месяца назад
😂😂😂
@taiobrunini6799
@taiobrunini6799 2 месяца назад
Hakuna namba ya cm
@MineniAbedialphonce
@MineniAbedialphonce 3 месяца назад
Lovess mtoto wakike mtamu kama hasali,Donta mmetowa wapi uyu kwa wamasai au usukumani au hiringa kabisa jameni mniambie
@Cuteeeee477
@Cuteeeee477 3 месяца назад
Wa4 naombeni like zangu 🎉🎉
@user-vj8if4qz6w
@user-vj8if4qz6w 3 месяца назад
Kuhusu Kelvin weweeeeh wote nimewamwagia like zakutosha ila na mm msiniche bure jaman Kelvin anawezag sana uyu mkaka JERRY from United ❤❤❤
@Kambachurchgal-hg4zx
@Kambachurchgal-hg4zx 3 месяца назад
💯💯
@hilamvicent6720
@hilamvicent6720 3 месяца назад
Yan zipo series Kama tano Yan wametoa kama wamevulugwa Uku KESHO YANGU ndo ilitakiwa waimalize Yan had mood ya kuangalia movie zao inaisha mi nawapenda Sana Ila wanaelekea kunkatsha tamaa
@user-mv8cw2jn5n
@user-mv8cw2jn5n 3 месяца назад
Leteni kesho yangu bana
@CosmasSengenge
@CosmasSengenge 3 месяца назад
Ebu tupeni series ya kesho yangu tuimalize kwanza ndo muachie kazi nyingine. Mnashusha mvuto wa chaneli yenu kuachia muvi nuinginyingi
@hafidhyussuf7245
@hafidhyussuf7245 3 месяца назад
❤ mbona mumifanya fupi ilioisha na utam lengo limeelieka ila mbona ingekua poa Zaid kujua mengi tukajifunza zaid
@gracejames-o7
@gracejames-o7 2 месяца назад
Jamanii kalvin nimekupendaa coz uko na good content am proud for listen u
@ARONPaul-bz3ws
@ARONPaul-bz3ws 3 месяца назад
Makusudiii ayooo sasa calvin fanyaaaa yako😅😅😅😅usiache nyamaaaa
@edsonipaulo
@edsonipaulo 3 месяца назад
tunawapenda natunapenda mnachofanya. ombi binafsi naomba muwe na utaratibu mzuri wakuachia vipande kwautaratibu mzuri tujue tunafuatiliaje tusibahatishe mana tunapenda kaz zenu❤
@user-zq5tt7wf1c
@user-zq5tt7wf1c 3 месяца назад
Ni kwel kbsa munafany vzr ad tunawaz tuanglie wap
@user-yj4iw6pg8u
@user-yj4iw6pg8u 3 месяца назад
Kelvin mnaanza kuzengua malizia kwanza kesho yangu
@Abera662
@Abera662 3 месяца назад
Hapo Sasa nadhani itakuwa tamu kama Dada wa kazi na kijana tajiri maua🌹🌹🌹Kalvim from Kigali🇷🇼🇷🇼
@ahmadjuma5677
@ahmadjuma5677 2 месяца назад
aisee Hii movie ya dada wa kaz inafaa iendelee maaana inamafunzo sana but mmpo vizuli na mungu azidi kuwapigania inshallah
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 3 месяца назад
victoria na Loveness 😂😂 Tena Nyie Tena mkuwa Dada na mdg wake
@user-nq6ge5em6i
@user-nq6ge5em6i 3 месяца назад
Vipi wakuu like za wa kwanza mkipita
@Ali_Ngabwe
@Ali_Ngabwe 2 месяца назад
Nyie wot mnataka nin sasa 🇨🇩🇨🇩
@NdereyimanaLucien
@NdereyimanaLucien 3 месяца назад
Leo nimewahi 😂😂😂❤❤like zangu
@Roze-so4he
@Roze-so4he 3 месяца назад
Mimi ni meisha yani ni mecheka paka bas tu ameambiwa n dadake kaingize chumivi kidogo kidogo yeye anaanda kumimina patiki nzima yani mm ni mecheka paka bas😂😂
@dadaamwazewe1299
@dadaamwazewe1299 3 месяца назад
Nyie waingizaji mnaboo ssa hampangi kaz yenu vizur kwa ssa😏 ushaur kama movie haitoendelea don't sey can't writing episode 2🥺🥺🥺mtatufkuza
@user-dr6bv8sv9e
@user-dr6bv8sv9e 3 месяца назад
Hahaha jamani hata kama nikutega sio hivo
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e Месяц назад
😂😂😂
@edsondomino8573
@edsondomino8573 3 месяца назад
Yaan movie yeyote akiwepo loveness na kelvin naeinjoi kinoma yaaan🎉🎉❤❤
@GraceVISAMAYANI-gj1xm
@GraceVISAMAYANI-gj1xm 3 месяца назад
Asante,Ila muendelezo wa kesho Yangu
@Phoebenafula
@Phoebenafula 3 месяца назад
Wakenya tunawapenda sanaaa❤❤❤❤
@user-ug1zl5iv3w
@user-ug1zl5iv3w 3 месяца назад
Lovenes mbona sasaivi unalificha ficha sana hilo tumbo mamaaa manguo nguo kibao wakati sio kawaida yako😂😂😂😂
@GodiasLeking
@GodiasLeking Месяц назад
😊😢❤😮😂😅😮😢
@Joksmart
@Joksmart 3 месяца назад
Kesho yangu vip Boss
@user-oz1bb8gc1c
@user-oz1bb8gc1c 3 месяца назад
Wana donta family nawakubali kwa movie zenu, ❤❤❤
@theodorachaki5174
@theodorachaki5174 3 месяца назад
Napenda Kevin akiigiza na blauni na hao wadada so MTU mwengine
@user-hm6hy6rr1h
@user-hm6hy6rr1h 3 месяца назад
Hhhhh atmm pia nampenda san kev na wat wak
@user-ve8fv4xp2p
@user-ve8fv4xp2p 3 месяца назад
Kelvin uko pw sana bro
@thabitharange-vz2ru
@thabitharange-vz2ru 3 месяца назад
😂😂jamani loveness na Kevin mumenichekesha haki😂
@HabibaAmani
@HabibaAmani 2 месяца назад
😅😅😅
@soscarsinde4848
@soscarsinde4848 2 месяца назад
Wawishoo naombeni like zangu jamaniiih
@emmaflorajohn5162
@emmaflorajohn5162 Месяц назад
😂😂
@FailaQueen-qm4dt
@FailaQueen-qm4dt 3 месяца назад
Jamani sielewe tena mouvie zenu 😢mimi kwa nini iviii jamani nikiandika dada wa kazi kunakuja penzi la dada wa kazi😢 nifanyeje mimi😢
@ChirstinaGidion
@ChirstinaGidion 3 месяца назад
Kevin na huyu jamaa yako nawengine pia mnakipaji
@elikaiman1332
@elikaiman1332 3 месяца назад
Duh jaman malizen move za mda ndo mlushe zingine jmn duh inatakiwa ikiisha moja post nyingine duh 🙈 but nawapenda hivyo hivyo watu wa maana kabisa
@MwahijaKhatibu
@MwahijaKhatibu 3 месяца назад
Locatio imebadilikaaa nice
@user-io5xg6mt8g
@user-io5xg6mt8g 3 месяца назад
Wooooh, kz nzuri sn 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ZakaboyMusa
@ZakaboyMusa 3 месяца назад
Sawa bana loveness.
@Dicky576
@Dicky576 3 месяца назад
Mambo ni 🔥 Nakubaree sanaa hii fmlier ❤
@adozenaziz8362
@adozenaziz8362 3 месяца назад
aaaaaah mixer uku donta plus uku donta family mmmh soon naleft
@MichaelGeorge-hr4dk
@MichaelGeorge-hr4dk 2 месяца назад
Loveness nakupenda San naomba naomba yako❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-gc2rd8ln3v
@user-gc2rd8ln3v 3 месяца назад
Khelvin uko serious jaman khaaaah 😂😂😂😂 hatar sana
@user-pn5sj7qo1l
@user-pn5sj7qo1l 3 месяца назад
Kk kelvin na bro braun mko vizur sana aki mungu awabarik❤
@gogoloveofficial5666
@gogoloveofficial5666 3 месяца назад
Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI
@user-oz1bb8gc1c
@user-oz1bb8gc1c 3 месяца назад
Aki loveness umenchekesha sana navitendo vyako, umenfanya nrudi Tena apa😂😂😂
@Matridadominic
@Matridadominic 2 месяца назад
Kelv pangilia kazi zako vizuri,, unapoteza ubora wa kukufatilia aisee
@Almostaphiq
@Almostaphiq 3 месяца назад
Mm kiukweli nimeanza kuichukia chaneli ya DONTA TV kwasababu hawana utaratibu kanuni wakuachia kazi kwa mpangilio leo utaangalia hii kesho tamthilia nyingine ndani ya week moja utaangalia tamthilia zaidi ya kumi tena zikiwa tofauti tittle hivyo ninashindwa niangilie ipi niache ipi so nimeumia haswaaa napatikana ZAMBIA🇿🇲🇿🇲🇿🇲
@emmanuelgwanchele4168
@emmanuelgwanchele4168 3 месяца назад
Ata mm nmewachoka mwishowe tunasahau hatujifunzi Tena hatujui tufatilie ipi Sasa!! Wameanza kuboa
@yasirhassan7438
@yasirhassan7438 3 месяца назад
Nilijua naliona hii pekeyangu. Halaf kuna zingine hawazimalizii kama ile Vampaya mpaka leo
@user-ub6ey1xy3r
@user-ub6ey1xy3r 3 месяца назад
Hata mm mh
@busimebiringanine5800
@busimebiringanine5800 3 месяца назад
Hata na Mimi nimeyaona
@Almostaphiq
@Almostaphiq 3 месяца назад
Yaani mpaka kero walah
@user-ed8ye4mn1s
@user-ed8ye4mn1s 2 месяца назад
Laviness njoo nikupe darasa
@user-mn4nc8kf8b
@user-mn4nc8kf8b 3 месяца назад
Mnazingua sana ,mnatoa movies nyingi alafu hazifiki mwisho
@vevocris
@vevocris 3 месяца назад
Kazi nzuri kelvin
@EsterLukindo
@EsterLukindo 3 месяца назад
Wagwaniiiiiiiii sheemejiiiiiii umetishaaaaa
@user-yz8zv6tx4v
@user-yz8zv6tx4v 3 месяца назад
Jaman donta tv mnaanza kuzingua achieni kazi Kwa mtiririko
@KenedyMusonda
@KenedyMusonda 3 месяца назад
It's really good I really like it even every part I have to like
@WasilaMkadara
@WasilaMkadara 2 месяца назад
Jamn mm namupenda huyu Kaka mupk hatr kevi Yuko pw
@MrfrecaUSAmerica358
@MrfrecaUSAmerica358 26 дней назад
Kwaajili gan sasa
@HillaryKeraryo-yb1oy
@HillaryKeraryo-yb1oy 2 месяца назад
Vampire imeishia juu kwa juu😂😂😂
@sonkomukesh1202
@sonkomukesh1202 3 месяца назад
Nataka kelvin ajue twamtaka kenya akuje atubize 😂
@bazuriomari
@bazuriomari 3 месяца назад
Movie zenu zinazidi kunimaliza yani ni zuri lakini ninahamu yakumaliza movie moja moja
@joycemuenimutua4506
@joycemuenimutua4506 3 месяца назад
😂😂😂pole sana loveness kimekuramba 🎉🇰🇪
@RebekaKulwa
@RebekaKulwa 3 месяца назад
Hongereni sana mtafika mbali mungu awatangulie
@dorcasmueni2290
@dorcasmueni2290 3 месяца назад
Somo nzuri kwa wanawake wa kijirusha rusha kwa wanaume
@Elizakilisipinilikolika1996
@Elizakilisipinilikolika1996 3 месяца назад
Nakupenda kelvin na loveness ❤❤❤❤🎉🎉🎉
@furahaeto6193
@furahaeto6193 Месяц назад
Jamani munajipanga kweli kwa movie zenu nazipenda kinoma ❤❤❤❤
@JoylinePeter
@JoylinePeter 3 месяца назад
well done nawapenda Bure💪💪Daah kesho yangu vepy inachelewa mno daaaaaaah so pw tunakwazika xx😢😢
@DAUDICHALO
@DAUDICHALO 3 месяца назад
oya broo muwwe uyo mzuli sana duu
@HamphreyMafwenyi
@HamphreyMafwenyi 2 месяца назад
Makubwa lovenes
@kadzojamesjameskadzo3950
@kadzojamesjameskadzo3950 3 месяца назад
Mashallah ❤️❤️,hutaki ushauriwe sio
@user-cb6zx9gt2u
@user-cb6zx9gt2u 3 месяца назад
Endelesh mambo🎉🎉
@user-fm7pl6rs3i
@user-fm7pl6rs3i 3 месяца назад
Kila mtu nimewai me Niko to kidg Nimechelewa kdg😂😂
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 3 месяца назад
Kelvin upo vizuri
@bennimubona6105
@bennimubona6105 3 месяца назад
Is this new one? Waooo please washe motooo
@ARONPaul-bz3ws
@ARONPaul-bz3ws 3 месяца назад
Ilaaaa wewe loveness makusudiii ayo
@user-pu6tf6ft6i
@user-pu6tf6ft6i 3 месяца назад
Mnaekiti vzr sema watu wanavoongea awana shukurani wanaekiti vzr
@ChuseDaddy
@ChuseDaddy 3 месяца назад
Ushauri wa Dada
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e Месяц назад
Aweeeeee lovness
@MineniAbedialphonce
@MineniAbedialphonce 3 месяца назад
Oooooh kumbe lovess amekuwaa mke wawote aaaaaah bwana mbona anaboha sana
@HassanJaffar-qt1eh
@HassanJaffar-qt1eh 2 месяца назад
Congratulation brother kelvin 🎉. You are so talented
@user-ec2cj5om7v
@user-ec2cj5om7v 3 месяца назад
Loveness jamani🎉🎉
@ZuwenaIssa-mi7bg
@ZuwenaIssa-mi7bg 2 месяца назад
Kelvin uko serious an 🎉🎉🎉
@appsplay4324
@appsplay4324 3 месяца назад
Nawapenda sana ❤❤❤❤
@user-nj2th9ij2t
@user-nj2th9ij2t 3 месяца назад
Kelvin wewe kiboko yao umekuwa seriously kweli hahaha eeeeh dakitari wa mpenzi leo sio yeye aki ❤from Kenya 🇰🇪 nawapenda xnaaaa ❤🎉
@user-bt6xo7nx6r
@user-bt6xo7nx6r 21 день назад
Mmmmh lovenes duuh umetish unasaut nzur
@victoriangasa
@victoriangasa 3 месяца назад
Nmewah jmn 😂😂😂❤❤🎉🎉🎉
@ABDUL-WAHIDMACHANO
@ABDUL-WAHIDMACHANO 3 месяца назад
Muko vzr Broo from Zanzibar
@user-pi1po3uq2o
@user-pi1po3uq2o 3 месяца назад
Pahali mimi naboeka ni unaezakuwa unabambika na episode zina_flow all of a sudden ishabadilika ama wanakawia sana ku_shoot movie zikifwatana (nk Kenya
@roseshayo3738
@roseshayo3738 3 месяца назад
Malizeni series moja ndio muingie nyingine! Yaani mnaboa! Kama na wewe unakerwa kama mimi gonga like hapo
@Dontaplus
@Dontaplus 3 месяца назад
Tukifanya kazi moja 2 utatupa hela ya kula wewe? Mbona kina gabo mnawaangalia azam mnawaangalia dstv mnawaangalia startimes na wao wanafanya kazi moja? Hapa mjini rafiki yangu uwezi kuishi kwa kazi moja tu ... kikudi kizima akiwezi kuishi kwa kazi moja ukiona kazi zingine zinakuboa subiria itoke iyo unayo itaka wewe ni shabiki yetu na tunakupenda na kukuheshimu ukitaka tufanye unavyo taka wewe tupe na hela ya kula sasa
@humaydahomary8647
@humaydahomary8647 3 месяца назад
😂 huu muandiko wa brown kabisa 😂😂😂
@BarakaGabrielMwampamba-kj8ci
@BarakaGabrielMwampamba-kj8ci 2 месяца назад
Hapana atakuwa kelvin au roveness maana haiwezekan kuwa mzuri kwa Kila kitu daa 😂😂😂😂😂 lakini nawewe umekosea siyo muandiko unatamkwa mwandiko
@ameirdarueshi2593
@ameirdarueshi2593 2 месяца назад
​@@Dontaplusoya mwamba umekosea kujibu usimjibu ivo shabiki wako wowote yule
@SungaUnzaly
@SungaUnzaly 5 дней назад
Tena wanaboa aswaa
@EdinaTumaini-kp8et
@EdinaTumaini-kp8et 2 месяца назад
Haaaaaa 😅haaaa😅jaman mmeniacha hoi leo vicy na lovenes
@peteretlawe6269
@peteretlawe6269 2 месяца назад
Mwamba nimemkubali Sana kiukweli wanaume tunapaswa kuwa na msimamo ktk maisha kwa hizi viumbe
Далее
BOSS MALAYA 💞 Love story | DONTA TV
18:23
Просмотров 179 тыс.
PENZI LA DADA WA KAZI 💞 | Love Story
30:06
Просмотров 4,6 млн
💜☀️✨
00:47
Просмотров 84 тыс.
Кто понял тот понял
00:24
Просмотров 287 тыс.
Et toi ? Joue-la comme Pavard ! 🤪#shorts
00:11
Просмотров 2,4 млн
Лайфхак с колой не рабочий
00:16
Просмотров 428 тыс.
NDOA YANGU  💞 Love story | DONTA TV
33:55
Просмотров 178 тыс.
SHEMEJI ANATAKA TENA 💞 Love Story | DONTA
31:50
Просмотров 254 тыс.
MTEGO WA NGONO 💞 Love story | DONTA TV
31:20
Просмотров 427 тыс.
UMALAYA SHULENI (part 2)
13:55
Просмотров 1,9 млн
CHOZI LANGU 💞 Sad story | DONTA TV
30:04
Просмотров 581 тыс.
SINGLE MOTHER 💞 Love story | DONTA TV
38:04
Просмотров 347 тыс.
TRUE LOVE FULL MOVIE
1:01:50
Просмотров 983 тыс.
💜☀️✨
00:47
Просмотров 84 тыс.