Mama wa kambo katili sana huyo amemfukuza loveness baada ya kuwaona mkiingia ananataka huyo malaya mwenzake amiliki mali za babake love hawafai kabisa wanamnyanyasa sana huyo dada
Yani mayo na mamako hayoooooo!!!! Embu yaangalie yalivyokuwa manafiki kama malaya kuona bia mezani hamzipati hizo mali lione ety mtu yoko kwenye sala linamfyonza hivi unafikiri huyo MUNGU nimchawi mwenzio kione kilivyokuwa sura imekishuka kama chapati iliyoungua kwenye flamben hata hakijui kilizaliwa na nan, mapua yamekipanuka ka makamatio ya mikasi
Eeeeh uyo mm wa kambo kiboko unasema uongo namutu ukonae ndani 😢pole yenu kweli angetoka kwanza ukaaibika pole sana lavenesi Vicky umeongea ukweli afwatiliye kabisa
Tena bamdogo wewe ni baba bora sana nakupongeza kwa hili, binti yako hana tabia chafu kama hizo, yule mama tabia za binti yake anamsakazia love dafa wa watu hana shida