Jqmani hata kamando teknolojia na dunia kwenda kasi hebu acheni kutufanya wajinga, hivi ni ofisi gani bosi anasuka nywele kwa bongo hii, hata kama ni ofisi binafsi sijawahi ona. Hrbu fanyrni vitu kwa uhalisia basi mnaboa, Donta kwa staili hii mtapoteza mashabiki