Uyo aliekuwa anaimba Sauti ya juu alfu anaacha akiimba anatoka kabisa anawatoa na wengine saut anaimba kali afanye mazoezi sanaa io sauti yake ya juu anaharibia wote sasa apo kila akiiweka inatoka kwaya sauti zinafaa kulingana si mtu anaimba sauti kubwa alfu iko nje awe na uwakika na kitu that gal alie vaa pensi ya jeans the rest job well done ni maoni tu msanii wetu pendwa BELLA