Тёмный

NJOONI MUBAINISHE UHIZBIY WA ABU MUAWIYA KAMA NYINYI NI MASALAFI KWELI || Muhammad Bachu. 

Muhammad Nassor Bachu
Подписаться 63 тыс.
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Игры

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 299   
@dhahirdin
@dhahirdin Месяц назад
NA ALLAH akupe afya njema na maisha malefu na akulinde na kila shali za viumbe
@mbjunior166
@mbjunior166 Месяц назад
Allah akihifadhi na akulipe al akhy kwa juhudi zako. Mpaka sasa umma wote wa kiislamu ktk ukanda huu ushaitambua hii hizbu ssalafy ya sheikh Kassim Mafuta na wenziwe kama inavyoelezwa na wanachuoni wetu wengi ktk kuutahadharisha umma juu yao. Allah awape nguvu musichoke kutunukulia maneno ya maulamaa kuhusu fitna ya hizbu hii ovu iliozuka. Ila Duktuur Islam wala musiwe munamtaja taja saana ktk mambo haya yy ni mtu ametakasika na yupo mbali sana na masuala ya fitna kama hz bali ni mtu ambaye ni zawadi kutoka kwa Allah kwa waislam wa ukanda huu wa lugha ya kiswahili alhamdulillah!
@alkitaamiyMihswan-p3j
@alkitaamiyMihswan-p3j Месяц назад
دعوة السلفية دعوة الحق
@YahyaYahya-vp2pp
@YahyaYahya-vp2pp Месяц назад
Mungu akuhifadh Muhammad bachu ❤❤
@yusufathman2478
@yusufathman2478 Месяц назад
Maa shaa allah sheikh kipenzi cha watu
@salehrashid-fx9rq
@salehrashid-fx9rq Месяц назад
Wallahi, ktk tafiti zangu, Allwah amemjaalia sheikh Muhammad Bachu kumpa uwezo na akili kubwa pmj na ufahamu wa hali ya juu. Ukimsikiliza unamuelewa MashaAllah. Lkn mashehe wengi ni zero brain kwa maana ni failure. Hamnakitu. Allwah amhifadhi sheikh Muhammad Bachu. Kiukweli sheikh Nassor ametuachia mrithi wake MashaAllah.
@alkitaamiyMihswan-p3j
@alkitaamiyMihswan-p3j Месяц назад
@@salehrashid-fx9rq alie thibitisha tafiti zako nani?sio kila ukionacho wewe sahihi ndiyo usahihi.
@alkitaamiyMihswan-p3j
@alkitaamiyMihswan-p3j Месяц назад
@@salehrashid-fx9rq yani Muhammad kwako wewe ni shekhe? mh haha
@aboushuaibally
@aboushuaibally Месяц назад
​@@alkitaamiyMihswan-p3jpunguza ushabiki
@giltaemi4017
@giltaemi4017 15 дней назад
​@@alkitaamiyMihswan-p3j Toa kasoro ili maneno yako yawe na nguvu. Maana hauna cha kukupa nguvu katika maneno yako na kama hauna hiyo maana yake ni wivu tuuuu huo.
@DR.SAIFILLAH.5363
@DR.SAIFILLAH.5363 Месяц назад
Hongera sana HIZBIY
@user-ye3fy9kk6r
@user-ye3fy9kk6r Месяц назад
Masha'Allah !!!..full confidence
@iddijuma1428
@iddijuma1428 Месяц назад
Allah akuhifadh shekh Muhammad
@NaduuAbdilah-uj5vj
@NaduuAbdilah-uj5vj Месяц назад
Yaani muhamad bachu nna mpenda sanaaaa kwa ajili ya Allah sio mnafiki Allah akuhifadhii.
@ibrasaid9256
@ibrasaid9256 Месяц назад
Salamu zako izo toka kwa Shaykh Abul Abbaas حفظه الله
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Месяц назад
Abul Abbas ana nini. 😂
@user-rp4eb5xw1z
@user-rp4eb5xw1z Месяц назад
Mashallah ndug nikiwa makin kabisaaa kukusikiliza huyo jamaaa watanga atuaambie mtu wa sunna anakaaje napia wao waache kufukuza watu katika sunn za mtu[ s w ]
@MwenyeShaibu-e6g
@MwenyeShaibu-e6g Месяц назад
Allah awahifadhi mashekhe WA kisalaf abuu fadhwili kasiimu mafuta
@mabablaz123
@mabablaz123 Месяц назад
Nyinyi wote ni mahizbi munafudisha mabinti na wake wa watu bila ya pasia..wakati hadithi na ayat zipo zakukataza
@HakimRamadan-kl1hx
@HakimRamadan-kl1hx Месяц назад
Allah akuhifadhi sheikhe kwa kazingumu ulionayo❤
@mwanaishajuma4166
@mwanaishajuma4166 Месяц назад
Amiin
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv Месяц назад
Tume anza kuyaona Mathara yenu masheikh kwa mnavyo kuza umathehebu sana zaidi ya kubuni mbinu mbadala za kuwaleta waislamu tuwe kitu kimoja . Nasaha kwenu masheikh jiebusheni kuugawanya waisilamu
@jumanneshabani1361
@jumanneshabani1361 Месяц назад
Mashallah allah akuhifadhi namabaya sheikh bachu uzidi kutupa faida
@cassimshearer7916
@cassimshearer7916 Месяц назад
Kwa kweli haya majina, utukufu na kuamini wengine wote wamepotea sio sawa. Cha muhimu ni kumuomba Alla atupe khatima njema na atujaalie kuwa katika haqi juu ya haya tunayoyaitaqidi. Huenda unaemuona amepotea akawa ni.mbora kwa Allah zidi yako. Allah autondolee kibri .
@abdallahhamad8808
@abdallahhamad8808 Месяц назад
Mashaallah Muhammad bachu uwepo wako ww nisaw na vita vya uhd kuwepo Hamza like mshambuliaj au ni saw na Lamal yamal streker languvu she inshort Big up
@laisamaujud1157
@laisamaujud1157 Месяц назад
Subiri majibu yake kabla ya kumpa kongoleee
@ibnualishariff
@ibnualishariff Месяц назад
😂😂😂m nasubiri majibu 2😂​@@laisamaujud1157
@suodymmbaga6583
@suodymmbaga6583 Месяц назад
Mcha Allah ww Acha kusifia mpaka kufanya ghuluu
@suodymmbaga6583
@suodymmbaga6583 Месяц назад
Uyu inatakiwa asijibiwe maana anataka masheikh wamjibu ili apate kiki sasa watu wapo kwa ajili ya dini watu hawapo kwa ajili ya kushindana kama alibwaga na yule sheikh wa bidaaa kuhusu maulid, sasa yani kushindana na mtu kama huyu
@hassanmohamedlaizer569
@hassanmohamedlaizer569 Месяц назад
​@@suodymmbaga6583 sasa nyie mkisema na kuhizbisha😊 masheikh ni sawa sisi tukijibu ni kiki
@abdallahhamad8808
@abdallahhamad8808 Месяц назад
Mzee wa ufasaha, au Mtto wa Simba mwana wa simba
@Abutwaibah001
@Abutwaibah001 Месяц назад
NASIHA NAKUPA SHEIKH MOHAMED NASSOR, WACHANA KUPOTEZA MUDA WAKO KUWAJIBU HAWA MADAKHILA, HAWA HAWANA KAZI WANACHO KIJUA ILA FITNA NA UMBEA KWENYE AKILI ZAO.
@ShabaniIsmaily
@ShabaniIsmaily Месяц назад
Ni muhimu sheikh Muhammadi Bacho Allah amuhifadhi kufany hiv Kwa sababu ndio anainusuru Deen.. In Shaa Allah
@jakuabdull34
@jakuabdull34 Месяц назад
Yaani tumefikia sehemu mbaya kweli kweli na haya ndio malipo ya kupinga kila jambo yaan mtu anakufa badala ya kumuombea kweri mnaelekeza nguvu kwenye majibizano eti kila mmoja anaonesha umwamba wake huku mnamuweka mhusika kwenye wakati mgumu ingawaje inaonekana ndivyo alivyokuwa mwenye akil azingatie
@AbuusaahilAbdillah
@AbuusaahilAbdillah Месяц назад
Kwani ushajibiwa mangapi ivo unavo taka sheikh Fahad haneni na Abuu fawzan Allah awahifahi wamekujibu na hujajibu chochote ila ww unajulika na ndomaana hujibiwi ukijibiwa ww unabadilisha mada hemu mche Allah akhy utakwenda kuulizwa mbele ya Allah
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Месяц назад
Akuna alichojibu ww mwambie aje apinge ndno hizby jadida la wanazuoni abibary abu zaid mnaingia hapo hizby jadida watu wa ghuruu na kufukuza watu kwenye sunnah salaf swalehe hawakuwa na mienendo yenu muchafu kama ninyi kutukana watu kuwakufurisha watu bila sababu za msingi 😂😂😂
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku Месяц назад
Assalamualaikum ustadh hata wakichafua inshaallah hawataweza sababu wao wamezoea kuzua Sasa Kila mtu wanamwona mwenzao n makundi yao badala watu wafundisha watu waache bidaa kazi n kutaja hata waliofariki Allah atuepushe n watu kama hao
@AdamuYusufu-z2c
@AdamuYusufu-z2c Месяц назад
Maasha Allah shekhe Allah akuhifazi
@daawatumanhaj-ul-waadhih7151
@daawatumanhaj-ul-waadhih7151 Месяц назад
Dakika ya 15:25, hayo maneno yanafanana na maneno ya Muhammad Shamsudin As-sururi. Ibn Bachu ushaweka wazi manhaj yako.
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 Месяц назад
Wew unatengeneza kizazi ambacho hakiheshimu wana wa vyuoni
@MkindiRama-lp6hy
@MkindiRama-lp6hy Месяц назад
Hiv Kuna haja gani ya kufundisha aibu za wanachuon
@abuuzakariyya8630
@abuuzakariyya8630 Месяц назад
haja ipo akhiy na hilo amelisema Imam nawawiy kwani hao wameizungumzia dini na hii ndio shida
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 Месяц назад
Elewa hicho ni kitabu kinasomwa na kimeandikwa na mwanazuoni tabu imeletwa na hicho kikundi kilicho zuka kuwatoawatu katika uislam na kuwakufurisha kwa UJADIDI WAO
@DR.SAIFILLAH.5363
@DR.SAIFILLAH.5363 Месяц назад
Wayahudi waanzilishi wa kundi potovu la Kiwahabi kwa hakika wamefanikiwa kwenye baadhi ya malengo yao dhidhi ya Uislamu duniani kote.
@luqmankhalid2219
@luqmankhalid2219 Месяц назад
والله قد بلغتَ وأنصحتَ ❤🤲
@SalehKhatib-ey6ct
@SalehKhatib-ey6ct Месяц назад
Bachu wanyoshe haki itabainika tu wew pigania haki ata wakikukejeli
@user-xe1nc5kq6j
@user-xe1nc5kq6j Месяц назад
Watanyooka tu Hawa ndugu zetu bi idhni Allah.
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 Месяц назад
Kwahio nyinyi mahizbiy mumenyooka ,,?,,uhizbiy ni uvundo jameni...
@NuryaMusa
@NuryaMusa Месяц назад
​@@ABUUJAAFAR92😂😂😂mwambiee mafuta.atoke jikoni. Aje ajibu kwamaaan. Wanajifanya. Hawna mujaamala. Uone. Kama. Atawezaa kumradd huyo. Mwanachuoni. Mkubwa
@ibrahimabdul8257
@ibrahimabdul8257 Месяц назад
Huyu Bachu ni bingwa sana wa talbis na ndio maana mamrui hakuweza kufua dafu akaaibika yeye na mahizb wenzake….
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Месяц назад
Huwo ni urongo shekhe bachu aliwabuluza wale masufi sema kweli japokuwa chungu wale hawamuwezi mpk leo wanamaswali 19 hawajamjibu arafu wale mombasa walipanga wapindishe mada ilikuwa urongo katika barazanji wao wakabadilisha gia juu kwa juu kuwa jafari muongo sabu walijuwa wakimrihusu kusonga mbele kuna uchafu zaidi ya ule ndo kampeni yao wabadilishe mada sabu hakki haijawai kushindwa kaka kusema bachu alishindwa kuwatetea ahlu bidaa ni ujahli usio na mfano
@HamadhamisIpingika
@HamadhamisIpingika 18 дней назад
Acha hasadi babu
@saidjuma4547
@saidjuma4547 Месяц назад
maashaallah Allah akuhifadhi ww ni Simba
@dhahirdin
@dhahirdin Месяц назад
Kinacho niuma masheikh wengine naa wa umri wa baba yako wapi lkn hawaya semi
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 Месяц назад
ILI HAO WAPUUZI WANAOKUFURISHA MASHEKH WANAJIATA MASALAFI JADIDI WAACHE UPUUZI WAO
@user-wk5ju8kd3u
@user-wk5ju8kd3u Месяц назад
Masha Allah Allah akuhifadhi
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 Месяц назад
Kumekucha...nyiee hamuogopi Majadida mbona mtakoma Ma Shaa Allah Tabarakallah Allah akulipe
@CheniShauri
@CheniShauri Месяц назад
Ahllwa awahifadhi walimu wetu hakika wewe ndio ngao pekee ya Ahhalusuna.
@MusaMkata
@MusaMkata Месяц назад
Acha ujinga kama nani huyoo mpk awe nguzo
@user-zf3fz5lf4m
@user-zf3fz5lf4m Месяц назад
ماشاءالله
@KhalfanMassoud
@KhalfanMassoud Месяц назад
Maashallah, ❤❤❤
@abubakarshaban6118
@abubakarshaban6118 Месяц назад
Dah huyu jamaa, eti anafananisha makosa ya maulamaa tena mfasiri na kijana wa mtaani...
@user-yu9gy6dg3g
@user-yu9gy6dg3g Месяц назад
mie saivi naona haya mambo ya madh`hab hayatufai sie waislamu maana kila kukicha kunazuka ugomvi & matatizo na kubaguana wenyewe kwa wenyewe, nashauri haya mambo al akhi bachu achana nayo we usijali wataongea mwishowe watanyamaza tu almuhimu ni kumcha (Allah azza wajalla) hao wengine wote achana nao na sote ni viumbe na watumwa wake yeye mwenyezi mungu (subhanahu wataala) pia endelea na daawa na kuelimisha dini Allah ndie atakae kulipa usitarajie malipo kwa walimwengu ndugu yangu katika imaan.
@shabanrashid6009
@shabanrashid6009 Месяц назад
Nikakaa kwa makini nakuskiliza najua hata unajenga swali kielemu kumbe ni mtupu hvyo sikudhani kaa chini kasome achana na kutafuta umaarufu
@abdurashidinasorodini
@abdurashidinasorodini Месяц назад
mche Allah Al akhe
@kagalihussein1959
@kagalihussein1959 20 дней назад
Mfano kama Wewe Unavo jinasibisha Na Usalafi Haliyakua Si SALAFIYYA!أwewe Ni Mzushi Akhiy
@SwaumMuhammady
@SwaumMuhammady Месяц назад
Acheni majadiliaano mabishaanoo wew lingania dini af wew bachu unapenda shari wew
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 Месяц назад
Mtu akichokoza aachwe akijibuwa ni mabishano😂
@user-yw4bw4hg8l
@user-yw4bw4hg8l Месяц назад
Afu ww dada kaa utulie acha watu wafundishwe
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq Месяц назад
Dada tuliaa hapa tunamtetea shekh wetuu abuu muawiya rahimahullahh
@medimisi6930
@medimisi6930 Месяц назад
subiri dufu na kasida za minanda ucheze hapa ni elimu dada mpikie mumeo huko hapa ni kwa wale wanaopenda haki na ndio maana vinasomwa vitabu sio porojo.
@NuryaMusa
@NuryaMusa Месяц назад
​@@saidimkwinzu9106majadidah. Ndivyo walivyo. Hawataki. Kusemwa. 😂😂 Mijadida. 😂😂😂
@HarunaOmar-ip5iv
@HarunaOmar-ip5iv Месяц назад
كلام الأقران يطوى ولا يروى Nam shekh wangu ikiwa umesoma kitabu chake hicho je umekwisha fanya utafiti wakuangaliya kama labda huwenda alijirejea akaandik kingin kitabu ?
@maulidimuhani
@maulidimuhani Месяц назад
Sasa ndo mujibu, mbona mwaogipa ????
@laisamaujud1157
@laisamaujud1157 Месяц назад
Kama alimama suyuti angekuwa katoka katika uislam katika maneno aliyo yaandika basi wanachuoni wange anza kumtowa wao pasi na shaka na ikisha usilinganisha imam suyuti na abuu muawiya au na doktor islam ni watu mbali mbali ju sawa na nungwi na kibuteni
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy Месяц назад
Swali mtu akiteleza anakuwa hizbi au anapewa udhuru kwa kuwa bado ni mtu wa sunnah?
@maulidimuhani
@maulidimuhani Месяц назад
TUMIA VITABU (Lete dalili) usilete mipasho ya TAARABU
@abuuyunusnassor446
@abuuyunusnassor446 Месяц назад
Endelea kutoa faida sheikh Allah akubarik
@ShaabanKhamisAbdulla-nt6rm
@ShaabanKhamisAbdulla-nt6rm Месяц назад
Makosa kama haya Anayo Kishki wa Tanzania.....ila husema sio aya vipi Anajumuishwa na Suyuti?
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 Месяц назад
Subhaanallaah! kiukweli haya maneno ya sheikh Suyuut yamevuka mipaka na hawa majadiida hawataona haki abadan mpaka waondoe matamanio ya nafsi zao maana ukitanguliza matamanio ya nafsi kwanza mbele ya haki Allah hawaongozi wanaofuata matamanio ya nafsi
@cassimshearer7916
@cassimshearer7916 Месяц назад
Hayo maneno ya suyutwi umesomeshwa au umefata ufahamu wa Sheikh Muhammad Bachu tu? Inawezekana ufahamu wake ukawa ni wa makosa. Wallahu aalam
@khamiskhamis9947
@khamiskhamis9947 Месяц назад
Ukiyasomesha na wewe kwa huo ufasaha na usahihi kwetu itakuwa ni faida. Tupeni nasi hizo faida.
@user-lo1uk8dp5f
@user-lo1uk8dp5f 18 дней назад
Mawahabi munakazi kila mkiamka ni kutaja mabaya ya wanachuoni mema yao mbona hamuyataji mtume asema tajeni mema ya maiti na ficheni mabaya yao
@user-rk3ej3ej2h
@user-rk3ej3ej2h Месяц назад
Uko sawa she bachu
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 Месяц назад
MUHAMMAD BACHU Mimi nilitamani ifanyike niqash ilmiyya baina ya ahlusunnah Mada ziwe 2 1 nyinyi mahizbi vs sisi si mahizbi 2 nyinyi majadida vs sisi si majadida HIVYO TUUU ILI TUJUE CHUNGU NA TAMU
@NuryaMusa
@NuryaMusa Месяц назад
😂😂😂😂😂😂
@NuryaMusa
@NuryaMusa Месяц назад
Sipo upande wowote Ila. Naamini bachu. Yuko. Tayari Abul. Fadhwil. Kama. Kawaida. Yake atakataa Kama. Alivyoitwa. Na Abuu. Muawiya. Hassan. Awadh. ALLAH. Amrehem. Mafuta. Akaogopa. Sijui
@husseinshehuna68
@husseinshehuna68 Месяц назад
Ww ndugu yangu umenena na Rai Yako nzuri kama itafanyiwa kazi wallahi...
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 Месяц назад
@NuryaMusa sasa we wataka sheikh abul fadhl afanye niqash na bachu,,,,ikiwa alishindwa ni dj sufi ,alafu utamlinganishaje na abul fdhl ,?
@husseinshehuna68
@husseinshehuna68 Месяц назад
@@ABUUJAAFAR92 Kwa hivyo unatuambia yule Sufi? ((ولا يجرمنكم شنئان قوم على أن لا تعدلوا...)) Sufi kashinda???
@zawiaissa8912
@zawiaissa8912 Месяц назад
lakin mm ninaumia mnavo msema maiti duuu😢😢
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official Месяц назад
wanawake na watoto under 18- wameambiwa wasingaliee hii
@HemedSerious
@HemedSerious Месяц назад
Swadakta sheikh 😂😂
@user-gt3rp9dy8w
@user-gt3rp9dy8w Месяц назад
Abuu muawiya alivo ulizwa kuhusu salafiya jajida akasema hakuna salafiya jajida sasa wewe vip unatuambiya kuwa kuna salafiya jajida
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Месяц назад
Daima ukiwa kipofu wa haki huwezi ona haki madamu Allah kakuelekezea utakako ww akhera atakuadhibu kwa usahihi sabu unapinga jadida na kitu kimesemwa na umekisikia kimetajwa na shekhe mkubwa abubakary zaid tena bachu kawapigia na mstari ili mashekhe wako wa kijadida kina mafuta wasipinge hizbiya jadida 😂😂😂utaki hata uthaymeen anakombora lake kwwnu au huji hilo
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Месяц назад
Shekhe muhammadi ww ni salafi wa kweli kuliko hawo kinamafuta hizb jadida wametupa mipaka kweli Allah awaongoze we ni simba wa allh katika kutetea sunnah ya mtume
@MusaMkata
@MusaMkata Месяц назад
Kwa kigezo kipi
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Месяц назад
@@MusaMkata simba wa Allah huyu so khurafi so majadida anawabuluza kule na majibu mpk leo hamtujibu
@Abuufawzana
@Abuufawzana Месяц назад
Lakini mwenyewe SI amesema chukuwa kwa maana ya MUJMAL na sio MUFASSWAL na mbele bado Kuna maelezo Binafsi hayo nimeyasikia ila yahitajia kufanya bahthi na sio ushabiki maana hii ni dini Naam.
@user-xb6tr5vq4b
@user-xb6tr5vq4b Месяц назад
Waleykum salam warahmatullah
@PrinceSindayigaya
@PrinceSindayigaya Месяц назад
Yani allah atunusuru mambo yamo katika icho kitabu yame nitisha
@SalehKhatib-ey6ct
@SalehKhatib-ey6ct Месяц назад
Mashaallah
@salehrashid-fx9rq
@salehrashid-fx9rq Месяц назад
Mimi binafsi niliwafuatilia kwa muda ya miaka minne hawa salafi jadida lkn nimeona hawana issue isipokuwa kuwaandama waislamu wenzao. Ukiwauliza mbona makafiri wamuwashambulii? Jibu lao ni “wale ni makafiri hatuna shida nao “ sisi tunapambana na bidaa tu
@sinyooo6583
@sinyooo6583 Месяц назад
😅Wanawake tusiangalie kwanini
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official Месяц назад
najua kushaangalia alaf unauliza, mmmh ww huogopi hayo yanayo semwa....??
@sinyooo6583
@sinyooo6583 Месяц назад
Kwahy wanawake ndo tusiangalie 😳​@@Nuru_ya_sunnah.official
@Shabalala99275
@Shabalala99275 Месяц назад
😂😂😂masalafi wacharurana 😂
@SuolFat
@SuolFat Месяц назад
Je ni sawa kuisema maiti
@NuryaMusa
@NuryaMusa Месяц назад
Tumuulize. Katelephone. Bwana. Mafuta. Yataaa
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Месяц назад
Akhi could they be sincere but ignorant? Can we have a good dhana?
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Месяц назад
Matusi na kutoa aibu za watu. Do wanachojuwa majadida
@bacteria5184
@bacteria5184 Месяц назад
Kwani hawezi kutoa mawaidha pasipo kutuonyesha vitabu?nauliza kwa wema
@Khalid-mf3iu
@Khalid-mf3iu Месяц назад
Wewe focus yako iko kwa Bachu au Vitabu😂
@johariabdalla3319
@johariabdalla3319 Месяц назад
Hii imekurahisishia wewe kama msomi,au hujaona ili uende kuangalia na kuthibitisha kwa ushahidi,sikuhizi watu wanakwenda na ushahidi,maana angetoa yote haya bila ya ushahidi..ungalidai ushahidi wapi ipo au umetowa,hivi ndo itakiwavyo kwa sasa
@AlexanderLacazet
@AlexanderLacazet Месяц назад
Huyu chizi nin? We unaekewa ushahidi wa vitabu unahoji chizi nin?
@athaum05
@athaum05 Месяц назад
Hapa lengo ni majadida au ulikuwa unatafuta fursa kutangaza mapungufu ya Imam Suyut (رحمه الله) kupitia mlango wa Majadida? Maana kama ni Majadida ile hoja ya kwanza ilikuwa inatosha!
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 Месяц назад
LENGO NI KUWAOYESHA HAO SALAFI JADIDI KWANI REJEA YAO KUBWA NI IMAMU SIYUUT
@SalehKhatib-ey6ct
@SalehKhatib-ey6ct Месяц назад
Wamewatoa watu kwenye usalafi abuu zagar pia wame mtoa bachu pia wamemtoa hili sifa lakundi ndo lenye tabia ya kukatana
@user-yu9gy6dg3g
@user-yu9gy6dg3g Месяц назад
hakika mbora wetu ni yule anaejiita muislam na kisha baada ya hapo akafuata quraan & sunna yake ibni abdillahi nae sio mwengine ila ni mtukufu wa darja mtume wetu (muhammad swalallahu alaihi wasallam) sasa haya mengine yanini mie salafi mie ashaari mara shia, nk. Aya sasa nawauliza haya yote yanini ikhwan fil imaan yana manfaa gani kwetu kama wafuasi wa dini yetu hii tukufu ya kiislamu ebu angalia maadui wadini yetu walivyotudhorotesha waislamu sababu ya udhaifu wetu wa haya makundi turudini katika mshikano wetu ule aliokuwa nao mtume wetu na maswahaba wake.
@HemedSerious
@HemedSerious Месяц назад
Fact Yani walio okoka ni kundi lao tu, tuliobaki sote motoni, pepo ni Kwa ajili ya salafi majadida tu
@allyhamza9969
@allyhamza9969 Месяц назад
vitabu kama hivyo vya Suyutwi vingetiwa moto.kwa sababu havina faida yoyote ila kuikejeli quran
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Месяц назад
Shekh muhammad uspate tabu Hao majadida wa znz allah kashawafarakanisha Huyo salim alomjengea mwenzake fitna abuu muawiya hasubutu kukanyaka farouk Kapgwa mkwala pale hakanyaki wala hapewi husband Sasa wanatafunana wao kwa wao Kama walivomfanyia mwenzao sasa ngoma imerudi kwao wanatafunana wao kwa wao
@khamiskhamis9947
@khamiskhamis9947 Месяц назад
إنا لله وإنا إليه لراجعون
@maulidimuhani
@maulidimuhani Месяц назад
mmh Mh Mh, Hii MAJADIIDA HAWATAIJIBU LABDA WAJIPANGE KWA MIAKA ZAIDI YA MIILI, maana muhadhara WA Dr. WA TANGA walikaa miaka miwili wanatafuta Namna ya kujitetea.
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Месяц назад
Imam suyuti ni imam wa masufi na wanafuata bila kuchunguza
@ibrahimabdul8257
@ibrahimabdul8257 Месяц назад
Hahaha sheykh abul faadhil akipelekewa hii video akiona tu ulivyojiweka katika kati ya mabook kama hivyo hatokujibu
@KhalfanMakota
@KhalfanMakota Месяц назад
Muhamad bachu piga hawa jamaa ambao wanaamin kwenye usalaf na cio kweny uislam😂
@HilaliSaidi-n2f
@HilaliSaidi-n2f 12 дней назад
Wahabi kwa wahabi sasa,
@genius0045
@genius0045 Месяц назад
Wewe mwenyewe ni hizbi
@HassanHamad-rf9tq
@HassanHamad-rf9tq Месяц назад
Wewee ni hizbi pamoja na hao mashekh wako mahadadiyaa
@SalehKhatib-ey6ct
@SalehKhatib-ey6ct Месяц назад
Doh sasa yeye kajuwaje abuu muwaiyah sio salafi na wakat muwaiyah aliwatak ndugu zake wakae kwa hoja wamekataa
@abdallahhamad8808
@abdallahhamad8808 Месяц назад
Hata mm nisalaf lkn sikam salaf hao hhhh😂😂😂
@user-sm7if6ni3o
@user-sm7if6ni3o Месяц назад
Me nasaha zangu nikwamba waislam wote tunatakiwa tuifuate manhaj salafi chamsingi tujuen yakwamba hii manhaj so yaqasim mafuta wala sio ya Muhammad Bachu chamsing kwetu sisi kwanza tumuombe allah atuthibitishe katik manhaj hii pia tuisome tena kwasana tukishasoma tutaijua hii man haj kwan wanaruambia wanawazuon wanasema isome haki utawajua watu wahaki nausifuate watu kuitafuta haki. wallaah a alam
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official Месяц назад
NB🔥🔥🔥🔥KUNA WADADA BADO WANAANGALIA HII VIDEO WAKAT WAMEAMBIWA WASIANGALIEE, mimi mwezi wa tisa ndo nafikisha miaka 18+ just nachukua hii link nikikua ntaangalia 😂
@ameirameir4349
@ameirameir4349 Месяц назад
Uraska😊😊
@mashaurimvungi2232
@mashaurimvungi2232 Месяц назад
Wewe mwenyewe sio salaf badala uulize kwanini wewe sio salaf unamuulizie mtu mwingine kwako Kuna giza na kwa jirani Yako kuna giza unaulizia giza la jirani baada ya kuulizia giza lako
@sadikiissa7756
@sadikiissa7756 Месяц назад
Hukumu ya kumjua huyu mwema au si mwema ni Siri baina ya Allah na mja wake na si vinginevyo. Ndo maana Mimi nilikataa kujiita Jina lolote lile bali ni Muislam tu Kama Quran na Mtume S. A. W isemavyo.
@hassanmohamedlaizer569
@hassanmohamedlaizer569 Месяц назад
Ndio tunataka kujua kuwa giza letu...linatokana na nini ilimtusaidie kuiondoa😊
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Месяц назад
Allah akuifadh shekh muhammad bachu Kwa kumtetea shekh abuu muawiya allah amsamehe Majadida hawawez kuiib kwa sababu ayo maswali hayatiliki mkoko
@capitalistcapital8879
@capitalistcapital8879 Месяц назад
UKIWA MKUBWA BASI WATAKUJIBU WAKUBWA KWASASA BADO WATAKUANGALIA TUU
@ABUUBAAZNYUNGU
@ABUUBAAZNYUNGU Месяц назад
​@@saidimkwinzu9106Inakusaidia nini wew Abuu Muawiyah kuwa Salafiy au kutokuwa salafy???.....wew kama wew yan inakusaidia nn...Maadam unaijua mising ya dawatusalafiyyah basi ishi nayo,mambo ya kumdiscuss mtu ambaye ashafariki sion kama ni vizur......Mtakalia tu kumjadili badala ya kumuombea dua
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 Месяц назад
@@ABUUBAAZNYUNGU kama unalijua Hilo ingekua Haina maana Kila siku kumshambulia sheikh Islam Wala barahiyan Wala msingeita wenzenu mahizbi wakat hujui hata mtu huyu kapindi au hajapinda katika misingi inayomtoa kwenye usalafi ndo mana tunahitaji majibu Faida ambayo nitapata kama sheikh Muhammad bacho atajibiwa na sheikh kasim mafuta au muwakilishi wa sheikh kasim mafuta Mimi nitaangalia je na Mimi nimo kwenye makosa Kwa dalili makosa ambayo kafanya Abuu Muawiya hadi akatika katika usalafi! Me nataka kupima mana nimesoma baadhi ya vitabu ikiwemo رفقا أهل السنة بأهل السنة. Alichotaja hapo sheikh Muhammad bacho Nikasoma pia kitabu Cha sheikh Muhammad naswir diin kinaitwa السلفية حقيقتها وسماتها Na vingine zaidi nataka nistafid kama ukweli utakuepo Mimi nitachukua maamuzi mana napenda haqqi ndo mana nataka nijue Kwann Abuu Muawiya katolewa kwenye usalafi kakhalif nin
@mwanaidiconstantine
@mwanaidiconstantine Месяц назад
Yaani siku izi hata kusoma dini tu imekuwa shida jamani hizo nguvu za mabishano wangewekeza kwenye kuieneza dini ya Allah ata ningeona ni wa maana yaani wanaacha kuwaongelea akina shekhe sule wenyekusema kufunga majini ni sawa wanakaa wakibishana wao kwawao 😏😏😏
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 Месяц назад
@@mwanaidiconstantine mbona hayo ya kina sule Muhammad nasoro bacho kayaongelea zaidi ya mara4 hukuona? Na je Kwan si alikua anamradi pia huyo sule na vile vile ni dini pia iyo anasomesha hata hapo alipo saivi anasomesha pia
@saidimkwinzu9106
@saidimkwinzu9106 Месяц назад
@@ABUUBAAZNYUNGU Kama wasipojibu bas hawana hoja na Muhammad bacho nae kasema Ivi sio lazma ajibiwe na sheikh kasim mafuta hata akijibuwa na kijana wa sheikh kasim Kwa niaba ya sheikh kasim mwenyewe yeye Hana shida lakin waweke wazi hivyo vigezo vya kumuita Abuu Muawiya kua ni hizbi watoe dalili
@abdallahhamad8808
@abdallahhamad8808 Месяц назад
Lkn fanya urud na kule kenya ukaweke sawa kisiwan Lamuu kuhus jiwe lenu na msing kun shek Katk Rehema wetu tv kuhus kuping jamb hil nenda kamuweke sawa
@laisamaujud1157
@laisamaujud1157 Месяц назад
Hebu tuliyeni mutajuwa anajuwa au kituko dawa yake iko ukingoni ataifunga youtube yake
@user-yj5on8cz3e
@user-yj5on8cz3e Месяц назад
Amna lolote majadida habar yenu kwisha mpo katika ghuru na si dini shekhe kasoma maneno ya wanazuoni hapo walotaja hizb jadida mje mkanushe kivitabu so kimajungu dini mmeingeuza uwanja wa mpira mnampa kadi nyekundu mumtakae na bado hiki chuma kinawanyosha kweli mpo katika zana tuuh! Mnachojuwa nyie matusi na kufukuza watu katika sunnah salafi swalehe hawakuwa hivyo tafuteni pa kujificha😂😂😂😂
@ABUUJAAFAR92
@ABUUJAAFAR92 Месяц назад
Kwani wewe unashida gani na sheikh abuu fadhl ?,,,
@hassanmohamedlaizer569
@hassanmohamedlaizer569 Месяц назад
Kwani sheikh abulfadhli ana shida gani na dr Islam?
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official Месяц назад
😂😂😂😂 kumekucha😅😅 kwan na nynyi mna shida gani? kwan ukweli hamuuoni?
@zaydamos874
@zaydamos874 Месяц назад
Sheikh Nassora bachu naomba namba yako
@ami_tech_3
@ami_tech_3 Месяц назад
Wamesema wanawake wasiangalie
@tztanzania2262
@tztanzania2262 Месяц назад
Ok
@user-xb6tr5vq4b
@user-xb6tr5vq4b Месяц назад
Abou alifadhili kasim mafuta nilivokua nikîsikiliza dawazake sikuanafaham kua iko katikakundihilo lakuwatoawatu kwenye uislam nasuna nandomana shehkewetubachu kupitîa aya nahadidhi usiwahurumie natunauhakika hawatokujibu tunachokuomba shekhewetubachu wàbainishe hatahuku nilipo wameanza kutukataza uingiandani yamiskiti wasioitaka au isioyao kwahivo hawawatu hawafaikwenyejami hatakubainisha aya hawafaham
@user-ov9nj7hp1s
@user-ov9nj7hp1s Месяц назад
Hatukatai unalolifanya ila hujui ungewachia mashekhe zetu wakubwa wamrudi Abulfadhli kwasababu huji kitu shekh
@Shamsudeen-h5o
@Shamsudeen-h5o Месяц назад
Aau sio...kwamba hajui kitu
@hassanmohamedlaizer569
@hassanmohamedlaizer569 Месяц назад
Hao masheikh ni akina nani?
@user-ov9nj7hp1s
@user-ov9nj7hp1s Месяц назад
Mashekh kma dr islam na wengine walio na ilimu
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Месяц назад
Mi nashangaaa kina shekh mujahidi wote wanaburuzwa na kasim.mafuta
@mussamsuya8595
@mussamsuya8595 Месяц назад
Yani wewe muhammad bachu sidhani kama kuna mtu atakujibu sidhani maana wewe unataka hukumu anayopewa mujtahidi iwe sawa na ambae sio mujtahid tambua suyutwi ni katika wenye kujitahid sasa huyo sheikh unae mzungumxia je ni mujtahid ili apewe kama alivyopewa suyutwi
@salumtakao9828
@salumtakao9828 Месяц назад
Hio so hijja. Kwaiy km mujthid na ankufurisha watu aachiwe tu kwakuwa mujithid ?? Mujibu hijja hizo mupewe zengin hpo hmtoboi mnaaibikia kule kujitia kujua kwenu sana na kukufurisha watu kwenye dini yao. Hamn hoja zkumtoa abuumuawiyya ktik hakki acheni chuki binafsi bc . Muelimishen kiongozi wenu shekh kassim amepituk mipaka 😂😂
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 Месяц назад
@@mussamsuya8595 mujtahid anatukana au kukejeli aya za Quraan? Kaka ukisoma kwanza akida kabla huja comment kitu au soma Quraan na wacha ushabiki hii ni dini
@mussamsuya8595
@mussamsuya8595 Месяц назад
Ila muhamad ulivyofanya mnakasha na said wa kenya niliona elimu yako kidogo lakin saiv hueleweki kabisa
@user-km7xi4ev9j
@user-km7xi4ev9j Месяц назад
hicho ndicho kinachowaumiza vichwa watu wadiomkubali. Wakitia mkono tu, wameumia
@musaharuna6097
@musaharuna6097 Месяц назад
We ni sawa na debe tupu. Mweupeee kila siku masufi wanakamata makosa yako ya ufahamu na lugha ktk kusoma ibara.hakuna wa kukujibu jikimbize mwenyewe
@BilaliBaruani
@BilaliBaruani Месяц назад
Na ww umekamata lipi?
@HajiKabacalaf-kv7fd
@HajiKabacalaf-kv7fd Месяц назад
Barakallahu fikum
@zawiaissa8912
@zawiaissa8912 Месяц назад
😂 astaghafirullah huyo imamu suyuti kumbe alikua mjinga hivyo😮😮😮 bora uache kutafusiri tu mana mm naona aibu utafikir naonekana 😅😅😅😅😅
@muktazimbuyu6569
@muktazimbuyu6569 Месяц назад
Huu mzigo wa kiitwa Suyut mjinga utaemda kuujibu mbele ya Allah Maana kama mtu anetafsiri kitabu cha Allah sidhani na ana vitabu vingi vya dini sidhani kama anastahili kuitwa mjinga pamojabna mapungufu aliuokuwananayo
@cassimshearer7916
@cassimshearer7916 Месяц назад
Muhammad bachu hawa wafuasi wako watafika pahala watamuona Suyutwi si lolote si chochote kwa tafsiri zako wanazozihifadhi. Na kama unachomtuhumu sio itikadi yake imam suyutwi basi utakua unamfanyia dhulma. Wallahu lmustaan
@ShabanHassan-td3lx
@ShabanHassan-td3lx Месяц назад
Muhammad bachu ananukuu kilich andikw kwnye kitabu, ila ww unabeba ujasiri wa kumtukana mwanachuon, rekebisha manen yko na lete toba.
@dawud6065
@dawud6065 Месяц назад
​@@user-xo9rb7wj7s Akhy Chunga lugha yako.
@fahmiiidrisa5110
@fahmiiidrisa5110 Месяц назад
Hapo hakuna istihzaai ila wew tu Bachu bado elim yako ni ndogo nasaha zangu kwako kasome
Далее
SPONGEBOB POWER-UPS IN BRAWL STARS!!!
08:35
Просмотров 18 млн
O'ZBEK VA TOJIKLAR ROSSIYADA TERAKT UYUSHTIRISHDI!
08:41
ИГРА ЗАМЕДЛЯЕТ МОЙ ЮТУБ... (98xx)
17:26
ШЕЛЛИ ПРОТИВ ВИ В МИРЕ ДЕНДИ!
28:30