Тёмный
No video :(

Cook with Wema Sepetu S02E07 Zuchu 

Wema Sepetu
Подписаться 287 тыс.
Просмотров 543 тыс.
50% 1

Jinsi ya kuangalia video hii nzima, unatakiwa ku Download Wema Sepetu App ambayo inapatikana Play Store na App Store, kama wewe ni mtumiaji wa simu ya Android bonya link hii ili uweze ku download Wema App na kama wewe ni mtumiaji wa iOS Bonyeza link hii shorturl.ae/XTizL
Connect with me;
Instagram - @wemasepetu
Twitter - @wema_sepetu
Facebook - @wsepetu
Click here goo.gl/0pN4kS to Download Wema App on Playstore
Click here apple.co/2PQK3vR to Download Wema App on Appstore
#CookWithWemaSepetu #Wemasepetu #Bestizzo

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 601   
@kwazulu5240
@kwazulu5240 2 года назад
Zuchu aliyekudanganya kwamba umependeza na hiyo style ya nywele Mungu anamuona. My free Advise nawaomba Muvae KOFIA au fungeni kitambaa kichwani maana nywele zinaweza ingia kwenye chakula. Hygiene first priority (healthy hazard)
@oneandonlyjanuary7579
@oneandonlyjanuary7579 3 года назад
Wow! Am just watching Wema Sepetu talking and I must say English suits her. She's a great communicator
@ramonalusweti7358
@ramonalusweti7358 3 года назад
How Wema talks positive positively about everyone is something to admire💞
@bijaysaid1829
@bijaysaid1829 Год назад
Unlike Zuchu
@alicesamson6316
@alicesamson6316 3 года назад
Naombeni like hata mbili plz nampenda wema na zuchu
@farajagabriel9924
@farajagabriel9924 3 года назад
Manywele na jikoni
@aishamkuki5649
@aishamkuki5649 3 года назад
TIBA YA GOITA BILA UPASUAJI PIGA 0766189074 KUPATA USHAURI NA TIBA KAMA WEWE UNASUMBULIWA NA UVIMBE KWENYE KIZAZI NA UNA TATIZO LA HORMONE IMBALANCE (SIKU ZAKO HAZINA MPANGILIO MZURI) JE UNASUMBULIWA NA VIUNGO NA MIFUPA NA UNAPATA SHIDA YA KUTEMBEA NA KUINAMA TUPIGIE KWA HIZO NO 0766189074, PATA TIBA YA TEZI DUME BILA UPASUAJI KWA KUTUMIA KIRUTUBISHO VYA ASILI KABISA UTI IMEKUWA TATIZO KUBWA KWA WANAWAKE KARIBU UPATE TIBA NA USHAURI 0766189074
@furahahappy6004
@furahahappy6004 3 года назад
I like
@alexseif7466
@alexseif7466 3 года назад
Wowow cutey glr wema
@alicesamson6316
@alicesamson6316 3 года назад
@@alexseif7466 tnx
@stellaekeno9809
@stellaekeno9809 Год назад
Zuchu is one of my best musician i love because she got a great voice which takes attention of soo many people 🌹♥️ otherwise both lady looks wow and awesome 💙🌹 lovee you soo much
@hassanhasuman2253
@hassanhasuman2253 3 года назад
Katika mapendekezo yangu naomba👏siku aje diamond umuoji😁 kama ubakubaliana na mm comment apa👇
@eliethseleman1876
@eliethseleman1876 3 года назад
Oyoooo
@victoriaclaud2662
@victoriaclaud2662 3 года назад
Nic
@abbyck2858
@abbyck2858 Год назад
Kwel kabs yan hiy sik mmmmmmmhhhhhhh
@Lastontano
@Lastontano Год назад
❤❤
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 11 месяцев назад
😂😂
@fatmafetty4117
@fatmafetty4117 3 года назад
Zuchu jamani Asa hiyo singuo ya kulalia hiyo jamani 😂😂😂😂😂😂😂 haya me kipindi cha madam wema nakipenda sn nawapenda wote❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@hajrafarid8942
@hajrafarid8942 3 года назад
Amesema mwenyewe, it's slumber attire. Meaning nguo ya kulalia
@itsangela7886
@itsangela7886 3 года назад
😂😂😂
@mohamedabdull7326
@mohamedabdull7326 3 года назад
Mm mwnyewe nimeona iloo 😂😂😂😂😂😂😂😂
@fatmafetty4117
@fatmafetty4117 3 года назад
@@mohamedabdull7326 yani😂😂😂😂🙌
@nassirsuleiman7156
@nassirsuleiman7156 3 года назад
@@fatmafetty4117 🤣🤣🤣🤣
@Kingkitaho.
@Kingkitaho. 3 года назад
Next time diamond platnumz please wema from America love y'all my tanzania people 🔥❤🩸
@Namjua
@Namjua 3 года назад
no
@jumamwandai9859
@jumamwandai9859 3 года назад
*TUNAOMTAKA DAIMOND LIKE HAPAAA... WEMA TULETEE DAIMOND.!!! It's me Samiry please bring here Daimond platnum.!!!* 😁😁😁😁
@shikoshania953
@shikoshania953 3 года назад
Sio zuchu peke yake ata wema 2020 AME shine!!!!
@florencekaranja8736
@florencekaranja8736 3 года назад
I love this two ladies u r just amaizing
@user-xz9si4xs9g
@user-xz9si4xs9g Год назад
Huyu ni yule zuchu wa super woman jmn waooo nice my chuchu beee
@hanifahamad2387
@hanifahamad2387 3 года назад
Jaman haka ka zuchu changu nakapenda bure tu🥰🥰🥰😘
@adelaidehumay9409
@adelaidehumay9409 3 года назад
Kama unatakaaaa kutrend na turudi tena kuangalia hiki kipindi muiteee diamond aiseee
@kyoganalogwa169
@kyoganalogwa169 3 года назад
Muwage mnaogea kishwahili bac mnajiona wazungu sana sasa mmeweka kipindi chanini sasa
@divadaqueen6558
@divadaqueen6558 3 года назад
Nawapenda bure jmn from🇧🇮🇧🇮
@kimarohuba7441
@kimarohuba7441 3 года назад
Nguo ya zuchu alovaa wazetu wanazilalia huku Mimi sizipendi balaa🙌😁😁ila amependeza 😍
@hajrafarid8942
@hajrafarid8942 3 года назад
She admitted herself, it's slumber attires.
@hadijasalum6373
@hadijasalum6373 3 года назад
Mwnyw huwa najiuliza hv hz nguo vp?
@kimarohuba7441
@kimarohuba7441 3 года назад
@@hadijasalum6373 😁😁madam ameninulia wallah sivai ananiulizaga ananambia nzuri namjibu sizitaki zipo kabatin zimejaa akanibadilishia nguo zingine🙌😂 nawaza in shaa Allah nikirud tz ntavalia ndani tena usiku nikiwa na mume Wangu sio kuvaa nitoke nje hapana
@kimarohuba7441
@kimarohuba7441 3 года назад
@@hajrafarid8942 oky dia
@damarismumbi6250
@damarismumbi6250 3 года назад
@@kimarohuba7441 yeah ni pajamas 🙈but I still love her music👌
@Muganyizi
@Muganyizi 3 года назад
Wema kumbuka mafans wako wengi ni waswahili wanaofatilia maisha magic bong....zen ukitumia english san unakuwa unazingua
@hala-bh4zm
@hala-bh4zm 3 года назад
kwani hauelewi kingereza
@Muganyizi
@Muganyizi 3 года назад
@@hala-bh4zm acha kukalili ndg yangu. Kwo watz wote wanajua kingereza? Au kisa wew unajua cha "to eat food na good morn" acha ujinga
@mizemize8894
@mizemize8894 3 года назад
@@Muganyizi 😄
@mizemize8894
@mizemize8894 3 года назад
True talk dear Kuna wengine kimombo awakijui
@florencekaranja8736
@florencekaranja8736 3 года назад
Lakini pia sio watu wote wanajua kiswahili pia so ni vizuri kutumia zote kiswahili na kingereza
@yussufyrn1590
@yussufyrn1590 3 года назад
Sisi pia tunaelewa kingereza vizuri tuu lakini pls tumia kiswahil saana kuliko lugha ya kigeni wema pls do it ‼️
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty 3 года назад
Mwenzako anafanya ivyo iliatoboe nchi zingine maana wanalipia appl yke so waelewe pia sio wote wanaongea kiswahili
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 года назад
@@allthingdranabeauty point 👌
@ellazizwheeler8331
@ellazizwheeler8331 3 года назад
Someni na nyie
@issahplanz9114
@issahplanz9114 3 года назад
Huyu zuchu mdogo wangu unanitia aibu kwenye kuvaa hujui kuvaa hujui kuvaa hujui usiige mavazi ya kikahaba ww
@Shivoo__17
@Shivoo__17 3 года назад
Cook with @diamond Platnumz please
@benardmurage5125
@benardmurage5125 3 года назад
Nakusupport sana, simba akuje sasa
@anethmembetz2950
@anethmembetz2950 3 года назад
Wema nataman ufike mbali aisee mungu akulinde
@sharontabitha8861
@sharontabitha8861 3 года назад
My favorite people 🙂🥰🥰🥰🥰zuu na wema 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@janemhango5884
@janemhango5884 3 года назад
Wema mrudie Diamond couple yenu ilipendwa sana
@sarahmndoli5154
@sarahmndoli5154 3 года назад
U
@mchagashop1342
@mchagashop1342 3 года назад
Mm kama manager wa wema nimeona wengi mnamtaka diamond PLATNUMZ 🦁
@benardmurage5125
@benardmurage5125 3 года назад
Ushasema kaka, @Diamond Platinumz
@rukayasongolo2860
@rukayasongolo2860 3 года назад
We need Diamond dada 😭🙃😂 yani wede LIVE tuna ma questions Sana
@fideliahnjenga1462
@fideliahnjenga1462 3 года назад
Wakenya tuko wapi🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ,,,ZUCHUS' FUNS❤❤❤
@rosewetuoriango6870
@rosewetuoriango6870 3 года назад
Nipo mkenya mwambie wema anita pia
@benardmurage5125
@benardmurage5125 3 года назад
Noooo.....Diamond Platinumz aletwe kwani iko nn?
@dapinitiative2451
@dapinitiative2451 3 года назад
Yaan watu baadala ya kusikiliza kinachozungumzwa wanabaki kuangalia mtoko wa dada Zuchu🤗
@anethmembetz2950
@anethmembetz2950 3 года назад
Hahahahha
@estherbakabona9930
@estherbakabona9930 3 года назад
Next time Wema Alika rose muhando upike naye plz
@artburnsolutions1899
@artburnsolutions1899 3 года назад
MashaAllah Wema unjua snaa Allah akuzidishie!
@iradukundamike5370
@iradukundamike5370 3 года назад
Wema ntarudia kuangaria kipitindi cako ukiturete exi wako diamond
@BigZhumbe
@BigZhumbe 3 года назад
Wewe unafkiri Diamond kupatikana ni easy???? Wapo watu wako wasafi wana miaka hawamuoni Mondi
@anastaciamuema
@anastaciamuema 3 года назад
😂😂😂😂😂😂
@opk3943
@opk3943 3 года назад
@@BigZhumbe 😂😂😂😂😂😂😂😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
@Swahili14
@Swahili14 3 года назад
@@BigZhumbe 😂😂😂😏
@PatnumAndrea
@PatnumAndrea 15 дней назад
Nakuona dada unaupiga mwingi hongeraaa
@dorisnyatega7014
@dorisnyatega7014 3 года назад
Cook with mama dangotee ❤️❤️❤️
@owlbig
@owlbig 3 года назад
We need simbaa apo
@phellic
@phellic 3 года назад
Zuchu is my best Tanzanian woman singer I love her so much By the way wema can u invite diamond kwenye mapishi we want to see him cook
@ramawamana771
@ramawamana771 3 года назад
Auna akil
@clarisefuruha2765
@clarisefuruha2765 3 года назад
First time to hear zuchu’s voice talking . It’s different in song
@leeldavid3712
@leeldavid3712 3 года назад
Equalization of voices,when it comes to sing 🤣🤣🤣..without that hapo hakuna sauti 👌🏾👌🏾
@juscassekisughu4632
@juscassekisughu4632 3 года назад
I like it
@sikudhanhaule8879
@sikudhanhaule8879 3 года назад
Kumbe izo nguo za kulalia tunaweza kuvaa popote sikuizii eeh 😂
@aminamuz9071
@aminamuz9071 3 года назад
exactly 🤣
@souvenirweber7169
@souvenirweber7169 3 года назад
@@aminamuz9071 imebidi nitoe macho heeee kweli ni shot pajama
@user-pj8ed9kn6g
@user-pj8ed9kn6g 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@nusramunini9650
@nusramunini9650 3 года назад
@@souvenirweber7169 huo ni ushamba pajama ya kulalia lakini hapa 🤐🤐🤐 kutoka KENYA nawapenda
@HealthandDopamine
@HealthandDopamine 3 года назад
Cook with Diamond platnumz please 🙏🏽💯
@beritadaudi8999
@beritadaudi8999 3 года назад
😂😂😂😂
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 Год назад
Diamond hajui kupika chakula cha jikoni anajua kupika wanawake tu kitandani sasa akimuita hapo atapika nini? labda achemshe maji ya kunywa
@babitasaidah5369
@babitasaidah5369 Год назад
@@yusternyirenda7231😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@Shivoo__17
@Shivoo__17 3 года назад
Diamond
@sweetvanillah6358
@sweetvanillah6358 3 года назад
Wemaaaaa wanipa adhabu wallahi plzzzzzzz daadaaa tuwekee full aki plz this punishmnt is too harsh😭😭😭😭😭😭😭😭
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 года назад
Nunua app yake
@nalahjimmy1271
@nalahjimmy1271 3 года назад
amennn...zuchu will reach further
@eyla282
@eyla282 3 года назад
Ohhh my zuchu is like me
@modekidtz9714
@modekidtz9714 3 года назад
Tunamtaka simbaaaaaa diamond platnum our legend our hero our national representer in music
@mussakhan26
@mussakhan26 3 года назад
Cook with ibraah🤗
@beauclaireangelique1452
@beauclaireangelique1452 3 года назад
We need diamond please wema I love you I'm live in america we support you much we just wanna say we need diamond 💕
@beauclaireangelique1452
@beauclaireangelique1452 3 года назад
@@ashamussa7393 I'm serious tho
@GsmMrsoft
@GsmMrsoft 3 года назад
Ukimuita @diamondplatnumz uta fika #01 on trending 😂
@yoramsichalwe7004
@yoramsichalwe7004 3 года назад
Please try kupika with Naseeb abdul aka diamond platnumz someday , we've been longing for that moment too long
@anitanahimana2115
@anitanahimana2115 3 года назад
Jamani dad wew izo nyere muwe muna zifunga mukiwa jikoni iyo sio fasi ya urembo ivo tu
@denischarlesmtimatuku3786
@denischarlesmtimatuku3786 3 года назад
We want diamond plz
@Shivoo__17
@Shivoo__17 3 года назад
Diamond please
@mjsaidkeya822
@mjsaidkeya822 3 года назад
Wow chonjo Sana, zuchu 🔥🔥🔥🔥🔥💕💕💕💕💕
@Thebking
@Thebking 3 года назад
Cook with Diamond platnumz please😒🙏🙏
@lisahsamwel3508
@lisahsamwel3508 3 года назад
🤣🤣🤣 umewaza kama mimi
@shadianshimirimana2420
@shadianshimirimana2420 3 года назад
Umenichekesha ,😆😆😆😆
@fatumaabdullahi3896
@fatumaabdullahi3896 2 года назад
😂😂😂😂
@theblackandrew4119
@theblackandrew4119 3 года назад
Kimwi hicho ni kizuri sana mniamini mimi at the ende of day,huo uportable ni deal
@mariamnashkawaa
@mariamnashkawaa Год назад
Zuchu ananikumbusha nyumbani, we ate nice foods to a point when Eid came my mom would ask us, "sasa tuapika nini?" our option was pilau ALWAYS and my thoughts were we are cooking for our guests what we love and we loooooooveeee pilau!!
@tonnytv7678
@tonnytv7678 3 года назад
Kwa mwakani Ni mwaka wa lavalava nawambien guys huo Ni utabili wangu
@TIRAVISIONTV
@TIRAVISIONTV 3 года назад
Nakubaliana na wewe
@liberathaclemence5880
@liberathaclemence5880 3 года назад
HATA MIMI NAKUBALI
@sudyhamdun7041
@sudyhamdun7041 3 года назад
Zuchu is a Beatiful
@zailulu7781
@zailulu7781 3 года назад
Wema mwite diamond platinumz
@shangwekamando2599
@shangwekamando2599 3 года назад
Atamlipa nini.diamond ni brand
@tiamo726
@tiamo726 3 года назад
@@shangwekamando2599 hahaha funny you never underestimate watu....wema and dai r running tz in different in avenue...wema pia ni brand ..do you think dai doesn't know his stars feature in wema show don't deceive urself u sound mshamba
@tiamo726
@tiamo726 3 года назад
@@shangwekamando2599 understand entertqiment mbonq dai Allendale kwa sho ya kadoti....daimond na wema kitu kimoja they hav in common is they promot tz different
@bobchanda2460
@bobchanda2460 3 года назад
😂😂😂😂 Wazungu wamekutana meza moja...kazi ipo coz me ni class 7
@veronicawambura4992
@veronicawambura4992 3 года назад
😂😂😂
@sarapaulo4718
@sarapaulo4718 3 года назад
Hapa tena
@mwatumudogo3948
@mwatumudogo3948 3 года назад
Aki siku moja tu platinumz akue mgeni wako wah
@sheegalsonie4646
@sheegalsonie4646 3 года назад
Nangoja pia ila
@hypersilver1739
@hypersilver1739 2 года назад
From Kenya😍😍😍love Please wema next time cook with Simba diamond platnumx
@tramyspinkiebee3536
@tramyspinkiebee3536 3 года назад
Wema...you will always be my star hata iwejeeee..NAKUPENDAGA MIAKA YOTEEE.asante kwa kua staa asiekua na nyodo
@tayanaliss9713
@tayanaliss9713 3 года назад
Seriously you guys, we need English subtitles😭 like Africa is so diverse and not everyone speaks Swahili? You are limiting your fan base to just Swahili when other people from other countries enjoy this content too🥺
@kitomondo
@kitomondo 3 года назад
Learn Swahili.
@tayanaliss9713
@tayanaliss9713 3 года назад
@@kitomondo in the meantime as I learn, do I use your ears to understand?
@kitomondo
@kitomondo 3 года назад
@@tayanaliss9713 Nope, your brain and audio-visual study materials like the video you are talking about can be used to learn swahili. Instead of asking Swahili speakers to deliver their contents in English. Do you go to Chinese people and ask them to speak English? Online? Please Mayn! Let us be!
@tayanaliss9713
@tayanaliss9713 3 года назад
@@kitomondo Before you respond to something that doesn’t even concern you, next time kindly take time and read a comment before you embarrass yourself on the internet. I asked for “Subtitles” and not English content. Outline the difference abeg. Don’t come here and sound like a retired English lecturer. Chinese provide subtitles in their productions because they believe that even if they are the world’s largest population, there are still non Chinese speakers out there. It’s called LOGIC
@kitomondo
@kitomondo 3 года назад
@@tayanaliss9713There you go again. I can pull a million clips on RU-vid that do not have English subtitles. Stop glorifying that Language. Swahili is widely spoken in East and Central Africa, so let it expand. I can pull millions of Chinese clips without subtitles. So don't act like they all have subtitles.
@iradukundamike5370
@iradukundamike5370 3 года назад
Zuchu umenza nawewe Tabia zaku iga wazu kuva mangu haya erewi kutuonesha matako yako😁😀
@zuriathdasilver810
@zuriathdasilver810 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@jofreymartin5801
@jofreymartin5801 3 года назад
😂😂😂😂
@stivenmtimba663
@stivenmtimba663 3 года назад
Ana Manisha akivaa hivyo atarudi utotoni lkini umri umeenda ndugu miaka 30 sijui ulikuwa unaficha kwa Nini hauoni munalingana na madam wema
@damaryjohn6985
@damaryjohn6985 3 года назад
Hahahahaaaa
@mariasej1007
@mariasej1007 2 года назад
me too,i also want to see diamond cooking with wema sepetu
@fabbykhan255
@fabbykhan255 3 года назад
Nampenda zuchu jaman mm mpemba mwenzie
@asaaomar4315
@asaaomar4315 3 года назад
Namm pia nimpemba mwenzio nipende
@user-pj8ed9kn6g
@user-pj8ed9kn6g 3 года назад
@@asaaomar4315 🤣🤣Nami pia ya Khabib
@umakramzahor4836
@umakramzahor4836 3 года назад
@@asaaomar4315 HAHAHAH anasema ww sio super star 🌟
@aboduhaji7508
@aboduhaji7508 3 года назад
Hhh khayraty ww mpemba wa wapi
@aboduhaji7508
@aboduhaji7508 3 года назад
Lylla ww sio mbumbwini 😁😁
@mwanaidytaifa3329
@mwanaidytaifa3329 3 года назад
Kwa ushauli tu, muwe mnavaa kofia kichwani wakt wa kuandaa chakula. Ona km zuchu hizo nywele zinaweza kuingia kwenye chakula.
@allyfatma7359
@allyfatma7359 3 года назад
Wazo zuri na ni Moja wapo ya Sheria za jiko.
@rosemarymsafiri2340
@rosemarymsafiri2340 3 года назад
Ni kwel dia👌
@marylucas7382
@marylucas7382 3 года назад
Kweli kabisa Kam zuchura izi nywele zinechambuka hazifai jikon izo Za stegin
@halmamudy1
@halmamudy1 3 года назад
Wema our lovely beautiful gol🥰
@Yktvkaash15
@Yktvkaash15 3 года назад
We need diamond
@zurisana8068
@zurisana8068 3 года назад
I dont think he can cook 😅
@Yktvkaash15
@Yktvkaash15 3 года назад
@@zurisana8068 ofc he can😂😂or wema will cook I just want see them telling us a story🌚🙌🏾
@aishamkuki5649
@aishamkuki5649 3 года назад
TIBA YA GOITA BILA UPASUAJI PIGA 0766189074 KUPATA USHAURI NA TIBA KAMA WEWE UNASUMBULIWA NA UVIMBE KWENYE KIZAZI NA UNA TATIZO LA HORMONE IMBALANCE (SIKU ZAKO HAZINA MPANGILIO MZURI) JE UNASUMBULIWA NA VIUNGO NA MIFUPA NA UNAPATA SHIDA YA KUTEMBEA NA KUINAMA TUPIGIE KWA HIZO NO 0766189074, PATA TIBA YA TEZI DUME BILA UPASUAJI KWA KUTUMIA KIRUTUBISHO VYA ASILI KABISA UTI IMEKUWA TATIZO KUBWA KWA WANAWAKE KARIBU UPATE TIBA NA USHAURI 0766189074
@BigZhumbe
@BigZhumbe 3 года назад
@@zurisana8068 But I think he can eat. Kila palipo na mpishi pana mlaji bora
@khalidsulait9575
@khalidsulait9575 3 года назад
@Diamond Platnumz tukusubir lini?
@hannansdeliciousfood4261
@hannansdeliciousfood4261 3 года назад
Wow...hata mm napenda iftar ya pilau ramadan japo kila ijumaa
@janethedward5381
@janethedward5381 2 года назад
Jamani daimond ana ro ya paka akumbuki ule Wimbo wake wa mbagala domo km dekio la daladala watu walikuwa wanamwita domo sasa ivi anashidwa kumsapoti wema daah kweli Dunia niwatu na watu wenyewe ndo sisi Daimondi angetakiwa yeye ndo awe wa kwanza pale tu wema alipo muomba ampe sapoti laki ndo kwanza ana abaree kweli Maskini akipata matako ulia bwata Wema Mungu akubariki na moyo wako wakipekee
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 3 года назад
Nawapenda mno jmn hawa viumbe from AUE😘🇦🇪
@bidiiyako6803
@bidiiyako6803 3 года назад
Baby wangu Wema, you look Marvelous. Soo beautiful with your Orange wearing and the Hair wow,.. I love it 😍😍😍you are soo sweet like always thanks for the nice and Lovely show together with your loving little girl Zuchu 💕muko Sawa kabisa, I love you Wema you are such a lovely woman ❤️❤️❤️😍I love you so much Tz Sweetheart 😘 😘 😘 Mungu akubariki Sana, sana 🙏 🙏
@murtazsalumu1867
@murtazsalumu1867 3 года назад
Nawapenda sana ilove zuchu😢😢😢
@derickpeter3578
@derickpeter3578 3 года назад
Wema we ni mrembo sana
@salehkamwanga2930
@salehkamwanga2930 3 года назад
Wema sepetu waooooooh respect 💐💐🇨🇩🇨🇩💯
@jacklinengozi1122
@jacklinengozi1122 3 года назад
Am not Tanzanian, but please u should cook with Tommy flavor.
@kuyu5310
@kuyu5310 3 года назад
She has a baby voice😍
@juliaayieta2578
@juliaayieta2578 3 года назад
Jamani I love your hair na hiyo orange 🍊 jumpsuit 🤩🤩🤩🤩🤩🤩 umependeza Mamii 😘😘😘😘
@nadrahassan5241
@nadrahassan5241 3 года назад
Tatizo Wema umesha julikana kama ww mnafiki 😂😂😂unaweka ukamsifia mtu ao ukamwambia unampenda kumbe unavimwambia kwa sababu yakitu fulani kumbe moyoni hamna upendo 😎
@boraally8416
@boraally8416 3 года назад
Nakupenda sana zuchu .hila leo hiyo sijaisoma
@paulineinn9264
@paulineinn9264 3 года назад
Nice Miss Wema love you so much
@zubedasalvador522
@zubedasalvador522 3 года назад
So cute
@Brenda-ii4fn
@Brenda-ii4fn 3 года назад
QUEEN'S ! 🥰❤️❤️❤️❤️
@fatumaabdullahi3896
@fatumaabdullahi3896 2 года назад
My first time seeing zuchu cooking 😂😂😂
@amanimapenzi571
@amanimapenzi571 Год назад
She is from Zanzibar. Zanzibar is the coastal part of Tanzania. We coastarians are blessed in cooking.
@marionraphael2191
@marionraphael2191 3 года назад
Nilipeza wema since 2018 sai I'm like 😳😳😳is this Wema? anyway you made it Wema 🤣🤣🤣
@uwingeneyefarida1170
@uwingeneyefarida1170 2 месяца назад
Jamani wema muambiy zuhula namupenda basi nisemee
@Shivoo__17
@Shivoo__17 3 года назад
Diamonds
@saunakilua5232
@saunakilua5232 3 года назад
Mnapika chakula kichwa wazi na maywele kama msitu.
@miriammutemi7764
@miriammutemi7764 3 года назад
Rangi ya zuchu imebadilika
@theresaelizabethelijah117
@theresaelizabethelijah117 3 года назад
Ameanza kujichubua nayeye kwavile aliambiwa si mrembo
@miriammutemi7764
@miriammutemi7764 3 года назад
Wooi Kama urembo ni weupe sisi weusi Kwisha🤣🤣🤣
@mrrajjiy6
@mrrajjiy6 3 года назад
Diamond next Wema angekuwepo Kanumba Basi tungemtaka 🔥🔥🔥🔥🇺🇸🇺🇸💯💥💯
@Swahili14
@Swahili14 3 года назад
*QUEEN ZUCHU* 😍💎
@frankphiri111
@frankphiri111 2 года назад
And you doing the great job too
@mrishohaji6742
@mrishohaji6742 3 года назад
Nc wema
@faidharamadhani8382
@faidharamadhani8382 3 года назад
Ka zuchu jamn 😍😍na ka wema wenyewe mnavutiaaa😚😚
@untouchboymsafi1788
@untouchboymsafi1788 3 года назад
Tunamtaka diamond platinumz 🦁
@xx.saicute9913
@xx.saicute9913 3 года назад
Mamy wema nna shida na wewe praivety nakupataje
@lindascreations8851
@lindascreations8851 3 года назад
We a you are soo eloquent!
@annamlay6192
@annamlay6192 5 месяцев назад
Yaani mimi sina hamu yakumuangalia wema ila zamani nilikuwa nampenda ssna
@doreenmkingi3117
@doreenmkingi3117 3 года назад
Simba jmn wema we miss him plz
@user-jt1ib5em2g
@user-jt1ib5em2g 4 месяца назад
Nawapenda sana wema and zuchu
@worldoffuraha7709
@worldoffuraha7709 3 года назад
Where is diamond platnumz sweetheart ❤️❤️
@abduraheemabdullah5223
@abduraheemabdullah5223 3 года назад
Hata sisi Ramadhan pilau tunapika kwenye MAKUMI TUU nmeipenda hiyooooooo
Далее
Cook with Wema Sepetu S02E08 Barnaba
8:09
Просмотров 55 тыс.
Extra Scenes: Cook with Wema Sepetu/Nandy
14:44
Просмотров 349 тыс.
НЕ ИГРАЙ В ЭТУ ИГРУ! 😂 #Shorts
00:28
SIGMA ENVY IS UNTOUCHABLE 🔥 #insideout2
00:10
Просмотров 2,6 млн
Cook with Wema Sepetu S02E03 Kajala Masanja
8:05
Просмотров 356 тыс.
Cook with Wema Sepetu S03E03 Jux
8:07
Просмотров 291 тыс.
Cook with Wema Sepetu S03E08 Whozu & Tunda
8:10
Просмотров 687 тыс.