Тёмный

DUUH!! WAZIRI MKUU AWASHA MOTO "MNANIDANGANYA, HOVYO KABISA HAPA HAKUNA WATUMISHI HAMISHA'' 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 227 тыс.
50% 1

Waziri Mkuu wa Jaamhuri ya Muungano wa Tanzania Kasimu Majaliwa ametoa Wiki mbili kwa Mamlaka ya Bandari Kigoma na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya kigoma kuhakikisha Bandari ya Kagunga na Soko la Kimataifa kagunga kunza kazi mara moja.

Опубликовано:

 

17 дек 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 319   
@christophermsekena616
@christophermsekena616 3 года назад
My next President Majaliwa Kassim Majaliwa
@mashakakitwana2824
@mashakakitwana2824 3 года назад
Agreed
@ilungarubwebwe3195
@ilungarubwebwe3195 3 года назад
Wazil mkuu piga kazi
@haridtk3199
@haridtk3199 3 года назад
@@mashakakitwana2824 extry next presdar
@stanleyfocas8250
@stanleyfocas8250 3 года назад
Yea
@ramadhanikasim7485
@ramadhanikasim7485 3 года назад
Katiba ailuusu angekua lais
@an6808
@an6808 3 года назад
Siku kama ya leo mwaka 2025, Mungu akikupa uhai, Majaliwa utakua Rais wa TZ,inshallah
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe 3 года назад
Naunga mkono..nampenda awe Rais kam JPM atagoma kuongeza mda wake
@michaelmbata2263
@michaelmbata2263 3 года назад
Amina kubwa tumuombee
@edwinmmary8459
@edwinmmary8459 3 года назад
Yaani leo nimejikuta nakupenda bure Mh Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Ninahakikisha kukuombea afya nguvu na hekma ya mwenyezi Mungu ili uzidi kuwa na maamuzi sahihi.
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 3 года назад
Huyu baba anatufuta machozi kabisa
@jamesthomas390jj
@jamesthomas390jj 3 года назад
Hapo bado JPM hajaanza kuzunguka. Si itakuwa balaa
@pamelauwera3830
@pamelauwera3830 3 года назад
Yaani natamani aanze nimemumiss kinoma
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 3 года назад
Ndio hapo sasa
@jamesthomas390jj
@jamesthomas390jj 3 года назад
@@pamelauwera3830 aseee sio ww tu. Karibia Tz wote tumemiss, hata wale ambao hawampendi huwa wanammiss hawawez kusema tu😂😂
@SalmaSalma-nb2cv
@SalmaSalma-nb2cv 3 года назад
@@jamesthomas390jj huwa anaanza mwez gn atamie nimemic kwel
@jamesthomas390jj
@jamesthomas390jj 3 года назад
@@SalmaSalma-nb2cv hahaha sijui, nadhan mpk mwaka kesho katikati hapo
@akimmbwego797
@akimmbwego797 3 года назад
Yaani mnamdanganya PM hovyo sana nyie hata haya amna ondoa wote wajinga hao......mnapewa kazi alafu hamjui cha kifanya🤔
@jamesshaw4011
@jamesshaw4011 3 года назад
safi kabisa Mr Prime minister say no to corruption we are so tired of it and government officials who are irresponsible
@twarqmaridadi2343
@twarqmaridadi2343 3 года назад
Kama kimombo hakiwezekani.usiandike braza
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 3 года назад
thats right!
@gilbertmariwa3830
@gilbertmariwa3830 3 года назад
Mumshukuru aliyekuja hapo ni mh. Waziri Majaliwa yaani angekuja JPM hapo meneja ungetumbuliwa kabisaaa
@beaugosseadam6831
@beaugosseadam6831 3 года назад
Subiri kitakachofuata baada ya PM kumaliza ziara zake.
@msetikebwasi6895
@msetikebwasi6895 3 года назад
@@beaugosseadam6831 Utumbuaji utafuata ndo huwa kanuni.
@mohamedpesambili9460
@mohamedpesambili9460 3 года назад
@@nationalbeautiful ni mkali lakin siyo mwamuzi wa mwisho
@abubakarimlyandi8966
@abubakarimlyandi8966 3 года назад
Milard ayo nakubal sana habar zako znakua nzuri na za uhakika ila naomba us unatupa na habar za michezo, mana Chanel zngne wanatupa habar za michezo za uongo uongo👏
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 3 года назад
Hivi unafikiri atapona huyo subiri jama atakuwa anamsikiliza waziri wake yaani ni wakuwafukuza tu hawa sio wenzetu hatuko nao safari moja
@hanialsalti671
@hanialsalti671 3 года назад
Safi sana wazir kazi nzuri
@brightbeatus8312
@brightbeatus8312 3 года назад
Asante waziri mkubwa, sina shaka ndiwe mrithi wa JPM
@mariamally1913
@mariamally1913 2 года назад
Nakupenda sana baba fanyakazi Kama makufuri nichietu kumbe inawatu tulioachiwa na jpm mungu Asante.
@barakastanny5859
@barakastanny5859 3 года назад
Big up mtendaji mkuuu wa serikali. Kwa kuona matumizi mabaya ya pesa za watanzania
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 3 года назад
Huyu ndiye Waziri Mkuu wetu wa Tanzania anayejua kutafsiri Sera za Serikali kwa vitendo.....Ifikie hatua wabadilike Watumishi wa Umma.....
@786schopetamiston9
@786schopetamiston9 3 года назад
Dah PM yupo vizuri jamani alafu mnasema government inawatesa leo nimeamin watumishi nyie ndiyo wa hovyo sana
@athumaniomari2833
@athumaniomari2833 2 года назад
Ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU endelea kuwaongoza kumsimamia kumlinda na kuzidi kuimalisha afya yake waziri wangu mkuu
@allymkamba1054
@allymkamba1054 3 года назад
Watu wa namna hii wakichapwa mnasema wanazalilishwa kweli? Wachapwe sana mpaka wapate akili, hatuwezi kuwa na watumishi wa namna hii na wakati wanalipwa kwa kodi zetu.
@newbornhaule1635
@newbornhaule1635 3 года назад
wakichapwa viboko mnasema haki za binadamu sasa hivi wanavotumia vibaya pesa zetu sisi hatuna uchungu na kodi zetu hawa inatakiwa waachishwe kazi waajiliwe haki za binadamu
@jacobletema3681
@jacobletema3681 Год назад
Mheshimiwa waziri Mkuu Majaliwa, mimi unanifurahisha mno sana, uwe rais urudishe uwajibikaji kama enzi ya Magufuli. Yaani kwa ufuatiliaji huu nakuombea uwe rais.
@alphoncembasa1775
@alphoncembasa1775 3 года назад
Duuuu. Najiunga na ccm haraka saaana
@reinaldagerodi1525
@reinaldagerodi1525 3 года назад
Fanya haraka
@alphoncembasa1775
@alphoncembasa1775 3 года назад
@@reinaldagerodi1525 Kwanza huyo mkurugenzi wa bandali afukuzwe haraka. Maana mzembe saaana. Yaani mpka wizri mkuu aende na viongozi wengine wapi. Pia mkuu wa mkoa , wilaya , mkurugezni kuweni makini na kazi zenu . Angalieni maeneo yenu. Ndio maana mmeteuliwa kuwakilisha serikari kuu .
@jeremiahzacharia7655
@jeremiahzacharia7655 3 года назад
Karibu
@cellinamgale1361
@cellinamgale1361 3 года назад
Mh.waziri mkuu naomba utembelee Wilaya ya Mpwapwa
@haipo8949
@haipo8949 3 года назад
UNACHAPA KAZI BABA. UNAKWENDA FIELD NA C KUWATUMA WATU. UNGETUMA MTU HAPO ANGEKULETEA POSITIVE ANSWER. KUMBE KILA KITU NI NEGATIVE.
@axumsharkun924
@axumsharkun924 Год назад
Nakukubali zaid ya yule alieko madarakan mungu akulinde uje utuongoze inshaallah
@temkezatv4381
@temkezatv4381 3 года назад
Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI.
@johnlembo2955
@johnlembo2955 3 года назад
JPM ni mtu mzuri sana, hatakubali kuibadili katiba ili akae mpaka kifo. Kufanya hivyo ni kutengeneza mazingira kwa kiongozi atakayetaka kuwa dictator kufanya hivyo kiulaini
@mosescharles6311
@mosescharles6311 3 года назад
Nakuunga mkono waziri wangu piga kazi mungu yupo nawewe tuta kuombea piga kazi
@aliysalimu5897
@aliysalimu5897 2 года назад
Mungu Akuweke. Uje kuwa. Rais. Wa Tanzania.
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 3 года назад
Mungu akutunze Rais ujaye,mwenye roho ya Magufuliiiiiii,nafarijika sanaaaaaaaaaa.
@amosmahona433
@amosmahona433 3 года назад
Salute kwako Mhe. Waziri mkuu
@yahyachande3009
@yahyachande3009 Год назад
Watanzania ndio tunataka Rais wa Aina Kama yako mh waziri mkuu hongera Sana wewe ndio unastahili kuwa Rais wetu wa jamhuri ya muungano wa tanzania
@babajoyce7955
@babajoyce7955 3 года назад
Amelala humu ndani jibu swali
@abdulseifmtuluma4484
@abdulseifmtuluma4484 3 года назад
Unaweza kujiharishia...😀
@marymfugwa847
@marymfugwa847 3 года назад
Unamdanganya mkuu! Nyumba nzuri lakini mnazitelekeza afadhali mnge wapa masikini wazitumie kwa mda kuliko kuzitelekeza.
@jumahory3069
@jumahory3069 3 года назад
ktk waziri wakuu majaliwa nsmkubali sio pinda nimtendaji
@tofikinaftali4336
@tofikinaftali4336 3 года назад
Usiombe ukutane na majaliwa hakuwachi salama kuna wengine watapigwa makofi hadharani
@RioIpo
@RioIpo 3 года назад
Ana maswali magumu na sauti yake amazing
@shantalismailhassan9878
@shantalismailhassan9878 3 года назад
Hovyo kabisa!
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 3 года назад
😂😂😂😂😂😂ofic haina hata kigoda kwa mhe waziri kassimu huyu moto unawaka watumishi mtapata tabu sana😋😋😋😋😋😋😂😂😂😂😂😂
@mossyfimbo3577
@mossyfimbo3577 3 года назад
Kama mtu huwezi kazi si uwachie wengine kuliko kutesa wananchi wanasubiri port ifunguliwe wao wameshakula pesa za kujengea hayo malengo sio ya billion 3 hayo ni wezi tu hao afukuze woote mbona watu wako wengi wanasubiri waitwe halafu unapata kazi unacheza na wizi juu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 года назад
Ahsante sana MHE majaliwa kazi inaendelea
@festohaule5968
@festohaule5968 3 года назад
Hapo Mkuu wa mkoa .Mkuu wa Wilaya.0.0..
@godlema6104
@godlema6104 3 года назад
Walikuwa wakuweka ndani kwanza wajifunze
@khadijamzee6560
@khadijamzee6560 3 года назад
nga
@godlema6104
@godlema6104 3 года назад
@@khadijamzee6560 ndio unajuwa watuwengine niwasomi niwakubwa lakin awajui kujiongoza na kujiongeza mpaka wapelekeshwe
@shabanmohamed1545
@shabanmohamed1545 3 года назад
Nampongeza sana mh.waziri mkuu ,wangi watumishi wa serikali wanayanyanyapaa majengo wanayopewa na serikali matokeo yake wanakuja huku mitaani kufanya nyumba ziwe na bei kubwa kwa wananchi wa kawaida.
@esthernsami7732
@esthernsami7732 3 года назад
Sisi walala hoi tulikuwa hatuna pa kusemea. Tulizoea kudanganywa.Muda umekwisha. Tuko nyuma ya Raisi wetu na viongozi wetu.Lazima tubadilike.Hatuwezi kudanganywa kila wakati, Baadhi ya viongozi watoto wao wapo ulaya kusoma au Internatinal school kwa pesa ya kodi zetu. Tulikuwa hakuna Shule Afya wala barabara .Leo hii tunaona mabadiliko, lakini wapo wanaoturudisha tulikotokea. LOVE YOUR MOTHER COUNTRY. GOD SAVE OUR PRESDENT
@papadimayo1chanel.747
@papadimayo1chanel.747 3 года назад
Mh. Kwani hamjui Kama siku zote huwa mnadanganywa na watumishi wenu?. Fukuza Mara moja hao, wapi vijana wengi tu hawana ajira.
@leonardkayolo7314
@leonardkayolo7314 3 года назад
Viongozi wengi wa Bongo wasiposimamiwa hawawezi kujisimamia, ni hovyo tupu
@mr.machange1377
@mr.machange1377 3 года назад
Hii nchi madudu kwa mawaziri na makatibu na wafanyakazi wa ngazi za juu yametoka sasa yapo kwa wafanyakazi wa kawaida na ngazi za chini na kwa varangati hili yatatoka tz yote kila ofisi itasalim amri
@mweyoms5548
@mweyoms5548 3 года назад
Jinsi hii nchi ilivyo na lundo la watendaji wazembe na wapiga dili,Rais JPM Waziri Mkuu Majaliwa wanalazimika kumeza HEDEX au DAWA TATU kutuliza maumivu ya kichwa kabla ya kulala.Wana kazi ngumu mno 'kuswaga' watu wanaojua wajibu wao lakini wanasubiri kusukumwasukumwa kama wanyama.Ni wizi na uzembe kila wanapokwenda.
@khalidali1130
@khalidali1130 3 года назад
Halafu watu wakitaka ajira wanasma hakna ajira wkt kunnmijitu inajfany wajira watendaj kumbe wanalala n kuamka tu hovyooo
@prettyh7509
@prettyh7509 3 года назад
Mashallah 🥰🥰🥰👍
@magellasaid28
@magellasaid28 3 года назад
TUMBUAAAAAAA BABA WAPUMBAVU HAO, YAANI HAWAJUI SERIKALI SIO ILEEEE YA MZEE WA KUSAFIRI FUKUZA WOTEEEEEE
@robinsonerasto8069
@robinsonerasto8069 3 года назад
Nlikua nasubir mtu apigwe kibao apo😂😂
@naamohamed9964
@naamohamed9964 3 года назад
😃😃😃😃harafu kama kilitaka kutoka kiende shavuni
@dullygooners974
@dullygooners974 3 года назад
Me nilidhani anapigwa kweli
@amriharuna4236
@amriharuna4236 3 года назад
Kama mimi
@kambiissa4465
@kambiissa4465 3 года назад
Ninakukubali sana Waziri Mkuu......hakika umewasaidia sana wananchi wa Kagunga walikuwa wanateseka
@esabelfadhili8432
@esabelfadhili8432 3 года назад
Alafu wamejengewa nyumba za kisasa kabisa hawakai jamaniii
@saidlucas1216
@saidlucas1216 2 года назад
Anafaa kuwa rais huyu kwa kweli %100
@janethlupilli1117
@janethlupilli1117 3 года назад
This fire aise kwa maswal hayo ctak ajira serikalin
@raphaelsegu2017
@raphaelsegu2017 3 года назад
Piga kazi baba Mungu akulinde tunakuombea watanzania
@manasemwakilasa5931
@manasemwakilasa5931 3 года назад
Mnamdanganya next Rais
@georgealoyce7280
@georgealoyce7280 3 года назад
Daaaa wenyewe uwezo wa kufanya kazi wapo mitaani wanaonyesha uwezo mitaani wasiokuwa na uwezo wapo serikalini wanaonyesha wanafanya madudu.naomba kazi hiyo mh.waziri mkuu
@zefamange7281
@zefamange7281 3 года назад
KOMAA NAO WAZIRI WANGU. WALIZOA AWAMU YA NNE
@maxmaizer4631
@maxmaizer4631 3 года назад
Nisha sema heri niwe fundi gereji sio kuwa mtumishi serikali awamu hii ya tano unaweza kunya .mbele ya alaiki tena mbere ya uyu mzee majaliwa 😂 bora ukutane na mag sio uyu
@khalidmohamed454
@khalidmohamed454 Год назад
Majaaliwa hongera sana mkuu
@mgenditedisia5679
@mgenditedisia5679 3 года назад
Our next president
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 года назад
Kaza buti MHE majaliwa majengo yanaharibika wafukuze kazi hao baba waharibifu wa pesa za serikali
@ednamanji
@ednamanji 3 года назад
Jibu Swali analala hapa!!?? Huyu ana la la humu!!??
@godymwalyale8634
@godymwalyale8634 3 года назад
Kazi nzuri sana
@victorvenance1009
@victorvenance1009 3 года назад
My next President
@jemedarijuma8953
@jemedarijuma8953 3 года назад
Endeleeni kuwapendelea hawo hawo. Sekta ya elimu; walimu hamuwajengei nyumba wala ofisi bora hakuna. Billion of money wastage coz miaka mitatu hakuna walichozalisha ktk fedha mlizowekeza hapo.
@capastapeter2173
@capastapeter2173 3 года назад
Jibu Analala au halali
@injili90
@injili90 3 года назад
😁😁😁😁😁Analala humu ? Analala humu? alikuja juZ analala humu😂😂😂
@feisalsalum1258
@feisalsalum1258 3 года назад
Sasa naanza kuiona Kigoma mpya
@otienookeyo1423
@otienookeyo1423 3 года назад
Nakuambia hii awamu na kwa vile tunamaliza kipindi chetu mbona mtakoma.
@errydeo8865
@errydeo8865 3 года назад
HAWA WATUMISHI HAWAKO SERIOUS ,TIMUA!
@rajaburajabu3963
@rajaburajabu3963 3 года назад
Ubarikiwe mkuu
@musasabu6969
@musasabu6969 3 года назад
Mh.waziri mkuu Hawa watu bado hajaelewa mnataka nini wanafkili ni mda wa kbembelezana
@josephinanikwelimdacki3330
@josephinanikwelimdacki3330 3 года назад
Mungu akulinde
@mtopelamussa7440
@mtopelamussa7440 2 года назад
Kassim maajaliwa tunaombea uwendelee kupata nguvu zaidi
@adoratmwashinga89
@adoratmwashinga89 Месяц назад
Majaliwa akisimama Urais ntampigia kura nikiwa kenya
@user-dj7mw5rx5h
@user-dj7mw5rx5h 4 месяца назад
Saluuut kwa waziri mkuu
@jogoolashamba3074
@jogoolashamba3074 3 года назад
Wewe jibu huyu analala hapa
@bernardoleonard7331
@bernardoleonard7331 3 года назад
🤣🤣🤣😁😁😁😃🤣🤣
@pancrasndunguru1282
@pancrasndunguru1282 3 года назад
Ah alikuja jana.. Haha
@jogoolashamba3074
@jogoolashamba3074 3 года назад
@@pancrasndunguru1282 hahahaha
@emilyibraimo5032
@emilyibraimo5032 3 года назад
Sukumaa ndani
@charlesrwegalulila1069
@charlesrwegalulila1069 3 года назад
Good work from JPM
@tatoorashedi1787
@tatoorashedi1787 3 года назад
Kaka ww ndio mboni yetu Tzmacho yetu kwako mungu akulinde na mafisadi isiwe kama...
@kareemsukri3256
@kareemsukri3256 3 года назад
Next president
@stevemwakisimba5986
@stevemwakisimba5986 3 года назад
Ukikutana na majaliwa ni bora ukutane na jpm huyu ndio rais ajae
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 3 года назад
Yaani wakigoma mnakwama wapi..?.....kesho mnalalama Serikali haiwaangalii...!....Yaani ni uchawi tu...!
@leilatsangali3945
@leilatsangali3945 3 года назад
Kaz kaz safi sana baba
@munaahmed8499
@munaahmed8499 2 года назад
Akimaliza mda wake mama tu tunakuomba gombea urais na makam mchykue Ally happy mnajua kuikomboa nchi nyie kam alivyokuw marehe rais Magufuli
@ramadhanimasudi6904
@ramadhanimasudi6904 3 года назад
Hawa watumishi kiukweli wana roho ngumu hata ya kuua mtu! Yaan mpaka waziri anadanganywa mbele ya waandishi wa habari! Hii ni hatari sana kiukweli!
@juliusoscarngeze2515
@juliusoscarngeze2515 Год назад
Unafa hata kua mangufuli ajae
@shabaninyanda4262
@shabaninyanda4262 3 года назад
Yan uyo jamaa anasema uongo af sura kavu kishenz na still anabisha apo apo mbelee ya waziri mkuu yaan kuna watu ni waongo by nature
@sirsebaonline9106
@sirsebaonline9106 3 года назад
Mi nashangaa watu kma hawa washachuma vya kutosha. Njia pekee ya kutengeneza ajira ni kufukuza tuu hawa wawape wengne nafsi ambao wapo mtaani wenye weredi ili nao waonje keki ya taifa
@jacklinejosephat9973
@jacklinejosephat9973 3 года назад
Baby wangu wanamfundisha uongo tu😂😂😂😂Ila majule kwann useme uongo lakn
@mcheshcomedy5809
@mcheshcomedy5809 3 года назад
SAF SANA FUTURE PRESDENT 2025✍️✔️✔️✔️✔️
@twarqmaridadi2343
@twarqmaridadi2343 3 года назад
Lugha ya watu hii jaman..kiswahili mbona simple tu.future president
@mcheshcomedy5809
@mcheshcomedy5809 3 года назад
@@twarqmaridadi2343 Unateseka ukiwa wap Kwanza we 4m1??🙄🙄🙄
@twarqmaridadi2343
@twarqmaridadi2343 3 года назад
@@mcheshcomedy5809 sawa mm 4m1 ila nimegundua umezingua kimombo.sasa sijui ww hata la saba kama umefika
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 года назад
Masikini wee, njia ya muongo kweli ni fupi,,,,,,,,,,!!!!
@deusdeditswebe8930
@deusdeditswebe8930 3 года назад
PM.......💪💪💪
@salehejongo2799
@salehejongo2799 3 года назад
Majaliwa safiii hapa kazi tu.
@latifsahib7110
@latifsahib7110 3 года назад
Kuna watu wana moyo wa chuma, yaan wanataka kumdanganya PM mbele ya vyombo vya habari...
@maswamills3161
@maswamills3161 Год назад
MH.iwe iwavyo 2025 chukua fomu BABA,CCM ikikuzingua vaa koti la chama chochote uzichote kura.hatuna haja na vyama kwa sasa tunamtaka Kiongozi Mwenye uchungu na pesa za walipakodi ,hakiliwi chama zinaliwa pesa.
@athumaniomari2833
@athumaniomari2833 2 года назад
Ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU endelea kuwaongoza kumsimamia kumlinda na kuzidi kuimalisha afya yake raisi wangu na wasaidizi wake wote
@barakanestory3521
@barakanestory3521 Год назад
Huyu anafaaa kuwa Rais,wasimbanie,2025 karibu.Fukuza,hii nchi ukilegeza tu,wefikiria, kaja bush,klinton,Obama,Rais wa china,lakini mpaka Leo kuna mgawo wa Umeme? Shida ni usimamizi,wote wangekuwa kama waziri mkuu nchi ingesonga mbele.
@edisonpeter3894
@edisonpeter3894 3 года назад
Hao ni wafuasi wa UKAWA wanafanya kilanjia kuihujumu serikali ili watu waichukie.
@ramadhanikasim7485
@ramadhanikasim7485 3 года назад
Kunamzee pemben apo anapo ongea wazili jukwaan kavaa miwan amefanana na beka bfever
@furahajonas7425
@furahajonas7425 3 года назад
Hapo saf
@peterkailembo4101
@peterkailembo4101 3 года назад
Hivi kwa nini watu wanakuwa waongo, unamdanganya boss wako janga hili
@feisalsalum1258
@feisalsalum1258 3 года назад
Yaani kwa kigoma yapo majipu mengi sana yaani kama ndo hivi kichaka kinakuwa kisafi maana kilikuwa ni kichaka cha hovyo kabisa yaani nimefurahi
@amanisima9357
@amanisima9357 3 года назад
😂😂😂😂😂😂👏👏👏👏 yani Leo sauti ya majaliwa sitaisahau.
Далее
The Trump rally shooting from a photographer's POV
00:58