Тёмный
No video :(

DADA WA KAZI ADAIWA KUMUUA MTOTO WA BOSI WAKE 

Geah Habibu
Подписаться 368 тыс.
Просмотров 282 тыс.
50% 1

Nitukio la kusikitisha kutoka Kutoka mwisho wa lami ambapo dada wa kazi adaiwa kuuma mtoto wa mwaka mmoja ambaye aliachwa naye baada ya mama wa mtoto kwenda hospitali.
Fwatilia tukio hili kisha utoe maoni yako
#geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 720   
@dianachami6768
@dianachami6768 4 года назад
Ee,Mungu wetu tunakuomba utupe ufahamu, utupe jicho la tatu tunapopata wafanyakaz wachawi utujalie jinsi ya kuwagundua kabla hawajatuulia watoto wetu. Amina🙏🙏
@rosemarymashauri8628
@rosemarymashauri8628 4 года назад
amina
@shanishosho911
@shanishosho911 4 года назад
Amina
@roseo6742
@roseo6742 4 года назад
9
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 года назад
Ni kweli kabisa hawa wadada wa kazi wengi wao ni wachawi.tuwe makini sana nao.
@dinatalib2703
@dinatalib2703 4 года назад
Mtihani mkubwa sijui tufanyaje
@helenafrankchristianfrank1328
@helenafrankchristianfrank1328 4 года назад
Nmshukuru mungu mdada wa kazi wangu aliniambia mapema dada naomba niondoke nyumbani bibi ananisumbua nitawaumiza watoto wako mi nawapenda bibi ananufatafata sana
@GeahHabibu
@GeahHabibu 4 года назад
Duuh
@nkanapeter1478
@nkanapeter1478 4 года назад
Uwiii
@zuwenakimbago3440
@zuwenakimbago3440 4 года назад
@@nkanapeter1478 jaman bora huyo aliesema anataka kuondoka
@helenafrankchristianfrank1328
@helenafrankchristianfrank1328 4 года назад
@@zuwenakimbago3440 yani we acha tu rafiki yangu aya mambo yapo mwengu mi zamani nilikua hata siaminigi hila yalivyonitokea yule bint kuniambia kwa mdomo wake kwanza nilivulugwa alafu ye ndo alikua analala nao ananiambia bibi akinifata nachanganyikiwa najikuta nafsi inaniambia nimkamate mtoto nimnyonge basi nashindana nayo naanza kusali basi nikianza kusali napitiwa yani nakua kama sipo apa basi namuaona bibi ananiambia salama yako fanya nilichokuambia kama hutaki nitakutesa sana ananiambia mi namkubalia akitoweka tu naludi katika hali yangu basi asubuh nawaangalia watoto nawaonea uruma siku nyingine anakuja mchana basi nikiona ile ali inanianza nawafukuza najifungia na geti nafunga nawaacha nje wanacheza mi nakua hata sijielewi yani nakua na hasira sana naweza hata kumnyonga mtoto ile asila najikuta naanguka napoteza faham bibi anakuja tena ananihimiza nitimize alichoniomba alipoona nakataa akanipa ugonjwa wa kutokwa damu hili nipone nikubali dada naomba niludishe tu nyumbani mi mwezi wa tatu huu naumwa tuu kila situ natokwa damu hee alivoniambia ivo niliemwaa akaniambia mi nakuambia sababu nakupenda dada na ninawapenda watoto wako kama nikitibiwa nikapona nitakuja kwani nilimchelewesha
@helenafrankchristianfrank1328
@helenafrankchristianfrank1328 4 года назад
@@GeahHabibu da geah aya mambo yapo kabisa wala sio maigizo mi ningekua nimekaa na yule bint vibaya hau nisingemfanya rafiki yangu sasa ivi angekua kashaniulia mwanagu yule pengine hata wote bila mimi kujua
@rahmasuleiman9334
@rahmasuleiman9334 4 года назад
Kitu cha msingi.kabisa ni kumtanguliza Allah ktk maisha yetu..na kuyakabidhi maisha yetu kwake..tufanye hivi kila ck za maisha yetu Mwenyezi Mungu ndie mlinzi wa maisha yetu..pole saaana dada Allah akupe subra
@internushkaal-adawy1465
@internushkaal-adawy1465 4 года назад
Aisee inauma Da Geah uwe unatuonyesha picha za hawa wafanyakazi jaman leo kafanya huko hatumjui ataenda kwao atarudi mjini kufanya kazi kwingine vyema tuwaone sura zao kwa tahadhari jaman...
@marytemu7773
@marytemu7773 4 года назад
upo sahihi kabisa
@memisaphusseni7190
@memisaphusseni7190 4 года назад
Ooofwii ! subhanaallah mungu atulindie na watoto wetu inshaallah
@eviepretty9006
@eviepretty9006 4 года назад
Jaman sikuhizi wafanyazi wamekuw Kama wanyama matukio yao yamezid ee mungu tunusuru Waja wako na Hawa wafanyakazii 😢😢😢😢😢😢😢😢
@naimamunishi1241
@naimamunishi1241 4 года назад
Inalillah wainaillah rajiun 😭😭😭jamani kila siku matukio ya watoto why?eh mwenyez mungu walinde watoto wote Kwan sisi pekeyetu hatuwez yarabbii🙏
@edinahmaganga2722
@edinahmaganga2722 4 года назад
Jamani hawa wadada wa kazi mbona imekuwa shida itabidi tuwe tunawapeleka makanisani misikitini wakaombewe maana imekuwa shida mauaji mbona yamezidi wasichana wengi wamekuwa maajenti wa shetani kama unaamini gonga like hapa
@rahmasuweyd827
@rahmasuweyd827 4 года назад
Mtoto ma sha Allah mzuri, inalilahi waina ilahi rajiun 😢😢😢 sijaolewa sijazaa but napenda watoto,,,,nikiskia hivi ama kuona moyo unauma utasema naujua uchungu wa mwana😧😧😧😧😧😧pole Sana mamaa
@Amina-bq2xe
@Amina-bq2xe 4 года назад
Kweli da Geah, hiyi ni mafunzo tosha kwetu wa zazi. Bora tufanye shuruli zetu wenyewe kuliko kuweka wafanya kazi. Wamechosha na vituko, kila kukicha story za ma house girl. Inallilahi wa inallilahi rwajihmn 😭😭😭😭😭😭😭😭 uchungu mno.
@rahmakawtharylupande6972
@rahmakawtharylupande6972 4 года назад
Kama ni mtumishi unafanyaje? Inabidi umtafute mfanyakazi mungu atuepushe tuu na hilo balaaa
@kaundimeshegilla7751
@kaundimeshegilla7751 4 года назад
Duh inaumiiza sana jamani sina la kusema nimeishiwa nguvu kabisa pole sana nduguyangu M/Mungu akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu 😭😭😭😭😭😭
@Amina-bq2xe
@Amina-bq2xe 4 года назад
@@rahmakawtharylupande6972 ndiyo unaweza weka house girl lakini hakikisha unamfahamu vizuri na familia yake pia uifahamu.
@kaundimeshegilla7751
@kaundimeshegilla7751 4 года назад
@@Amina-bq2xe kinachouma jamani hata ufanyeje tunahitaji msaada wao kwa mfano utafanya kila kitu mwenyewe lkn utahitaji msaada eidha utapata matatizo utabeba watoto wote wengine eidha wapo shuleni je utajigawa vp? M/Mungu atusimamie bila yeye kwakweli hatuwezi chochote inaumiza sana jamani.
@Amina-bq2xe
@Amina-bq2xe 4 года назад
@@kaundimeshegilla7751 tena wa Tanzania nawapenda saaana japo kua mimi siko mTanzania ila najua mTanzania Ni watu walipewa vipaji kama wazungu, yakumchunguza mtu mpaka kumjua nakujua zaidi malengo yake. Sasa sizani kama house girl ataweza kua na ujanja waku jificha mpaka usi mjue. Never.
@ameulmontan6753
@ameulmontan6753 4 года назад
Wazazi waombeeni watoto wenu wakabidhini mikononi mwa Mungu kila siku wala shetani hatakaa kupata nafasi kwenye maisha yao
@ramlabaruani4202
@ramlabaruani4202 4 года назад
Dah😭😭😭😭😭wachawi wachawi mnatusononesha Sana khaa kwanini lakini 😭😭😭 mapata faida gani jamani 😭😭😭 pole dada pole ndugu yetu
@leahsilau6983
@leahsilau6983 4 года назад
Huyo msichana kampa huyo mtoto sumu maiti ichunguzwe apewe adhabu yake, asijitete uchawi.😢
@mariammsua7037
@mariammsua7037 4 года назад
Wamama jifunzeni kutokana na makosa jaman juzi tuu mmeona tukio kama hili Leo mnaacha watoto tena jamn kwanini hamuwi makin jaman me wangu ana miaka mitatu ila kila mahali nipo nae hata nikiwa na msichana wa kazi sisubutu kumuacha
@bihawahamisi8522
@bihawahamisi8522 4 года назад
Ndio uko kazni utafanyaje nivitu vyakuomba mungu tu
@tinakaali296
@tinakaali296 4 года назад
Mimi je sithubutu
@marsgenesis7200
@marsgenesis7200 4 года назад
Da inatia huruma sana,pole mwanamke mwenzangu,pole sana
@balolematoja2163
@balolematoja2163 4 года назад
VVs
@williammkenda3062
@williammkenda3062 3 года назад
Uko bize na simuu ee,,,pole Sana dada
@agnesgolden6664
@agnesgolden6664 4 года назад
Nimekosa ata cha kucoment mimi daaa
@msafilidickson725
@msafilidickson725 4 года назад
A see ninoma
@dullahjuma6137
@dullahjuma6137 3 года назад
😭😱
@ndenitoriakimaro9631
@ndenitoriakimaro9631 4 года назад
Pole mno dada jamani nimeumia😭😭😭MUNGU akupe faraja.Alafu tuwe makini pindi tutafutapo wadada wa kazi MUNGU atusaidie😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@winfridajohn9626
@winfridajohn9626 4 года назад
Mh
@raiye5621
@raiye5621 4 года назад
𝑲𝒘𝒆𝒍𝒊 𝒌𝒂𝒃𝒊𝒔𝒂 𝒎𝒂𝒏𝒂 𝒖𝒕𝒂𝒎𝒖𝒘𝒂𝒎𝒊𝒏 𝒎𝒇𝒏𝒚𝒂 𝒌𝒛𝒊 𝒌𝒖𝒎𝒃𝒆 𝒏𝒊 𝑨𝒅𝒖𝒊 𝒚𝒂𝒌𝒐 𝒉𝒆𝒆𝒆 𝒎𝒖𝒏𝒈𝒖 𝒘𝒂𝒏𝒈𝒖 𝒄𝒋𝒖𝒊 𝒉𝒂𝒕𝒂 𝒌𝒂𝒘𝒂𝒛𝒂 𝒏𝒏𝒊
@irenemacha7457
@irenemacha7457 4 года назад
Nimungu tu asimame mwenyewe mpenzi kwa sabbu nivigum kuujua moyo wa mtu
@keyakeya8911
@keyakeya8911 4 года назад
@@raiye5621 daaah nikikumbaka mtoto WA Dada angu alinyongwa namfanyakazi sina hamu kabisa kabisa na wadada WA kazi
@raiye5621
@raiye5621 4 года назад
@@keyakeya8911 𝒅𝒂𝒉 𝒑𝒐𝒍𝒆 𝒔𝒂𝒏𝒂 𝒖𝒎𝒆𝒏𝒊𝒔𝒉𝒕𝒖𝒘𝒂
@mariammulumba9444
@mariammulumba9444 4 года назад
Kweli ni mwanae wakumzaa👀mbn mkavu sanaaaa jmn!! Pole MAMA
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 4 года назад
Usimhukumu kuwa mkavu Haina maana Hana uchungu.na huenda keshalia Sana hata akilia Kila dk itamchosha tuu
@jacklinemwanga1691
@jacklinemwanga1691 4 года назад
Ila kwel yupo kavu utafikir tukio ni lazaman maybe ndo alivyo tusiangalie hili sana
@shaytinna3904
@shaytinna3904 4 года назад
Kwani lazima kulia?
@jacklinemwanga1691
@jacklinemwanga1691 4 года назад
@@shaytinna3904 utakuwa bado hujazaa ww mtt wako wa kumzaa usimlilie kwa kuondoka tena hutomwona tena! ! Tobaa 🙆🙆
@johnfaustin2985
@johnfaustin2985 4 года назад
🙄🙄🙄🤔kwakweri
@mghasemary5002
@mghasemary5002 4 года назад
Mungu wangu simama na watoto wetu 😭😭
@julianamaadam8838
@julianamaadam8838 4 года назад
Me wng nimemtimua Leo jaman Mana Kuna mambo nimeyaona aisee nimeogopa yasije yakatokea kwa wanangu na hv nasafr safr akuuu
@gililwise
@gililwise 4 года назад
Mungu atusaidie na kutufunulia yaliyofichika kwa wadada wa kazi poleni sana wafiwa
@rachelmsekena603
@rachelmsekena603 4 года назад
Wasichana wa kazi sasa hivi wamekua tishio mpaka naogopa kutafuta dada wa kazi, jamani wamama kama mtu uko nyumbani huna shuhuli yoyote bora kulea mwenyewe mtoto wako au kama huwezi bora kujua historia ya msichana kwanza ndo umchukue sio unaletewa tu na mtu.
@salmaismail686
@salmaismail686 4 года назад
Pole Mamito mi naomba tuu niwakumbushe kinamama wenzangu tusiwaamini sana wadada wa kazi kwa kuwa sio wazuri kwetu ni basi tuu
@sarahtaste2876
@sarahtaste2876 4 года назад
Niko radhi nipoteze hela za daycare kuliko wadada wa kazi ntakuja niue mtu nifungwe gereza la dunia sitaki utani na mtoto wangu duniani humu kuna watu ni mawakala wa shetani
@MadamRehemaRamadhani
@MadamRehemaRamadhani 4 года назад
Mi ndo nilifanya hili, na sasa almost miaka 6 hatuna dada, tunaishi raha mstarehe, naleo wanangu mwenyewe. Daycare nzuri sana
@mamachris6811
@mamachris6811 4 года назад
Joyce Kiria upo ???? Maana kila siku unatetea wadada wa kazi Uwe una balance story zako
@rahmakawtharylupande6972
@rahmakawtharylupande6972 4 года назад
Kwa kuwa alishawahi kufanya kazi za ndani basi anaamini wasichanya wananyanyaswa sana lkn asilimia kubwa wasichana ndo wanatunyanyasa kama hivyo sasa.
@rahmakawtharylupande6972
@rahmakawtharylupande6972 4 года назад
Mm nilikuja kuambia na jirani yangu kuwa mtoto alikuwa ananyonyeshwa ninapoenda kazini, yaan mtoto alikuwa anaharibika ngozi anakuwa mweusi na anatokwa na vipele, mama nikakazana kumbadilishia mafuta huku nikiuliza ana shida gani huyu, kumbe Maziwa anayonyonya yanamuathir
@rahmakawtharylupande6972
@rahmakawtharylupande6972 4 года назад
Kama kweli ni mtetezi atetee na watoto wetu wanavyoteswa na kuuawa na wasichana wa kazi
@kumbukajunior0429
@kumbukajunior0429 4 года назад
Haki huwa ananiuzi japo kazi yake nzuri aje aonyeshe na madudu yao pia
@heyumi2340
@heyumi2340 4 года назад
Sio wadada 2 hata nyie huwa mnanyanyasanga sana wadada wa kazi kwani hakuna wadada wa kazi wanaouliwa na maboc zao?
@josphinedarani6203
@josphinedarani6203 4 года назад
Imeniuma pole dadangu mungu akufariji masikini rest in peace totooo
@jessydaktari5209
@jessydaktari5209 4 года назад
ni mara 200 watoto tuwapeleke daycare huko naona usalama wao ni afadhali kuliko hawa watu tunaowaita dada wa kazi,,,,
@pendomariki6562
@pendomariki6562 4 года назад
Kabisaa Kule ni usalamaa
@MadamRehemaRamadhani
@MadamRehemaRamadhani 4 года назад
Kweli kabisa, mimi mwanangu kakulia day care mpaka kakua sasa yuko la kwanza. Yaani tunaishi wenyewe bila dada mwaka karibu wa sita huu. Na watoto wako watatu na wote tushazoea kuishi wenyewe, dada hatutaki tena.
@jessydaktari5209
@jessydaktari5209 4 года назад
@@MadamRehemaRamadhani hakika kabsa madam..... maana hali inatisha kiukweli Mungu atusimamie
@mussamlewa2178
@mussamlewa2178 4 года назад
Pole sasa dada kwa msiba wa mwanao mi ndiyo maana siwataki hata kuwa sikia wadada wa kaz bora mke wangu alee watoto nyumban kuliokon wote tufanye kaz mtoto numinuache kwa house girl
@joanbarnaba4799
@joanbarnaba4799 4 года назад
Tatizo n kwamba wote wanakuwa wafanyakaz mke na mme
@mussamlewa2178
@mussamlewa2178 4 года назад
Mtihani sana mambo ya kishirikina yanatuumiza sana Africa
@angelshio2617
@angelshio2617 4 года назад
Halafu kumbe hawanaga huruma😭😭😭😭😭 kiatu hiki hakinitoshi pole dada tujifunze kuwapeleka kwa viongozi wa kidini wakombewe
@Da-cr6ow
@Da-cr6ow 4 года назад
Mhhhh mtihani jamani Allah tustiri na hawa mashetani watu wasiachwe hivi hivi inauma sana poleni sana wafiwa
@cuteme4870
@cuteme4870 4 года назад
Nkizaa ntaacha kila kitu nimlee mwanangu ntajiandaa baba ahangaike na kazi tu cwez izi biashara za kutuulia watoto😭😭😭
@mariamyoyote8172
@mariamyoyote8172 4 года назад
Kwel Kwa sasa yatupasa kujipanga kulea kama kaz unaenda nae tu maana duu Allah atuepushie balaa zote
@silverhenry7686
@silverhenry7686 4 года назад
Mm nna mwaka Na miez saba niliachana Na kaz Na kila kitu nalea mwenyewe jaman Mungu atusaidie uwiii
@omarymbalala6224
@omarymbalala6224 4 года назад
Daa!! Kweli
@kwilabyalulyehohenry260
@kwilabyalulyehohenry260 4 года назад
Nilishaacha kazi kwa ajili ya wanangu!!daah Majanga yamezidi.
@dorislaizer8196
@dorislaizer8196 4 года назад
Me nlitema kazi kitamboo kisa wanangu
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 4 года назад
huyo mdada mngemuonyesha picha yake tumuone wengine wasije kumchukua na wakauliwa watoto wso
@chainbre275
@chainbre275 4 года назад
Eeeeee Bana
@irenemacha7457
@irenemacha7457 4 года назад
Nikweli my
@cuteme4870
@cuteme4870 4 года назад
Cjui inakuaj wanawaficha waalifu
@saumusudi9720
@saumusudi9720 4 года назад
Kweli muwekeni kwenye mitandao tumuone tusije tukamchukua
@zulfamohamed4549
@zulfamohamed4549 4 года назад
Uzembe nasema wa wazazi kwasababu alisha uwa alamu yakwanza tena kwadugu unafahamu kabisa arafu wamchukuwa wewe tena akulelee mwanao ivi akili ipo au umechanganyikiwa
@fatumahramadhani2636
@fatumahramadhani2636 4 года назад
Pole xna my dear inaum kwa kwl mtto mdgo kwl Han hatia yaan mm tumbo la uzazi linanium mungu akutie nguvu kipindi hiki maan hautosahau ktk maish itabki historia kwny maish na hyu mfanyakaz achukuliwe sheria
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 3 года назад
Inauma Sana Ndugu yangu.... Mtoto anauma.... Mtoto anatafutwa hata kwa kufunga na kuomba hila wasaidizi wa ndani wanawatendea vibaya.....
@lovvy854
@lovvy854 4 года назад
Duhhh inaskitisha Sana kumtowa roho malaika wa Allah inauuma kitoto kizuri maskini mamake mungu atakulipia
@cellinechengula8409
@cellinechengula8409 4 года назад
Pole sana class met wangu Mungu akupe nguvu
@christinesulle5051
@christinesulle5051 4 года назад
Pole sana dada yetu Mwenzi Mungu akutie nguvu 😭😭
@jeskapeter6553
@jeskapeter6553 4 года назад
Hmmm mtoto anauma bwana kwaza hiyo miezi tisa tu mtiani jamani pole sana mama g mungu akupe nguvu
@gichenapeter3397
@gichenapeter3397 4 года назад
Eeewh Mungu mwema tutunze tutunzie watoto wetu ,Mungu wa mbingun tuhurumie sisi naiman unaweza baba, uwe unawatuma malaika wako kutulindia watoto wetu
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 4 года назад
sasa serekali haiamini uchawi na huyo mtoto mkisema kamuuwa kiuchawi sasa itakuwaje maana watataka ushahidi kafa kwajili gani 😭😭😭😭 mateso haya kwakweli pole sana dada Mungu akutie nguvu 😭😭
@sadahjumaitv8598
@sadahjumaitv8598 2 года назад
Dah jaman tutaishije kama ndo hivi eeemungu tusaidie jaman wanusulu watoto wetu
@nusaibahassan5842
@nusaibahassan5842 4 года назад
Yaa Allah 😭😭😭😭😭😭Grant This Angle Jannatul Firdhaous As his Final Abode InshaaAllah
@rweenysamuel8146
@rweenysamuel8146 4 года назад
Angel*
@tausingomeni2568
@tausingomeni2568 4 года назад
Au wanawanyonya damu, msiwek wadada Wa kazi jmn, fanyen wenyew jmn kaz zenu au umuite ndugu yko msaidiane
@rosejoseph9378
@rosejoseph9378 4 года назад
Wadada wa kazi hawa wakuwa nao makini sana sio wakuwaamini pole kwa familia kwa pigo hilo kubwa lililo wakuta pumzka kwa amani malaika wa Mungu
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 года назад
Inna lillahy wa inna illayhi Rajioun, Poleni Sana. Allah atuepushie, Atunusuru Kwa Mitihani hii.
@rukiakhamsin9220
@rukiakhamsin9220 4 года назад
ALLAHUMMA AMIYN YA RABBY
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 года назад
@@rukiakhamsin9220 Àamiin.
@eshaskitchen
@eshaskitchen 4 года назад
Aaamin
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 4 года назад
@@eshaskitchen Àamiin.
@nadiabakary1466
@nadiabakary1466 4 года назад
Amin
@qunwenishamsa8617
@qunwenishamsa8617 4 года назад
Jamani 😭😭😭😭uwiiii itabidi itumwe picha yake uyo msichana jamani 😭😭😭da gea fanya ivyo
@johnbaruti1926
@johnbaruti1926 4 года назад
Jamani tuwemakini
@johnbaruti1926
@johnbaruti1926 4 года назад
Natumkabizi mungu
@mariamika2834
@mariamika2834 4 года назад
Hivi wadada wakazi mnashida gani ninyi ....mbona wengine tutawaogopa mmmm Dada wamekuwa na roho ngumu mbaya mnamshinda hata huyo shetan anayewatumia ..
@dyanatanz6574
@dyanatanz6574 4 года назад
Hongera kwa kugawana huyo msichana. Kisha wasichana wenyewe hamuwapelek hata kwenye maomb. Alafu unakuda mmama hana ajila yoyote anaajil mfanyakaz
@consalvakileo5346
@consalvakileo5346 4 года назад
Ulishawahi kuumwa mgongo?
@dyanatanz6574
@dyanatanz6574 4 года назад
@@consalvakileo5346 nilikuwa had natambaa lakin sijawah kuajili mtu. Diclopa tu. Na sijawah kuajili mtu labda kwa vile mm maskin sinauwezo wa kuajili mfanyakaz. Kunakingine tena chango 🙆🙆🙆🙆🙆🙆mmmmh nilijua kuumwa. Na uwa naanza kufanya kaz siku tatu niko nje nafanya kaz zang. Na usifikil sna wazaz ninae ila uwa sipend kumsumbua mtu. Hata huyo mfanyakaz ntamuajili aje afanye nn uwa siwez kumtuma mtu et nifanyie hik sijaumbwa ivo
@pendomilinga8574
@pendomilinga8574 4 года назад
Yaani umerudi unashughulikia simu?kweli?daah! Kisha unahadithia uko mkavu hivo? Pole kwa msiba
@kalmaerasto7867
@kalmaerasto7867 4 года назад
Tume zidi baadhi yawanawake ndio mana docta kumbuka anatuchamba wengine kila kitu mfanya kazi yeye tena kucht
@pendomilinga8574
@pendomilinga8574 4 года назад
@Merisa Michael kua mama ni kipaji jamani kwa umri wa huyo mtt obvious atakua bado hajaacha kunyonya Mm sometimes narud job saa saba za usk hata nimkute mwanangu kalala nitamgusa na nitambusu Baba ake alikua abanikataza eti namsumbua mwanae lakini wala sikiacha
@Mozline1
@Mozline1 4 года назад
@@pendomilinga8574 hi
@josiejacob2269
@josiejacob2269 4 года назад
Huyo Dada anapumbaza akili za watu tusilaumu
@mishylumaja2593
@mishylumaja2593 4 года назад
Mbona mkavu Sana huyu Dada anaelezea kwa ujasiri Wa kiwango cha lami
@rehemamapande4680
@rehemamapande4680 4 года назад
Mi kama mzazi chozi limenitoka Hawa wadada wa kazi jamani ni mtihani,ila ushauri wa da Gea ni wa msingi kama huna shughuli za kutoka kila siku tusitafute wadada
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 года назад
Kweli kabisa
@ummuhassan2268
@ummuhassan2268 4 года назад
Subhana Allah inna lilahi wainna ilayhi rajiun Allah tunusuru waja wako😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@nancyfamilysharesmoments7634
@nancyfamilysharesmoments7634 4 года назад
Uwii mtoto mzuri jamani minlishapata mdada mchawi na mkaka mchawi hee tuwe makini sana na kusali pia.
@hamidamnyika5287
@hamidamnyika5287 4 года назад
Aiseee mungu wetu aendelee kututetea na kila tunapohitaji wafanyakaz tuwe tunaomba ushaur kwa mwenyezimungu..na huwa anatoa majibu kwa wakati..katoto kazur kweli
@anisabakari5298
@anisabakari5298 3 года назад
Innalillah wainna lirah ranjiuna 😭😭😭😭pole Sana dada maripo niduniani wachawi mungu anawaona lvihamjui Kama kunamungu naipo siku mtakufa namtaenda jibu nn mbele ya Allah jamani tumuogopen mungu bx kidogo azabu ipo nakila mtuatavuna aricho panda 😭😭😭😭 kiukweli moyo umeniuma Sana sinaimani na wasicha wakaz
@aminasalim314
@aminasalim314 4 года назад
Tuwe tunasal na kufanya madua kwenye majumba yetu wadada wa siku hizi ni wafuasi wa shetan
@denislaizer8259
@denislaizer8259 3 года назад
Tuwen making na wadada wakaz wet waoo wanatumika kishirkina. Tumuombeni mungu atutanguliye
@saidandende9037
@saidandende9037 4 года назад
Geah mm nawasii sana watu munao itaji housegirl na houseboy. Chunguzeni kwanza kwa kina mtu anakotokea ujuwe mila zao na destuti zao.
@aishasabuni7164
@aishasabuni7164 4 года назад
Ila Dada una ujasiri sijui km ningepata hata nguvu za kujieleza
@rizikijaha3390
@rizikijaha3390 4 года назад
Duuh nijasiri kweli mana Aeleza kama ambae hana uchungu
@aishasabuni7164
@aishasabuni7164 4 года назад
@@rizikijaha3390 anajiweza mpnz maana mm wangenipepea nazindujia hospital jmn kwa uchungu wa mwana unavyouma yaani anajieleza km imemtokea jirani duh!
@ameenaameena1224
@ameenaameena1224 3 года назад
Pole sana dada
@jokhanassor8600
@jokhanassor8600 4 года назад
Innalilah.poleni sana wafiwa mungu awape subra ktk kipindi hiki kigumu.dah yasikitisha sana.maana naona ningekuwa mie cjui hata angekuwa hai huyo mfanya kazi maana ningemsaga kama nyama ya kusaga.mungu awape subra inauma sana sana kwa kweli.na nyie wachawi mnapata faida gani haswa kwenda kutoa roho za watoto wadogo hawana hatia yoyote.
@mohgamhooga1270
@mohgamhooga1270 4 года назад
Innalillah wainnailayh raajioon
@irenetonny1726
@irenetonny1726 3 года назад
Pole Sana dada haki ya mnyonge haipotei atakujibu Mungu kwa vyovyte tu amini
@juliethhouseofdesigns147
@juliethhouseofdesigns147 4 года назад
Geah tunaomba picha ya uyo mfanyakazi maana haiwezekani afichwe wakati kaishafanya tukio la kwanza hakuna kilichofanyika anaweza ondoka akapewa ajira kwingine akaendelea ns uuaji, Wamama uko nyumbani lea wanao mwenyewe wafanyakazi wanini Pia kama umetoka (kazini au mizunguko ya kijamii) ukirudi cha kwanza akikisha unakagua mtoto au watoto usiridhike na majibu ya dada eti kalala. poleni sana wakiwa.
@GeahHabibu
@GeahHabibu 4 года назад
Ni huyo anayelishwa cake amevaa gauni jeupe
@hedayaabeid3196
@hedayaabeid3196 4 года назад
Pole Sana Dada mungu akutie nguvu ktk kipindi hiki kigumu inauma saana,
@khadijahomankweliyamjahaya7421
@khadijahomankweliyamjahaya7421 4 года назад
😭😭😭😭😭😭huyu tena mwingine kauwa mtoto au mbona sielewi, subhanallah
@azizajuma2674
@azizajuma2674 4 года назад
Ndio wapili huyo kuua😥
@minazsaid2470
@minazsaid2470 4 года назад
Cute boy mashallah, dah! Dunia hii ya mwisho
@ZainabZainab-tv9ir
@ZainabZainab-tv9ir 4 года назад
Subhanallaah huyumtihan poleni wafiwa maskin
@juliemsimbe502
@juliemsimbe502 4 года назад
Huku wasichana wanauwa watoto kule maboss wanauwa wasichana changamoto tupu .....Pole Sana mama mtoto....Mungu atusaidie jmaan
@nancyfantasia5781
@nancyfantasia5781 4 года назад
Wasichna wa lindi cyo wazur jmn me nliletewa mmoja cku nikamkuta ucku amekaa sa nane namsemesha haongei nikamuacha lkn ckulala uoga asbh namuuliza mbona uliamka ucku ulikua unafanya nn akasema nlikua najisuka kesho yke mapema nlimtimua
@aishahassan9812
@aishahassan9812 4 года назад
Dduuh
@mariamufungo9619
@mariamufungo9619 4 года назад
Ulifanya jambo la maana sana
@user-bv2gt7tl2x
@user-bv2gt7tl2x 4 года назад
Hizo pumba zako to kwani wasichana wangapi wanaua watoto nawala hawatoki Lindi mshezi weye acha kuchafua mji wawatu kila mtu anatabia yake
@fatoomefathima5307
@fatoomefathima5307 4 года назад
Ukifanya laamana sn wallah mungu amekuamsha uone vituko vyake
@fatoomefathima5307
@fatoomefathima5307 4 года назад
@@user-bv2gt7tl2x wewe pia utakuwa mchawi. Kuna miji inajulikana ni wachawi mkundu ww mwenzio kaongea alivyo ona au na ww mchawi paka ww unamtuka nini siamaongea alicho kiona ulitaka afiche ili iweje mpumbuvu 1 wewe
@madamloveness7274
@madamloveness7274 4 года назад
Tukumbuke ibada na hapo Mungu atatulinda na kila baya walipangalo R.I.P mtoto mzuri
@ujijiclearingandforwarding564
ILA nyinyi wenzetu mko msibani utakuta mtu amejipodoa mpk nywele kucha vyote kabandika hivi ujasiri huu mnautoaga wapi jamani mbona ss waislamu hatupo ivyo.
@remiomar7154
@remiomar7154 4 года назад
Mmm tumbo la uzazi lniumaa awawe n yy pia
@mwanalikhamis9875
@mwanalikhamis9875 4 года назад
pole mdogo wangu mungu atawapa subra
@dianahussein8934
@dianahussein8934 4 года назад
Pole dada ilatujifunze ss wanawake kijituma kz zetuzandani umemuacha namtoto mara maarage ayanamoto mara aujaweka feni kwa mtoto, mtoto anauma sana sana ivyo tujifunze kutokana nahayamatukio, jamani malaika wsmungu
@qasimmkassy1551
@qasimmkassy1551 4 года назад
Nilishawahi kumpata msichana nikamrudisha ndani ya wiki 2 tu baada ya kuwa simuelewielewi
@ummyhasheem2245
@ummyhasheem2245 3 года назад
Sie siku moja tu kaja asubuh jioni mwenyewe anaomba kuondoka akasema hii nyumba siiwez nzito 😀
@wildatmsellem7531
@wildatmsellem7531 4 года назад
Innanillilah wanna illah rajiun, Allah atakulipia inshallah
@stephenrwaich1078
@stephenrwaich1078 4 года назад
daah inawezekana mtoto alifariki kwa mazingira mengine na siyo kwamba aliuawa.tusiwalaumu wasichana wa kazi sana.huyu mama hana hata muda wa kukaa na mtoto wake yaani mi siamini eti alikuwa anachati mara baada ya kufika home badala ya kumnyanyua au kumwamsha mtoto!!!inawezekana mtoto alikuwa na homa muda mrefu tuu na mama hakujali wala kutambua hilo.etii nachati nachati.fyuuu
@neemamathew7465
@neemamathew7465 2 года назад
Yawezekana😢🤔
@reginamanyangu6682
@reginamanyangu6682 4 года назад
Upo uwezekano mtt alipata Homa kali bila kujua jmn
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 4 года назад
Mungu wangu poleni sana, yaani sijaingia labour lakini nimetoa chozi.
@khadijasalum2302
@khadijasalum2302 4 года назад
Subhanallah innallillah wainailaihi raajiuun
@SaudaOmary-pi9si
@SaudaOmary-pi9si 4 месяца назад
Wanawake wenzangu tujitaidi kuwalea watoto wetu wenyewe kama tupo bize bora tuwapeleke shule wakalelewe inaumiza sana kwa kweli pole sana dada😭😭😭
@fatimaabdulla6967
@fatimaabdulla6967 4 года назад
Na hii tabia ime endelea Sana Tanzania ya wadada Wa kazi za ndani kuuwa watoto.... Duuh poleni jmn wafiwa
@n7428
@n7428 4 года назад
Innalilah wainna ilaihi rajiroun poleni ila tujifunze kitu kwa kupitia hili wafrica tuna penda kujiendekeza hata mtu mwenye chumba kimoja anataka awe na dada wa kazi kweli wazungu wana nyumba kubwa na wanafanya kazi wenyewe na kila siku nyumba safi tujifunzi kukaa wenyewe wadada wa kazi ni matatizo bora hata ukae na ndugu yako ....
@halfanmuro806
@halfanmuro806 3 года назад
Hajafa,nendeni kwenye maombi,watamrudisha.kama mna Imani ni ushirikina umetumika
@asiamussa396
@asiamussa396 4 года назад
Aisee mpaka huruma wallah 😭😭😭nahivi nime isikiliza usiku....mpaka naogopa 😔😒
@salharunguma4210
@salharunguma4210 4 года назад
Ctak dadawakaz wanangu watabak nabibi yao mm ntaenda kwny mishe zangu
@khadijahassan2164
@khadijahassan2164 4 года назад
ww ndo mm
@salmaathuman9156
@salmaathuman9156 4 года назад
Aiseee 😭😭😭😭😭😭😭wadada wa kazi wamekuwa zaidi ya ibilisi
@saidbaridi7687
@saidbaridi7687 3 года назад
Dah mm bac acha nikomae nao huko shule ntabebana nao kwakwel tumbo limeniuma maana hili tukio km la tatu au la nne nasikia habar ya mabint kuuwa watoto.....Mungu tutangulie kututunzia wanetu pole wazazi mlopata changamoto hii
@lindamulati6454
@lindamulati6454 Год назад
Personally nafanyia kazi ya nyumba,,nmemlea mtoto tangia akiwa wiki Moja Sasa hivi anakaribia mwaka,,,nampenda sana huyu malaika,,namlisha namvisha nambeba mgongoni hadi pale anapolala ndipo ninywe chai,,na hata wazazi wake wamenipenda sana Kwa kazi zangu
@jessydaktari5209
@jessydaktari5209 4 года назад
My God my Lord,,,,,
@aisatahaisatah2612
@aisatahaisatah2612 4 года назад
Inalillah wainalillah rajiuni
@felagama9183
@felagama9183 4 года назад
Mungu amtie nguvu, tukazane maombi tukijiweka jaribu na Mungu kwa maombi nyumba wanaiona ya moto wanaaga kabla hawajafaya matukio. Da Geha upo kazini kurudi jioni si unamkuta kanyongwa. Mungu tulindie watoto wetu.
@sarahomarijuma9651
@sarahomarijuma9651 4 года назад
Aki nimeumia mno pole mom yng daah mtt anavyo huma pole dada 😭😭😭😭😭
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 4 года назад
Hivi visichana vya siku hizi vikoje, au ni vishahidi vya shetani?
@mariammsua7037
@mariammsua7037 4 года назад
Hakuna mwanamke anayeweza kumlelea MTU mwanae cha msingi kuwen makin na watoto wenu
@rukiaosman8416
@rukiaosman8416 4 года назад
Subhanallah subhanallah allahuakbar
@angelholsey2484
@angelholsey2484 4 года назад
Mariam Msua unaweza ukawa makini lakini siku shetani akiamuwa lake yani ni MUNGU tu atusaidie2.
@anethkavenuke6610
@anethkavenuke6610 4 года назад
Shakila Masoud mmh jaman saiv kwanza tunskoolekea kutakuwa hamna wadada wa kwa kil mtu atapamban na hali yake
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 4 года назад
@@anethkavenuke6610 ndiko tulipo fika sasa, maana hii sasa imezidi mnoo khaa
@user-en6qq3rs8j
@user-en6qq3rs8j 4 года назад
Pole sana ila na ssi wamama tuache kuwaachia waschana wakaz watoto wakat wote lazima tuwasaodie watoto wa kazi tume zidi kuchat sana na sim
@rizikihaule2050
@rizikihaule2050 4 года назад
Pole sana sasa dada uchungu mkali sana ,na unaweza sema hakuna Mungu wachawi hawana maana wanatutesa sana
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 года назад
Huyo mschana apelekwe kwenye vyombo vya kisheria ili sheria ichukue mkondo wake,yeye na huyo baba yake.pole dada hawa waschana wa kazi wengi wao ni wachawi.
@mariamufungo9619
@mariamufungo9619 4 года назад
Kweli kabisaa,mim mwenyew nimemtimua
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 4 года назад
Mmmmmmmh jamani kuweni makini na wadada wa kazi..
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 4 года назад
Ndio mana wamama wa zamani walikuwa wanaenda na watoto wao mashambani,kwenye kuni kuteka maji wakiwa wamewabeba mgongoni...halafu na wewe mama utamuwashiaje mtoto wa mwaka mmoja feni? Pia usikute mtoto alivolalia tumbo huenda alilalia pua akaziba hewa
@hawalufingo9983
@hawalufingo9983 4 года назад
yaani
@adefunmioluwadamilola605
@adefunmioluwadamilola605 4 года назад
Dooo e mung wangu xijui ndo tunaelekea ukingoni mbn mambo yanakuwa mengi......mungu tufanyie wepesi jaman mtoto anavouma hlf unakuja kumuu kikatili,,,mama yetu mungu akutie nguvu..🤲🤲
@nuruelmada9570
@nuruelmada9570 4 года назад
Dunia imefika ukingoni, muamini msiamini ndo hivo, tuombe sana Mungu atusaidie, bila Mungu hatutaweza, haya matukio yatazidi kutuumiza tu
@mwarishmodsalum555
@mwarishmodsalum555 2 года назад
Pole Sana mwenyezi mungu akupe subra ktk wakati huu mgumu
@deboraramadhan8663
@deboraramadhan8663 4 года назад
Dhuuu nimeshindwa kujizuia nimejikuta nalia sana pole sana dada mungu atakupatia mwingine
@teychriss3248
@teychriss3248 4 года назад
Wadada wa sikuhizi jamani mnatufanya tuwaogope hata kuwaajiri! Haya matukio yamezidi mno!
@wilckstenyaboke7829
@wilckstenyaboke7829 4 года назад
Aki mum pole nimeumia roho yangu sana tena zaidi
Далее
😱ЖИВОЙ Чехол на Айфон🤪
00:38
Просмотров 257 тыс.