Ni tukio la kusikitisha ambalo limetokea maeneo ya Kawe jijini Dar es salaam ambapo Mtoto wa miezi kumi amekutwa amefariki nyumbani kwao huku Dada wa kazi aliyeachwa naye akiwa ametoroka.
Fwatilia tukio hili umsikie mama mzazi wa mtoto akielezea tukio hili la kusikitisha
#geahhabibu #GeahTv #MatukioyaGeah
15 сен 2024