Тёмный
No video :(

DADA wa KAZI ADAIWA KUMKATA KOO MTOTO wa BOSI WAKE DAR -AKIMBIA - "ALISEMA DADA AMENIKATA" 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 164 тыс.
50% 1

DADA wa KAZI ADAIWA KUMKATA KOO MTOTO wa BOSI WAKE DAR -AKIMBIA - "ALISEMA DADA AMENIKATA"
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

25 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 647   
@globaltv_online
@globaltv_online Месяц назад
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@NasmaMaulid-ev6md
@NasmaMaulid-ev6md Месяц назад
Nyie hii link nikwel au mbona nawasiwasi nayo ukiingia mbona hakuna hayo maswali TUSIJE kuhakiwa taarifa zetu tu 😢😢
@maxthadeus6787
@maxthadeus6787 Месяц назад
Mmmmh
@maxthadeus6787
@maxthadeus6787 Месяц назад
Mbona kama kenya
@Maria-cx4kn
@Maria-cx4kn Месяц назад
Duh, Wengine wanasikitika wengine wanatangaza biashara hapo hapo. Tena biashara wala haihusiki na taarifa yenyewe. Dah hii dunia balaa.
@Maria-cx4kn
@Maria-cx4kn Месяц назад
Dah hili tangazo nalo kali. Kwa hiyo tucheze bahati nasibu sasa baada ya habari mbaya……mhmmmm
@user-ns1dg4jd7q
@user-ns1dg4jd7q Месяц назад
Mwenyezi Mungu Tunakuomba umponye huyo mtoto wape amani wazazi wake ili wasikatee tamaa. Tunakuomba ulinzi kwa watoto wetu wengine wako mashuleni wengine wako vyuoni na walioko nyumbani. Ni wewe mwenyezi Mungu ulitupa Zawadi hii ya watoto ulinzi wao uko mikononi mwako Amina😭😭😭
@kobylwaho3191
@kobylwaho3191 Месяц назад
Mungu atusaidie😢😢😢
@user-mu1uf2rl4x
@user-mu1uf2rl4x Месяц назад
Amina
@twahakayondo7583
@twahakayondo7583 Месяц назад
Amina
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 Месяц назад
Aamin Aamiin
@HawwaMohammedi
@HawwaMohammedi Месяц назад
Amiin
@user-hm8yt9ol4c
@user-hm8yt9ol4c Месяц назад
Ee Mungu,wewe nizaidi ya viumbe tunakuomba umponyesha kwa uweza wako.AMIN,AMI AMIN
@hopejohnson7352
@hopejohnson7352 Месяц назад
Mungu wa mbinguni naomba toba kwaajili ya hyo binti aliemkata mtoto na ninaomba unyooshe mkono wako wa uponyaji kwa mtoto hyo 👏👏👏
@Kidotii
@Kidotii Месяц назад
Damu ya Yesu imfunike mtoto alone harakaa!
@merryjerry5449
@merryjerry5449 Месяц назад
amina
@VeronicaMacha-pl3xt
@VeronicaMacha-pl3xt Месяц назад
Mungu wetu ni mwema kwa viumbe wake wasio na hatia atamponya amen👏👏
@miriamdavis3893
@miriamdavis3893 Месяц назад
Amen
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Месяц назад
Mungu amponye huyu mtoto jamani
@user-qw6wv4hf5c
@user-qw6wv4hf5c Месяц назад
Mungu ajalie MTT apone jamani daaah niatali Sana hii
@christaoman8890
@christaoman8890 Месяц назад
Mungu amponye huyo mtoto tuzidi kumuombea daah inasikitisha sana
@devothaanthony8174
@devothaanthony8174 Месяц назад
Mwenyezi Mungu amponye mtoto akae sawa. Ee Mungu tusaidie kutulindia watoto wetu sisi tunaowaacha na wadada wa kazi kwa ajili ya majukumu watoto wapo hatarini kwakweli.
@nemaJuma-u5o
@nemaJuma-u5o Месяц назад
Mungu asaidie namuombea apone
@user-ty1tp8ly8q
@user-ty1tp8ly8q Месяц назад
Pole Sana mama na baba Malik m.mungu hamfanyie wepesi hapone hawataje hao watu km walokuwa wengi au mmoja .mungu Ni mwema🙏
@chaggatv818
@chaggatv818 Месяц назад
Hata kama maboss wabaya Y umfanyie mtot kitendo kibaya jaman😢😢
@mariyamsalalah8204
@mariyamsalalah8204 Месяц назад
😢😢😢😢😢
@esterMahenge
@esterMahenge Месяц назад
Yaniii😢😢😢
@siamnyone8403
@siamnyone8403 Месяц назад
Ni mapepoo hayoo sio Akili za kawaida
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 Месяц назад
Wallah
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Месяц назад
Kuna watu ni mapepo ila mwili wa binadamu.
@user-mx9go2qs9w
@user-mx9go2qs9w Месяц назад
Mungu amponye mtoto watu 😢😢🤲🤲🤲🤲🙏🙏🙏
@haryanyawu640
@haryanyawu640 Месяц назад
Mungu tunakuomba umponye mtoto katikanjina la Yesu uwaongoze madakari katika majukumu yao
@lucylight9341
@lucylight9341 Месяц назад
Our brothers and sisters from Tanzania ombeeni fanyeni dua ...mashetani kavuka toka kenya hadi Tanzania. Na pia sisi wakenya twaomba pia mtuombee akhi this has been happening in kenya in secret but mungu ameanika wakola wauwaji na tumai Itatulia akhi.poleni sana dada zetu Tz🙏🙏🙏❤️
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Месяц назад
Dah Ukatili wa hali ya juu akipatikan apewe adhabu kali
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 Месяц назад
SubhanaAllah 😢💔
@RaylaRamadhan
@RaylaRamadhan Месяц назад
Daaah poleni sana tuzidisheni dua hizi ni nyakati za mwisho inauma sana 😭😭😭😭
@Ninah743
@Ninah743 Месяц назад
😢
@mwanakhamisimwinyimatano1185
@mwanakhamisimwinyimatano1185 Месяц назад
Subhana Allah
@MsAisha-w4o
@MsAisha-w4o Месяц назад
Atapatikana insha'allah..na Sheria ifate mkondo wake alikusudia kumuua ila siku za mtoto Bado Allah amponye yarab 🙏
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 Месяц назад
😢😢😢 alafu mtoto anaonekana mwenye nizamu Mbona au dada jini
@user-eb4nq5du2q
@user-eb4nq5du2q Месяц назад
Itakuwa 😢 maana wanaonekana wastaarabu tu awa maboss
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 Месяц назад
Wasichana wengine wachawi wametumwa damu za watu
@evertheobald1811
@evertheobald1811 Месяц назад
Asilimia kubwa ya wadada wa kazi ni wachawi na wengine ni mapepo
@hamisishabani4072
@hamisishabani4072 Месяц назад
POLENI SANA,WAZAZI,WANAFAMILIA NA MAJIRANI WOTE KWA TUKIO.HILO LA KUTISHA NA KUSIKITISHA.TUNAMUOMBA MWENYEZI MUNGU AJAALIE KWA UWEZO WAKE,MTOTO APONE,APATE NGUVU NA AFYA.MWENYEZI MUNGU AWAPE MIOYO YA SUBIRA WAZAZI NDUGU JAMAA NA MAJIRANI WOTE.POLENI SANA.
@maryndutakamau9301
@maryndutakamau9301 Месяц назад
Oh God heal Lovely kid completely
@trecygohy7847
@trecygohy7847 Месяц назад
Poleni sana family. Mwenyezi Mungu amponye haraka kwa Jina la Yesu Kristo. Amen.
@user-nm5ff3ri8k
@user-nm5ff3ri8k Месяц назад
Serikali ina mkono mrefu atakamatwa uyo.
@samsonsamwel8782
@samsonsamwel8782 Месяц назад
Tena mrembo 2 huyo atapatkana kw haraka
@gladnessfinda7534
@gladnessfinda7534 Месяц назад
Sijui tutaishi vipi sijui tuwaweke wapi watoto wetu?Tumekuwa wakatili mno. Mungu utusamehe utusaidie utupe mioyo ya huruma. Kina mama tunapitia changamoto katika malezi kutokana na utafutaji. Tuwe makini na wadada wa kazi kwani hatujui asili zao. Tujiombee na tuwaombee watoto wetu sana sana. Mungu wetu hatatuacha. Tuzidi kuwaombea watoto kama hawa ambao wanapitia madhila kama haya. 🙏
@user-ug3lu2km4c
@user-ug3lu2km4c Месяц назад
Unayosema nasema ivo ivooo yani mpk nimekua kama cko sawa sasaiv . Ukiwaza sana ni tabu Nikumkabidhi mungu tu bila yy hatuwezi tusisahau ibada
@adamhashim3352
@adamhashim3352 Месяц назад
Maisha sahv hyna baraka
@user-ex4hi7fj5c
@user-ex4hi7fj5c Месяц назад
Mungu tunaomba usikie maombi yetu umponye mtoto huyu ili mataifa yote wajue kuwa wewe Ni Mungu mponyaji.Hakika shetani anatafuta watu wakuwatumia kufanya vitendo viovu.... Jamani hofu ya Mungu ni nzuri mnoooinatuepusha kufanya maovu
@user-fo6lt4ow8p
@user-fo6lt4ow8p Месяц назад
Mmmmmmmm ukatili wa Hali ya juu, daah tuzidishe maombi juu ya watoto wetu
@gilliardgodfriend5745
@gilliardgodfriend5745 Месяц назад
Sio maombi wanawake warudi kuwa wanawake hali itakaa shwari😢
@user-ur8cq1ye3b
@user-ur8cq1ye3b Месяц назад
Sasa​@@gilliardgodfriend5745sasawaludi vp sema tuu tusiwaamini wadada wakazi
@dorcassebastian3038
@dorcassebastian3038 Месяц назад
@@gilliardgodfriend5745wanawake warudi kuwa wanawake kivipi
@SajdahIssa
@SajdahIssa Месяц назад
Mungu amfanyie wepesi Mtoto apone
@leilabuisha9976
@leilabuisha9976 Месяц назад
Hawa wasichana wa kazi wakija tu kuanza kazi fanyeni nao interview muwa record na pia mupige nao mapicha mueke kumbu kumbu, Hata akikimbia muwe na proof..pigeni picha kama family .
@ishanaaRajoo
@ishanaaRajoo Месяц назад
Mtihani
@FatumaMuya
@FatumaMuya Месяц назад
👍👍👍
@sabinakodi6852
@sabinakodi6852 Месяц назад
Saw
@Rebekamwinuka-kh5tz
@Rebekamwinuka-kh5tz Месяц назад
Safiiii
@aminamzuri9933
@aminamzuri9933 Месяц назад
Nimeduwaaa sana jamani
@NaziaMudi
@NaziaMudi Месяц назад
Kiswahili ni lugha nzuri saana ivi kati ya kumchinja na kumjerui ipi ilifaa ikae apo maana 😢😢😢😢😢😢😢😢
@rhodajoseph2904
@rhodajoseph2904 Месяц назад
Maana ilituchanganya kumbe kajeruhiwa yuko hosptali😢
@zahrababygarl1568
@zahrababygarl1568 Месяц назад
Kiswahili kigumu kweli me mwenyew nilijua kafariki
@fauziyaomar7090
@fauziyaomar7090 Месяц назад
Mm dada sitaki tena shukrani hawana hata ukae nae vip
@ObediMeyan-j8c
@ObediMeyan-j8c Месяц назад
Dah poleni Sana ndugu zangu ila mungu yupo atapona
@HadiaMohammed-ec2dn
@HadiaMohammed-ec2dn Месяц назад
Aliezaa anaelewa jins tumbo linavy uma la uzazi😢
@jescaprojest7262
@jescaprojest7262 Месяц назад
We acha tu so painfully
@glorygratian6340
@glorygratian6340 Месяц назад
Jamani watu wamekua wakatiliii sana sikuiz💔😢Poleni tumuombee jaman🙏🏽 na hiz tamthilia zinachangia watu wanaona mambo ya kuchinjana ni kawaida!
@RizikMahunya
@RizikMahunya Месяц назад
Globali mko vizuri kwa hari za hapa na pale
@salhaayub1338
@salhaayub1338 Месяц назад
Subuhanaallah 😪 😢
@abdallahassan6378
@abdallahassan6378 Месяц назад
Dah mwenyezi Mungu wasaidie watoto wetu 👏
@user-ll9so3pk4j
@user-ll9so3pk4j Месяц назад
Mungu amponye mtoto Alone. Amfunike Kwa damu ya Yesu Amina
@LamaribamJumbe
@LamaribamJumbe Месяц назад
Mmmhhhh mungu wangu Jamani ukaidi wa Hali ya juuu daaa AISSEH Inauma sana
@fatumamshindo4435
@fatumamshindo4435 Месяц назад
Jamani wa dada wakazi awapendeki baadhi yao
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Месяц назад
Unakijuwa alichofanywa yeye?
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d Месяц назад
​@@hajihassan5433hakuna alichfanyiwa huenda mtoto kamjibu kitu au kuna watu wameungana na huyo dada wa kazi
@hidayakeizer924
@hidayakeizer924 Месяц назад
Wadada siku hzi hawana jema ndugu
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d Месяц назад
​@@hajihassan5433Ila msichana ana roho ngumu
@Zuu673
@Zuu673 Месяц назад
​@@hajihassan5433hata afanye nn ni ukatili mtt inamuhusu nn? Wewe ungefanya ivyo?
@neemakoka599
@neemakoka599 Месяц назад
wanaosema mama mwenye nyumba ana shida inategemea maana kwetu tuliwahi leta mdada then baada ya wiki akapandisha mashetani akasema nataka damu akawa anatafuta kisu bahati nzuri mdogo wetu alikuwepo.Akamzuia kwa kumfungia chumbani mpaka tuliporudi mpaka leo naogopa wadada wakuletewa wengine wachawi. Wengine hayajawakuta
@AminaAbdul-nr2lz
@AminaAbdul-nr2lz Месяц назад
Uyo mtoto aliyefanyiwa ukatili mungu amsaidie apone
@rosejeremiah-ib3qq
@rosejeremiah-ib3qq Месяц назад
Pole sana wazazi yaani akuna kitu nachukia kama mtu amfanyie mtoto kitu chochote cha ukatili naumia sana 😭😭😭😭😭😭eeeh mwenyezi mungu nakuomba mponye huyu mtoto mpambanie uhai wake nakuombea mwanangu utasimama tena inshallah 😭😭😭😭😭😭
@user-dp6ny5ef9h
@user-dp6ny5ef9h Месяц назад
Tujitahidi kuonyesha upendo kwa dada wa kazi, hao viumbe hawana nguvu lakini wakiamua wanaweza kuteketeza familia,tuache roho mbaya
@GraceMalley-ly2xn
@GraceMalley-ly2xn Месяц назад
Pole Mungu amtetee Mtoto.apone haraka na watu wafikirie kabla ya kutenda unapojerui au chochote kibaya hutakuwa na amani utaishiia jela faida gan unapata?
@user-xn8jh1yw1h
@user-xn8jh1yw1h Месяц назад
Poleni na hilo tatizo la Mtoto. Mwenyezi Mungu na awafanyie wepesi.
@Maliusi89Kagumisa
@Maliusi89Kagumisa Месяц назад
Naitwa kagumisa wa bukoba nawapa pole sana wazazi wa mtoto aliyekatwa shingo
@leokamil6284
@leokamil6284 Месяц назад
Poleni sana
@JumaHassan-w5m
@JumaHassan-w5m 28 дней назад
Mungu awatie nguvu wazzi haw
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b Месяц назад
😢😢poleni Sana ndugu zetu,haya machungu kweli mungu awape nguvu ,ndio maana hawa warabu wana Sheria Kali sana Kwa watoto,ukiguza mtoto unafungwa
@user-ey5mv1yz3s
@user-ey5mv1yz3s Месяц назад
Mwenyezi MUNGU amponye huyo mtoto, poleni sana wazazi na familia nzima kwa ujumla
@user-bl6rd4pq4k
@user-bl6rd4pq4k Месяц назад
Jamani ,jamani, nyie haya mambo mbona hivyo hii Dunia tunaenda wapi sisi ee molla wangu
@nzungizemarcel2216
@nzungizemarcel2216 Месяц назад
Pole sana
@ZainabZainab-fr7gs
@ZainabZainab-fr7gs Месяц назад
Poleni jamani inauma sana poleni
@HawwaMohammedi
@HawwaMohammedi Месяц назад
Ahsante 😢
@JehhusRaoul
@JehhusRaoul Месяц назад
Mungu ni mwema atamponya il
@IdrisaTuppa
@IdrisaTuppa Месяц назад
Get Well Soon Mtoto Mzuri
@AshfaynahAbdul-cz9io
@AshfaynahAbdul-cz9io Месяц назад
Subhanallah Kama unapata manyanyaso bora uondoke kwa Aman jan
@GloryEmmanuel-q4f
@GloryEmmanuel-q4f Месяц назад
Kwel kabsa ase
@nordenconrad14yearsago45
@nordenconrad14yearsago45 Месяц назад
Allah please save this kid
@kokuelikana184
@kokuelikana184 Месяц назад
Mungu amponye
@habibtynunu9340
@habibtynunu9340 Месяц назад
Subhana Allah huyo dada nishetan so binadan inshallah mungu atamsaidia atapata shifaa kwa nguvuza mungu
@user-ko6lg9tw6w
@user-ko6lg9tw6w Месяц назад
Polen sn Kwa mthan mzito Mungu atamponya Kwa izini yeke ishallah Lakin mabos mumezid zarau na kejel Kwa wafanya Kaz wenu munawafanya km Wanyama kwasababu yaumasikin wao munasahau km nawao ni binadamu km nyny munawateteya maovu mengi san ndomana nawao hujibu mashbiliz Kwa watt wenu siamin km mdada WA Kaz unamsamin na kumpenda km mwana familia hafu afanye unyama km huo sio kweli hem kaeni nao kwawema na ihisan halafu muone km atafanya ubaya km huo
@NasraSalehe-bi8sh
@NasraSalehe-bi8sh Месяц назад
Sikubalian na hiki na kama amenyanyaswa na bossi si angeiba hata vitu vya ndani akasepa kumdhuru huyo mtt anapata faida gani, hyo mijitu ya kigoma mingi mikatili na ni kichawi na background za malezi Yao huwa ni mbayabaya wamenyanyaswa kwao wanakuja kuleta stress na depression zao kwa watu wengine akipatkana na yy achinjwe kidogo Ili aone utamu wake
@NasraSalehe-bi8sh
@NasraSalehe-bi8sh Месяц назад
Akatwe hata vidole
@joycemsegea7787
@joycemsegea7787 Месяц назад
Halijakupata wadada wasasa nishida sana kwanza niviburi sana omba Mungu lisikupate unaleta dada wewe bosi wake unakuwa mtumwa kwake huo niujinga mbona makazini watu wanaenda wanajituma wapate mshara wao kwanini na yeye asijue wajibu wake acha kuwatetea ,wadada wanaujinga sana
@DafrosaMassawe
@DafrosaMassawe Месяц назад
Pole sana kaka
@WinfridaJackson-ji8bq
@WinfridaJackson-ji8bq Месяц назад
Mungu amponye huyo mtoto
@JoyceKaganda
@JoyceKaganda Месяц назад
Pole sana mzazi
@JACOBNDASHUKA
@JACOBNDASHUKA Месяц назад
Daaaah polen sana mungu Yu pamoja nanyi ameeen
@queenmunny244
@queenmunny244 Месяц назад
Subhana Allah yarabby tulindie watoto wetu .watu wamekuwa Wakatili namna hii tutaficha wapi watoto wetu sio shule sio madada wakazi yani imekuwa hatar😢😢😢
@antiRidhia
@antiRidhia Месяц назад
Allah ampe shufaa kwa ufalme wake Ameen
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 Месяц назад
SubhanAllah
@JuliusMlengeswa
@JuliusMlengeswa Месяц назад
Mnatuchanganya. Tumieni neno sahihi. Mtoto anaendeleaje? Binadamu na hata mnyama akichinjwa haponi!
@graceleonardsanga3097
@graceleonardsanga3097 Месяц назад
poleni sana wazazi wa mtoto MUNGU amponye kijana wetu amen
@WinifridaGregory
@WinifridaGregory Месяц назад
Eeh Yehova Mungu naomba umponye mtoto
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc Месяц назад
Mtihani wallah , Allah akufanyie wepes waja wake tuwe na imani
@user-qo8qy8zv1f
@user-qo8qy8zv1f Месяц назад
Nimejikuta nalia naumia moyo nina uchungu sana ,najiuliza kwa hali hii tunaenda wapi kama Upendo ndo umeisha kwa kiwango hiki!!! Binafsi nilishawaacha madada wa kazi . Make nimeona mwingine anamwekea mwenye nyumba seelwearl kwenye chakula ,ila alipona, mwingine alimwekea sumu ya panya nk. Kusema kweli imani ilishaisha . Wengine
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Месяц назад
Lailahailah rabbi nsataraa mtt apone hili la watu w kigoma n kawaida kiuchawi n kawaida, ucpime
@faiditv5535
@faiditv5535 Месяц назад
Mtema nakupenda
@DianaMacha-jf8gw
@DianaMacha-jf8gw Месяц назад
Mungu wetu wewe hujawah kushindwa kuanzia mwanzo mpaka ufunuo kupitia hili tunaomba uonekane mfalme wa aman
@rosengowi847
@rosengowi847 Месяц назад
Imeandikwa kesheni mkiomba,kizimu ipo speed Sana omba neema ya Mungu tu
@anthonymgina3893
@anthonymgina3893 Месяц назад
Namwomba Mwenyezi Mungu amponye mtoto. Hakika nimeumia sana
@sabinaleonce8243
@sabinaleonce8243 Месяц назад
Mungu amjalie afya apone
@SalamaAkilimali-ly3bu
@SalamaAkilimali-ly3bu Месяц назад
Polen Sana m M Mungu amfanyie wepesi inshalah wasichana wa kigoma wanafanya kazi Sana kuna wenye upendo wengi Wana roho mbaya 😭
@MwanahamisHussein-dp2if
@MwanahamisHussein-dp2if Месяц назад
Subhannallah mwishowaDunia
@user-cv7vm1mx9d
@user-cv7vm1mx9d Месяц назад
Murundi usipo mlipa ela yake uwa wanalipiza kisasi cha kuua familia nzima hata akiondoka atarudi aue familia nzima
@user-dq4ur9kk6h
@user-dq4ur9kk6h Месяц назад
Mbona hata mnavyoongea mnaonekana ni watu wema kabisa Ubaya wa mtu huwa unaonekana hata kwa kuongea tu Mungu Amponye Marick Popote alipo huyo dada Apatikane kwa Uwezo wa Mungu🙏
@HaithamShabani
@HaithamShabani Месяц назад
Mwenyezi Mungu naomba umponye mtoto huyu Amen
@user-uf7oh5eu4v
@user-uf7oh5eu4v Месяц назад
Daaah 😢so sad
@getrudaleonard8323
@getrudaleonard8323 Месяц назад
Poleni sana kwa kweli Baba Malick na Mama ake...
@fredpeter5442
@fredpeter5442 Месяц назад
Poleni sana inaumiza sana
@user-gj9xn2km1t
@user-gj9xn2km1t Месяц назад
mungu naomba umponye mtt huyu
@CarolineShirima-jv7sq
@CarolineShirima-jv7sq Месяц назад
Mungu wangu bwana yesu awatie nguvu
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t Месяц назад
Nyakat za mwisho😢😢😢😢pole maika Mungu akuponye🤲🤲
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t Месяц назад
Malaika
@SmilingGecko-bc7mt
@SmilingGecko-bc7mt Месяц назад
Mwenyezi Mungu amponye
@pantaleolaurentlaurentkavu2011
@pantaleolaurentlaurentkavu2011 Месяц назад
Pole Sana mungu amjalie apone huyo binti.siyo mtanzania asili hatujafika hapo kwa wenye umri huo wa binti.tuwe makini mikoa ya pembezoni wageni ni wengi.huenda nusu raia nusu wageni mihemko tusiwe wasio jua na mungu.yupo.
@HinohiatHidoCo
@HinohiatHidoCo Месяц назад
Hakika usemayo. Kigoma ni jirani sana na nchi kama tatu, lakini ni mbali sana kuja Dar Es Salaam. Hivyo siyo ajabu kuwa si raia wa nchi yetu.
@AziduKitenga
@AziduKitenga Месяц назад
Mungu amponye mtoto watu
@AlexSamwel-l7u
@AlexSamwel-l7u Месяц назад
Pole mdogo wang utapona kwauwezo wamung
@latifamubba100
@latifamubba100 Месяц назад
Watu wan roho za kikatili san
@user-ng6yt2od7l
@user-ng6yt2od7l Месяц назад
MUngu mponye mark Poleni Sana family
@RoseMalley-dt9ub
@RoseMalley-dt9ub Месяц назад
Poleni sana Mungu amsaidie apone
@rahymaaa4357
@rahymaaa4357 Месяц назад
Sasa mtoto kama huyu jmn kamkosea nn jmn wallah ni laana hii
@careemdulla1629
@careemdulla1629 Месяц назад
Mwenyezi Mungu atamsimamia atapona haraka
@sumaya-q7i
@sumaya-q7i Месяц назад
Jmn mwangalie wa dada wa kazi wanaujua majukumu anae jua uchungu sio vitoto daah 😭😭😭 Ina uma sana
Далее
Avaz Oxun - 10 yillik yubiley konsert dasturi 2023
2:52:33