Тёмный
No video :(

MTOTO ALIYEPOTEA DAR AMEONEKANA MORO - AUNTY ALIYEMTEKA HAJULIKANI - MAMA AONGEA kwa FURAHA... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 59 тыс.
50% 1

MTOTO ALIYEPOTEA DAR AMEONEKANA MORO - AUNTY ALIYEMTEKA HAJULIKANI - MAMA AONGEA kwa FURAHA...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 365   
@globaltv_online
@globaltv_online Месяц назад
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@user-ns1dg4jd7q
@user-ns1dg4jd7q Месяц назад
Mwenyezi Mungu pokea sifa na utukufu tulindie watoto wetu Baba yetu na Mungu wetu 🙏🙏🙏
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d Месяц назад
Kwanza niseme Alhamdllah Rabbllaamin Mwenyeez Mungu ni mwema
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 Месяц назад
Hakika
@tupegigwensajigwa2629
@tupegigwensajigwa2629 Месяц назад
Asante Yesu, Hakika Mungu ni mwema sana
@loner_wolf
@loner_wolf Месяц назад
Yesu au mungu ?😅😅😅😅😅😅😅 kuwa specific
@SungesuAngelina-id4tj
@SungesuAngelina-id4tj Месяц назад
Mungu ni mwema, Asante Mungu kwa kusikiliza maombi yetu🙏🙏🙏🙏
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 Месяц назад
Aamin Aamiin YaaRabbal Alaamiin
@thuweiybab3338
@thuweiybab3338 Месяц назад
Sio wa Tanzania pekee yao walio umia hata sisi huku Uingereza tumeamka mno, Natulimuombea sana mtoto Angle apatikane akiwa salama.. Hilo ni let sote. Mwenyeez'mungu azidi kumlinda...Malaika wetu Angel. Hilo jina limekwenda mahali pake. Ni miujiza ya Allah.
@irenemlay9104
@irenemlay9104 Месяц назад
Ashukuriwe Mungu mtoto amepatikana, ila uchunguzi uendelee.
@aminamollel3571
@aminamollel3571 Месяц назад
Acha Mungu Aitwe Mungu kiatu chako kilikua kinambana kila mwanamke Hakika Mungu amejibu,Hongeraa mdogo wangu nilikuhurumia sana niliwaza mengi
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Месяц назад
Àmina Mungu asifiwe.kiukweli sisi sote tulikuwa na simanzi kubwa, mama Enjoy hongera sana
@SuzanMkumbo
@SuzanMkumbo Месяц назад
Asante Yesu
@loner_wolf
@loner_wolf Месяц назад
Wa Yesu waendelee na wa mungu tunasema mungu mkubwa
@Precious2425
@Precious2425 Месяц назад
Jamani Mungu ni mwemaa
@user-xd1zk7tq4p
@user-xd1zk7tq4p Месяц назад
Baba wa mtoto ,Mama,Nauyo kaka masamslia mwema,Nauyo mama wa uyo kijana msamalia ,Wotee wajiowe kuna jambo haliko sawa 😢😢 ,Mazingaombwee haya pumbavu😊
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g Месяц назад
Alhamdulillah Mungu ni mwema 🤲🤲🤲
@yohananyamaruri9105
@yohananyamaruri9105 Месяц назад
Hao ndio watekaji hakuna mtu mwema hapo😢 itakuwa ni soko limedoda na Mungu kasaidia kupatikana
@vickytango5591
@vickytango5591 Месяц назад
😂😂😂😂😂
@MariamJuma-pe4sy
@MariamJuma-pe4sy Месяц назад
😂😂😂😅😅 eti soko limedoda nimecheka kama mazuri😅😅
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 Месяц назад
😂😂😂😂​@@MariamJuma-pe4sy
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 Месяц назад
😂😂😂😂😂
@AfricaQueen
@AfricaQueen Месяц назад
Hii kitu kuna kitu ndani yake tunataka kujua nani kampeleka huko.
@lizzyObed
@lizzyObed Месяц назад
mmmh unapenda heka heka wewe😅aya anza upelelezi basi
@user-lc6te2pe2l
@user-lc6te2pe2l Месяц назад
Mungu ni mwema tumefurahi sana Angle kapatikana.
@user-gy3dv3tq8d
@user-gy3dv3tq8d Месяц назад
Hiyo shule kuna mtu tu hapo shule ndo kachora mchongo
@AfricaQueen
@AfricaQueen Месяц назад
@@lizzyObed Serikali ipo Na polisi naamini watachunguza sina hicho cheo 🫵🏾Bado hayajakukuta ngoja uzae ndio utakuwa wa kwanza kupiga nduru au ndio wewe 🤔mmoja wapoooo🫵🏾
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Месяц назад
Ni Mungu tu.nililia saana.Asante Mungu usiruhusu watoto wetu wakawa wawindo Bwana Yesu.
@issaalfani1030
@issaalfani1030 Месяц назад
Mbona kama siwaelewi alie mchukua hamsemi yuko wapi polis au wapi mnasema tu kapatikana
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Месяц назад
Hapo kuna kitu aise, story haieleweki kabisa😢
@user-ss3fq7vy7v
@user-ss3fq7vy7v Месяц назад
Muwe mnasikililiza full story amesema aliemchukua ni dada yake na ana matatizo
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i Месяц назад
​@@user-ss3fq7vy7v😅😅😅😅watu wana haraka
@leokamil6284
@leokamil6284 Месяц назад
Mungu ni mwema niliomba mno na wote tulioomba Mungu ni mkubwa tushukuru kwa kutupokelea maombi yetu .Asante Mungu
@user-by6gh6df2h
@user-by6gh6df2h Месяц назад
Asante mungu kwa kuwa mwema na kujibu maombi yetu
@InjiliyaUfalmetv
@InjiliyaUfalmetv Месяц назад
Niseme Asante YESU KRISTO
@AfricaQueen
@AfricaQueen Месяц назад
Tunataka huyo mama atuambie nani kamleta hapo huu mcheki unatia mashaka🤔🤔🤔
@safiaothman5175
@safiaothman5175 Месяц назад
Hongera jedhi la polisi kwa kazi zenu😊
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Месяц назад
Bado tunaliomba Jeshi la police liangalie CCTV.inawezekana mlengwa alivyojua kuna camera alimtafuta mtu wa kumwangushia case.plss tunaomba police ziangalie CCTV kujua aliyemchukua ndio yeye aliyemkabidhi?
@hildaminja5148
@hildaminja5148 Месяц назад
Ila shuleni pawepo na utaratibu wa kuwasiliana na mzazi inapotokea mtoto amefuatwa na mtu tofauti na anayehusika au aliyeandikwa. Pana kauzembe kwa namna alivyochukuliwa
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i Месяц назад
Kwa janga hili lazima watakuwa wamejifunza
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Месяц назад
Hongera Immerda kwa kazi nzuri hongera .IMMERIDA. unafwatiria. Kwa. Kasi❤❤❤❤❤❤
@saumukambi8562
@saumukambi8562 Месяц назад
Kwakweli mungu Hana gumu Alhamdulillah mungu ni kila kitu Na.unachokiomba kisipokuwa Sawa mungu anakuwa Ana makusudi yake Mungu nimwema kwetu na Allah atawalipa tuliyokuwa pamoja kwenye maombi Asnt mungu❤❤❤
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 Месяц назад
Aamin Aamiin YaaRabbal Alaamiin
@user-ol6dk4bp9x
@user-ol6dk4bp9x Месяц назад
Asante Mungu
@rehemaseif1785
@rehemaseif1785 Месяц назад
Alhamdulillah 🤲sifa na utukufu ni wa M.mungu muweza wa yote. M.mungu awalinde watoto wetu. 🤲
@user-zw6xv1vt1p
@user-zw6xv1vt1p Месяц назад
Asante mungu nimefurahi sana
@user-gv9zo3os2m
@user-gv9zo3os2m Месяц назад
Asante Mwenyezi Mungu kwa kumtunza huyo mtoto
@emilianahanzi5088
@emilianahanzi5088 Месяц назад
Hongera Sana dada emerida mtema mungu akubariki mtt kupatikana
@user-xn8jh1yw1h
@user-xn8jh1yw1h Месяц назад
Hongera sana Mama Angel. Duh! Yaaani! Mungu ni mwema kila wakati! Waihyuka n'omwana. Waihyuka muno.
@MarynessRugaimukamu
@MarynessRugaimukamu Месяц назад
Hongera sana, Mungu ni mwema
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz Месяц назад
Mashaaalah, Engel Amina rabbi lailahailah rabbi
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 Месяц назад
Mmh kuna jambo aliko sawa hapa, mtoto kapatikana hapelekwi police anapewa mama amlinde
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 Месяц назад
nimeshangaa pia
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Месяц назад
Kwanza MAMA ENJO MWENYEWE UNAMUELEWA WEWE?,!😂😂
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Месяц назад
Sio kila kitu kinaoelekwa Polisi. Serikali za mitaa zinafamya Kazi vizuri. Kwani Polisi kuna chakula.
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Месяц назад
@@GibsonNtamamilo kwani uliambiwa polisi ni jiko? Soma definition ya polisi
@sechebwanahindi8674
@sechebwanahindi8674 Месяц назад
Uyo kaka aliemrudisha mtoto mbona kaelezea vizuri kuwa mtoto alipelekwa nyumbani kwao na dada yake ambae hakili yake haipo vizuri
@SharifaMohammed-el3ug
@SharifaMohammed-el3ug Месяц назад
Mungu ni mwema
@user-xn8jh1yw1h
@user-xn8jh1yw1h Месяц назад
Nicolas Big up sana. Mwenyezi Mungu na akuongezee maisha marefu.
@elizabethmukeba2528
@elizabethmukeba2528 Месяц назад
Mama Angel namshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa kupatakana kwa mjuku wangu Angel
@angelamasyaga6957
@angelamasyaga6957 Месяц назад
Thank u jesus
@upendosanga9205
@upendosanga9205 Месяц назад
Yaaan naungana na mzazi Kufurahi yaaan kufurah mnoooo asante Mungu
@user-dq4ur9kk6h
@user-dq4ur9kk6h Месяц назад
Nilivuomuona mama huyu nililia sana Mungu Amejibu maombi ya Watanzania kwakweli 🙏🙏🙏
@neemamsalege6325
@neemamsalege6325 Месяц назад
Asante Yesu utukufu na sifa ni vyako Mungu aliye kijiji,Ooooooh hallelujah
@user-tm9ey4zt7m
@user-tm9ey4zt7m Месяц назад
Alhamdulillah
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 Месяц назад
Yaani waendelee kuangalia camera lazima ijulikane aliyemchukua ni kweli huyo anaemzungumzia huyo kaka?
@josephineokama2200
@josephineokama2200 Месяц назад
kweli naona Ile kauli ya camera imewashtua kutoka dar mpka Moro kweli dah
@aikaelMwanga
@aikaelMwanga Месяц назад
Asante mungu
@navioma4882
@navioma4882 Месяц назад
Walimu mjifuze msitoe watoto😢😢 bila tarifa ya mzazi🙏🙏
@DativaMbowe
@DativaMbowe Месяц назад
Glory to God
@felistermatinde4640
@felistermatinde4640 25 дней назад
Amina
@Chakol123-k7s
@Chakol123-k7s Месяц назад
Yani mtoto kutoka ostabey masaki mpaka mikumi (Morogoro)😢😢😢
@josephineokama2200
@josephineokama2200 Месяц назад
yaani alivyorusha kwenye media akasema wanataka wakacheki camera ndipo mtekaji alishtuka na kumtelekeza mtoto
@Chakol123-k7s
@Chakol123-k7s Месяц назад
@@josephineokama2200 eeh inaonekana ni big team huyo mtoto akachekiwe now days watu wanatoa organs aisee unajiona upo sawa baadae huko miaka 6 mbele unambiwa una Figo moja aisee 🥲
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 Месяц назад
Mashaaallah Allhamdulillah Allah Amfanyie wepesi katika makuzi yake Allah Amuondoshee Hasad na Ubaya
@chany9950
@chany9950 Месяц назад
Mungu ni mwemajmn🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@naomipius-dk6xh
@naomipius-dk6xh Месяц назад
Asante yesu
@carolinemunishi1286
@carolinemunishi1286 Месяц назад
Amina Tumshukuru Mungu kwa pamoja Mungu ni mwema
@happinessmosala2217
@happinessmosala2217 Месяц назад
I'm soo happy.for the news.Mungu wetu ni mwema sana.Bwana apewe sifa zote
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 Месяц назад
Asante Mungu ni mwema
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk Месяц назад
Mungu yumwema Ahsante kwa Kutenda Na Kumjibu Mama Angle .YESU yumwema
@vincej9275
@vincej9275 Месяц назад
Mungu ni mwema siku zote. Asante sana.
@SharifaOman-bf1bn
@SharifaOman-bf1bn Месяц назад
Alhamdulilah
@user-zl5mt6lk4n
@user-zl5mt6lk4n Месяц назад
yaan anafuraha hata kumbe hajamuona daah😢 umejuaje mwanao kiundani yupo hali gan ila mwenyeezi Mungu amuhifadhi awe salama mtoto mzuri...naona mimbado nina huzuni na hofu lkn mama anacheka kwa furaha zote
@nourrubeya7188
@nourrubeya7188 Месяц назад
Alhamdulilah jamani happy for her❤❤❤❤❤
@user-qw6wv4hf5c
@user-qw6wv4hf5c Месяц назад
Alhamdulillah Asante mungu yani nilikua namwazia Enjo nakumuomba mungu MTT apatikane akiwa salama niseme Asante mungu 🤝🤝🤝
@subirajohn728
@subirajohn728 Месяц назад
Mungu ni Mwema! Ahsante Mungu kwa ajili ya Angel!
@ashurakiwanga837
@ashurakiwanga837 Месяц назад
Mungu mkubwa.Ahsante Mungu kwa kumrudisha salama katoto Allah amezipokea duwaa za wote waliomtakia mema mtoto
@user-fs7xc2bb5d
@user-fs7xc2bb5d Месяц назад
Allahuma Amin
@happinessmosala2217
@happinessmosala2217 Месяц назад
She is realy Angel
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 Месяц назад
Asanteni sana kwa Taharifa
@user-wc6wq7rm7x
@user-wc6wq7rm7x Месяц назад
Jamani Enjoy kapatikana Asante aMungu Kwa kuzipokea furaha ilioje nimefurahi mpk nalia,mama baba hongera sana tumelia nanye tufurahi pamoja.
@ayshasaid1547
@ayshasaid1547 Месяц назад
Achukuliwe Mungu 🤲🤲🤲
@HusnaMahdi
@HusnaMahdi Месяц назад
Asante mung tuseme mungu asante
@NuruNyanja-kz1qr
@NuruNyanja-kz1qr Месяц назад
Mungu ni mwema sana
@maimunahemedi6491
@maimunahemedi6491 Месяц назад
Alhamdulillah, mungu ni mwema, kamlinda mja wake, walimu wsjifunze kutoksna ns tukio hili, mtoto asitolewe hadi sulizwe mzazi
@user-bh3td9ld4v
@user-bh3td9ld4v Месяц назад
Nuru Yani nimeshukuru huyu mtt aliniuma kweli mungu anaweza Alihadulirahi
@fettyrashid9042
@fettyrashid9042 Месяц назад
Mungu mkubwa,🤲🙏
@user-ce1sb6ws6g
@user-ce1sb6ws6g Месяц назад
Alhamdulillah Mungu ni Mwema.
@JulianaJackson-lz6vq
@JulianaJackson-lz6vq Месяц назад
Mungu Asante..
@omanmobile5746
@omanmobile5746 Месяц назад
Asant Mungu na pole bint bushiri kwa changamoto hiyo
@user-qw6wv4hf5c
@user-qw6wv4hf5c Месяц назад
Hongera mdoga wangu mama Enjo napia tunakushulu da Imelda na kaka hapo mungu atawalipa inshaallah
@glaisfupa9760
@glaisfupa9760 Месяц назад
Asante Bwana Yesu
@VeronicaMacha-pl3xt
@VeronicaMacha-pl3xt Месяц назад
Utukufu na shukuru apewe Bwana Mungu asiyeshindwa.
@yohanatlatlaa4205
@yohanatlatlaa4205 Месяц назад
Amina mungu mkubwa amesikia maombi yetu
@khadejakhadeja9713
@khadejakhadeja9713 Месяц назад
Hamdullillaah. Enjo japatikana❤❤❤❤❤❤.mungu ni mwemaa
@najathtemo3908
@najathtemo3908 Месяц назад
Asante sana Mungu wangu🙏
@CatherineJamesshirima
@CatherineJamesshirima Месяц назад
Kweli Mungu anaweza nimelia kwa furahaaaa. Pole sana Mama Angel na hongera sana kwako na familia kwa ujumla.
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n Месяц назад
Bado najiuliza mengi
@user-rh5iy3ei3g
@user-rh5iy3ei3g Месяц назад
Alhamdullilah
@MalaikaBright-rv6yb
@MalaikaBright-rv6yb Месяц назад
Asante MUNGU
@mathewpaschal8000
@mathewpaschal8000 Месяц назад
Nani kampeleka huko? Na je inakuwaje tunafurahia? Tulipaswa kuwatafuta wote wanaofanya mambo hayo
@subirajohn728
@subirajohn728 Месяц назад
Kweli kabisa hao watu watafutwe ili kukomesha huu mchezo mchafu Kwa watoto wetu! Na Mimi nafikili walijua watajulikana baada ya kusikia CCTV Camera ndio maana wameogopa lakini Polisi wanapaswa kufanya uchunguzi wa kina maana inawezekana hawa wanahusika na mauaji ya wstoto wengine wa maeneo tofauti!
@childrengospelmissiontanza1474
@childrengospelmissiontanza1474 Месяц назад
Safii sana kwa kweli
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Месяц назад
Alhamdulilah ×3🤲🤲🤲
@firmakisika5073
@firmakisika5073 Месяц назад
Mama Angel mshukuru sana Mungu kwa Upendo wake. Kumbuka kutoa Sadaka ya Shukrani.
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 Месяц назад
Alhamdulillah ❤❤❤
@nadiatanzania
@nadiatanzania Месяц назад
Mungu hajawah shindwa kwa wanao mtumainia Asante Mungu 🙏
@upendomoses2418
@upendomoses2418 Месяц назад
Ashukuriwe Mungu kwa Yesu Kristo alomwaga damu yake msalabani na ndo ilomiminwa juu ya Angel hatimaye mikono mibaya ikamwachia utukufu una Mungu juu
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 Месяц назад
Heshima,Utukufu na Uweza ni kwako Mungu🙏🏽
@LizzyMbegga
@LizzyMbegga Месяц назад
Asante mungu kwa kumuonekania mama angel
@sabrinasabrina8395
@sabrinasabrina8395 Месяц назад
Subhannallah
@amanakyando7435
@amanakyando7435 Месяц назад
Oooh Asante yesu
@joyceraphael2586
@joyceraphael2586 Месяц назад
Asante Mungu jmn nliumia sana kama mama nliumia sana Mungu ww ni mwema sifa na shukurani ni kwako Baba
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar Месяц назад
Alhamdulillah🤲🤲🤲🤲
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 Месяц назад
Ma sha Allah 😍😍😍🎉
@vero57
@vero57 Месяц назад
Asante yesu 🙏🏾🙏🏾
Далее
Mtoto aliyefariki na kuzikwa apatikana akiwa hai
52:00