Тёмный

DAKTARI MUHIMBILI ASIMULIA CHANZO CHA KIFO CHA MARCO ALIFANYIWA UPASUAJI WA MOYO,ALIKUJA KWA NDEGE 

Bongo5
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 117 тыс.
50% 1

Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 304   
@consolatasulusi7249
@consolatasulusi7249 21 день назад
Inauma kwakweli.Mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake kwa amani.poleni sana wapendwa wetu
@user-bk3fu2kj5m
@user-bk3fu2kj5m 21 день назад
Pole kwa familia,Kama kweli hakuwa na huo ugonjwa toka nyuma ya nini sasa kujihangisha kufanya upasuaji na ugonjwa wenyewe ulikuwa ni ghafla vile tena upo speed vile hapo ilikuwa ni kumuachia mwenyezi mungu tu, Roho ya marehemu ailaze mahala pema peponi 🙏
@user-ov6gd7fy4j
@user-ov6gd7fy4j 20 дней назад
Kabisa dada tatZo mtu anapoumwa Kuna kujisahau ila kimbilio lakwanza lingekuwa kwa mungu angepona
@aloycebabene6239
@aloycebabene6239 20 дней назад
Pole sana Prof. Harun kwa jitihada za kuokoa maisha ya ndugu Marco....hiyo operation ni complicated sana. Nakumbuka muhimbili walitaka kunifanyia ila some American doctors walikataaa kata kata kuwa wengi wanaofanyiwa hiyo operation hupoteza maisha. RIP MARCO
@grationkato7658
@grationkato7658 20 дней назад
Noted
@MamaSabrina-dh8om
@MamaSabrina-dh8om 20 дней назад
Ikawaje sasa
@halimaKaniki-g6i
@halimaKaniki-g6i 20 дней назад
Tumalizie storyy bas
@successfulyoutubersyt
@successfulyoutubersyt 19 дней назад
😢😮
@AlexPhilemon-g2x
@AlexPhilemon-g2x 19 дней назад
Uliponaje ww
@RebeccaFungo
@RebeccaFungo 21 день назад
Nyimbo zake nitazikumbula daima Poleni sana wafiwa Mungu akawe mfariji mkuu katika kipindi hiki cha msiba
@ArubinaChimuli
@ArubinaChimuli 21 день назад
Huyu mwimbaji.nikama Ametolewa kafaraa..siobure..kuna waibajiwakitambo hapa..wangine niwazuri wengine wakiona tu umetoka nyuma na unaimba vizuri kuashinda lazima tu watakukanyagia chini.kama mtu hajakuamngojua hananga shida yoyote ilikuaje tu gafla Ashakufa.weeeeh😱🕊😭😭rest in peace Marco zabron singers mungu Ailaze roho yake malipema peponi😭😭🙏🙏🇰🇪
@Ashinagaltoto7876
@Ashinagaltoto7876 21 день назад
I support you...uchawi huo
@asdfhdv9230
@asdfhdv9230 21 день назад
Acha fikra potofu mungu ndo anapanga kwani ni wangapi wana Fariki bila kuumwa
@priscarkasitu8101
@priscarkasitu8101 21 день назад
Muamini Mungu wewe
@josphenembunde5805
@josphenembunde5805 21 день назад
Ithink ni mungu ameamua kujukua dont say ni kafara my dear let him rest in peace 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@emmadora7848
@emmadora7848 21 день назад
Labda wewe ndio mwanga mwenyewe , Mungu humchukua amtakaye
@agesag.m2476
@agesag.m2476 21 день назад
May his soul rest in peace, sincere condolences from Kenya.
@StellahCheruto-sw3xy
@StellahCheruto-sw3xy 20 дней назад
Poleni sana zabron singers, but my dear sister's and brothers Muombeni sana kwa bidii majaribu yapo From Kenya 😭😭💔💔
@tuikezeezra1315
@tuikezeezra1315 20 дней назад
Aise Mungu ndo anajua siri zote, sisi binadamu tuna macho lakin hatuoni!! Poleni sana Zabroni Singers 😭😭😭😭😭😭😭
@frankwilliam7740
@frankwilliam7740 21 день назад
Bila upasuaji Hataweza kuishi.Haya amefanyiwa upasuaji ikawaje? SINA MAANA MBAYA ILA MUNGU NI MUNGU.BINADAMU WANA MIPANGO ILA MUNGU NDO MWAMUZI
@eshialabonita7736
@eshialabonita7736 20 дней назад
Kiswahili kigumu
@merysamwel1360
@merysamwel1360 5 дней назад
Mungu awatie nguvu wanafamilia wote katika wakati huu mugum wa msiba😭😭😭😭
@NGIPUYONILAIZER
@NGIPUYONILAIZER 21 день назад
Hakika pole sana Kwa familia na wote walioguswa na msba huu. Mungu mfariji mkuu awe nanyi
@rehemambaga1461
@rehemambaga1461 18 дней назад
Nimelia sana. Mungu amjalie Mjane na watoto wake faraja ya peke e
@merysamwel1360
@merysamwel1360 5 дней назад
Duuu!!! inauma sana kumpoteza muimbaji wetu ni bora wangempeleka kwenye maombi na kumwachia Mungu jamani imeniuma sana sana kumpoteza huyu mwimbaji nilizipenda sana nyimbo zake Mungu aileze roho ya marehem pema
@emanuelKarei
@emanuelKarei 21 день назад
Mungu awafariji familia na ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi,, Amen
@judithkilawe6178
@judithkilawe6178 20 дней назад
Mungu wambinguni ampe pumziko la milele
@HappyMwazembe
@HappyMwazembe 21 день назад
Nimeumia mnoo jamani! Mungu awatie nguvu wanafamilia na marehemu apumnzike kwa amani😭
@denisbongore3098
@denisbongore3098 20 дней назад
Jamn mm nauliza kwan kulikuwa hakuna waombaji wamuombee na sio kila ugonjwa n wa Mungu watumish wa Mungu wote waliokufa kwa kifo cha halali huwa wanaaga mm imeniuma sana jaman kumpotenza msanii mzuri kama huyu mm niko keny aki watanzania wenzang polen sana tujifiche tyu kwa damu ya yesu
@nimojapan3430
@nimojapan3430 21 день назад
Jamani nimeumizwa sana na Huyu kaka duh😢😢😢😢😢
@junemukami140
@junemukami140 20 дней назад
Pole to the family.Its painful but thank God he was a christian.kenyans we appreciate Tanzania songs
@elishalomay4895
@elishalomay4895 20 дней назад
Jamaa alikuwa MTU wa pekee... Alinipa kusikiliza wimbo mkali Ambao Bado haujatoka wa Zabron wa Ak***a kupata feedback Kabla hatujaona matokeo amepumzika He was exceptional Tunaomba mawasiliano na family Poleni sana
@denisbongore3098
@denisbongore3098 20 дней назад
Aki mm inaniuma kias kwamba hatuwez kumuombea akafufuka jamn na kama n kafara wasiwahi kupata aman hao waliofanya hvyo paka wajiseme na kama n mapenz ya Mungu basi jina lake litukunzwe milele yote maana tumeumbwa na yeye na pia apunzike kwa aman
@EverlineNgige
@EverlineNgige 20 дней назад
Kwakweli kifo hakitibiki you can imargine mtu kazidiwa kisumu instead of apelekwe Nairobi ,anarudishwa mwanza, mwanza to der es salaam ambayo ukiunganisha is too far from kisumu nairobi mbona wengi wakizidiwa wanaletwa Kenya kutibiwa from Tz amakweli poleni sana wana familia na zablon singer's kwa ujumla hata kenya pia twaomboleza
@joycefrances4516
@joycefrances4516 20 дней назад
something wrong,angeenda kwa kuhani Mussa angepona kilaiiini,shetani amejiinua,na waimbaji wengi wa injili hawanaga maombi yakuamisha milima,tumtafute Mungu sana
@ii-bt3yj
@ii-bt3yj 20 дней назад
I wish hata wangeachana na upasuaji😢poleni to the family na zabron singers
@HappynesBida-ol9gx
@HappynesBida-ol9gx 21 день назад
Poleni sana familia mungu na awatie nguvu hapa duniani sote tunapita siyo kwetu lakini tunalo tumaini ipo siku tutaonana mbinguni kwa baba
@SubiraJohn-k7k
@SubiraJohn-k7k 20 дней назад
R.PC Marciou! Poleni sana Familia!
@richardmilele
@richardmilele 19 дней назад
polen sana mwenyez mungu awatie nguvu
@AnnaSamson-fw3vs
@AnnaSamson-fw3vs 17 дней назад
Pole sana familia Mungu awatie nguvu,inauma sana .
@Damas-c2j
@Damas-c2j 20 дней назад
Mungu ailaze mahal pema pepon..amen 🙏🙏
@wamtekowamteko8028
@wamtekowamteko8028 20 дней назад
Umetoa maelezo vizuri kabisa yenye kuridhisha na kutia faraja. Ni kweli ibaki kua Mungu amefanya maamuzi yake. Pongezi kwa madaktari wote waliojitahidi kuokoa uhai wa Marco lakini ashukuliwe Mungu wetu mwenye uwamuzi wa yote. Jina la Bwana lihimidie na apumzike kwa amani Amina
@JaneMkinga
@JaneMkinga 20 дней назад
Mungu ampe pumziko la milele! Yote kwa yote mungu kwanza tumtangulize maana hakuna lisilowezekana kwake. Acha tuu familia yake mungu awatie nguvu.
@ZainaAdam-h1z
@ZainaAdam-h1z 17 дней назад
Pumzika kwa amani ndugu yetu tutakukumbuka😢😢
@user-rj2wk3pz2b
@user-rj2wk3pz2b 18 дней назад
Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa aman amina raha ya milele uwape ee bwana na mwanga wa milele uwaangazie marehemu ote wapumzike kwa amani amina inauma sana😭😭😭😭😭😭😭😭
@mhigiisack5667
@mhigiisack5667 20 дней назад
Poleni familia mungu ahusike kufariji hii familia🙏
@DianaWasari-mv7zi
@DianaWasari-mv7zi 20 дней назад
Mungu amlaze mahali pema peponi,,,,msife mioyo Mungu yu pamoja nanyi
@user-ye7hg5pn7x
@user-ye7hg5pn7x 20 дней назад
Yaani nimeshindwa kujizuia nimelia sana 😭😭mungu ampunzishe salama alindwe na malaika
@marybanyakile434
@marybanyakile434 19 дней назад
Mhhh Mungu tunaomba faraja kwa familia hii. Kamani wewe Baba Jina lako lihimidiwe!
@RuthSenkoro
@RuthSenkoro 20 дней назад
Du jamani hakika inaumiza mnooo. Ooh Lord hatujui kesho yetu.😮
@Keniyakeniya-kx1to
@Keniyakeniya-kx1to 21 день назад
Sorry for the Loss 😢 may he rest in eternal peace 🙏🇰🇪
@jacquelinelugenge8200
@jacquelinelugenge8200 20 дней назад
Pole wana familia kiujumla duh ,RIp Marco jitiaha zimefanyika sana kukuokoa lkn mungu ndiye mwenye mapenzi na ww .kazi ya mungu haina makosa
@ludovickizack9812
@ludovickizack9812 21 день назад
Hiki kifo kama alivyokufa mme wangu ninaumia sana
@victorianganyagwa2467
@victorianganyagwa2467 20 дней назад
Pole kpnz
@listerlujiso6009
@listerlujiso6009 20 дней назад
Pole sana ndugu Mungu akazdi kuwa faraja cku zote
@BurayaniGorodiani
@BurayaniGorodiani 20 дней назад
Im ludovic ignas,, jamn polen san wapendwa mung awatie nguvu😂😂 ktk kipnd hik kigum Duuuuh,, Rip rafiki yangu
@CharlesLaisangaiLaizer
@CharlesLaisangaiLaizer 20 дней назад
Inaumiza sana.pole sana familia ya Marco.
@daisyodanga1777
@daisyodanga1777 20 дней назад
Sincere condolences from Kenya,rest easy.
@LucknessPeter
@LucknessPeter 20 дней назад
bwana alitoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe amina🙏😭😭😭😭
@gervaskasala7321
@gervaskasala7321 20 дней назад
Hii khali kidogo tu initokee juzi nilipishana kauli na wife the way na mpenda nilisihi mpaka uti wa mgongo unapiga shoti na pia moyo ukawa unauma kwa kasi sana . Mungu ailaze roho yake mahala pema amen😢😢
@MarthaKahimba
@MarthaKahimba 20 дней назад
Mungu awe faraja yenu poleni sana family ya zabron
@LeaNduwayezu
@LeaNduwayezu 20 дней назад
Mungu tumekosa Mwimbaji Mzuli.poleni choir Zabron Single.
@NeemaMeshaki-qm4ew
@NeemaMeshaki-qm4ew 20 дней назад
Jamaniii Mungu ampokee mtumishi wake
@gracemtobesya
@gracemtobesya 20 дней назад
Mungu ampumzishe salama jamani. Maisha ni kama maua. Rip Marco
@janejoel2465
@janejoel2465 21 день назад
Yaan jaman , mwimbaji wa kwanza alifanyiwa upasuaji wa kichwa. Huyu moyo jamani zabron singers kuna nini? Roho yangu inauma sana
@LydiaDamian
@LydiaDamian 21 день назад
Huyo wa kichwa alipona?
@janejoel2465
@janejoel2465 20 дней назад
@@LydiaDamian alipona ila nasikia yupo tu hawez fanya chochote ndio maana hajarudi kuimba
@upendohalisi80
@upendohalisi80 20 дней назад
Shetanisiku zote ni mwongo, hapo aliyemuumba hausiki kabisa, ni michezo huko kwenye uimbaji wakamtengenezea kifo kwa njia ya upasuaji.
@VailethVee
@VailethVee 21 день назад
Jaman nalia nashinda kuelew iweje gafla hivi 😢 ee mungu kama nikwamapenzi yako bhc tunkuachia ww 😢😢mungu ailaze roho yako mahl pema peponi🙏🙏🙏😭
@VeronikaMayemba
@VeronikaMayemba 21 день назад
Siyo mapenz ya mung ni mapenz ya wanadam
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx 20 дней назад
Kifo bana dah RIP Marco Joseph poleni Zabron Singers
@user-vo8go4zj6t
@user-vo8go4zj6t 21 день назад
Mmh Mwenyezi Mungu ampokee
@jacknelsmbutu3382
@jacknelsmbutu3382 20 дней назад
Poleni sana daah
@winnyborah7559
@winnyborah7559 20 дней назад
Poleni sana MUNGU awafariji wakati huu mgumu
@Naice-c1f
@Naice-c1f 21 день назад
Mungu awafairiji ndugu zangu Kwa kipindi kigumu hiki
@lizmwangi1549
@lizmwangi1549 20 дней назад
Mungu aipe hiyo familia changa nguvu wakati huu mzito,si rahisi kukubali lakini yote ni ya mungu.
@NancyLucas-x7m
@NancyLucas-x7m 20 дней назад
Dah😢mwenyez mungu amlaze mahali pema peponi😭
@SamwellubigisaLubigisa
@SamwellubigisaLubigisa 21 день назад
Mpaka nakoswa cha kusema 😭😭😭😭😭
@AnnaCosmas-zf7cb
@AnnaCosmas-zf7cb 20 дней назад
Inauma sana R.I.P Marco tutakuenzi kwa nyimbo zako
@zeddytele9868
@zeddytele9868 20 дней назад
Haki pole kwa familia ya zabron... unbelievable but mungu awafariji.
@user-hm4oj4sj6d
@user-hm4oj4sj6d 20 дней назад
😢😢😢😢😢 imeniuma sana jaman dah apumzike salama
@stellawalela3034
@stellawalela3034 20 дней назад
My sincere condolences.Very heartbreaking.
@CarolineLembile
@CarolineLembile 19 дней назад
Mungu ampe pumziko la milele mpendwa wetu
@rajogemzanaki3030
@rajogemzanaki3030 20 дней назад
Mungu amtangulie sisi ni matawi juu ya mti Leo litadondoka hili kesho hili mbele yake Nyuma sisi
@neemajohn1849
@neemajohn1849 21 день назад
Mungu awatie nguvu wanafamilia amina
@joslinchuwa1298
@joslinchuwa1298 21 день назад
Mungu awatie nguvu wanafamilia wote c jambo rahisi kuondokewa na wapendwa wetu
@benjo_brighter
@benjo_brighter 21 день назад
Daaah 😲 Imekuwa ni ghafla sana. Rest In Peace 🕊️
@Damas-c2j
@Damas-c2j 20 дней назад
mungu bba tutie moyo ssi watot wko
@deodatusmtitu3573
@deodatusmtitu3573 20 дней назад
Pole sana familia kwa msiba huu mzito
@LusiaKokugonza
@LusiaKokugonza 15 дней назад
Polen jam 😭😭😭😭😭💔💔😭🙏😭
@officialrhodakazungu9334
@officialrhodakazungu9334 19 дней назад
Nimeumia kwakweli😭😭😭😭😭😭
@TomLone-jd9vf
@TomLone-jd9vf 20 дней назад
"Uamuwalo hakuna wa kulipinga hakika we ni Mungu wa yote"
@michaelmshighati8432
@michaelmshighati8432 21 день назад
Poleni sana Mungu awatie Nguvu.
@GERVASSIMONI
@GERVASSIMONI 18 дней назад
Hakika tutakufa 😢😢😢😢😢
@user-uf7oh5eu4v
@user-uf7oh5eu4v 21 день назад
Poreni sana familia 😢na broh pumzika kwa amani life is gone so sad💔🫶
@annamtapila5761
@annamtapila5761 20 дней назад
Poleni sana wanafamilia.
@jepchumbamildred8265
@jepchumbamildred8265 20 дней назад
Pole Kwa familia
@sporamashanga4019
@sporamashanga4019 21 день назад
poleni sana Mungu awape faraja
@RehemaMsengi-rp5wg
@RehemaMsengi-rp5wg 21 день назад
R.I.P poleni sana Mungu awafariji Kwa kweli inauma.
@user-tj5ml6du2l
@user-tj5ml6du2l 20 дней назад
Poleni sana familia ya Marco
@nyabadececile4464
@nyabadececile4464 20 дней назад
Pole sana nimeumia sana
@aidandamian2566
@aidandamian2566 20 дней назад
Poleni sana imeniuma sana jamaa mpole sana nakuwaga naye mazoezin jobaru kahama,hakika wote tunapita
@salomemulandi433
@salomemulandi433 20 дней назад
May his soul rest in peace.mungu awafariji familia na marafiki
@HellenGodfrey-or6ej
@HellenGodfrey-or6ej 21 день назад
Pole kwa msiba ndugu na jamaa wa marko
@ChikoPori
@ChikoPori 20 дней назад
Kweli ni pigo sana huu msiba kwakweli umenigusa sana tumuomba MUNGU awape faraja ndugu jamaa namarafiki hasa mke wa marehemu nawatoto BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE AMINA.
@EveSaimon
@EveSaimon 20 дней назад
Nimejikuta 😂😂 natoka machozi poleni sana wanafamilia
@AnitaMwenda
@AnitaMwenda 20 дней назад
Jifunzevkutumia emoji mpendwa😭
@tabithaPetromaranya
@tabithaPetromaranya 20 дней назад
Dunia ni chung polen famly
@JoyWekesa-uz7qj
@JoyWekesa-uz7qj 20 дней назад
My condolences 😢😢
@lmashua
@lmashua 20 дней назад
Sorry for the loss
@JacksMas
@JacksMas 20 дней назад
Inauma sana lkn mungu ndo anaejua mwisho wake na thaman yake,,,, roho yake ipumzike salaman
@Mwanafundi
@Mwanafundi 21 день назад
Poleni sana familia ya zabrn
@HappyElia-g7x
@HappyElia-g7x 21 день назад
Jamani poleni sana Mungu awatie nguvu sote tunapita
@user-vy6uf3en1j
@user-vy6uf3en1j 20 дней назад
Mwanadam aliyezaliwa na mwanamke siki zake za kuishi sio nyingi nazo zmejaa shida nyingi R.p Marko
@MercyNyakio-kp7ok
@MercyNyakio-kp7ok 20 дней назад
Poleni ,may his soul rest 8n peace
@JackKessy
@JackKessy 21 день назад
😭😭😭😭😭💔💔💔💔nimeumia sanaa😢😢😢😢😢
@elizabethismile6827
@elizabethismile6827 21 день назад
Mm nilishanot kitu ukifanyiwa operation hapo mwimbili jakaya jmnii hutoki mzima wengi mtanibeza lakin huo ndo ukwelii kwa hapo moi mmh.. hat mm bibi yañgu alienda mzima tena anaendsha gari mwenyew lakin baad ya kuingia humo alitok marehem . Soo uyo tu ninawafamu ma baadh ni ndugu wengi wakienda moi hawaishi🙌 sjajua kwakweli
@reyjackykitchen9280
@reyjackykitchen9280 20 дней назад
Too sad😢😢😢
@danielnelson120
@danielnelson120 20 дней назад
Inauma sana😢😢😢
@nimojapan3430
@nimojapan3430 21 день назад
Uchawi huo wivu wawatu jamani sio mapenzi ya Mungu hayo
@StellaStanphord
@StellaStanphord 21 день назад
Kabisa😢
@svt3
@svt3 21 день назад
Ulemavu wa elimu ni mbaya
@nancyg8664
@nancyg8664 20 дней назад
ulitaka aishi milele au akupigie simu kuwa anaumwa kabla hajazidiwa....eb sometimes muache hizi fikra potofu jmn kah
@svt3
@svt3 20 дней назад
@@nancyg8664 yaani kunawatu maneno yao tu utafahamu, ni walemavu wa elimu, walemavu wa busara na walemavu wa hekima, halafu maskini ila wanaamini uchawi,ushirikina..... mtu akifa kwao ni kalogwa yaani kuna watu wapumbafu mpaka inasikitisha
@nanodhis
@nanodhis 20 дней назад
Deeply condolences
Далее
IMENIUMA SANA by Zabron Singers (Official Video)
5:05
ZABRON SINGERS - UKO SINGLE ? (Official Video)
3:45