Тёмный

Dalili 11 za mwanzo za mtoto anaye ingiliwa kinyume na maumbile+Nini cha kufanya - Dr Zuwena 

Kalamutz
Подписаться 153 тыс.
Просмотров 88 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 92   
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 Год назад
Unapojuwa tu mtu anae haribu watoto haina haja kupelekwa police wazazi wakate kichwa tu
@khalsasalim7930
@khalsasalim7930 Год назад
Au muinamishe umtie mchi ule wakutwanga wa kinu kwa mkundu wake
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 Год назад
@@khalsasalim7930 mtihani wallahi allah awanusuru ummat Mohammed ameen 🙏
@mrssalim1444
@mrssalim1444 Год назад
Nikweli asisamehewe kabisaa maluuni hawa
@ronaldreagan7772
@ronaldreagan7772 Год назад
Hey calm down man
@AishaRamadhani-k6s
@AishaRamadhani-k6s 20 дней назад
mmh iyo dawa amna njia ingine​@@khalsasalim7930
@nuruddin5074
@nuruddin5074 Год назад
SHUKLAN SANA NDUGU YETU KWA UKUMBUSHO ALLAH AKULIPE KILA LA KHER INSHALLAH
@JoyceMushi-b6r
@JoyceMushi-b6r Год назад
Na siku hizi kulea watoto wakiume ni kazi Sana kuliko wakike, halafu dunia bado haijashituka, bado upendeleo mwingi unaelekezwa kwa watoto wa kike , mi inaniuma, Nina watoto wakike na wakiume, wote wapewe uangalizi Sana na jamii, ni hatari
@sleyumhamadnassor2058
@sleyumhamadnassor2058 Год назад
Kwa upande mwengine baadhi watu/wazazi wapo wanaolitumia vibaya suala hili la udhalilishaji, kwa maslah yao binafsi, kwa mfano mtu anaweza akagombana/akakosana na mtu mwengine,sasa ili kuona kuwa ni namna gani ataweza kumkomoa mwenzie na kumuingingiza katika balaa moja kubwa anaona amsingizie mwenzie kuwa amembakia mtoto wake, vipi hapa mtoto atakuwa ametendewa haki na mzazi huyu? Vipi mustakbali wake kwa ujumla utakuwaje? Na inawezekana ni uhakika 100% hajafanyiwa hicho kitendo. Na vipi huyu mzazi aliemuingiza mtoto wake katika record mbaya kitu ambacho si sahihi tutamuweka katika nafasi ipi?. YOTE KWA YOTE NI TUBADILIKE KUANZIA KATIKA MALEZI NA HATA SISI WENYEWE, TUWALEE WATOTO KATIKA MALEZI YALIYOKUWA BURA NA SISI WATU WAZIMA TUACHE TAMAA ZA KIJINGA.
@madinaomar679
@madinaomar679 Год назад
vzr ukiitoa elimu hii clinic za hospital kwakinamama wajawazito na wanye watoto wadogo, wataitumia vzr ktk jamii
@SumayyKhamis
@SumayyKhamis Год назад
Subhanallah ,, allah akulipe ukht kwa ilmu
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Год назад
Subhanallah Allah atustirie watoto wetu 😢 Mashallah tabaraka llah 🥰 ukhty 🤝
@mimimina1487
@mimimina1487 Год назад
Allah akulipe kheri dada .Allah kunipa rizki ya watoto wa kiume watano alhamdulillah nimejifunza mengi leo
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Год назад
Wtto wengi siku hzi hawapigwi wala hawafunzwi ndio mana ubakaji unazidi. unakuta mtto anamuomba mgeni pesa au anamsachi mifukoni na mzee wake yupo anacheka tu, zamani wazee wakijitambua kiasi ambacho unakuta mtto si rahisi kua na ukaribu na m’me hata km ni jamaa yake. Na jengine watu wazima waache kuwapa vizawadi na pesa wtto, wwape wazee wao ili wazee wawape wtto wao. Hii inaeza kusaidia wtto kuacha ukaribu na w’me.
@mudhauraha-lq1qn
@mudhauraha-lq1qn Год назад
Na hawa wafanyaji tungekuwa tunamalizana nao kimya kimnya ukeshagundua tu huyu jamaa kamlawiti mwanangu unamalizana nae mwanao ndio inakuwa mtu mwisho kumlawiti.. Hio ndio adhabu alioiweka Mungu uko sahihi na hawa wakeshagundua wanatumaliza wataacha tu, waovu wengi wanapenda kuishi . Hatua nyengine yyt tunajipumbaza tu wtt wetu wanazidi kupotea na mabasha wanacheka leo kamfisidi hy kesho yule na tunawajua mtt akibana anamtaja tu anamlawiti.. Dawa ni kumalizana nae mlawiti kimya kimya tu... Kesi ikiipeleka polisi inachukua miaka 2, dpp miaka 3 , mahakaman miaka 5. Tena basha yuko nje anaharibu wengine mtaani bukheri hana wc wc..
@safiaothman5175
@safiaothman5175 Год назад
Jazaki Allahu Khairaan Kathiraan kwa Darsa Muruwa.
@salummzee9739
@salummzee9739 Год назад
Asilimia kubwa Mambo hayo hutokea ktk familia,mfano baba, kaka, ndugu Majiran,Wajomba hawa ndio wanao haribu Watoto ila mitihan hii ikiwa akipatika ukimalizanae kuvuruga kwa magongo bara bara mpk ata akitoka basi iwe funzo wake weziwe,akiwa nguvu hana tena ametoa macho kwenye kigari Watapotea matendo machafu
@madinaomar679
@madinaomar679 Год назад
nimekuewa dada yangu asante, elimu nzr wapatiwe wakina mama semina mashule wazazi waitwe na hata misikitini na kanisani mitandaoni bado wengine hawana simu na hata ivo wanasema bando
@erickjoseph8882
@erickjoseph8882 Год назад
Dr zuena big up appriciate that
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 Год назад
Asante maneno ya akili watoto ni maana NA dini yetu ya kiislaam enaharamisha hio tendo mungu aifathi watu wadogo au wa kubwa
@KijakaziIsmail
@KijakaziIsmail Год назад
Nashukuru kwa somo hili ili nijitahidi na mwanangu na mjukuu pia
@pira7439
@pira7439 Год назад
bi zuwena twashukuru sana,kuyakomesha haya ni kukamatwa hao mabasha na kutiwa adabu kali,na watu wa mtaani sio polisi.
@ThaniaAli-zb3lk
@ThaniaAli-zb3lk Год назад
Tunahitaji nguvu za pamoja kuwabadilisha hao waliogeuzwa (waliodhulumiwa).
@ChristinaElia-qb5kg
@ChristinaElia-qb5kg Год назад
Inauma sana
@fatmaally7241
@fatmaally7241 Год назад
Shukran
@FatimaMusa-y6y
@FatimaMusa-y6y Год назад
Sister Asia Jaafar, naomba utueleze hio dawa, ni dawa gani na yapatikaniwa wapi. Shukran.
@a.856
@a.856 Год назад
Jazakallah khayran
@Naw89
@Naw89 Год назад
Shukran ukhty Allah akuhifadhwi
@salamabakari8384
@salamabakari8384 Год назад
Ahsante ushaur wako nzuri
@samirally9693
@samirally9693 Год назад
Yan Bora uelimishe jamii mana washenzi ni wengi mno
@cecilendayishimiye8548
@cecilendayishimiye8548 Год назад
Umeongea ukweli .
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 Год назад
Mttzo mengi sana yanasabbishwa na wtto kutopigwa. Kuna makosa mtto anahitaji kupigwa nasio kusemezwa. Ssa hii kujitia kusemeza au kulea kizungu ndio inayopelekea watu wazima wasiojitambua hawana adabu, aibu wala utu. Tukumbuke mtto unaemlea Leo kiyai ndio mtu mzima wa kesho…anakua na familia yake au Atakua na kazi yake iwe ualimu, udaktari, unasi, muuza duka au hata mzururaji…je km hujampa malezi ya kumkanya na kumrudi kwa mikwaju kwa makosa ya serious au yakujirejea unadhani atakuaje? Msiige malezi ya kizungu total, wtto wa kizungu au wa Ulaya wengi sana hawana adabu hata za kuvalia nguo zao na sbbu kubwa hawapigwi. Kwahio km hampigi mtaona mengi hivyo vzazi vikikua
@laylatabdallah2796
@laylatabdallah2796 Год назад
Watandikwe tu mijjeled😝kwnz watoto wa saiv huwa km wanakutest wakiona umezubaa kdg tu ndo umekwisha
@mbarakamwakivuma2858
@mbarakamwakivuma2858 Год назад
Wazazi ni kuwa KARIBU na watoto,na kuwaasa wasifanye ukaribu na watu wakubwa.
@abdallahnassoro2460
@abdallahnassoro2460 Год назад
Mhuu iyi ya dawa nimeogopa Zaid Allah wajawako tumekukosea tunusuru na vizazi vyetu subhna llah
@lelakhamis5160
@lelakhamis5160 Год назад
Ahsante
@Mumewangu
@Mumewangu Год назад
Huwaga anajikuna mkunduni kila wakati
@FatimaMusa-y6y
@FatimaMusa-y6y Год назад
Sister Asia, kama unaweza kututajia hio dawa ili watu wafaidike ingekua vizuri. Shukran.
@ReyMo-og5qq
@ReyMo-og5qq Год назад
Mambo
@kautharjay5868
@kautharjay5868 3 месяца назад
​@@ReyMo-og5qqomba Toba sana kwa hii tabia
@ashamohamed7315
@ashamohamed7315 Год назад
Daaa ni mtihani kwakweli
@linashayo2068
@linashayo2068 Год назад
Ujengewe sanamu, wewe mama, kwa somo muhimu sana .
@lulumtambo
@lulumtambo Год назад
SHUKRANI KIPENZI
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 Год назад
Maneno yako mazuri sana wallahi😢😢😢
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 Год назад
Subuhaanallah
@mohamedsalimu8611
@mohamedsalimu8611 Год назад
Uovu huu una miaka mingi mno hapa nchini, lakini ulikuwa hauzungumzwi wazi wazi kama unavyozungumzwa kipindi hiki ambacho umeshapiga kwa kila jamii. Uko mashuleni hususan mabwenini,magereza
@mwinyikibinda6493
@mwinyikibinda6493 Год назад
Shukran sana Dr.Zuwena kwa Elimu muhimu
@felisterchuma1504
@felisterchuma1504 Год назад
Yani inatkiwa watu hawa wanatakiwa kuuwawa
@ReyMo-og5qq
@ReyMo-og5qq Год назад
Unamsaidiaje mtuambae ameathirika aludi kwenye hali yakawaida
@kautharjay5868
@kautharjay5868 3 месяца назад
ulikuwa unafanya Nini??
@zoeymurray2114
@zoeymurray2114 Год назад
Jaman mm imenitokea mtoto wangu miaka 3 na afanyaye hayo ni mtoto wa dadayangu kabisa ana umri miaka 15. cha muhimu ni kutoamini mtu yoyote
@kalamuMedia
@kalamuMedia Год назад
Pole dear
@zoeymurray2114
@zoeymurray2114 Год назад
@@kalamuMedia asante sana, Mwenyezi Mungu akujaalie uzidi fumbua watu macho na ufahamu inshallah!
@florahkimbage9571
@florahkimbage9571 Год назад
Eeeh Mungu tusaidie!!! Pole sana Mamy kama mzazi najua ni uchungu kiasi gani umeusikia😭😭😭 Sujui tumwamini nani,, Tuwafiche wapi watoto wetu😭
@kautharjay5868
@kautharjay5868 3 месяца назад
pole Sana
@HamiduRajabu-l1f
@HamiduRajabu-l1f Год назад
Munapatikan wapi
@HamiduRajabu-l1f
@HamiduRajabu-l1f Год назад
Dada mpo wapi Kuna ndugu yangu ana tatizo hilo
@hichayasin7244
@hichayasin7244 Год назад
HUYO ANAELAWITI WATOTO NIKIKUKUTA 💀NAKUCHINJA NYUMA YA SHINGO👹👹👹💀💀💀
@madinaomar679
@madinaomar679 Год назад
yaah
@allymadenge4603
@allymadenge4603 Год назад
ACHENI. KWENDA KWA. WAGANGA MNAPEWA. MASHARTI. YA. KUBAKA. WATOTO. HARAFU. MKIKAMATWA. MNAFUNGWA. JELA MAISHA FAIDA. IKO. WPI. SASA
@abdulomar608
@abdulomar608 Год назад
Subhanaallah 😭😭
@machetebogota4218
@machetebogota4218 Год назад
MashaAllah naombeni mnisaidie kumpatia huyu Doc nnadhida nae
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Год назад
Ataona comnent yako atakutafuta
@kalamuMedia
@kalamuMedia Год назад
+255 713 688 722
@kautharjay5868
@kautharjay5868 3 месяца назад
​mfano huyo mwanaume anaemfanyia mtoto anaweza kutibiwa akaacha hiyo tabia
@asiajafari3615
@asiajafari3615 Год назад
Dawa ipo nina ifagam akitumia anapona kabisa nimesha imesha watibu watu wengi hii sawa
@HamzaAli-cw7qg
@HamzaAli-cw7qg Год назад
Kuna ndugu anaomba nitakupataje.
@ReyMo-og5qq
@ReyMo-og5qq Год назад
Mamboo
@Nailafussy-kg7qz
@Nailafussy-kg7qz 6 месяцев назад
Naomba Namba yako
@kautharjay5868
@kautharjay5868 3 месяца назад
​@@ReyMo-og5qq pole kwa kumridhii mwanaume
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Год назад
Dada nyumbani kwetu pemba wala usingeye hayo mtu amezaa watoto wake wanawake wawili watiyana kucha mama yao anajuwa anasema hawana adabu hao anaenda chuoni akirudi mikojo inatoka ananuka uchi chini anawachekeleya hao watoto watu hawamulizi kitu mama yao
@petromachanga5538
@petromachanga5538 Год назад
Hahahaaaaaa mbavu zangu
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 Год назад
​@@petromachanga5538 Siyo ya kucheka. Mungu atustiri
@shamsahaji6202
@shamsahaji6202 Год назад
Ww je umechukua hatua gani kusaidia hao watt au kumpa elimu ya kujitambua mama yao??....hii kuja kumsema hapa wakt huna jitihada yeyote kuwasaidia basi una dhimma mbele ya mungu chunga sana msaidie huyu mama na watt wake...huenda hana elimu ya aina yeyote kuhusu malezi.
@petromachanga5538
@petromachanga5538 Год назад
@@shamsahaji6202 mwambie
@Mumewangu
@Mumewangu Год назад
VIP anajikuna mkunduni
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Год назад
Asante sana
@akimu-gl7zp
@akimu-gl7zp Год назад
Acheni kutoa vidalili. Tumesema wawe wanauwawa. Hao mashoga
@salma0000
@salma0000 Год назад
Anazungumzia kuhusu watoto wadogo sio mashoga waliokubuhu
@salma0000
@salma0000 Год назад
Wauwawe wabakaji
@Mumewangu
@Mumewangu Год назад
@@salma0000 hahaha
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 Год назад
Hii makubwa hayo😮
@ReyMo-og5qq
@ReyMo-og5qq Год назад
Tiba kwamtu aliechaa
@hadijasharifu1463
@hadijasharifu1463 Год назад
Namba kujua kama mtumzima anamabohayo akipelekwa hospitali atatibika na kuacha kabisa?
@kalamuMedia
@kalamuMedia Год назад
Anatibika vizuri kabisa
@asiajafari3615
@asiajafari3615 Год назад
Na kunadawa ninayo mtu anapona kabisa
@ibrahimsalim7247
@ibrahimsalim7247 Год назад
@@kalamuMedia Dawa hyo inapatikana wpi
@kautharjay5868
@kautharjay5868 3 месяца назад
​@@kalamuMediana mwanaume anaewafanyia watoto anaweza kuacha hiyo tabia
@ashamohamed7315
@ashamohamed7315 Год назад
Daaa nimtihani kwakweli
@Mumewangu
@Mumewangu Год назад
Huwaga anajikuna mkunduni kila wakati
@fatimahasin2041
@fatimahasin2041 Год назад
Shukrani
Далее
Rate our flexibility 1-10🔥👯‍♀️😈💖
00:12
Dalili Za Mwanaume Anaekupenda Kwa Dhati
6:19
Просмотров 438 тыс.