Тёмный

HAKUNA ULAZIMA WA KUNG'ANG'ANIA WATU - JOEL NANAUKA 

Joel Nanauka
Подписаться 294 тыс.
Просмотров 116 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 321   
@aoman5214
@aoman5214 2 года назад
😭😭😭😭😭Kaka Kaka nimekuita mara zote Asante Sana Kwa somo zuri nilikua nalazimisha Sana mpaka ikafik Mahal najiona Mimi sio chochote,, mwanaume kubadilika kunipigia cm kunitukana 😭na mtu wake daaah ninaumia Sana ni mwezi sasa Ila nashukuru Mungu nakutana na masomo kama haya najipa nguvu ya kuendelea 🙏🙏
@latifaanuary4911
@latifaanuary4911 2 года назад
Unayopitia nimeyapitia
@latifaanuary4911
@latifaanuary4911 2 года назад
Yatapita na tutasimama tena
@Calvinpeter640
@Calvinpeter640 Год назад
Nimebalikiwa sana, hakika kipind ninachopitia kwa sasa n maumiv sana , nashindwa kumuacha kwan bado nampenda na niko na ujauzito wake😭😭😭
@shadysankey
@shadysankey Год назад
@@Calvinpeter640 pole sana mwaya daaaah 😥😥😥
@anorddeodigard5572
@anorddeodigard5572 Год назад
We ni wathamani sana. Ishi nayo hii siku zote
@lukandaguillaume4175
@lukandaguillaume4175 2 года назад
Toka nilipo achana na rafiki yangu nilie mpa nafasi ya kwanza katika mambo yangu, kutengana kwetu kumebeba faida nyingi sana kwangu Kaka. Na naisi Mungu amenitenga naye kwa nguvu ,maana mwenyewe nilimbembeleza sana Mara ya kwanza mausiano yetu yalipo yumba,bila kujua kuwa alikuwa ukuta mkubwa wa kuzuia baraka zangu.
@Judith892
@Judith892 Месяц назад
Nilipita pagumu sana 😭 nashukuru Mungu lile pepo Mungu alinifunulia wazi niliachie now days nashukuru Yaliyomema yananirudia na kunifuata 🙏🏻
@shekinahshimeni8320
@shekinahshimeni8320 6 месяцев назад
Mungu akubariki kaka yangu , yaani Mungu amekutumia kama malaika kwa hiki kizazi. Mimi nilikua na dada ambaye alinikosanisha na familia yangu, mama yangu aka nichukia, na ndugu zangu zote, kwa ajili ya ulimi wake wa kutunga uongo, niliangaika nikawa homeless nikiwa na miaka 12 nilipo fika 24 Mungu wa rehema aka nisafirisha nchi za kigeni nilipo fikia miaka 26 wamilele akanibariki na mume ivi ninayo family kwa huruma za Mungu ; na yule dada alifariki mwaka wa 2021 Mungu amulaze mahali pema peponi
@aishaabdallah4560
@aishaabdallah4560 2 года назад
Kaka asante km umenijulia vle mana nlikuwa king'ang'anizi narushiwa maneno machafu lkn bado ila kuanzia mdahuu ntajithidi japo moyo hautaki kukubali💔
@thaddaeuswanje277
@thaddaeuswanje277 2 года назад
Thank you big bro.......
@esthermichael3221
@esthermichael3221 2 года назад
Joel Nanauka Mungu aendelee kukutumia kama apendavyo unaokoa mioyo ya wengi
@goodluckjoseph3113
@goodluckjoseph3113 2 года назад
For real Mr Joel you were created by God to save people, thanks for wonderful lesson.
@juliusjoseph4889
@juliusjoseph4889 2 года назад
bro joel nanauka nakupa hongera nying sana,napitia kipindi kama hichi 😢😢😢😢
@esthermichael3221
@esthermichael3221 2 года назад
Pamoja na yote nashukuru kwa yaliyotokea cna budi kukubali matokeo na maisha yanasonga
@salma-fc4xc
@salma-fc4xc 2 года назад
Kabisa hata mm
@تةامممن
@تةامممن 2 года назад
Kikwer
@aderiderkihupi7240
@aderiderkihupi7240 2 года назад
Nkweli kabisa. Ndio maana kuna usem shukuru Mungu kwakilajambo
@agnesspaul1866
@agnesspaul1866 2 года назад
Amina
@UshindiNathanael
@UshindiNathanael Год назад
Asanteeh mwl
@doniziacostar1562
@doniziacostar1562 2 года назад
Ni kweli kabisa sababu MUNGU anajua tutakapo na tuendapo wewe cha kufanya jiachilie tu kwa Mungu atakutumia vema
@makwega0340
@makwega0340 2 года назад
Asante sana kwa darasa maridhawa, limeuponya moyo na kujenga ukakamavu wa nafsi. See you at the top.
@تةامممن
@تةامممن 2 года назад
Nikwer kabisa kama umeniongeleya kabisa 💔💔💔💔💔🖤🤲🤝💯
@christinamichael5964
@christinamichael5964 2 года назад
Ni kweli kabisa kaka, japo kwangu huwa ni mchungu, lkn ntajitahidi kuachia kupitia masomo yako ubarikiwe sana kaka
@firdosoman3133
@firdosoman3133 2 года назад
Ubarikiwe kaka joel umeongea point kweli kweli,,mungu aliniondolea baadhi ya watu,,ndio hii leo nimepiga hatua kubwa katika ndoto nilionazo nashkuru sana
@تةامممن
@تةامممن 2 года назад
Kabisa
@ummkolthumkoalthum3271
@ummkolthumkoalthum3271 2 года назад
NA comment tena yaan hijakosea ni kweli niliolewa na wanaume wenye uwezo lkn hawakuweza kufanikisha ndiyo zangu na hii ilinipa changamoto sana ktk maisha yangu.. Lkn nilipoamua kusimama mwenyewe n kumuomba mungu nimeweza kufanikisha ndiyo zangu mm mwenyewe bila ya msaada wa mwanaume yoyote.... Tena mungu alivyo n majaribu kwetu alinipa sehemu ambayo ya kazi. Ambayo sikuitarajia ktk maisha yangu kuifanya.. Nimesomea kingine nimeenda kupata mafanikio kwa kazi nyingine yenye dharau ktk jamii lkn nilisema hiki mungu ndiyo slivhonikafiroa ngoja nifanye na kweli nimefanikisha na vingine zaidi Kwa NEEMA tu🙏🏾
@mapoluchalya280
@mapoluchalya280 2 года назад
Pole dada na hongera pia,pesa haitengenez kila kitu
@ngongomamy2968
@ngongomamy2968 2 года назад
Shalom.mimi nakufata sana kwenye vidéo Zako.sasa nakushukuru sana ku mashauri yako na Mungu akubariki.
@shanilingenju3513
@shanilingenju3513 2 года назад
Nimeamua kuacha hapo katikati🙌 maana najiona naangamia ila sasa nimesema sitaki tena kuhangamia🙏
@lipembejames9387
@lipembejames9387 2 года назад
Asante kwa Somo zuri sana Brother nimejifunza jambo zuri sana sana ,Ubarikiwe sana Brother Joel nanauka
@joelnanauka
@joelnanauka 2 года назад
Tuko Pamoja Lupembe
@roseomari7115
@roseomari7115 Год назад
Ubarikiwe 🙌🙌🙌
@juliuschacha6352
@juliuschacha6352 2 года назад
Kaka MUNGU akuinue juu zaidi maneno Yako yananijenga sana
@joelnanauka
@joelnanauka 2 года назад
Ameen Ameen
@elimikatv
@elimikatv 2 года назад
Real coach kunabaadhi ya watu wanakuja kwetu ili tu kutupa lessons then wanatoweka ivyo hatuna sababu yoyote ya kuwang'ang'ania, kikubwa n kujifunza kwann wamekuja upande wetu.. Thank you coach
@officialsamg7174
@officialsamg7174 2 года назад
🙏🙏🙏
@mussaabdul3487
@mussaabdul3487 Год назад
Asante kwa somo zuri sana hata ndugu kuna wakati watakutenga na ulikuwa nao karibu sana mpaka unashangaa siku hizi hata salam hakuna .
@salwamohammed4787
@salwamohammed4787 Год назад
Kweli ndugu zangu mimi wamenibadilikia Mara moja
@gloriachao9735
@gloriachao9735 2 года назад
Asante doctor umenisaidia Sana nilikuwa natabia ya kung'ang'ania nimejua Mungu anasababu na mimi
@sophiankwera9020
@sophiankwera9020 2 года назад
SoMo zuri Asante Mungu Kwa kuniondolea wale wasio faaa katikaa maisha yangu
@winfridaadam7951
@winfridaadam7951 Год назад
Ameeeen 🙏🙏🙏 Mungu akubariki sanaaaa kaka Joel.
@IdrissaBakar-w1u
@IdrissaBakar-w1u 7 месяцев назад
Katika mada nzuri sijawai ona ulizo zitoa moja ni hiiii
@tiffarqueen2712
@tiffarqueen2712 2 года назад
Yani Kaka unagusa palepale dah mungu akupe maisha malefu uzidi kutuelimisha🙏
@تةامممن
@تةامممن 2 года назад
Mungu anitia nguvu katika mayisha yangu amin amin 💯💯💯💯💯💯🤲🤝💣🙏
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 6 месяцев назад
Nisadie je...kama aliondoka na watoto na kupata mutu mwengne....na....htataki n...watoto....
@PaulPoh-d8h
@PaulPoh-d8h 11 месяцев назад
Nashukulu sana joeli,,maana nimewai kumng'ang'ania mtu mpaka bas,,ilibidi tu nimuache ila kwamaumivu😢,,sasa unajua kilichotokea baada ya muda kumuacha, ndo nakuja kuskia akisema ilibakia kidogo tu hiki kilichomo kwenye mwili wangu kiamie kwako,😭😭😭,DAh.aisee siku iyo Nilimshukulu mungu🙏🙏 Wiki nzima ,,,,,,ndo tujifunze kutokuwang'ang'a🦷
@johanjoha5262
@johanjoha5262 4 месяца назад
Jambo Kaka,kilasomo lako n nazidi kunufaki najifunza saaana Saana kwakifipi ukbariki kwa byote, Love from🇧🇮
@danielymanamba8709
@danielymanamba8709 2 года назад
Always speaking facts.. reality.. reflecting what happens in daily life.. Mungu akuzidishie upeo.
@NyakayiMwishagoli
@NyakayiMwishagoli Год назад
Ahsante sana umenibadirisha kwa kias kikubwa Sana Mwenyez Mungu akurinde nakupenda san
@healingclinic698
@healingclinic698 9 месяцев назад
Nimependa sanaa somo hili limenigusaaaaaa
@Dimitry-cb5tb
@Dimitry-cb5tb Год назад
Kaka Mungu akubariki umenitoa gerezani nikuwa mfugwa niliachika bila sababu yeyote niliteseka sana kukubaliana namatokeo ila kupitia somo hili nimekuwa mshindi
@magrethjohn4929
@magrethjohn4929 2 года назад
Ahsante sana tena sana Mungu akubariki Uncle joel🙏🙏
@AngleNelson-t8v
@AngleNelson-t8v Год назад
Uko sahihi broo Yan me pia yalishanikuta mzaz mwezang Yan alikua Hana mda na mm anachit sana ila nlikua nampenda sana ivyo nlikua sitak aniache Yan mwisho wa siku nkachok nkaamua nimuache ila daah Kwa alivyo saiv namshukuru Mungu nliachana
@joycegodfreycharles1828
@joycegodfreycharles1828 6 месяцев назад
Amina kaka Joel nakuelewa sana Mungu akubaliki
@babybhalo8723
@babybhalo8723 2 года назад
Nimejifunza kitu kipya leo.... mungu akubariki sana.kupitia masomo yako naendelea kuwa mtu mpya na mwenye maono mengi na mazuri kwangu na wanangu... Asanteeee 🙏🙏🙏🙏
@afizabubacar19
@afizabubacar19 Год назад
Kaka yani ww unajua had unakera mashallah
@hawarutha5580
@hawarutha5580 2 года назад
Singangqnii Tena Mungu nisaidie Ahsante bro
@pat-bog3831
@pat-bog3831 2 года назад
Nilikwenda safari Nikarudi kukuta muke amesha Ondoka navitu vyote Huko alipokwenda Aka olewa Huyo alie muowa akafariki Iyo ni mfano mmoja asante kwa mafundisho🙏
@zahramakota2198
@zahramakota2198 2 месяца назад
Asante Mungu kwajili ya Joel, kwakweli umenibadilisha vingi
@mwlrobinson
@mwlrobinson 2 года назад
I was sick but now am ok ,I used to think my self my teacher is ok??? But thanks for it day to day God is Lord
@madammesatalks6913
@madammesatalks6913 2 года назад
Asante sana kaka Joel hakika umenifungua ufahamu wangu kiukweli kwa akili za kibinadamu ni ngumu sana kujua haya God bless you my Brother.🙏
@ibrakyambo6266
@ibrakyambo6266 2 года назад
*Wameondoka na Hali haikuwa rahisi ilinichukua muda Sana kuzoea hii Hali ila baada ya yote kupita nimeona umuhimu*
@SarahDavid-nz8ir
@SarahDavid-nz8ir Год назад
Amina kaka Joel nilikuwa kwenyekipindi kigum sana lakini nipona kupitia Hili somo
@lidyanapegwa8154
@lidyanapegwa8154 Год назад
Asante kwa SoMo zuri, Kuna kitu nimejifunza japo huwa sio kinganganizi, mwepesi kulipokea baada ya siku chache tuu nakaa vizuri naendelea na maisha gangu
@work24onme
@work24onme Год назад
Holy Spirit, Amen 🙏🏼 ASANTE SANA!
@pilichuli4449
@pilichuli4449 2 года назад
Kaka Leo umenigusa yaani ni kweli kabisa baadae unasema ningekua na huyu nisingefika hapa mungu anasababu yake na mtu akikusikiliza fundisho lako hata maumivu yote yanapotea Tena unaishi kwa fulaha zote
@hakizimanakassim7123
@hakizimanakassim7123 2 года назад
HELLO sir Joel ! Kassim kutoka BURUNDI, sina mengi zaidi ya kumuomba Mungu azidi ku kuongoza kwenye haki, pia akuzidishie malengo makubwa zaidi katika jamii... Kila lenye heri katika kazi zako !
@gchalijabiri3845
@gchalijabiri3845 Год назад
Najifunza sana #karansi inanidai
@brackskinyozi3280
@brackskinyozi3280 6 месяцев назад
Asante sana Joel kw kututia nguvu......🙏🙏
@hamzermahundu6371
@hamzermahundu6371 2 года назад
Hii imeni gusaa saaana aisee ni nomaaa
@fatumaabdalla2580
@fatumaabdalla2580 2 года назад
Ni kweli kila unaejuana nae sio kwa bahati mbaya ila wanatupa changamoto ya kujifunza🙏 God bless you bro👊
@novathmalisel7049
@novathmalisel7049 Год назад
Mungu akubariki kwa somo zuri 6:18
@timothykengere2535
@timothykengere2535 2 года назад
Shukran Ndugu Nanauka 📚📚📚📚📚🎙️.....
@JacksonJohn-z6f
@JacksonJohn-z6f 5 дней назад
Asante sana Bro J
@batattomachugu5361
@batattomachugu5361 10 месяцев назад
I love this guy life teacher genius
@hamisjuma8524
@hamisjuma8524 2 года назад
Hili somo Limenigusa Sana Ulijuaje Kwanza Brother Nanauka
@jovinmutakumwa9611
@jovinmutakumwa9611 2 года назад
Mungu Azidi kukuweka maisha yate yenye Nguvu na uweza mkubwa 🤝
@olivermloso2157
@olivermloso2157 2 года назад
Asante Sana Kaka Joely Mungu akubariki nimepata nguvu mpya umenivusha kutoka sehemu moja kwenda nyengine
@janeflorencesajjabi1545
@janeflorencesajjabi1545 Год назад
Joel kila mara nikituma comment zangu huwa nasema MUNGU Ameweka kitu kikubwa ndani yako,Asante kutuelimisha "BARIKIWA".
@rahimaamour2756
@rahimaamour2756 Год назад
Nakiamini hiki kk hakika mungu anakusudi lake
@fatumatandika6220
@fatumatandika6220 Год назад
Ni kweli kabisa nina ushuhuda huu
@nuratbadru5315
@nuratbadru5315 Год назад
Asante kaka Somo lako limenipa funzo,
@nyakwesimagoma7121
@nyakwesimagoma7121 2 года назад
ninakuelewa Kaka Mungu akusaidie usaidie wengi
@AlbinusChahiza
@AlbinusChahiza 6 месяцев назад
This subject for sure change my life 100%
@gchalijabiri3845
@gchalijabiri3845 Год назад
Najifunza sana
@JosephJacobo-yc3xh
@JosephJacobo-yc3xh Год назад
Asnte Sana kaka kwa somo lako
@bonita329
@bonita329 Год назад
😭😭😭yaani sielewi mambo ya Dunia hii dah nawakati mgumu sana ndio maana nipo natizama video hii😢
@sophiavenance6018
@sophiavenance6018 2 года назад
I'm waiting brother
@helmanjoshua2500
@helmanjoshua2500 2 года назад
daaaaah hiyo hatari hakika leo namshukuru Mungu
@ismailmathias147
@ismailmathias147 2 года назад
Asante sana Kaka JOEL NANAUKA. Naomba kuwasiliana nawe Kaka Joel. 🙏
@verohmkami4502
@verohmkami4502 2 года назад
Nashukuru kwa somo hilo limenijenga sana
@hamadmkopi5136
@hamadmkopi5136 2 года назад
I agree with you , Thanks
@faustinejustine6816
@faustinejustine6816 10 месяцев назад
SoMo kubwa sana hiilii
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 Месяц назад
Naam shukran
@oswimedia3893
@oswimedia3893 Год назад
God bless you brother
@BarakaLaizer-v1m
@BarakaLaizer-v1m Год назад
Umenijenga San brother
@BalumileMataba
@BalumileMataba 2 месяца назад
Kakaaaaaaaaa kakaaaa kakaaaa unanigusa na kuniamsha
@mohammadhassanmohammad8559
@mohammadhassanmohammad8559 Год назад
Asante kaka Joel nimejifunza
@dorahmatitu2554
@dorahmatitu2554 2 года назад
Ni true my brothers. Mungu akubariki sana.
@daviesimba818
@daviesimba818 Год назад
Asante sana mku mungu akubaliki
@mussakhamis2377
@mussakhamis2377 2 года назад
Ahsante my life coarch uko uzur tumejifunza mengi
@lilianmpagama8273
@lilianmpagama8273 2 года назад
Mungu aendelee kukutumia
@aminasuleiman8120
@aminasuleiman8120 2 года назад
Nilikua na mahusiano na mtu ambae nilidumu nae Hana Kaz nimemvumilia kwa jinc alipopata kazi tuu!akabadilika cm mpaka nipige mm message nitume mm Yuko kimyaaa!!co yule wa zamani tenaaa!! nimeumia sana lakin umenipa faraja kaka hasante nimekuelewa sanaa na nitawezaa!
@sadysalim9212
@sadysalim9212 2 года назад
Ahsante sana kk.
@Alexmwandembwe
@Alexmwandembwe 7 месяцев назад
Asante kwa elimu
@manfredmasiko4444
@manfredmasiko4444 2 года назад
Ahsante kwa somo zuri sana! See you at the top professor 👏👏
@gracejerome7147
@gracejerome7147 2 года назад
Yaa nikweri tupu nimepitia hayo yamekuwa yakinisumbua leo nimepata jibu Barikiwa
@PackalineFlorince-ss6gf
@PackalineFlorince-ss6gf Год назад
Asante saana kaka kwakutufundisha
@frankkiondo8386
@frankkiondo8386 2 года назад
Barikiwa sana kwa mafundisho mtumishi wa mungu
@rahelsamson7692
@rahelsamson7692 2 года назад
Barikiwa sana Teacher wetu mzuri Mungu aendelee kukutunza na kuturinda na kukuongoza daimaa unyekekevu ukawe vazi lako🌹🌹🌹❤❤❤🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@goldianrwihula6423
@goldianrwihula6423 2 года назад
Kaka Joel ubarikiwe sana na Mungu yaani mpaka napata maarifa mengi kwako thanks so much
@theresiabukuku9821
@theresiabukuku9821 2 года назад
Amina kaka,nmepona mno,nilikata tamaa kabisa baada ya kuona nmempoteza mtu muhimu ila Mungu n mwema,asante
@gitanokambarage8789
@gitanokambarage8789 2 года назад
Sawa nimekuelewa Nanauka🙏
@adelinakibejile4696
@adelinakibejile4696 2 года назад
Jaman cjui niseme nn mie,Joel Asante Sana kwa ujumbe wako maana nmeng'ang' ania Sana nilidhan sifa cjui,dah Asante kwa kweli acha waende watakuja wengine kwakweli,asante
@joelnanauka
@joelnanauka 2 года назад
Tuendelee kujifunza. Nakutakia kila la kheri
@octaviangeorge2012
@octaviangeorge2012 2 года назад
Umenisaidia sana kaka Joel. Jambo ili limenitokea jana jioni sikulala vizuri kabisa lakini asubui nikapata msukumo wa kusikiliza vidio zako bahati Nzuri nikakutana na hii akika nimejifunza asante
@abigaelmwadena2262
@abigaelmwadena2262 Год назад
Asante sana bro usimeyo nkweli kbxMungu akubariki❤
@barakamuganyizi-qd9kr
@barakamuganyizi-qd9kr Год назад
Always I'm your learner
@nyongesabenjamin3762
@nyongesabenjamin3762 2 года назад
Be blessed brother, vipi naeza kipata kitabu chako Cha Timiza Malengo yako niko kampala
@MariamChidaga-cf4rg
@MariamChidaga-cf4rg Год назад
Uwiii 😭😭😭nimejifunza kitu kikubwa sana
Далее
SAIKOLOJIA YA WIVU KWA WANAWAKE -  JOEL NANAUKA
18:41
Просмотров 60 тыс.
MAMBO YA KUEPUKA ASUBUHI - JOEL NANAUKA
6:35
Просмотров 117 тыс.
UNAMPENDA LAKINI YEYE HAKUPENDI - JOEL NANAUKA
9:15
Просмотров 219 тыс.
Vitu Vinavyowakera  Wanawake - Joel Nanauka
8:50
Просмотров 186 тыс.
Je unaweza kujisimamia | Elias Mwinuka
6:38
Просмотров 1,3 тыс.
FANYA JAMBO MOJA KWA MUDA MREFU - JOEL NANAUKA
29:30
Просмотров 186 тыс.
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Просмотров 389 тыс.
TENGENEZA MAISHA UNAYOYATAKA - JOEL NANAUKA
16:51
Просмотров 128 тыс.