Тёмный

DAZ NUNDAZ NA FEROOZ WAKUMBUSHA ENZI HIZO WAIMBA LIVE "BARUA HII SHIKA MWENYEWE USOME.... 

Bongopods
Подписаться 13 тыс.
Просмотров 23 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 126   
@patrickwanje6433
@patrickwanje6433 5 дней назад
Hizi ndizo nyimbo naskiza Leo 2024 haijaisha utamu gonga like 254 ❤
@drisakamwakitalima1937
@drisakamwakitalima1937 3 месяца назад
Nyakati za music wa Tanzania zitapita lakini hii Era ya late 90s mpaka 2010.. was really golden
@hammerQ954
@hammerQ954 3 месяца назад
Sikupingi
@lukassospeter1594
@lukassospeter1594 3 месяца назад
Fact
@nattyjerrybrant6822
@nattyjerrybrant6822 3 месяца назад
Ukweli mtupu
@hilalmohd8941
@hilalmohd8941 3 месяца назад
🎉pure music golden music feeling music lovely tone❤❤❤ they did what is best in Tanzania 🎉🎉
@mpokimwakisimba692
@mpokimwakisimba692 3 месяца назад
Hawa ndiyo walikuwa genuine artists. Wasasa ni wafanya biashara hawawezi fikia level hizi za kina Ferooz👊🔥
@issaalfani1030
@issaalfani1030 3 месяца назад
Mimi nashauli hii ifanyike mikoa yote ya tanzania 🇹🇿 itainua mziki wa wakonywe wetu nchi nzima na kufanya platform zao kuwa juu kama mwanzo na wataweza kupata matangazo mengi
@shizoshop2469
@shizoshop2469 3 месяца назад
Hawa vijana inatakiwa wajengewe sanamu pale basata ❤❤❤❤
@bongopods
@bongopods 3 месяца назад
Thanks for the comments.....
@Hancy_barrow
@Hancy_barrow 3 месяца назад
Sound check haikutendewa haki imewanyima haki zao please MH.SUGU Hawa malegende warudie Tena wamefanya poaw but sound haikua poaw ❤
@davidibrahim9138
@davidibrahim9138 3 месяца назад
Sana
@Mr_smart.code_10
@Mr_smart.code_10 3 месяца назад
Ukweli mtupu braza... Wakati ingekuwa na sound nzuri watu tungepata na kumbukumbu
@jackjudy9182
@jackjudy9182 3 месяца назад
malegend isee so happy ,MUNGU awabariki kwa kuwasupport
@janechavallah9919
@janechavallah9919 3 месяца назад
Hongera sana Wakongwe wa Bongo fleva
@bongopods
@bongopods 3 месяца назад
Thanks for the comment...
@zombiiUpdates
@zombiiUpdates 3 месяца назад
Ferooz apewe all of fame
@jilalamaligisa4854
@jilalamaligisa4854 3 месяца назад
Hakika hizi ni ndizo dhahabu za muziki wa bongofleva
@festohaule9716
@festohaule9716 3 месяца назад
Respect Daz Nundazi....
@jacobsadock3530
@jacobsadock3530 3 месяца назад
Daz nundaz family, ferooz,daz mwalimu/baba, la rumber,critic daaaaaaas!! Tangu natangu
@bongopods
@bongopods 3 месяца назад
Thanks for the comments...
@harakationlinetv8224
@harakationlinetv8224 3 месяца назад
Critic kwasasa ni mtumishi wangu ana kanisa lake ndomana umuoni apo, apo kuna sajo na ralumba
@petermakoye8918
@petermakoye8918 3 месяца назад
Mziki mzuri utaishi milele..🎉🎉🎉
@jeffballafundi9776
@jeffballafundi9776 3 месяца назад
Nawasabsacribe Kwa Kuwapost Hawa Jamaaa... Mmenifurahisha👏👏👏🙌
@bongopods
@bongopods 3 месяца назад
Tunashukur sana na karib San🙏
@jeffballafundi9776
@jeffballafundi9776 3 месяца назад
@@bongopods Shukrani Pia 👏🙌
@h.mau9989
@h.mau9989 2 месяца назад
yalikuwa majembe sana jmn
@luckmndeme9607
@luckmndeme9607 2 месяца назад
Wamenikumbusha mbali sana
@rahimmarions5712
@rahimmarions5712 3 месяца назад
Hatari sana enzi hizo..mziki ujumbe achana na sasa mziki biashara na maagizo..mtu kitambo ulikuwa unaumiza kichwa utunge ujumbe gani bt now unaweza fumba macho dakika 2 na nyimbo unarekodi dakika 7 imeachiwa hewani.. Nmekumbuka mbali mno kwa kizazi chetu...😢😢😢
@mohamedikassimu7016
@mohamedikassimu7016 3 месяца назад
Unyamaa sana aisee
@ZuberiMwakasyuka-q3g
@ZuberiMwakasyuka-q3g 3 месяца назад
Big up sana mzee sugu ibua vipaji maana umenikumbusha kipindi cha kanda ( tape ) huu ndo mziki wenye kumbe za kutosha
@rehemashabaniameen
@rehemashabaniameen 3 месяца назад
Nawapenda sana kaka zangu
@bongopods
@bongopods 3 месяца назад
Thanks for the comments....
@GiftyJackson-k3v
@GiftyJackson-k3v 3 месяца назад
Safi sana jongwe sugu ibua wote walio potea
@bongopods
@bongopods 3 месяца назад
Thanks for the comment...
@salimbilali5174
@salimbilali5174 3 месяца назад
See how the audience singing with the artists without any effects sio makelele ya kin chibu amapiano😂😂😂old is gold
@svt3
@svt3 3 месяца назад
Kila mda na mazuri na mabaya yake mika 20 ijayo haya miziki ya akina Diamond yatasifiwa tu saana, labda wewe mto mdogo hawa wakati walikuwa naimba wazazi walikuwa nawaona wahuni na hakuna mzazi alikuwa natamani mtoto wake awe msanii
@DanielKimambo-r3z
@DanielKimambo-r3z 3 месяца назад
Hatari na nusu mmenikumbusha mbali sana ujumbe mzito
@davidibrahim9138
@davidibrahim9138 3 месяца назад
Sound production haikuwa nzuri hamjawapa heshima kiukweli
@bongopods
@bongopods 3 месяца назад
Thanks for the comment...
@lukassospeter1594
@lukassospeter1594 3 месяца назад
Wazee walikamia sana
@bongopods
@bongopods 3 месяца назад
Thanks for the comments....
@JofreySanga-j8h
@JofreySanga-j8h 3 месяца назад
Mmenikumbusha mbali sana mungu awenanyi
@bongopods
@bongopods 3 месяца назад
Shukran San 🙏🙏
@saxannjo6173
@saxannjo6173 3 месяца назад
GOLDEN ERA,,,,, HII NDIO ERA ITAKAYODUMU KWA MUZIKI WA BONGO... Achana na hawa WAIMBA MATUSI WA SIKU HIZI
@Ayoubmtauni-vy7gs
@Ayoubmtauni-vy7gs 3 месяца назад
mmenikomesha kwa eeeh show
@EddytabenMwambegu
@EddytabenMwambegu 3 месяца назад
Nikiwa Kenya..Ila Kwa mziki huu.hakika Mungu aibariki Tanzania..hizi ndio nyimbo zenye mana .
@Bashirusalum
@Bashirusalum 3 месяца назад
Oya awa watu walikuwa wanaimba sio Hawa wa SASA nyimbo wiki TU ishakuwa takataka masikioni old gold
@augustinodaniel5574
@augustinodaniel5574 3 месяца назад
Respect OG's
@fbinya
@fbinya 2 месяца назад
Sound haikuwa nzuri,,ila show ilikua bomba sanaaa
@Shafikimanga7
@Shafikimanga7 3 месяца назад
Maana halisi ya sanaa, sio tuu waliopoukumbini hata sisi watazamaji tunaimba bila kuambiwa. Big up
@bongopods
@bongopods 3 месяца назад
Thanks for the comments.....
@Bigcomradereal
@Bigcomradereal 3 месяца назад
Sound Engineer hajaitendea haki show, ila jamaa walikua na vibe na feelings za kutosha sana, Energy ilikua juu sana.
@bongopods
@bongopods 3 месяца назад
Thanks for the comment...
@Marjeby
@Marjeby 3 месяца назад
Kipindi cha hii nyimbo bado kijana kabisa nna miaka 23 nipo chuo UD nimekumbuka natoroka chuo naenda kwao na mpenzi wangu Mburahati en that was my first love nimekumbuka moments zote tukiwa wote viunga vya UD Mburahati kwao na kwetu Magomeni....Rest In Peace Zuwena wangu kama jana vile
@NjunjeNgou
@NjunjeNgou 3 месяца назад
Dah! Ple broh
@Marjeby
@Marjeby 3 месяца назад
@@NjunjeNgou Shukran Sana bro
@suleymanisalum2361
@suleymanisalum2361 3 месяца назад
Noma sana asee
@bongopods
@bongopods 3 месяца назад
Thanks for the comments...
@wilbertjosephat1615
@wilbertjosephat1615 3 месяца назад
Siwadai makamanda
@bongopods
@bongopods 3 месяца назад
Thanks for the comments.....
@walterrodney3744
@walterrodney3744 3 месяца назад
Congratulations Daz nundaz
@bongopods
@bongopods 3 месяца назад
Thanks for the comments.....
@ommylax7231
@ommylax7231 3 месяца назад
20 parcent mleteni pia big up
@babanaqeeb6600
@babanaqeeb6600 3 месяца назад
noma sana mmetisha wakongwe
@bongopods
@bongopods 3 месяца назад
Thanks for the comments.....
@makisiomartine671
@makisiomartine671 3 месяца назад
Basi usimqlizie kusoma,,,basi usimLizie kusoma ,,, Maan ukiendelea kusoma moyo wangu unauchoma...
@kymeahnguzo2656
@kymeahnguzo2656 3 месяца назад
Mika mwamba akion hii atafurahi sana
@fizombeya6138
@fizombeya6138 3 месяца назад
Noma sana
@IzoTech-bg1en
@IzoTech-bg1en 3 месяца назад
Kings
@chiddychiddy4298
@chiddychiddy4298 3 месяца назад
❤❤❤❤
@mocomoja4229
@mocomoja4229 3 месяца назад
Sound aijatengenezwa speaker mbovu
@williamchesoggamunyaga5122
@williamchesoggamunyaga5122 3 месяца назад
🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 3 месяца назад
og sanaaa
@bongopods
@bongopods 3 месяца назад
Thanks for the comments...
@charleschito6341
@charleschito6341 3 месяца назад
Acnt Mh SUGU na Wenzako ambao mulipata wazo hili , Acnten DAZ NUNDAZ hpa ndipo ninapojiona mtu fulani pale tu ninapo ona vijana kbs miaka hawazijui hzi TUNGO zenye mafunzo na tafakari
@Shafi-sd7om
@Shafi-sd7om 3 месяца назад
Dah ningekuepo dar mm shoo hii ningeenda haina fujo hwahribu stej simpo tu mumetisha daz nundaz
@bongopods
@bongopods 3 месяца назад
Thanks for the comments.....
@misangasaidih8764
@misangasaidih8764 3 месяца назад
Hakika Sugu umerudisha fikra za watu mbali. Mungu akujaalie wazo lako liendelee kuishi
@shizoshop2469
@shizoshop2469 3 месяца назад
Enzi hizo nyimbo inaandaliwa mwaka mzima siyo leo hii , leo leo nyimbo inatoka 😂😂😂
@bongopods
@bongopods 3 месяца назад
Thanks for the comments....
@michaelhancy6759
@michaelhancy6759 3 месяца назад
Hawa walikuwa wanacompite na west life Michael Jackson still wote nyimbo zao znaishi sasa kizaz cha stutus cjui
@shabanisudy6493
@shabanisudy6493 3 месяца назад
Mmenifanya nitoe machoz kwa kwel enzi hZo kusoma kwa shida sana
@bongopods
@bongopods 3 месяца назад
Thanks for the comments....
@jeffballafundi9776
@jeffballafundi9776 3 месяца назад
Hatari Ndugu 😢
@festohaule9716
@festohaule9716 3 месяца назад
Tanzania ilibalikiwa sana Kuna watu walizaliwa na uwezo mkubwa sana .ni vile hatuthamini vya kwetu!!!!!
@mohamedhamad888
@mohamedhamad888 3 месяца назад
Rest in peace Pablo
@jeffballafundi9776
@jeffballafundi9776 3 месяца назад
Balaaaa
@JustinaJastini
@JustinaJastini 3 месяца назад
Japo nimechelewa nimejisikia raha sana
@bigshumathegreat7982
@bigshumathegreat7982 3 месяца назад
Lete show yoote nzimaaa
@DaudFataki
@DaudFataki 3 месяца назад
Washabiki wa hawajamaa wengi wanaakilitimamam nawengi wakokwenye ajilazao mziki wasasa wanaoufatilia % 89 bodaboda na wanaotokausiku wechunguza uone
@shabanihussein6329
@shabanihussein6329 3 месяца назад
Bongo fleva imetendewa haki sana jamaa wanajuaa sana
@bongopods
@bongopods 3 месяца назад
Thanks for the comments....
@Kabwela776
@Kabwela776 3 месяца назад
Huu ndio muziki lugha Safi hamna matusi na ina mafunzo !
@ShabaniRashidi-d2v
@ShabaniRashidi-d2v 3 месяца назад
Huu ndio muziki sio hawa wa sasa mashoga wanashinda Instagram
@timothymikola2317
@timothymikola2317 3 месяца назад
Critic alikuwa braza wao hawa alitunga sana hizi nyimbo
@frankmare1708
@frankmare1708 3 месяца назад
Saizi mtu wa Gospel sana huwez mtambua tena
@JohMwita
@JohMwita 3 месяца назад
kunakipindi niliwaza wasanii wazani wakipata kampani wanamashabiki wengi nyimbo zao ni za kudumu sio kama wasanii wa saiv Kama sugu eshima kwako kuwakumbuka wadau
@davidjuli6846
@davidjuli6846 2 месяца назад
Sahivi tunaimbiwa chapati mala sukari mala Pombe mambo yamezidi kuwa mengi
@decha718
@decha718 3 месяца назад
Apo amna sema weka mikono juu😂😂😂
@godfreykiwelu7253
@godfreykiwelu7253 3 месяца назад
Sasa kumbe wasanii wazamani wanaamsha kwann hamuwap show
@muhammadkhamis5798
@muhammadkhamis5798 3 месяца назад
Watoto wa buku mbili mtuache qwnza tunajambo letu😂😂
@antidiusalfred4686
@antidiusalfred4686 3 месяца назад
Yan n hatar na nusu
@suleymanisalum2361
@suleymanisalum2361 3 месяца назад
Ungetuonesha na mashabiki tuone vibe lao
@bongopods
@bongopods 3 месяца назад
Thanks for the comments...
@Petronkambi
@Petronkambi 3 месяца назад
Mbona kamera Mani mkolo nn mbona kamera kaiweka t
@rehemakarafuu-xi1py
@rehemakarafuu-xi1py 3 месяца назад
Mziki ulipokuwa mziki
@bongopods
@bongopods 3 месяца назад
Thanks for the comments......
@japhetjaphet5996
@japhetjaphet5996 3 месяца назад
Hawa jamaaaa walielimisha walisisimua na kufurahisha mziki halisi wa bongo f
@omarychikunde323
@omarychikunde323 3 месяца назад
Huu mziki utadumu kwangu milele
@naimunaimu2312
@naimunaimu2312 3 месяца назад
Watt WA 2000 hawaelewi n nn kinafanyika apa
@SaluPacha-hx4cx
@SaluPacha-hx4cx 3 месяца назад
Jongwe tunamtaka na 20 percent pia itakuwa poa sana
@bongopods
@bongopods 3 месяца назад
Thanks for the comments...
@Mpongobhivadenga
@Mpongobhivadenga 3 месяца назад
Naahidi moyo wangu kama ntakuwepo ntahuzuria shoo zote za wakogwe zitazofanyika mbelenii
@bongopods
@bongopods 3 месяца назад
Thanks for the comments...
@jumayusuph5733
@jumayusuph5733 3 месяца назад
garosi ngubesi wa gairo morogoro , ukwer utabaki pale pale kwa wahenga
@ZohraZz-g8p
@ZohraZz-g8p 3 месяца назад
Hiit ndio mziki sio matusi kma yanayoimbwa saa ivi
@iddybunga9884
@iddybunga9884 3 месяца назад
Inabidi wafanye Tena Ngoma km hizi
@HansSurumbu
@HansSurumbu 3 месяца назад
Daz baba Mzee wa maokoto😂😂😂
@bongopods
@bongopods 3 месяца назад
Thanks for the comment...
@dismasjerome1658
@dismasjerome1658 3 месяца назад
Hakika ilikuwa poa na mchonga barabara sasa vijana wanafaidi matunda
@bongopods
@bongopods 3 месяца назад
Thanks for the comments....
@omarnicesang5507
@omarnicesang5507 3 месяца назад
Daah nakumbuka mbali
@hadjimwengele
@hadjimwengele 3 месяца назад
Halooo🫡
@chazp6436
@chazp6436 3 месяца назад
Hawa jamaa waemdelee hivi hivi
@bongopods
@bongopods 3 месяца назад
Thanks for the comments...
Далее
Бокс - Финты Дмитрия Бивола
00:31
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Просмотров 30 млн
BIG SUNDAY LIVE - FEROOZ | NIPE 5, NIKUSAIDIAJE
5:56
KANA NICKO BEST OF 2024 COLLECTION
42:54
Просмотров 17 тыс.