Тёмный

Derby (Paka & Panya) ft. Latifah (Lyrics Video) 

VIVAROMA
Подписаться 614 тыс.
Просмотров 92 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

11 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 214   
@simonIbrahim-hc8vm
@simonIbrahim-hc8vm 9 дней назад
Kaka nataman nipate Mawasiliano yako nikushukuru hata kwa voice tu! Aisee Mimi naona wewe ndo mtetez wa wanyinge Roma wetu God bless 💫🎁🎁🎁🙏🙏🙏✔️
@simonIbrahim-hc8vm
@simonIbrahim-hc8vm 9 дней назад
Umeua Kaka super sanaaaa hiiiii nakukubali sanaaa 🎉🎉❤❤❤🎁🎁🎁🔥🔥🔥✔️✔️✔️💫💫💫💫✊✊✊✊
@ummyhadjat6432
@ummyhadjat6432 2 месяца назад
Roma ww ni Mchawi,hili Pumbu ni Hatari sana,umeongea kila kitu halafu ukweli mtupu,Akili kubwa sana🔥💪👊🙌
@simonIbrahim-hc8vm
@simonIbrahim-hc8vm 9 дней назад
Miaka 100000 kaka Mungu akutie Nguvu endelea kuwafumbua hawa mazuzu!!🎉🎉🎉🎉🔥🔥✊
@jovinjoseph4887
@jovinjoseph4887 День назад
Katika ngoma zinazonipaga utulivu wa moyo basi ni hii, hata nikiwa katika hali gani huwa nikisikiliza hii ngoma najiskia amani sana. Nina historia ndefu sana na hii ngoma, first time niliiskia pale kawe darajani (upande wa kuja tegeta kulikua na)bar ilikua ndio imetoka tu, watu waliomba irudiwe na kweli ilirudiwa mara nane mfululizo.
@RamdJuma-fo8gj
@RamdJuma-fo8gj 2 месяца назад
ukwer muenda zake alitenda mazul kwa nchi ila kwa laia moja mmoja ilikuwa mbinde so Roma msimuerewe vibaya
@lemeboyofficial
@lemeboyofficial 2 месяца назад
Sanaa ni kubwa hongera kwa ubunifu,amemwimba mwenda zake ili hawa wengine nywele zao wazitie maji..Maana anaona wanakirudia kilemba😢
@OmariRajabu-cq3cg
@OmariRajabu-cq3cg 2 месяца назад
Mwana nakukubali.rudi uchukuejimbo.tangamjini
@jayjay-yc8kb
@jayjay-yc8kb 2 месяца назад
Vita vina suluhu na kupona ni majaliwa 🔥🔥🔥🔥
@dani12comedy
@dani12comedy 2 месяца назад
Roma umeti🎉🎉🎉🎉🎉🎉shaa sana sanaaaa br god bless you're work
@MICHAELEDWIN-fh5nq
@MICHAELEDWIN-fh5nq 2 месяца назад
viva roma gonga like kama unamkubali mwamba
@mulababaz2232
@mulababaz2232 2 месяца назад
Oyaaa wanangu eee hata kama humpendi sungura lazima ukubali mbio zake Mkato is another level Apewe maua yake Shout out to you Mzimbabwe 👊
@mogendingonde1800
@mogendingonde1800 2 месяца назад
Laini inapiga kila mtandao kila nnch watu wanapiga motoni kumedamshi
@SaidiAlly-vc5xg
@SaidiAlly-vc5xg 2 месяца назад
"PAKA nyau nyau nani amfunge PAKA kengele? " Paka hawafungani kengele bana
@TONE_TZAFRICA
@TONE_TZAFRICA 2 месяца назад
Bloo Ngoma Kali Sana nilimic Aya mavoko Mzee umetisha sema uyo latifah anajua Mzee kwenye kolasi ametisha Sana mtoe atoke bloo nimeelewa Sana kiitikio alivo pita nacho
@AmonMahenge-gs5el
@AmonMahenge-gs5el 2 месяца назад
Mwenda zake kashasepa bro yanayofanyika saiv imba sasa au saiv mambo yapo sawa bongo!!! RIP panya but ata sasa wakikosea wambie . Be blessed bro R.O.M.A
@issackjoseph6436
@issackjoseph6436 2 месяца назад
Magu aliwapa shida saaana wasombea kwa mabeberu, ukikosoa mwendo weka mwanzo na mwisho kwenye mizani Roma, sema nini soko ni hili biashara ni yako bidhaaa ni hii
@abdallahamad4682
@abdallahamad4682 2 месяца назад
Oya Sema "Story ndio itakayo bakia"... ule mzigo noma na nusu broo👌💯
@CANIVATZ
@CANIVATZ 2 месяца назад
Sanaaaa
@Teyga_the_Don
@Teyga_the_Don 2 месяца назад
Kama unaikubali hii nyimbo na Roma mweyew tujuwane kwa Like❤❤❤❤
@AmosRugaimukamu
@AmosRugaimukamu 2 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@KRM_R
@KRM_R 2 месяца назад
Noma sana baba Roma 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 tunakupenda ❤❤ hapa BURUNDI 🇧🇮
@geombaji
@geombaji 2 месяца назад
Mimi naona hii umeieka hapa sababu ya solidarity na WaKenya #Viva #RejectFinanceBillKe2024😢🎉
@goodluckchacha5037
@goodluckchacha5037 2 месяца назад
Rip papa john umefanya mazuri wengi zaidi kuliko mabaya
@badugafamily2359
@badugafamily2359 2 месяца назад
Mazuri ni kuua watu akisahau na Yeye ni marehu mtalajiwa acha we mwendazake alipoteza watu ..wajane wengi kisa Yeye
@ISSASHABANI-sw7lx
@ISSASHABANI-sw7lx 2 месяца назад
Tonatoa ngoma alafu hatutaki hata interview na redio yoyote ile kubababake salute sana msodoki🫡🫡🫡
@sameladam8894
@sameladam8894 Месяц назад
Killi'n kazi kizazi kabisaa Tisha zaidi keep it up blood
@gabrielkabato9909
@gabrielkabato9909 2 месяца назад
We jamaa ni noma
@barakakomondawa2767
@barakakomondawa2767 2 месяца назад
Goma kali sana kinoma
@carl-donald
@carl-donald 2 месяца назад
Pure dedication kwa serikali kuu ya Kenya...sisemi.
@WatagwainMan
@WatagwainMan 2 месяца назад
Daaah Yani Angetokea Wa Kumfunga Paka Kengele Sisi Panya Angalau Tungepunga Hewa Safi, Big Up Sana Mwanangu, Bila Kuchoka, Nazingatia 2030 Ile Ahadi Yako Kaka, Kengele Muhimu Kufungwa Yule Paka..😅
@bushbabytz
@bushbabytz 2 месяца назад
DAH ETI ' Bado vita havina SULUHU na kupona ni MAJALIWA" 😊 BONGE LA MSTARI
@JonathanAlex-wr3ef
@JonathanAlex-wr3ef 2 месяца назад
wew mwenyew nipakatu wanakutombea mkeo uku falaww
@jastineeliah5256
@jastineeliah5256 2 месяца назад
Ngoma kalii saaana mwana harakati
@silashemed4849
@silashemed4849 2 месяца назад
mh! kuna harufu naihisi humuuuu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉, Asante Roma big_ up sana
@brianbizopozee5423
@brianbizopozee5423 2 месяца назад
Ngoma kali sana aisee...❤
@CoolTvTanzania
@CoolTvTanzania 2 месяца назад
VIVA ROMA VIVAAAA........ Ukikosoa miundo mbinu tu unahujumu Uch..i 😂😅😂 I like this guy 你平时都说实话
@abelshao6284
@abelshao6284 2 месяца назад
Yeye ameamua kumuimba huyo anayemuimba Nyie waimbeni hao mnaowasema.. kila mtu na priorities zake kwenye haya maisha...hajawalazimisha kumsikiliza Achen unafik
@Tesha2000
@Tesha2000 2 месяца назад
Asante nashangaaa wanatoa mapofuu
@user-vq9np4cr4f
@user-vq9np4cr4f 2 месяца назад
GREAT job
@ibrahimomari2458
@ibrahimomari2458 2 месяца назад
Roma...hatar sana mwanakwetu...
@lumumbasembuli7807
@lumumbasembuli7807 2 месяца назад
Bado vita haina SULUHU, na kupona ni MAJALIWA. Siku weza kuisema pombe kwa maana ninge paliwa...
@charlesdavid8863
@charlesdavid8863 2 месяца назад
Wakwanza nipeni like zangu
@RaulentJackson
@RaulentJackson 20 дней назад
🎉🎉
@katanakazungu3993
@katanakazungu3993 2 месяца назад
Viva roma mkatoliki salute bro
@EyanDanda-ls3lp
@EyanDanda-ls3lp 2 месяца назад
Jamaa unajuaaa
@PatrickJulius-uy3yb
@PatrickJulius-uy3yb 2 месяца назад
Nomaaaaa sana roma hupotezi uboraa 😢😢
@KisekeMtanganyika-zz8ti
@KisekeMtanganyika-zz8ti Месяц назад
Hingoma ninoma ise loma zidikuwepo
@HellenLemilya
@HellenLemilya Месяц назад
Njoo bongo gombea utapata nafasi watanzania wanakukubali
@ringicnation3722
@ringicnation3722 2 месяца назад
Mzee +254
@b3falampendwa758
@b3falampendwa758 2 месяца назад
Roma come back is too big. Go go go...
@leonardvales6390
@leonardvales6390 2 месяца назад
Nimekubali kaka ,ngoma kali sana
@user-vv9wb9he2x
@user-vv9wb9he2x Месяц назад
Good work Viva roma
@DarliotonTumaini
@DarliotonTumaini 24 дня назад
Hizi ndonyimbo za kusikiliza
@evaristmartin81
@evaristmartin81 2 месяца назад
Embu tuimbie Hawa walioko madarakani achana na Marehemu
@user-mh7dq2xi3y
@user-mh7dq2xi3y 2 месяца назад
Broo umeuwa nakubali
@shabanimtunu887
@shabanimtunu887 2 месяца назад
Nyie mnaosema aimbe utawala wa sasa aache kuimba utawala uliopita kwani roma alitekwa utawala huu anakumbuka machungu aliyopitia utawala uliopita
@geraldrobert1801
@geraldrobert1801 2 месяца назад
Ngoma kali sana, ni kiharakati zaidi, n By the way tumeshamjuwa kubwa la maadui (mtekaji)
@thestonetown3302
@thestonetown3302 2 месяца назад
Nani…
@mageuziseverine3325
@mageuziseverine3325 2 месяца назад
Message sent. Ila hii nyimbo imetulia sana kama unaikubali reply hii comment
@rashdegovernor1654
@rashdegovernor1654 2 месяца назад
Bonge la hit ni moto 🔥
@MyahudiMgalilaya-vh6ss
@MyahudiMgalilaya-vh6ss 2 месяца назад
Panya wa kigoma... Huyu ni Zito kabwe. Aliyempiga risasi roma ndye aliyevamia mawingu.. Masewingu ni tundulisu sasa mvua inawanyeshea
@issackjoseph6436
@issackjoseph6436 2 месяца назад
Clouds
@thenolstagiclord9410
@thenolstagiclord9410 2 месяца назад
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Finance Bill Must Fall
@GoldDolan
@GoldDolan 2 месяца назад
@vivaroma 🔥🔥, tunga na wimbo wa TANGANYIKA aisee maana inatafunwa Sana Kaka Hadi sio poa 😒😢
@MosesLubely
@MosesLubely 2 месяца назад
Umakini unahitajika kuielewa hii nyimbo🎉🎉🎉🎉🎉
@innocentvicent5513
@innocentvicent5513 2 месяца назад
Me nawaza Iyo baiki naipataje kak😂
@user-ij2lp1om6i
@user-ij2lp1om6i 2 месяца назад
Safi sana roma
@izack9191
@izack9191 2 месяца назад
Duh nakukubali bro lakini sasa unanaanza kumshambulia hadi marehem duh! Pia nchi haiendeshwi kwa demokrasia unavyo taka wewe. Jua kwamba demokrasia ni sumu kwa mataifa zetu hasa africa
@anitharroger5567
@anitharroger5567 2 месяца назад
Bora tuhairishe uuchaguzi ilitupate katiba
@lemeboyofficial
@lemeboyofficial 2 месяца назад
Nako huko kuna foleni kumbe🤗😆
@IsmailEl-mazroui
@IsmailEl-mazroui 2 месяца назад
Folen au traffic light
@abdallahamad4682
@abdallahamad4682 2 месяца назад
Kaka mkubwa 🙌
@AbeDesigner
@AbeDesigner 2 месяца назад
Mwanaharakti🎉
@issackjoseph6436
@issackjoseph6436 2 месяца назад
Sema kila angle lakn ukiiisema pombe ya fly over binafsi nakupalia
@bushbabytz
@bushbabytz 2 месяца назад
YAANI PAKA ALIJIONA SANA
@drinozzsamson8676
@drinozzsamson8676 2 месяца назад
Hapa kimeeleweka baba na mama wapo kazini raha sana ila mke wa roma unasaut nzur8
@LukiusGerman
@LukiusGerman 2 месяца назад
We ushaanza kula rushwa
@NdakhiSusu-qz9md
@NdakhiSusu-qz9md 2 месяца назад
Roma Tz🔥💯
@Isaka05
@Isaka05 2 месяца назад
Mwana kwenye Pini hukoseagi🎉
@JosephHewan-qb1uq
@JosephHewan-qb1uq 2 месяца назад
mkatorick 🎉🎉🎉🎉🎉❤
@RamadhaniAbeid-xk2tm
@RamadhaniAbeid-xk2tm 2 месяца назад
Ayajakukuta wew shabik funga mdomo Roma PGA mawe
@Misheckkazilist-cv2hb
@Misheckkazilist-cv2hb 2 месяца назад
Roma hatali ila kaka unahasila kweli sasa tufanye mapinduzi tuwaseme hawa waliyoko hai mwenda zake amesha enda zake changamkia hawa waliyo baki selikari ya mijimama ya hovyo
@MetaMc-iv5bi
@MetaMc-iv5bi 2 месяца назад
Mkatooooo
@saddammwangwala2551
@saddammwangwala2551 Месяц назад
Aliyeelewa mawingu agonge like hapa
@AndrewmngokeMngoke
@AndrewmngokeMngoke Месяц назад
Nani alimfanisha hyu mwamba na yule muhun wa #Mazese
@salomemahenge7935
@salomemahenge7935 Месяц назад
Hongela wimbo mtam mno
@Aymaniddi
@Aymaniddi 2 месяца назад
Nchi apewe majaliwaa
@denizaezekiel2231
@denizaezekiel2231 2 месяца назад
Huyo ni mbwa Loma nimbwaa fala mbwa sana
@2keyg543
@2keyg543 2 месяца назад
Nzembo ya KITOKO makasi
@AmaniCosmetix
@AmaniCosmetix 2 месяца назад
Nakubali kakaroma umetisha
@user-iu2jy4yu1s
@user-iu2jy4yu1s 2 месяца назад
Apo ndo aliponikera mm unamsemaje mtu kashatangulia mbele ya haki huo ni ushamba ni uchoko na ni usenge
@mohamedyally6156
@mohamedyally6156 2 месяца назад
Mzee kwa kuandika ww ni noma
@AnthonyOyuke
@AnthonyOyuke 2 месяца назад
Ngoma kali mzee
@nyokaapaschal5734
@nyokaapaschal5734 2 месяца назад
Paka tunataka katiba
@EmmanuelMwakihaba-vm3mp
@EmmanuelMwakihaba-vm3mp 2 месяца назад
Sambamba kabisa mwamba uyuapa ajawaikuniangusha atamala moja
@Souza_G_94
@Souza_G_94 18 дней назад
One man Army mtetezi wa Watanzania
@izack9191
@izack9191 2 месяца назад
Chunga hiyo uber scooter isikuzimie katikati ya kazi yako😂😂😂
@babaabro8847
@babaabro8847 2 месяца назад
R I P JPM The king, the only one, iron, Bulldozer, Vampire and so on😂
@user-ij9sc8cp8v
@user-ij9sc8cp8v 2 месяца назад
Paka wa Kigoma 😂😂
@anitharroger5567
@anitharroger5567 2 месяца назад
Mapanya tuandamane kudai katiba
@josephfrank4446
@josephfrank4446 2 месяца назад
Bado vita havina suluhu kupona ni majariwa sikuweza kuisema pombe ningepariwa ila Roma Kwa paka pombe umezingua bhana
@GadsonLukumay
@GadsonLukumay 2 часа назад
mpeni maua yake ukweli anaongea ili kuitetea nchi ya tanzania na ndo maana wanamchukia ila na sisi vijana tutakwenda wap roma na ney wa mitego mtusemee
@mshiumamayunga4139
@mshiumamayunga4139 Месяц назад
Imeingia akilin hii
@hamisabdalla8279
@hamisabdalla8279 2 месяца назад
Alie mteka Roma ndie alie vamia mawingu....daah na bado ako serikalini
@naomimwantela
@naomimwantela 2 месяца назад
Bado mama samia nasikia mwanae anatanua kinoma
@estambuya3901
@estambuya3901 2 месяца назад
Safi sana roma.
@alphamwambelo8189
@alphamwambelo8189 2 месяца назад
Kiitikio ni motoooo
@TellaaxisTz
@TellaaxisTz 2 месяца назад
Woow
Далее
ROMA ft Abiud - Nipeni Maua Yangu (official Audio)
7:00
Dulla Makabila - Tuzo (Official Video)
3:58
Просмотров 444 тыс.
Roma Feat Appy - Namuachia Mungu (Visualiser)
4:00
Просмотров 135 тыс.
ROMA - Derby (Paka & Panya) Feat Latifah
6:01
Просмотров 257 тыс.