I think that's his blessings because now he's getting famous. As he said, his mom is suffering there in village so now, he's getting famous and he will be rich very soon. Eti zari 😂😂😂😂😂😂😂😂
Akome kazidi kiranga anashobo Sana syo kama kamkataa kwa roho mbaya apana Ila kazidi misifa mno na mond watu Kama hao Hana shobo nao angatulia mbona angemtafuta mond Hana hiyana jmn Ila misifa imekuzid bro
Wanafanana asilimia 195% ninduguye hatujui sisi wanadamu ila mwenyezi mungu ndie ajuae siri yahao wawili nikwasababu mondi sai yuko napesa ila hata yeye akianza kutakata atakua kama mondi but napenda venye anachora baba ya mondi aulizwe pengine alisaau kama nimwanawe
Tuseme ukweli binaadam wawili wawili Ila msimtukane nikufanana tu sikitu chengine au keshachukuwa malizote za mondi nikufanana tu sikitu chengine jamaa kafanana mtake msitake
Ndiyo uyu jaama analazimisha afanane na Diamond ila hawafananeee ni anajaribu Luca mavazi ya mondi stailly hawafananee kabisa wooongo Dimond mzuriiiiii