Тёмный

DIAMOND ARUDISHA PESA ZA HARMONIZE,,,SITAKI LAWAMA DOGO... 

PTVTANZANIA online
Подписаться 516 тыс.
Просмотров 91 тыс.
50% 1

#watajuaje? #wasafifm #live

Опубликовано:

 

16 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 161   
@mariammariam6501
@mariammariam6501 3 года назад
mm nikisikia interview ya kumsuta harmo siangalii pole sana mama mwezangu
@rsautoservice984
@rsautoservice984 3 года назад
Kweli kabisa yaani sai harmonize vita vikubwa SNA..media zina lipwa kumchafua..
@alesnema9596
@alesnema9596 3 года назад
Unahisi utatimbwa na hamo wewe ?pole Sana
@farashuusuleiman4792
@farashuusuleiman4792 3 года назад
Anasema Nini uyo Malaya hajielewi
@gabrielisaka2061
@gabrielisaka2061 3 года назад
Mashabiki wa hormonize bwana ko ukisikiya amepewa tuzo yapiri na hbaba ndo utasikiriza
@mariammariam6501
@mariammariam6501 3 года назад
@@gabrielisaka2061 ya Mungu n mengi leo dai kesho yeye
@ceciliambui5972
@ceciliambui5972 3 года назад
Yes madam
@americabenis9278
@americabenis9278 3 года назад
Absolutely 💯 correctly Dada yangu keep it up tell them the truth
@kevinosore7919
@kevinosore7919 3 года назад
Mnaeza nisaidia number yake simba
@suzanemwangingo6932
@suzanemwangingo6932 3 года назад
Dada upo vizuri
@nassorabdalla8891
@nassorabdalla8891 3 года назад
Upo vzr snaaaàaa
@nassorabdalla8891
@nassorabdalla8891 3 года назад
Hongera sna dada
@hassanrashid8182
@hassanrashid8182 3 года назад
Huyu Mama kaongea point sana
@ceciliambui5972
@ceciliambui5972 3 года назад
Naona diamond anawasumbua sana
@michaelmdede3806
@michaelmdede3806 3 года назад
Jesh tu daimond pita iv
@mamymamy4623
@mamymamy4623 3 года назад
Ila tuache unafiki mziki nimaneno naukitizama monde mziki wake uwa nIwafujo tu aunaga maneno mazima ila sikiliza mziki wa harmonize nimziki wakusikilizika tena ukaelewa nini ananimba 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@hadijayassin925
@hadijayassin925 3 года назад
Ukitaka uwelewa ukielewa Toka shule cyo kwenye mzik ucwe boya
@eliaskassim5684
@eliaskassim5684 3 года назад
Boya wew huujui mzik wew
@gracerosi6179
@gracerosi6179 3 года назад
Mziki wa harmonizi ninoma namond kamwinua wakati huo analenga faida harmonizi amemwingizia mondi hela yakutosha natangu aondoke mond ajatoa wimbo mzr lbd kamban yake ndo wanatoa nyimbo nzuri
@mtetewamburawamburairanga9600
@mtetewamburawamburairanga9600 3 года назад
Pamoja nahayo rakina diamondi anatisha
@ivanminja7954
@ivanminja7954 3 года назад
Mbagala, nenda kamwambie na nyingine zote alikuwepo huyo Hamonise na hazina ujumbe, kuweni na akili, mwenzenu analenga soko la nje, Tanzania ameshamaliza kujitangaza.
@hellenaluoch8234
@hellenaluoch8234 3 года назад
Wewe mama wacha kutupigia kelele na Diamond amemshika mkono" ata yesu alisulubishwa msalabani na bado wanadamu wanamkana so who is Diamond
@mabawawisetv566
@mabawawisetv566 3 года назад
Mwisho Leo Mimi kufuatilia habali zenu
@d.a.t3383
@d.a.t3383 3 года назад
Huyu dada hana point kabisa achana na hayo
@khayratchigalika3029
@khayratchigalika3029 3 года назад
nilichokugundua huyu mama analiwa kwa mparange,kwani utimu ameanzisha harmonize au mashabiki?
@niyorugirafabrice2911
@niyorugirafabrice2911 3 года назад
Mulisema nonenzuli kabxa, tunaitajyi collabo yakisasa ya Diamond na harmoniz binawez kuwa vizuli kuzidi, baikae pamojya batupe ngoma,tunawapenda xan tuko washabiki bamziki
@suzanemwangingo6932
@suzanemwangingo6932 3 года назад
Dada Asante umeongea point
@annenduku5243
@annenduku5243 3 года назад
Mama shukrani si ya lazima mama.
@yusufmbegakamaliza4637
@yusufmbegakamaliza4637 3 года назад
Pongezi Sana watanzania mnafanya vizuri
@ramadhanisaidi3603
@ramadhanisaidi3603 3 года назад
Hivi kwer kma alitakakumshika mkono aliwezaje kumlipisha ml 600,uyo mama hujui llote,
@hamadiali1310
@hamadiali1310 3 года назад
PTV mnazingua kweli yani kila nikichek habar zenu ni kuhusu diamond na harmo2 tuleteen mamb mngne bhnaa
@BwayTunchi
@BwayTunchi 8 месяцев назад
Uyo dada amepangwa ajuwi maisha atoke
@scholasticalawrence3882
@scholasticalawrence3882 3 года назад
Hata diamond alishindanishwa na Ali kiba sioni mbaya hamo kushindanishwa diamond
@kidogoli5155
@kidogoli5155 3 года назад
KAMA WEMA ASINGEMLIPISHA MIL 600 AKUNAKUMSHIKA MKONO HAKUNA MAMA
@mrtitus5536
@mrtitus5536 3 года назад
Watangazi hebo tafuteni habari zingine Basi kila siku Simba Simba unatuharibia Sana baba hatabaki kua baba asheni ujinga
@omilove3673
@omilove3673 3 года назад
Conde boy yupo juu
@kimbilikiti2
@kimbilikiti2 3 года назад
Mama kasema kweli, Maishani hauwezi kuinuka mwenyewe bila mtu kukushika mkono. Diamonds ndiye aliye mshikika mkono Bwana mdogo, yeye Hermonize ajishushe na atakua mkubwa Saidi
@mlamtv4839
@mlamtv4839 3 года назад
Dada fadhira huwa hadhirudishwi.ndio maana anawafhili wengine
@chipulupulutiv5298
@chipulupulutiv5298 3 года назад
Wee demu unafatilia vizuri hizi habari au konde ndio msanii namba1 Tz kwasasa huyo mondi namba 2 kwamujibu wa RU-vid usiongee kishabiki ongea kitu kinachoonekana
@obamahtz1840
@obamahtz1840 3 года назад
Yeah kweli kabisa harmonize ndo kila kitu ndo anae muumiza kichwa sadala
@fortidaskashaigili7496
@fortidaskashaigili7496 3 года назад
Ampe zawadi gani tena,wakati Amemlipa stahiki zake,kuna nini tena,diamondi angetaka shukurani asingedai malipo kwa harmonize
@anthonymbusiro7768
@anthonymbusiro7768 3 года назад
Ptv mnakwama sana vichwa vya habar haviendan na mnachokionesha
@MusaF821
@MusaF821 3 года назад
Alafu walio mtowa Diamond ? Diamond alishawapa nini?
@aminachaka4586
@aminachaka4586 3 года назад
Huo ni ushamba awiii
@saakabdalla2066
@saakabdalla2066 3 года назад
Hujui ukiongeacho na kilichopo kati yao we Dada hujielewi.
@upendwawamamasaudiyanonobu9211
@upendwawamamasaudiyanonobu9211 3 года назад
Jeshiiiiii
@majaliwamaige4927
@majaliwamaige4927 3 года назад
Team 🐘🐘🐘
@suleimansaid2633
@suleimansaid2633 3 года назад
C kalipa au zile milioni mia tano. Huyo Harmo amenunua ufundi bass
@judgesonga3707
@judgesonga3707 3 года назад
Siku zote unaambiwa usimtukane aliye kuzaa Kwan yey ndyo aliyeshikilia baraka zako.
@agathamathias7195
@agathamathias7195 3 года назад
We Msengerema Kitu?
@halimasalim5477
@halimasalim5477 3 года назад
Umlipe mtu milioni mia sita halafu tena umnunulie mtu gari milioni mia saba .mamangu wacha mchezoo
@franktegemea8433
@franktegemea8433 3 года назад
Hpo uko sahihi ndugu huwez mlipa mil mia6 halafu naumnunulie gari mil 700
@abedkarume9088
@abedkarume9088 3 года назад
Angelimlipisha million 200
@AliAhmed-vr2zh
@AliAhmed-vr2zh 3 года назад
Huyo dada anaongea ziro haongei lolote yeye ana support diamond hana ukweli anapo ulizwa tembo aweza mfinika diamond kwanini hawezi mnafik huyo dada
@mlamtv4839
@mlamtv4839 3 года назад
Harafu haikua fadhira maana alivynja mkataba na akalipa
@kondegangtv7286
@kondegangtv7286 3 года назад
Si axhamlipa m600
@sneedlekisengo9592
@sneedlekisengo9592 3 года назад
hilo limama rinafiki bwege xana
@johnsaimon2352
@johnsaimon2352 3 года назад
Acha uogo chezeya cod mama kaoshe mtt akarare
@mamymamy4623
@mamymamy4623 3 года назад
Apo mimi sioni kama alimsadia kwasababu alimlipa sasa kunamsaada gani muwe mnatizama pande zote
@anusiataagrikola9594
@anusiataagrikola9594 3 года назад
Hivinyie hamna habar nyingine
@leahnelsonjohn8919
@leahnelsonjohn8919 3 года назад
Dada umepoteza tena koma tuachieni konde wetu mkome kumjadili
@seangrace9899
@seangrace9899 3 года назад
Mama unashindwa kumuelewa harmonize ayupokama unavio wazaa konde nimtu mwenye nizamu nakingine wewe unashabikiya diamond ndomana unaongea ivoo ilakonde anakujana kasii namungu atambarikiiii
@d.a.t3383
@d.a.t3383 3 года назад
Ina maana kila mwalimu aliyekusomesha primary secondary uni tukawashike mkonooo
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 3 года назад
🎤🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 UMEYA MALIZA
@silvestermwampaja1103
@silvestermwampaja1103 3 года назад
Diamond kumlipisha alifeli
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 3 года назад
DIAMOND ALISAIDIWA NA WEMA MBONA WEMA HASEMI KWA MITANDAO KAMA YEYE ANAVYO SEMA HARMONIZE AENDE KUSAIDIA BABAKE AWE NI MLEZI AU NI MZAZI AWACHE SIFA ZA UJINGA DIAMOND KUJISIFU MARA NDEGE MARA HOTELI WANAWAKE KILAKONA
@eppiemodest
@eppiemodest 3 года назад
Dada anachosema ni kweli Respect inatakiwa kabisa.
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 3 года назад
KWANI NI MUNGU???
@vitalresspeter7295
@vitalresspeter7295 3 года назад
Pia nayeye haende kwa babu Junia
@G_M22
@G_M22 3 года назад
Huyu mama ana matatzo kama asingemlpisha yote yangewezekana
@sadayusuf887
@sadayusuf887 3 года назад
Najuta kupoteza mbs zangu😏
@josephnchunga1247
@josephnchunga1247 3 года назад
Diamond ni kiboko hivi ninyi Mna mlinganisha na homoniez
@gracerosi6179
@gracerosi6179 3 года назад
Niwimbo gan mondi amepiga wakuzid nyimbo za harmonizi kwss mnaposema anafata nyayo utunzi wanyimbo harmonizi nimkali sema mond anamzidi maendeleo harmonizi
@suzanemwangingo6932
@suzanemwangingo6932 3 года назад
Hamonize muheshimu daimondi bil daimondi usingefika ulipofija
@BwayTunchi
@BwayTunchi 8 месяцев назад
Oya asichukulie powa jeshi amepta shida😅
@suzanemwangingo6932
@suzanemwangingo6932 3 года назад
Bidada nimekupenda bule unaongea point hamonize mkubali tu kakaako daimondi
@hamadidisimas4479
@hamadidisimas4479 3 года назад
Namuunga mkono mond
@silvestermwampaja1103
@silvestermwampaja1103 3 года назад
Diamond Na yeye alibebwa hawakumlipisha
@aminahussein5418
@aminahussein5418 3 года назад
Ovyoooo
@mtetewamburawamburairanga9600
@mtetewamburawamburairanga9600 3 года назад
Diamond anatisha hata musemeje huyonisimba
@imamuhussein9307
@imamuhussein9307 3 года назад
uy dd n kichaa
@kishokasalim8316
@kishokasalim8316 3 года назад
bado utiwe mimba na huyo domo tena akuwache
@udaku..travel8506
@udaku..travel8506 3 года назад
Nyinyi waandishi wa bongo hamujui ha ta watu wakuwahoji kina baba levo elimu zero
@tinkudey5928
@tinkudey5928 3 года назад
harmonise anashinda za ela ndo kwa sababu alimpa ataki shobo nae
@fatimahahmadlamar1241
@fatimahahmadlamar1241 3 года назад
Haswaaaa
@bossadam2252
@bossadam2252 3 года назад
Pimbi amna Stori washamba
@machudenurdine1614
@machudenurdine1614 3 года назад
😃😃😃😃😃 vc és maluca tá Harmonaiza é bom mais nada tá?
@robertkalolo1296
@robertkalolo1296 3 года назад
Kwanini Domo alimtoza pesa ?
@ngoyaboy1590
@ngoyaboy1590 3 года назад
Msenge elewa kitu kunaitwa mkataba
@ashuraumari1322
@ashuraumari1322 3 года назад
Tatizo wanawasikiza machawa Hao
@gabrielisaka2061
@gabrielisaka2061 3 года назад
Kwasababu ya mkataba kuma ww ire ni rebo kubwa uwezi toka kiorerarera kama unavyo zani ww
@ashuraumari1322
@ashuraumari1322 3 года назад
@@gabrielisaka2061 mwambie uyo aelewe angekua yeye kuweza au shobo kama machawa wenzie wakina h mama😊😊
@barakamlimba9348
@barakamlimba9348 3 года назад
Safii sana dada umezngumza vzr
@ramak.9587
@ramak.9587 3 года назад
Uyu mama anajua anachoongea kweli? Mtu amkumbushe ama amjuze kuna milioni 600 Harmonise alilipa Diamond kabla aendelea
@godelivamuswahili2988
@godelivamuswahili2988 3 года назад
Uyu mama jamani 🤣🤣😂😂😅😅😅😂🤣🤣😂😂😂😅😅😅😂😂🤣😂
@yunusimchala9306
@yunusimchala9306 3 года назад
Hata huyo diomond alishikwa mkono na Bob junior
@Dorcelbyamungu9544
@Dorcelbyamungu9544 3 года назад
mwambiye uyo jama nyuma ya uyo syster na mimi naitaji kiato kama kile
@why-ir8zl
@why-ir8zl 3 года назад
Alishanunua uhuru wake hiyo habari ya kushikwa mkono haipo tena!
@alhajbakary7337
@alhajbakary7337 3 года назад
Uyu mtangazaji uwa ni mbeya na mnafiki sana
@denismsana6952
@denismsana6952 3 года назад
yan midia nyingine zifungiwe tuu
@jacksonkamasho5545
@jacksonkamasho5545 3 года назад
Ampe kiela chake kwasababu Amalia sana
@athumanhipolit198
@athumanhipolit198 3 года назад
wp nyie diamond Ana vita na mwenzake why
@kachagirl1768
@kachagirl1768 3 года назад
Pumbavu zen ptv habari iliyo andikwa nyingine na kinacho zungunzwa kingine kenge nyie
@kishokasalim8316
@kishokasalim8316 3 года назад
Hujui kuongea mama wewe ni timu domo tumekujua
@salwasuleiman3525
@salwasuleiman3525 3 года назад
👍👍👍
@disantojevnco2718
@disantojevnco2718 3 года назад
😂😂🤣😅😄😃😁😀😁
@jonathanokiria464
@jonathanokiria464 3 года назад
Alizichukua kwa kwanza
@tatuahmadirashidi2212
@tatuahmadirashidi2212 3 года назад
Mimi wote nawashabikiy siangalii uyuyoko vo
@nelsonpatricioestanislaus7144
@nelsonpatricioestanislaus7144 3 года назад
PTV ni Harmoz 😀😀😀😀.
@nasoronkalange9848
@nasoronkalange9848 3 года назад
Usiongee upumbavu
@carentemu9141
@carentemu9141 3 года назад
Awo watampoteza a on as I daimondi yupo juu arafu wandishi ndio wanaaribu wasanii
@mamymamy4623
@mamymamy4623 3 года назад
Sasa kwani uyo mond anakitu gani mbona sijaona chenye anacho kama ana hela mbona bando ana panga
@lemmyscoconutkbcom4877
@lemmyscoconutkbcom4877 3 года назад
Weweeeeee shukulani mpaka utoe kitu 🤣🤣🤣
@d.a.t3383
@d.a.t3383 3 года назад
Atamlipa mara ngapiii acha kelele wewe dada
@mohammedkitcarson697
@mohammedkitcarson697 3 года назад
Mmmmmmmh
@zakayoupete3533
@zakayoupete3533 3 года назад
Mama acha umbea huu kwa diamond wenu kainuliwa na nani au hufatilii mziki Dada angu wakina Bob junior wako wapi na huyo domo wenu yuko
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 3 года назад
Kabla sijasoma comments wacha nikusifu dada yangu una akili za kutosha umemvunja nguvu huyo mtangazaji nia yake ilikua kumsifia tu huyo harmo tu
@shabanikimpinga6769
@shabanikimpinga6769 3 года назад
muache ushamba
@peninahnthenya3901
@peninahnthenya3901 3 года назад
Uko naujinga mwingi dada diamond ana kudinyanga nini? shaitani wewe
@yogwesaid7435
@yogwesaid7435 3 года назад
Subutu si awe nazo ndipo alipe
@disantojevnco2718
@disantojevnco2718 3 года назад
𝕂𝕨𝕒𝕟𝕫𝕒 𝕞𝕓𝕒𝕜𝕒 𝕙𝕒𝕡𝕠 𝕚𝕟𝕒𝕠𝕟𝕪𝕖𝕤𝕙𝕒 𝕨𝕒𝕫𝕚 𝕜𝕦𝕒 𝕨𝕖𝕨𝕖 𝕦𝕛𝕦𝕚 𝕔𝕙𝕠𝕔𝕙𝕠𝕥𝕖 ,𝕜𝕦𝕤𝕖𝕞𝕒 𝕙𝕒𝕣𝕞𝕠𝕟𝕚𝕫𝕖 𝕓𝕠𝕤𝕚 𝕨𝕒𝕜𝕖 ,𝕕𝕚𝕒𝕞𝕠𝕒𝕕 𝕚𝕪𝕠 𝕚𝕝𝕚𝕜𝕦𝕒 𝕤𝕚𝕠 𝕤𝕒𝕤𝕒
@eppiemodest
@eppiemodest 3 года назад
Harmonize alitozwa pesa na Wasafi kwa kuvunja mkataba wake kabla ya mda husika. La sivyo asingetozwa pesa. Ni swala la mikataba tu.
@braithonpaschal3754
@braithonpaschal3754 3 года назад
Namuped hamonize
@robertkalolo1296
@robertkalolo1296 3 года назад
Unaongea ugoro
@jokhamohammed976
@jokhamohammed976 3 года назад
Wewe dada unaongea usichokijua yeye amemshika mkono Nani alie msaidia uko nyuma kina papaa misifa kawasaidia nini? Walipambana kumtoa Kwa Ali na Mali akaja kuachana nao vibaya
@suzanemwangingo6932
@suzanemwangingo6932 3 года назад
Daimondi amekutoa ukungu machoni Kuma wewe hamonize
@sharmelasaif47
@sharmelasaif47 3 года назад
Mmmmn we shogaangu acha kuongea ujinga hamo havimbi hamo hana nyimbo za taarabu hamo hana wakushindana Nae alafu akamshike mond mkono mshauri kwanza mond akamshike mkono mzee abduli usiongee tu
@yohanakosia6777
@yohanakosia6777 3 года назад
Mtangazaji huyu ukimwangalia ndio chanzo cha kukuza vita kati ya hamo na mond ukitazama mahojiano yake
@dansontz
@dansontz 3 года назад
Xanaa
@nkzenest4748
@nkzenest4748 3 года назад
Mutaganzaji hana maswali
@frankphk7027
@frankphk7027 3 года назад
Muongo
@johnmunyoro4428
@johnmunyoro4428 3 года назад
Kwan tazania wasanii n wawili tu?harmo na modi. Mtaua bongo flava kama taarabu
Далее
When Khabib dropped Conor McGregor 👀 #nocommentary
00:59