Тёмный

DIAMOND nimeshtakiwa kwa Rais na HARMONIZE leo RAYVANNY anaondoka afu mnasema unyonyaji 

Bongo Touch
Подписаться 743 тыс.
Просмотров 189 тыс.
50% 1

Credit : DW

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 356   
@chizashungu8364
@chizashungu8364 2 года назад
Pure,honest and Nice Person.Keep it up DIAMOND.
@perfectcyber5558
@perfectcyber5558 2 года назад
sike
@saumomar2017
@saumomar2017 2 года назад
Hebu njoo kwanza,,,,,,🥰 nakupenda ww Bure msanii wangu
@elizabethkea8850
@elizabethkea8850 2 года назад
Big up diamond
@bonifacekisina
@bonifacekisina 2 года назад
I support Diamond on this one
@mwinyihajjsalim4405
@mwinyihajjsalim4405 2 года назад
Wanadamu ndivyo walivyo wanasahau nyuma walikotoka kimaisha.so big bro diamond tenda wema nenda zako waalimwengu ndo walivyo umewakuza toka awanakitu sai wamejua njia zakutafuta ndo wanakulaumu kukusema vibaya mungu atakulipa kwafadhila ulizowafanyia.MWINYIHAJJ KUTOKA KENYA MOMBASA
@josaphatjames1367
@josaphatjames1367 2 года назад
First to comment Watching from 🇸🇪
@favourspapatv
@favourspapatv 2 года назад
Kazi Safi Almasi keep it up,alafu huyu interviewer anamfanana Sana Dudu baya
@ahmadsayyeed7910
@ahmadsayyeed7910 2 года назад
Umeongea fact sana Diamond kwa kweli baba hana tofauti na jalala kila mzigo ataangishiwa tu lakini hakatishi majukumu yake kwa watoto wake
@davianjosephjoseph3121
@davianjosephjoseph3121 2 года назад
Diamond platnumz keep it up kaka sisi tunapkufaham tunajua unachokifanya acha wabweke usisimame keep it up Big
@ulimbombonaulindi5088
@ulimbombonaulindi5088 2 года назад
Diamond we unamjua kuliko Rayvanny au Hamonize? 😂
@felixlawrence6221
@felixlawrence6221 2 года назад
Yes diamond "money finds money"
@BlackBoy-ny2ke
@BlackBoy-ny2ke 2 года назад
diamond anakili sana nanajua kuongea sana bgp brother wambie wambie wambie
@Team-t6k
@Team-t6k 2 года назад
Ninacho kuombeya tu Allah akupe mwisho mwema na akufishe ili hali amekuriziya na unameno yenye busara na hekima kunako zungumza mkataba ni mkataba tu wasisahau kuwa walipo kuja kwenye kuomba msada hawakulazimishwa
@khalfanali756
@khalfanali756 2 года назад
Amee🙏🏾
@fishianmbango9170
@fishianmbango9170 2 года назад
Kweli kabsa simba
@almshher5197
@almshher5197 2 года назад
Vp diamond mbona unasaidia wa tazania wenyewe masikini ni wengi ichi zote wanataka musada wako
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 2 года назад
Diamond saidiya zako zingine nci jirani wanaku appreciate saana
@josephmsomi3094
@josephmsomi3094 2 года назад
We utaendelea kuwa Simba wa nchi asante Mungu yupo pamoja nawe
@julietsalu773
@julietsalu773 2 года назад
Kabisa
@mohamedschaeublin7374
@mohamedschaeublin7374 2 года назад
Inafanana na ukweli, investment😎 Money make Money 👌
@josaphatjames1367
@josaphatjames1367 2 года назад
Speech iko cool
@hassanimwaharabu-wm3ti
@hassanimwaharabu-wm3ti 8 месяцев назад
❤❤❤❤ ASSAN
@Josephgoliama1
@Josephgoliama1 2 года назад
Diamond utafika mbali zaidi. Moyo wako uko vizuri
@robertmagangira8127
@robertmagangira8127 2 года назад
Mondi uko vizuri
@patrickmukundichalamila3038
@patrickmukundichalamila3038 2 года назад
Ipo siku Daimond ataeleweka kwa wasio muelewa,hiv kweri mfano akina Mo wanasema eti wameweka billion 20 Simba ni mchezo mchezo tuu? Daimond piga kazi watajua hawajui yan u promote mtu umeweka milion zote hizo afu ale Kona kirahisi rahisi.
@irakozethierry7640
@irakozethierry7640 2 года назад
😆😆😆😆sio poa
@michaelkibona1198
@michaelkibona1198 2 года назад
Nakubali kazi yako simba
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 2 года назад
nakuelewa sana bro mod upo vizuri sana
@officialkassimu7791
@officialkassimu7791 2 года назад
Simba father of African music and the father of big artists out of wasafi like harmonize and Rayvanny
@brayo001
@brayo001 2 года назад
Father of Tanzanian music...sio Africa
@pillyolsen8377
@pillyolsen8377 2 года назад
Wakubali wakatae daimond ww ni mfano wa kuigwa sina Tim Ila ww uko vizuli sana wacha waseme lakini ww ndiyo nguli wa muziki nakupenda kwa uhodali wako wa kazi chapa kazi Baba ww wacha waseme mradi ww akauti zako zinasoma🤼‍♂️💥💥💥🔥💥🔥🔥🔥🔥🔥😄😄 mambo ni faya😃😃😃😃😄🌹🤼‍♂️💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 2 года назад
Kwa 666 na kulala na Mama Yake
@halimasaidhamis1657
@halimasaidhamis1657 2 года назад
Kijana yupo vizuri hongera sana
@shimbirobo9586
@shimbirobo9586 2 года назад
@@smukelomkhize9775 we ni mkundu kwel una uhakika gan kama analala na mama yake au ndo kuhic tu, pumbav kabix, unajiona mwenda mbinguni sana kumbe na ww una madhambi kibao tu shenzi kabix
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 2 года назад
@@shimbirobo9586 wewe unanini Nyuma Hapo unapokalia msunu WA Nyoko ,
@smukelomkhize9775
@smukelomkhize9775 2 года назад
@@shimbirobo9586 black mampara
@jcwformedia5032
@jcwformedia5032 2 года назад
Diamond merece 200000 beijos de parabéns
@gwandumimwangosi5659
@gwandumimwangosi5659 2 года назад
Na ruge je
@dicelwantu2192
@dicelwantu2192 2 года назад
Tenda wema nenda zako kaka Coz unaowatendea wema leo ndio watakuwa wa kwanza kukurushia mawe
@charlesmasele6327
@charlesmasele6327 2 года назад
Kizazi sana 💥 simba
@ramaramady3955
@ramaramady3955 2 года назад
Daaaa mkuuu hapo upo sawa kaka sikupingi kabisa
@evelynmuholeza5458
@evelynmuholeza5458 2 года назад
That is true diamond
@steventagaya4066
@steventagaya4066 2 года назад
Anajiunga wasafi akiwa hohehahe anaondoka akiwa tajiri na amefanikiwa kimuziki then anatangaza amedhurumiwa ,,, hiyo ni ushenzi.
@donkaloza6985
@donkaloza6985 2 года назад
Kabisa
@utambevilla2054
@utambevilla2054 2 года назад
Ujui kitu boya ww kaa kimya. Ata kama anaondoka akiwa tajir bado alichokipata sio staikie yake. Kwaiyo akiondoka tajir ndio ajazulumiwa?
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
@@utambevilla2054 kwani walilazimishwa kwenda wasafi?
@greaterjustin2231
@greaterjustin2231 2 года назад
Kama wanakua matajiri inakuaje harmo aliomba kulipiwa Milion600 wakati wanasema wana hela nyingi
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
@@greaterjustin2231 hizo Range rover kanunuaje kama sio tajiri?
@Çhrïskãykãy
@Çhrïskãykãy 2 года назад
Ni vizuri kusema toka moyoni mondi Hatutaki utupendezee sema kweli Toka moyoni
@ashamohamed1461
@ashamohamed1461 2 года назад
Seema wewe unaeujua ukweli
@radbordswamwel6588
@radbordswamwel6588 2 года назад
Broo binadamu hana shukran
@tiktokTviral
@tiktokTviral 2 года назад
UKIMSIKILIZA VIZURI DIAMOND UTAMUELEWA VIZURI SANA HIVIV HAO WASANII WA WCB KABLA YA KUSAIDIWA NA DIAMOND WALIKUWA HOI HAWANA KITU LEO HII WANAMUONA ETI MNYONYAJI🥴
@samiridicksoni9067
@samiridicksoni9067 2 года назад
Kaka uyo awasaid ila mi nacho jua mimi kama alivo sema anafanya nao biashara apo ndo nimemwelewa
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 2 года назад
Sasa byashara Huna ata mtaji MTU anawekeza kwako n'a anakufunza n'a kukuweka ........duh heartless zingine bin Adam
@gloireirenge5338
@gloireirenge5338 2 года назад
Mungu aku zidishiye kkngu
@sangapatrick1609
@sangapatrick1609 2 года назад
Simba wewe ndio nembo ya Tanzania hakuna mwingine
@mkokafrank2278
@mkokafrank2278 2 года назад
Hermonize alikua amekulipa pesa yote na ukakataa kumpea termination letter ndio maana ikafika kwa rais.Acha kujisafisha kwa media
@hamisimwacha7076
@hamisimwacha7076 2 года назад
Lakin paspo yy angepata wap pesa ya kumlipa .inaumiza sana pale unapo msaidia mtu badae anavyokuchukulia ni tofaut na uliko mtoa .harmonize wa Sasa n tofaut na Yule wa Bss alipikwa kwanza ndo akawa alivyo alikaa ndan ya wasaf miaka .ata masta Jay alisema.tatzo vijana tukipata tuna sahau tulikotoka na tunajinyanyua sana
@kibabysaid6692
@kibabysaid6692 2 года назад
Hata huyo diamond mwenyewe kabla ya kufika hapo alipo ....hapo mnapo muona Leo ...pia yeye kuna msaada wa watu alipitiaya....au kwa kua walio msaidia hawakujiweka hadharani kusema ndio mwaona n km alifika mwenyewe huko juu....na kila binadamu lazima aanze chini ndipo afike juu....n kufika huko juu mungu kaweka msaada ..kwa wewe utapita njia hii mpka ufikie mafanikio yako.
@سونيابروندي
@سونيابروندي 2 года назад
@@kibabysaid6692 umesema ukweli kwaza nahawi wasaniwake wananguvunyingi kwareboyake ya Wasafi kikubwa wafanyekanzi kwabidi ili wazidi kufanikiwa wote.
@samwelivenanci6820
@samwelivenanci6820 2 года назад
Ulikuepo wakat anampa iyo pesa au roho zakimaskini zinakusumbua
@m___ck799
@m___ck799 2 года назад
Huo ndio ukweli !!am even glad that Harmonize alishaongelea hili na kufafanua kilichofanya akaenda kwa Raisi ambaye alikuwa karibu na Harmonize wakati wa uhai wake!
@mlachakeofficial8289
@mlachakeofficial8289 2 года назад
Unataka ukimbie ..ukimbie wapi ...ebu njoo kwanza
@majotv3405
@majotv3405 2 года назад
🤣🤣🤣 kaongea sahihi kabisa
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 2 года назад
huyo ndo simba anaongea fact
@donhussle948
@donhussle948 2 года назад
Mdomo unasema tuu ila moyoni mwiba
@narrissajackson3869
@narrissajackson3869 2 года назад
Huwezi fanikiwa kirahisi rahisi lazima ufanye kazi kweli
@bigjizee4130
@bigjizee4130 2 года назад
Wewe uko moyoni mwake?
@daudmtange8005
@daudmtange8005 2 года назад
Kweli harmonize alisema kweli banaa pesa mlipewaa Termination contact mlikua mnamzungushaa huna jipyaa
@revocatuspaulo6716
@revocatuspaulo6716 2 года назад
Hana jipya mama ako
@emariusrush3285
@emariusrush3285 2 года назад
kamtombe mama yako,Ili upate jipya!!!
@clarasimba3512
@clarasimba3512 2 года назад
Msiingizie mambo ya wazazi jmn
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
Sio kweli,,,
@daudmtange8005
@daudmtange8005 2 года назад
@@revocatuspaulo6716 Asante🙏 mzee
@jrue6966
@jrue6966 2 года назад
Nakubali sana demod
@williamkeita1519
@williamkeita1519 2 года назад
Fact unaenda wapi njooo hapa kwanza.upo sahihi sana sana mond hao umewajenga kimziki lazma walipe vizur coz hiv jamaa wa tandahimba bila wewe siangelikua anatumbuiza bar tu mpaka tenda za kule sio dar.
@happynjukiz6495
@happynjukiz6495 2 года назад
Hahaha kabisa njoo apa
@wasadikigang599
@wasadikigang599 2 года назад
Don't give a dem about ma negah wafadhilaka wapundaka remember that..the big boss 😇🎤🎶❤️💯
@mohammedsalum3502
@mohammedsalum3502 2 года назад
Uyo mtoa post ni mavi bila hao waliotoka wcb wangefahamika au
@mohammedsalum3502
@mohammedsalum3502 2 года назад
Unajua baba wawatu angetaka kuimba yy peke yk mngesema leo hii nawambia angekua na myimbo nying kishenz na ata ivyo ana nyimbo nying na bd atakua juu akutaka kuimba peke bali akoona avute wasiojiweza leo wamepata vi ela wanamuona mjinga
@mohammedsalum3502
@mohammedsalum3502 2 года назад
Nawaambien uyu baba wawatu atuombei mabaya siku amefumba macho muziki unakufa serious sasa ivi si mnadharau
@wasadikigang599
@wasadikigang599 2 года назад
@@mohammedsalum3502 siku zote wachache ndio hukumbuka fadhila ni ngumu sana kumsaidia mtu alafu akaona wema wako
@-imbyuso-chnel9684
@-imbyuso-chnel9684 2 года назад
Diamond hauna mpinzani baba
@georgegongoli1589
@georgegongoli1589 2 года назад
Big up diamond platinums I con of africa
@Worldwidetv901
@Worldwidetv901 2 года назад
Nooooo Broo ! Usijiweke Mjanja kaka #MWABINO
@narrissajackson3869
@narrissajackson3869 2 года назад
Mjanja kwe
@revocatuspaulo6716
@revocatuspaulo6716 2 года назад
Kuma la mama ako
@Worldwidetv901
@Worldwidetv901 2 года назад
@@revocatuspaulo6716 kwahani Sio KUMA MAMAYO 😂😂😂😂
@lukikimo6111
@lukikimo6111 2 года назад
Allah akulinde akuepushe nawenye chuki nawewe
@user-yd8sp4es9n
@user-yd8sp4es9n Год назад
Ravanyn ndiamondi 😢
@ibrahimkagomajr1416
@ibrahimkagomajr1416 2 года назад
This is reality 100%
@shebbylove5264
@shebbylove5264 2 года назад
Simbaaaaaaaaaa🤴🏾🤴🏾🤴🏾🤴🏾🤴🏾
@1soundchannel935
@1soundchannel935 2 года назад
Diamond is the one of the best Tanzanian artist has ever had anyone who denies that is just a blind hater . Amewakuza vijana wengi nchini tz. Na anaajiri wengi kama kijana wa umwri yake. Hakuna wakumulinganisha nawe Easter Africa. Diamond babalao 😀
@justinemachila9025
@justinemachila9025 2 года назад
Ukafundishe kuimba Simba I like you
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 2 года назад
Kweli Mzee Muziki ni biashara kama biashara nyingine
@barakadaud5323
@barakadaud5323 2 года назад
Hayo ndo maneno ya kusema ni biashala lkn apoapo unasema unawasaidia unakosea harmonize alisema hizo hisa alilipa lkn migogoro ikaanza watu wa kalibu yako ukawatuma kumtukana kumtukunana kumuwekea figisu na ss ni mashabiki mfano baba levo
@richardpeter8188
@richardpeter8188 2 года назад
Na Mwijaku Kwake Inakuwaje
@bigjizee4130
@bigjizee4130 2 года назад
Kwani yeye naye si ana machawa wanatukana
@barakakoi5976
@barakakoi5976 2 года назад
Nibiashara lakin hapo hapo ndokafanya msada hebu jiulize niwasanii wangap wakubwa tanzania kulko kna ray angai mahal amefka so mbal na biashara msada upo ulfanyka hapo
@mao9622
@mao9622 2 года назад
Kumsaidia ni kumpa nafasi.Hata muajiri wako amekusaidia .unafkiri wangapi Wana uwezo na hawakupewa nafasi?
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 2 года назад
Huna akili wewe na mwijaku je anatumwa na mmakonde?
@zaituneadremaneadremane5698
@zaituneadremaneadremane5698 2 года назад
simbaaaa🔥🔥🔥🔥
@bab-jfaliala627
@bab-jfaliala627 2 года назад
Big up nakubali
@mgeyahnyanga3574
@mgeyahnyanga3574 2 года назад
Fact mond 🔥🔥🔥
@janeamos9485
@janeamos9485 2 года назад
mungu umuwekembe watu awana wema wewetu nisimba songabele simba 🦁🦁🦁👑naitwa jennifer mimi nimutuwa kongo naishi zambia mungu azidikumipanguvu
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 2 года назад
Diamond jipe peteeee kuwatowa watanzania ushamba na kuwaonesha iyo business......Diamond anajuwa n'a anaweza tena
@procedure_254
@procedure_254 2 года назад
Ni Kweli Ni Biashara But Contract Ikiisha Wachilia Msanii Usichukue Rong Move 🌋🎸
@adelinafransins6758
@adelinafransins6758 2 года назад
Nakubali cn
@selinaaliseni3751
@selinaaliseni3751 2 года назад
just do your work bro, never mind those young children
@gidiohkeen3530
@gidiohkeen3530 2 года назад
Biashara ndio lakini mtu akikata mikataba.. Asighniwe..... Bila kuzubaishwa kutupiwa muda.... Laki tano harmo kalipa ila mnakwepa kumsighni atoke!!.. Ulikuwa unaepa kwenda marekani.. Ndo harmo akaomba usaidizi kwa jpm.... Ukasimamishwa Airport ukasighn.... Hiyo sio kushtakiwa... Alitafuta msaada
@jastinsimon5677
@jastinsimon5677 2 года назад
Nimecheka et njoo hapa kwanza
@muhundaramadhani5057
@muhundaramadhani5057 2 года назад
Gooood job simba
@nocolasendru4196
@nocolasendru4196 2 года назад
Sahii Simbaaaa
@mwamedypwemu6117
@mwamedypwemu6117 2 года назад
akuna mfano wa kuigwa apa anawapotosha umaa maan daimondi angekuwa sheikh leo waty wangempa sapoti sema umaa anaupotoshaa ukwel ndo uwoooh ibilis utupuu
@fathiafathia6647
@fathiafathia6647 2 года назад
We mwenyewe iblis kushinda miaka yako
@krizofrancisco1287
@krizofrancisco1287 2 года назад
Kasikilize mawaidha huku siyo kwako
@mbumbumbu0
@mbumbumbu0 2 года назад
Kweli broh, au unatupanga
@isaacwechuli2105
@isaacwechuli2105 2 года назад
i am true diamond fan..tho diamond sasa ameanza interviews on other stations besides wasafi after ameona kumeharibika
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 2 года назад
wasanii WA wasafi wanajiita mpka matajiri but c matajiri ni kujiita Tu c ndio boss diamond 🤣🤣🤣
@mbleegun3865
@mbleegun3865 2 года назад
Wewe kuma
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 2 года назад
@@mbleegun3865 thanks alot 🙏
@djgthehotstepper
@djgthehotstepper 2 года назад
Kuma mfereji 🖕🏿🖕🏿🖕🏿
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
1.Hakuna msanii aliyelazimishwa kujiunga WCB 2. Kila msanii ajiangalie Hali na umaarufu wake kabla na baada ya kujiunga WCB 3. Mwisho ndio tutoe hukumu Anayeona kuwa WCB inawanyonya wasanii, itapendeza yeye akaanzisha Lebo yake halafu akawa anawasajili wasanii Kwa elfu 20 na mwisho wakitaka kuondoka wanatoa elfu 30 ili waende,,,,,,,,, Longolongo zingine tutakuwa hatuwatendei iliyosawa WASAFI
@sadamkapilima
@sadamkapilima 2 года назад
True
@johnmeshack8284
@johnmeshack8284 2 года назад
Wanaomponda diamond ni wivu tu sio kingine
@kapalataawazi8989
@kapalataawazi8989 2 года назад
Siko shabiki wako but niko shabiki wa HARMONIZE lakini interview yako yaleo unaongea vizuri
@hamadaly8663
@hamadaly8663 2 года назад
Diamond platnumz safi sana
@ahmadifataha6677
@ahmadifataha6677 2 года назад
Vitendo mbali maneno mbali
@bravofundikila965
@bravofundikila965 2 года назад
Wewe mnafiki jaribu kumpa mtu sifa akifanya vzr
@zabronsimfukwe
@zabronsimfukwe 2 года назад
Ni kweli broo
@ebrahimogweezy7442
@ebrahimogweezy7442 2 года назад
Diamond uko sawa
@mgongolwajoseph6901
@mgongolwajoseph6901 2 года назад
Nimekuelewaaa
@zainabsuleiman5920
@zainabsuleiman5920 2 года назад
Ndio binaadam walivyo hawatizami hapa na hutizama kule stahamili diomond ni wenyewe walisema kheri adui sheitwan kuliko adui kiumbe hawajakosea acha nao iko siku watakukumbuka
@msalabanireko1518
@msalabanireko1518 2 года назад
Simba kama simb Yuko juu sana
@farajikazumari2693
@farajikazumari2693 2 года назад
Mike jackson wa nyoko...mwambino😂😂🤲
@almshher5197
@almshher5197 2 года назад
Tuna kupenda ata burundi wapo washa biki wako ila hautu oni kweli acha wakuseme vibaya wewe mola kakupa moyo muzur sana
@irakozeenocke8463
@irakozeenocke8463 2 года назад
Mimi naishi Bdi nani unampenda labda wew mwenyewe
@joleal7941
@joleal7941 2 года назад
@@irakozeenocke8463 😂😂😂
@rashidyally8715
@rashidyally8715 2 года назад
Useme sababu ya hamonize kukushtaki kwa raisi ni ipi?
@narrissajackson3869
@narrissajackson3869 2 года назад
Serikali itakuwa na jibu mtakaloliamini
@rashidyally8715
@rashidyally8715 2 года назад
@@narrissajackson3869 kwani serikali ndio alioikosea au hamonize ndio anaedai kua alilipa pesa aliokua anadaiwa lakini mondi alikua hataki kumpa karatasi ya usibitisho kua hayupo wasafi na alikua anataka kusafili nje ya nchi ndio hamo akapanda hewani kwa jpm na jpm kutoa amli kwa mwakiembe na mwakiembe kutoa masaa matano hamonize apewe hati ya ke kutoka wachafu kua yupo free
@narrissajackson3869
@narrissajackson3869 2 года назад
@@rashidyally8715 mimi nilifikiri utatambua umuhimu wa kupata taarifa kutoa mahali pasipoegemea kokote, ila ajabu huamini anachosema diamond na unataka wengine waamini atakachosema harmonize huoni ni kasoro. Muda mwingine tukiwa realistic itatujenga sana. Na haina haja ya kutoa maneno ya kashfa lugha za kuudhi. Smart minds just give out smart words to work upon
@rashidyally8715
@rashidyally8715 2 года назад
@@narrissajackson3869 hayo mapovu Sasa baazi ya wa tz wapuuzi Sana yani mtu akiongea ukweli anaonekana muongo na mtu anaeingea uongo ndio anaonekana mkweli na kingine ushabiki Kuna ushabiki wa kipumbavu mtu Kama unamshabikia hata akikosea wewe husemi ukweli kisa unamshabikia 😄😄😄
@narrissajackson3869
@narrissajackson3869 2 года назад
@@rashidyally8715 unajuaje ukweli ili hali wewe si sehemu ya management team, niandhani huo ndiyo ushabiki, binafsi siwezi elewa nani yupo sahihi kwani kila mmoja anajiteetea yeye na wao wanajua vema zaidi. Sisi ni akina nani tujudge aliye sahihi kati yao ili hali hatuna details. Sioni kama kuwasikiliza wao ni njia sahihi ya kuupata ukweli, ila ni uhuru wa kila mmoja wetu kufuata aonalo utambuzi wake unamuongoza. Binafsi ninaona wana bias kubwa.Kuegemea upande mmoja bila hakika sioni umuhimu wake, kwani ni hakika itakuwa kujifariji kujua ilihali sina hakika
@philipojohn367
@philipojohn367 2 года назад
Ndio wanadamu chibu piga kaziii
@minhokid
@minhokid 2 года назад
Big kama BIG
@MJ-rr6dy
@MJ-rr6dy 2 года назад
mond ni mond tu hata apigwe madongo vp aliwatoa wasanii wakosa shukran
@Maaworldwide
@Maaworldwide 10 месяцев назад
Sasa unatakiwa kujua kwamba harmonize wote pale wasafi mpo kibiashara,, sababu talents zipo ndoo maana mmewekeza,,acha kuwaita watoto wako
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 2 года назад
Acha Uongo alikushtaki lazima ulitaka miezi mitatu mwenzako angeishjie acha Uongo
@rabsontryphon9254
@rabsontryphon9254 2 года назад
Na ww chukua msanii umutoe bure
@nbwchannel4997
@nbwchannel4997 2 года назад
Mwambie ibrah wa konde gang ajitoe tena bule atafika wapi?
@davidlubero2934
@davidlubero2934 2 года назад
Wasafi Ina wasanii wakubwa 😄😄😄 mboss/lavalava/jike dume/zuchu 🤣🤣🤣 changamoto.
@karasuyazidi8547
@karasuyazidi8547 2 года назад
Sasa hao unawaona wadogo pole sana
@isaachayes9783
@isaachayes9783 2 года назад
Ooh! Kumbe wasiokuwa na shukrani na tamaa kama mmakonde ndio hao wenye tamaa, kaja fukara halafu anataka kuchukua mpaka na mali ya tajiri aliemtoa kwenye ufukara.🤔
@winnieminyalla9430
@winnieminyalla9430 2 года назад
Muandishi sio msikivu mzuri nauhakika angetulia diamond angefunguka zaidi ya hapo lkn aaonekana hatulii kama anaoga nje 🙄
@nocolasendru4196
@nocolasendru4196 2 года назад
Anazinguwa muandishi,,
@johngongana670
@johngongana670 2 года назад
I love the bottom line
@mamarazaki8975
@mamarazaki8975 2 года назад
Hapo Sasa na Mimi naanza kuelewa
@wilsonnjeru9231
@wilsonnjeru9231 2 года назад
Mondi unapenda sana kujipendeza ...harmo anaishi kwa bidii zake bro wala so nguvu zako
@mosehfilms
@mosehfilms 2 года назад
Asinge kuwa mondi harmo tusingemjua
@ommytamir2783
@ommytamir2783 2 года назад
Rich mavoko hamukuweka hela au vp mbona kimya na mpaka sasa ndio kabisa amepotea ROHO YA KWANINI NI MBAYA SANA
@AboveandBeyondAviation1
@AboveandBeyondAviation1 2 года назад
Simba ni Simba..muziki ni biashara, kama uko Kwa mkataba kama umesign ndio kufaidika ukisaidika unafaa kuheshimu mkataba.
@gabbumnice254
@gabbumnice254 2 года назад
Bana mwabie niko tiyari mwie nipo nchini Kenya sasa hivi aki nikubali naja moja kwa moja Dar
@patrickbasilwango8203
@patrickbasilwango8203 2 года назад
Good diamonde🇨🇩
@mbarakasaidi8243
@mbarakasaidi8243 2 года назад
rayvan alikuwa kachoka sana diamond ulimpa moyo na kumpandisha juuuu sasa wanasema nn sasa
@hassanirashidi1906
@hassanirashidi1906 2 года назад
Mondi uko sahihi
Далее
Mkasi - SO4E01 with Diamond Platnumz
27:57
Просмотров 1 млн
MASAI APAGAWA NA YANGA | NG'OMBE WANGU NAWAPA YANGA
14:25