Mama Amina ni qaswida maalum inayozungumzia mama amina jinsi alivyo na maisha yake kwa ujumla, ni qaswida nzuri na yenye mazingatio makubwa sana ndani yake.
Yaan Allah akujalie neema na baraka ,afya na nguvu uwendelee kutupatia ujumbe mzuri kutoka kwa Allah kupitia kwa mtume wake,,,wanitoa machozi dida kwakweli
Mashallah Mungu kakupa kipaji kitumie vizuri usijechange baadae ukawa mumbaji wa taarab. Allah akuepushie. Endelea kutukumbusha mambo mema. Big up. By Fk.
Ujumbe ukiwasilishwa kwenye sauti tamu kama hii unawezafanya mtu akabadilisha dini akaingia Isilama. Mungu akujalie Diyda uendelee kuwasilisha ujumbe wake Mwenyezi Mungu.