Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5 Channel Administered by Slide Digital Instagram: slidedigitaltz
Kuongea hivyo sio sifa watu wengi hatufanikiwi kwa sababu hatujiamini na tunachokifanya jamaa anajiamini pia kujiamini hakuwazuii wengine kufanya zaidi
Sasa laizer na t touch hapa wanaingiaje?? Huyu alikua directer hao uliowataja wewe ni maproducers japo wote wapo niwamoja but Kila mtu na Engle yake hapo
anaonesha chuki ya hali ya juu sana kama wewe unaona hanscana na wenziwe hawajui kwa nn usitoke akachukua kamera zako na wewe urudi kwenye game udhihirishe kwamba hanscana na wenzie hawajui? Mtu mwenye busara anaona kabisa huyu jamaa nisher anakijiwivu flani hivi acha peng’eng’e onesha vitendo 😎😎😎😎😎 tuziamini hizo statementbzako acha hizo mambo