Тёмный

UTACHEKA..!!! MACHALII WA R WALIVYO TIMBA KWA NABII MKUU GEORDAVIE 

wispoti tv
Подписаться 38 тыс.
Просмотров 458 тыс.
50% 1

Развлечения

Опубликовано:

 

18 авг 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 399   
@fredymponji1423
@fredymponji1423 11 месяцев назад
Hizo sifa kana kwamba ni maadili ya kuigwa, now I understand Godbless Lema. Humo ukute kuna wanaoabudu na wana njaa na shida, ila kutafuta umaarufu.
@happynescostat7420
@happynescostat7420 10 месяцев назад
Mchungaji uyu abarikiwe Sana,Achagui Abagui Ni mfano wa YESU!
@user-allan448
@user-allan448 2 месяца назад
Wewe Una akili kweli huyu unafananisha na Yesu?
@user-mi7yx8ew1k
@user-mi7yx8ew1k 26 дней назад
​@@user-allan448mpuuz uyo happy
@idrisssaidi4530
@idrisssaidi4530 11 месяцев назад
kweli Miskiti ni Nyumba Ya Mungu uwezi kuta upuuzi kama uuwu
@ellgodfather282
@ellgodfather282 11 месяцев назад
Roho Mtakatifu ndiyo jibu njue Yesu
@zeddymourice4249
@zeddymourice4249 11 месяцев назад
Acha upuuzi wewe Imani ndio kila kitu hakuna Cha msikiti Wala kanisa,alafu angalia matendo yako usiyaangalie yamwingine.
@babydlagwen9446
@babydlagwen9446 11 месяцев назад
Kanisani ni mahali pakufurahi
@thomasndewa4797
@thomasndewa4797 11 месяцев назад
Takbirrr
@thomasndewa4797
@thomasndewa4797 11 месяцев назад
Poleni Tanzani mumefungwa ufahamu wa kutambua fake pro
@Emmanuellobelo
@Emmanuellobelo 11 месяцев назад
Big up sana Nabii mkuu Baba GeorDevi ,hakika hii ni kazi ya mungu na kazi sahihi ya mungu sio tu kuwaita watu waliothabiti na wakamilifu kanisani ila Kanisa ni sehemu huenda wenye shida mbalimbali ili wakapate faraja ya moyo na kubadilishwa kuwa katika ukuu wa mungu
@desirengenerwasobanuka9015
@desirengenerwasobanuka9015 11 месяцев назад
Kazi ya Mungu gani iko hapa? Nawe umekuwa mjinga kama wengine. Haya unayasoma wapi katika Biblia wewe mjinga.
@christophermakunzo4232
@christophermakunzo4232 10 месяцев назад
Hit ndiyo Injili ya wazi na kweli kuwasaidia wasio na uwezo na kuisaidia Injili. Kristo alilisha kundi kubwa la watu kwa sababu alikuwa nan uwezo wa kufanya hivyo. Napenda sana tu shida uwezo wangu mdogo....
@evanccast6228
@evanccast6228 6 месяцев назад
Amina mchungaji katisha sanaa Hadi Baba aketiye juu mahala palipo inuka kafrai sanaakafrahiii
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 10 месяцев назад
Suprise nzuri sasa msali na my brothers
@rosemaryikamba5288
@rosemaryikamba5288 11 месяцев назад
Ngurumo ya Upako is unique place ambayo huwezi ipata mahali popote Especially katika makanisa hawa vijana wametengwa kabisa kwamba niwahuni hawafai hata sogelea mlango wa kanisa Ni lazma wakaribishwe wakiwa karibu ni rahisi kubadilika Big hug Sana BABA yangu NABII MKUU GEORDAVIE
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 11 месяцев назад
Unique place for devil worshippers. Nonsense
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 11 месяцев назад
Wamekuja kuchangamsha kanisa 😂😂😂 ndio uamsho huo maana uamsho wa Roho Mtakatifu haupo
@mwinjilistiaristidesmeja1834
@mwinjilistiaristidesmeja1834 11 месяцев назад
Kwa kweli wamekuja kuchangamsha maana limepoa sababu roho wa Mungu Hayupo, kwa hawa wanaleta roho wa dunia na watu wamechangamka kweli, vizuri mmmhh
@misertz9633
@misertz9633 10 месяцев назад
Kumbe on baba yako waooo kazanA
@olivernyange2349
@olivernyange2349 10 месяцев назад
Uchawi makanisani,watu ni wavivu hamsomi neno hamyajui maandiko ndo mana hamuelewi maana ya kanisa.hiyo ni shivas no 2 na bado mtakomeshwa waabudu watu mpaka siku mtakapojua kufungua bible wenyewe na kusoma na kupata ufahamu.sasa hamtaelewa but later you will understand.l pray it won't be too late.
@charlesnyanhanga4382
@charlesnyanhanga4382 2 месяца назад
Watu wanahitaji msaada wa kiroho munashindwa kuwaongoza sara ya toba wamujue yesu
@KelvinMahimbo-pc2wg
@KelvinMahimbo-pc2wg 2 месяца назад
Sara ya toba sio jambo la haraka kwa mtu soma vizuri
@charlesmbunda6759
@charlesmbunda6759 11 месяцев назад
Ee Bwana Yesu, nikumbuke mimi katika Ufalme wako!
@user-tc1cw6un1b
@user-tc1cw6un1b 11 месяцев назад
That's amazing stely
@user-hg1mb1gh2i
@user-hg1mb1gh2i 10 месяцев назад
Hats Yesu hakuja duniani Kwa ajili ya wakamilifu!
@user-po5nk4wd1c
@user-po5nk4wd1c 10 месяцев назад
Kweli kabisa
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw 7 месяцев назад
Of course
@user-bt3wt6nt4z
@user-bt3wt6nt4z 3 месяца назад
Inawezekana 😂😂
@BelckEustace-di2md
@BelckEustace-di2md 10 месяцев назад
Linda sana moyo wako kuliko yote uyalindayo, Maana huko ndiko zitokako chemchemi za uzima. Itoshe kusema napoteza Imani ktk mienendo ya namna hii ndani ya makanisa. Ee Bwana okoa watu wako.
@alexisannick
@alexisannick 10 месяцев назад
Imana iguhezagire caaane
@anatoryjames4128
@anatoryjames4128 9 месяцев назад
Hacheni kujaji sana kila mtu mungu kampa kipaji chake uyo nabii sio kwamba hajui kuwaongoza Sara ya toba bali kawasogeza kimaisha kuna watu wanjifanya ni watakatifu kumbe waovu wachenu hao vijapa wapambane na maisha yao bhana
@godlistenlaban9933
@godlistenlaban9933 7 месяцев назад
Wakatoke kimaisha bila kutegemea Mungu.... Wasahau hilo... Hapa wamejifunga tiyari.
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 8 месяцев назад
Wakabe? Waibe? Waue? Hapana, hawa wamejiongeza katika kutafuta riziki kwa namna yao, na Mungu lazima awabless kwa namna yake, kupitia alichokifanya Geordavie hao machalii wameweka akilini kuwa hakika Mungu yupo, sasa wengine jikaririsheni maneno na mawazo yaliyojaa chuki wakati kula yenu tu ni shida. Glory to God
@christaeletlawe
@christaeletlawe 10 месяцев назад
Amen Amen I mtumishi Mungu akubariki mno Naona ni Kama njia yan gu inaenda kufunguka natamani Mungu anipe kibali Mungaji huyo anisaidie Ada ya mtoto wangu naamini Mungu Ana njia nyingi
@user-mk2sm4pw6r
@user-mk2sm4pw6r 10 месяцев назад
Kwani Huna mikono utafute pesa
@user-kf8hc5rt7k
@user-kf8hc5rt7k 9 месяцев назад
Barikiwa nabiii
@user-kt6ub3kh1l
@user-kt6ub3kh1l Месяц назад
Mungu haziakiwi, badala ya kuwaongoza Sala ya Toba ameona hela ndo kila kitu kuliko kuwaokoa na jehanamu😢
@AbdullaSeifKhamis-se9sc
@AbdullaSeifKhamis-se9sc Месяц назад
Amakweli hii dini Ya Pesa tu 😂😂 mwenye macho haambiwi tazama
@fainedamwai8156
@fainedamwai8156 7 месяцев назад
❤nakupenda buru nabii
@saimonmuhando
@saimonmuhando 11 месяцев назад
Hi nikali san sio kitu chakawaida😅😅😅,duh mungu na atusaidietu mwenyewe
@EmmanuelTate
@EmmanuelTate 11 месяцев назад
Mathayo 24:5 [5]Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi. For many shall come in my name, saying, I am Christ; and shall deceive many.
@bonabonala5559
@bonabonala5559 11 месяцев назад
kwa haya nabii mkuu nakuerewaga ira kwa kushabikiaga ccm hua nakuchukiaaga kumpa muuaji mkuuwakoa ambae leo nimbunge kwa sasa na kumpinga lema hua sikuerewi nabii nakuonaga kama mnafiki kama gwajima au mzee wa upako lusekelo niwatumishi wa shetana au watumishi wa pesa sio mungu
@boazimaganga
@boazimaganga 11 месяцев назад
Malaki 2 7 : Kwa maana yapasa midomo ya kuhani ihifadhi maarifa, tena yawapasa watu kuitafuta sheria kinywani mwake; kwa kuwa yeye ni mjumbe wa Bwana wa majeshi. 8 : Bali ninyi mmegeuka mkaiacha njia; mmewakwaza watu wengi katika sheria; mmeliharibu agano la Lawi, asema Bwana wa majeshi.
@user-de3vn9vv3n
@user-de3vn9vv3n 11 месяцев назад
Yani Mungu wa Mbinguni asimame tuu kututetea na afungue akili zetu
@ebenezermachange-zp4es
@ebenezermachange-zp4es 11 месяцев назад
Amen.
@ngombegeorge3577
@ngombegeorge3577 11 месяцев назад
Ukiwa unasali ,Sali kwa kweli na uwe na uwakika umeokoka na jehanamu , na kuona ufalme wa mungu si kilahisi watu wanavyozani ni hata sadaka usiweke mahalo popote unanapo , lazma ujue inaenda kufanya nini
@EmmanuelSanare-bc7si
@EmmanuelSanare-bc7si 8 месяцев назад
Amina🙏
@sasiNJ
@sasiNJ 11 месяцев назад
Awa machaliii hatariiiii😅😅😅
@hollymore4904
@hollymore4904 11 месяцев назад
Hii Ni Churchill show..Hakuna kanisa
@IgnasGregory-ed1lu
@IgnasGregory-ed1lu 10 месяцев назад
Kweli mkuu ✔️✔️
@user-xw9wo7nh6c
@user-xw9wo7nh6c 2 месяца назад
Chuga moja kila chuma icho makonda hapa kz hipo ndugu yng😅😅😅😅😅
@user-ec4br4pd3o
@user-ec4br4pd3o 2 месяца назад
😂😂😂
@abdallahamiri8527
@abdallahamiri8527 11 месяцев назад
Mkiingia ivyo msikitini mtapigwa bakora nyingi xana🤣🤣😂😂
@user-dq3fk1xn1e
@user-dq3fk1xn1e 9 месяцев назад
😅😅😅
@user-bt3wt6nt4z
@user-bt3wt6nt4z 3 месяца назад
Kwamba nyie mmekamilika au ndo xjaelewa?
@user-mi7yx8ew1k
@user-mi7yx8ew1k 26 дней назад
​@@user-bt3wt6nt4zkwamba nyumba ya mungu haichezewi kiasi hicho kbs mchungaj katulia msiifanye nyumba ya mungu kuwa kambi ya wanyanganyi
@user-eq2nq6os7v
@user-eq2nq6os7v 11 месяцев назад
True ❤
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 11 месяцев назад
Genge la waabudu mashetani at work. Kufanikiwa bila Yesu moyoni ni sawa na kufanikiwa kwa wapumbavu hakika kutawaangamiza.
@sarahmshanga9224
@sarahmshanga9224 10 месяцев назад
Usiseme nigenge lawaabudu mashetani kama hauna hakika, Mungu pekee ndio anamjua Kila mmoja moyoni mwake nayeye ndiye atamjibu Kila mmoja kutokana namatendo yake
@user-mk2sm4pw6r
@user-mk2sm4pw6r 10 месяцев назад
Mungu ndiye ajuayeee tusihukumuuu
@evaristkobelo3936
@evaristkobelo3936 8 месяцев назад
Wasaka tonge hawana mpango wa ibada
@oscarmbilinyi
@oscarmbilinyi 8 месяцев назад
Ngoja nichore tatuu ya nabii mkuu nipate mamilioni
@Vj_hAnss
@Vj_hAnss 7 месяцев назад
​@@user-mk2sm4pw6r na io ndio falsafa waliyotujaza ndio tiwape nafasi ya kutufanya watakavyo.,tafakari
@EmmanuelWaisse-s5e
@EmmanuelWaisse-s5e 28 дней назад
Watu watu jamani waache mizaha kwa lord tuache ku support mamb ya ajaabu
@fredrickmikera5998
@fredrickmikera5998 10 месяцев назад
Unajivika utikufu,Mungu alimwambia Musa kuwa hakuna mwanadamu awesome kuniona uso wangu akawa mzima na pia kutoka 20 anasema yeye ni Mungu mwenye wivu hawezi share utukufu na mwanadamu,ila wew mtoto wa ibilisi unajiita nabii mkuu.kati yako na Yesu ni nanj nabii mkuu
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 11 месяцев назад
Kuna namna mungu huwatoa watu kwenye giza😅😅😅 be blessed prophet
@sergiojunior-fk2md
@sergiojunior-fk2md 11 месяцев назад
Mungu amejibu
@user-bo3nt4ji2c
@user-bo3nt4ji2c 11 месяцев назад
Khaaaa nimecheka paka bas😅😅😅😅
@DeboraNgura
@DeboraNgura 11 месяцев назад
Huyo mwenye kofia nyekundu anapepea kma mwenyeji😂😂
@africanmitindo2160
@africanmitindo2160 11 месяцев назад
Devil at work 😢😢😢
@barakakiwangaog
@barakakiwangaog 10 месяцев назад
Noma
@charliechikopa5414
@charliechikopa5414 11 месяцев назад
Mbn amefanya jambo lamaana tu maaana kajua wanahitaj msaada wakifedha so nibora awasaidie kwakuwa yy amejaaliwa kwan pesa si kila kitu hapa dunian hao wkiamua kubadilika wataamua kwa matakwa yao ila amewaeleza kabisa kuwa kile kizazi hakitambui
@user-um8cw6ze6f
@user-um8cw6ze6f 11 месяцев назад
Asante 🎉
@myself4128
@myself4128 7 месяцев назад
baba Tumeona Ufalme wako😂😂😂 hii ni Misukule Inamuabudu Jamaa bila Kujua! hapo hakuna Atakayepona!malango ya Kuzimu
@felixsamford4168
@felixsamford4168 9 месяцев назад
Baba jo devi barikiwa sana mmi ni na shauku ipo ciku nitakuja kukuona kwa sasa nipo tanga baba hakika wewe ni mtetezi wa wengi
@hamadmohamedy
@hamadmohamedy 6 месяцев назад
Hatar kanisa limekuwa 😂😂😂😂 rege imbaaaaa ooo imbaaa yellloooo imbaaaa
@ElishaMosses-fn1qu
@ElishaMosses-fn1qu 10 месяцев назад
Appreciate more Honorable prophet Geor Davie
@myself4128
@myself4128 7 месяцев назад
Aliyekuroga Alishakufa wewe kapime akili au kaombewe na Watumishi wa Mungu unahitaji deliverance!!
@hellenkerubo4507
@hellenkerubo4507 9 месяцев назад
Ameeeeeen 🙏🙏
@GraceCelestin-ln3dp
@GraceCelestin-ln3dp 2 месяца назад
Kwani nyinyi hamuone ? Tupo katika siku za hatari, yesu hukaribu
@user-ry9yw6mn4x
@user-ry9yw6mn4x 3 месяца назад
Aminaaaaa❤
@raymondmagere4696
@raymondmagere4696 11 месяцев назад
Kusaidia nijambo jama sana maana mungu humtumia mtu mtumishi kuja kukusaidia sasa mungu naomba nikutanishe na mtu mwenye kunishika mkono
@Vj_hAnss
@Vj_hAnss 7 месяцев назад
😂😂😂 truly, poverty is deep
@elizabethswai7777
@elizabethswai7777 10 месяцев назад
Ipo cku,moja hiyo NEMA ya miracle money itanipata mil 100,mtumwa WA Jehova,nataka na mm niwe na canta langu na coaster yangu kama super woman,I trust in God,lv u nabii
@JofreyFaustin
@JofreyFaustin 10 месяцев назад
Oooo waaa ooo
@barakaomari8899
@barakaomari8899 10 месяцев назад
Allaah awahurumie sana , Alihamdulilahi tobe born as Muslim, huwezi kuta upuuzi kama huu msikitini
@victorianganyagwa2467
@victorianganyagwa2467 10 месяцев назад
CYO wkrist wote wanafanya hvy hilo ni dhehebu Tu Roman Catholic Aglican KKT uez kukut km hvy Hao waliokuja n kujiita manabii nd wanaouchafua Ukrto kw kujfich ktk ukrito
@jeniphermyingajeniphermyin8029
@jeniphermyingajeniphermyin8029 10 месяцев назад
Siyo makanisa yote lkn
@jeniphermyingajeniphermyin8029
@jeniphermyingajeniphermyin8029 10 месяцев назад
Hawezi kukosea mmoja alafu wakaitwa wakrito wote wakp hivyo hapana,niwao tu
@user-bt3wt6nt4z
@user-bt3wt6nt4z 3 месяца назад
Umesikia kuwa nyie waislam mmekamilika?😮😮
@lucasmabuli4786
@lucasmabuli4786 6 месяцев назад
😢😢😢😢Inauma saana tuombe sana MUNGU atufumbue macho
@CindyKatila-fc5zw
@CindyKatila-fc5zw 11 месяцев назад
Ameeeen
@KelvinDickson-cd6tr
@KelvinDickson-cd6tr 5 месяцев назад
Aiseeeeeee🎉
@christopherwalalaze
@christopherwalalaze 3 месяца назад
Amen
@user-js5io7sf5f
@user-js5io7sf5f 9 месяцев назад
Ama kweli hii sio sawa
@user-qo9dg4xk6j
@user-qo9dg4xk6j 8 месяцев назад
Nimejikuta nalia😢kwafuraha mungu anawatow watu waishi kwaajili ywwengine
@user-um8cw6ze6f
@user-um8cw6ze6f 11 месяцев назад
🎉🎉🎉
@EsterShirima-vr7cv
@EsterShirima-vr7cv 2 месяца назад
Uhakika nimekukubali nabii
@paulkidula1663
@paulkidula1663 11 месяцев назад
🤣🤣🤣😂😂chugga kama chugga
@HumphreyNyamoga
@HumphreyNyamoga Месяц назад
Jaman mpaka kanisan
@amanihare21
@amanihare21 9 месяцев назад
Hapa niuongo mtupu! Hakuna Mungu ndani yake!! 👉Hivi🤭🤭!!
@erickbenjamini8154
@erickbenjamini8154 11 месяцев назад
Nabii Mkuu hao vijana Mungu kawaleta kwako waokolewe waombee Toba baba
@HalunaSilwamba-gd6cn
@HalunaSilwamba-gd6cn 10 месяцев назад
namba za nabii mkuu naomba nisaidie nashida
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 3 месяца назад
Country hilo
@user-um8cw6ze6f
@user-um8cw6ze6f 11 месяцев назад
Asante
@user-zu7jd2uq8k
@user-zu7jd2uq8k 4 месяца назад
Love you my dady
@odalomary5446
@odalomary5446 10 месяцев назад
Kanisa la maokoto ila mbona waumini wake..awapi ayo maokoto 😂😂😂
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 11 месяцев назад
god have mercy of this churchu we are on the end time
@amanijampion3045
@amanijampion3045 10 месяцев назад
And you should remember God has got no definition
@pendokatonge3926
@pendokatonge3926 7 месяцев назад
Mmmhh ngoja ninyamaze.😭😭😭Dunia imefika hapa vioja tunvyoviona leo na bado
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 11 месяцев назад
Shetani mkubwa hakuna kanisa hapa
@anesansibert2968
@anesansibert2968 11 месяцев назад
Bora wew umeliona hilo
@josephlorri431
@josephlorri431 11 месяцев назад
Mungu wetu ni anayegusa maisha ya wahitaji...mimi sio anayeamini kwa Kanisa hilo,lakini kuwajali na kuwakaribisha vijana kama hao ni jambo jema
@mwinjilistiaristidesmeja1834
@mwinjilistiaristidesmeja1834 11 месяцев назад
Siku nyingine leteni na mashoga na wasagaji maana mamiss tayari mmeisha leta
@heritier5119
@heritier5119 11 месяцев назад
​@@mwinjilistiaristidesmeja1834 Awazuiliwi kuingia Kanisa Kanisa ni kwa ajili ya wenye dhambi
@DuniaDjuma-ff9rl
@DuniaDjuma-ff9rl 11 месяцев назад
Dahhh😢😢
@ellymartin9343
@ellymartin9343 10 месяцев назад
Huyu mtu anachochea sana mmomonyoko wa maadiri, yeye pia ni kizazi cha ajabu sijawahi kuona wala kusikia. Mambo ya Mungu yupo mbali nayo mno.
@Excel-Elevation-School
@Excel-Elevation-School 7 месяцев назад
Me naona hachochei soma biblia vizur mfano Hosea 3:1 uje na Majibu Nabii Mkuu anachochea nn.
@DONALDYOWAS-rr7tz
@DONALDYOWAS-rr7tz 2 месяца назад
😂😂😂😂😂 siopw kàbisa
@eliyahango4278
@eliyahango4278 11 месяцев назад
Hii Ni Safi ,hawataacha kuja tena😂😂😂
@sofiasofia7557
@sofiasofia7557 9 месяцев назад
Kwani huyu jamaa yy anapata wapi hela nyingi kiasi hicho🙄🙄
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 8 месяцев назад
Tunatoa sadaka 😂😂😂
@joycenganyule3231
@joycenganyule3231 Месяц назад
Sadaka watoazo waumini
@chadotv257burundi9
@chadotv257burundi9 10 месяцев назад
Nakupenda sana nabi mkuu
@AmosiKameleNdabagiliye
@AmosiKameleNdabagiliye 7 месяцев назад
Hivi wewe unamjua nabii mkuu,au humjui,ama kweli ni nyakati za mwisho.
@immasoi384
@immasoi384 11 месяцев назад
Kemea mapepo yawatoke. Sio kuwapa hela ambazo hazitawasaidia kwa ufahamu walio nao.
@HildaAkili-wt3sd
@HildaAkili-wt3sd 11 месяцев назад
Akiba haiozi
@IsaacMahenge-mi4jz
@IsaacMahenge-mi4jz 10 месяцев назад
😅huyo kukemea pepo sidhani kama anaweza fanya ivo ila kugawagawa vijicent hiyo ndo fani yake
@user-nb5hy1jn2u
@user-nb5hy1jn2u 9 месяцев назад
😂😂😂hii imeenda Tena imeinda kwel kwel Yan sehem yakumuabudu imegeuka video show
@FrankMkome-df9bn
@FrankMkome-df9bn 2 месяца назад
mchungaji ubarikiwe
@EliaMwashibanda
@EliaMwashibanda 9 месяцев назад
Kanisani ni mahali pa matengenezo nikama gereji mwache Bwana atengeneze watu wake
@zawadijuma9681
@zawadijuma9681 8 месяцев назад
Wamepata ya bangi😮
@KifmboKifimbo-qh2ze
@KifmboKifimbo-qh2ze 10 месяцев назад
Mungu waongoze man tunajuwa kam Hujuw unacho kifanya
@seiflugendo7141
@seiflugendo7141 10 месяцев назад
Vijana hiyohela nategemea nitawakuta na K vant,bar.
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 10 месяцев назад
FAIDAN KANISANI WAPI,,,HAO WASHAJICHUKULIA CHAO WANASEPA
@josephmusagasa5566
@josephmusagasa5566 10 месяцев назад
Hili kanisa sikuwahi kulisikia wala kuliona kipindi cha Yesu. Shetani amevuruga vichwa vya watu
@richtarimo4470
@richtarimo4470 10 месяцев назад
Nabangi iuzwe bei rahisi😅😅😅😅 chuga
@aneciakatenenga606
@aneciakatenenga606 11 месяцев назад
Mmetixh San mje na aruxh
@janethedward4631
@janethedward4631 11 месяцев назад
Mimi naona kafanya jambo la msingi tu maisha magumu ajara akuna sasa jamani km mtumishi wa MUNGU kaguswa lazima atoe kutoa ni moyo na si utajiri wchungaji wangapi wapo Tanzani ata kusaidia watu akuna binafsi Mtumishi wa MUNGU mimi nakuombea MUNGU akupe Maisha marefu yenye Amani na Upendo km moyo wako ulivo na unavo toa akuzidishie mara 💯
@EzekieliSMasaiMoleli
@EzekieliSMasaiMoleli 10 месяцев назад
❤❤
@solomoneglesias9752
@solomoneglesias9752 11 месяцев назад
Nyoka 🐍 uyu APA yaaan ibilisi live🤣🤣🤣🤣🤣
@jackytingatinga2799
@jackytingatinga2799 10 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Mungu tusaidie
@richardedwin5933
@richardedwin5933 10 месяцев назад
Noma kwa kweli
@kijakazinyalinga7003
@kijakazinyalinga7003 11 месяцев назад
😂😂hili sio kanisa ni jumba la maigizo
@elizabethjakobo279
@elizabethjakobo279 11 месяцев назад
MUNGU akuzidishie uwezo baba
@loner_wolf
@loner_wolf 9 месяцев назад
Mchungaji angekuwa na imani ya mungu kweli kweli na mcha mungu wa dhati kutoka moyoni mwake hakika hao vijana angewapa mawaidha na wangewaidhika na kuwa waumini wa kweli , lkn amewapa pesa na kuwaombea tu waendelee ktk uendawazimu wao .
@EmatashiTashi
@EmatashiTashi 8 месяцев назад
Uwezi kuzuia kipaji Cha mtu
@olivernyange2349
@olivernyange2349 10 месяцев назад
Ukiingia deep sana utaonea waafrica huruma,kigezo cha dini mmmmmh
Далее
NDARO HUYU NIWANGU WEWEEE STEVE STEVE
16:16
Просмотров 998 тыс.
MSANII CHID BENZ KWA NABII MKUU - GeorDavie TV
3:19
Просмотров 48 тыс.