Тёмный

DIVA Akionesha NDANI kwake HADI CHUMBANI/ Anaishi KISTAA kama ZARI/ HAPIKI/ HAFUI 

Rick Media
Подписаться 874 тыс.
Просмотров 339 тыс.
50% 1

Rick Media tumepata nafasi ya kutembelea nyumbani kwa aliyekuwa mtangazaji wa Clouds Fm DIVA THE BOSS ametuonesha muonekano wa nyumba yake mwanzo mwisho mpaka Chumbani kwake
...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram www.instagram....
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#DIVATHEBAWSE #STAA

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1,4 тыс.   
@julianelusubiro4655
@julianelusubiro4655 3 года назад
wangapi wamechukia kama mimi tujuane hapa,yaani mwanamke anajisifia ujinga hata aibu hana
@felisterjuliushoma4290
@felisterjuliushoma4290 3 года назад
Mimi😚😚😚😚
@marthaswebe2697
@marthaswebe2697 3 года назад
😂😂😂😂 hatumii mikono kwa anything anaoga na kuvaa kwa kutumia miguu
@fatumayusufu1706
@fatumayusufu1706 3 года назад
@@marthaswebe2697😂😂😂😂
@zainabubakari8489
@zainabubakari8489 3 года назад
Huyu demu huyu kujishaua tu duh
@zainabubakari8489
@zainabubakari8489 3 года назад
Anakera huyu mkundu mashauzi kibao alf hamna kitu et cwez tumia mikono kwahy unatumiaga k,fyuuuu
@marianaramadhani9831
@marianaramadhani9831 3 года назад
Wenye mnasoma comments Kama mm nakucheka like hapa tafadhali...😂😂😂😂😂😂😂
@zainabubakari8489
@zainabubakari8489 3 года назад
Nipo hapa my
@najmagudeh203
@najmagudeh203 3 года назад
Pmja
@mwajabushaban6825
@mwajabushaban6825 3 года назад
😂😂😂😂😂
@happyqueenf
@happyqueenf 3 года назад
🤣😅
@sumadashsumadash7342
@sumadashsumadash7342 3 года назад
Marian wee ni mwanamke mm nikakaako tu huenda nimkubwa kwako ama ni mdogo kwako ukiachilia mbali anakipaji sana huyu Diva cha utangazaji hivi ukiniskia nakuambia dadaangu Mum ninataka kumuoa huyu Diva ww kama dadaangu utanishaurije?
@claudiangowi9585
@claudiangowi9585 3 года назад
Aiseee pole Dada, maisha yakawaida mnoooo lakini una mashauzi hivyoooo duh!!!
@kisalaTV
@kisalaTV 3 года назад
Ata mimi anipati ata atoke anakimbia anipati, hivo vitu sawasawa na vyageto
@rahmaabubakarisaanatu1961
@rahmaabubakarisaanatu1961 3 года назад
Yaani hope less hana la ajabu lolote ni mlala hoi tu. Nahisi hata kuupika uji wa mgonjwa tu ule wa chumvi anashindwa , alichofundishwa na wanaoishi nae ni kupaka make up usoni tu. Kitanda chenyewe km cha house boy, Jmn kiukweli hy nae wakujifananisha na zari!!! Hata km ni mganda Zarina anajimudu mwnmk wa kiganda
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 3 года назад
Hana lolote Huyu kigagula.
@moviehub3251
@moviehub3251 3 года назад
😀😀😀😀😀Dada ana drama huyu dah
@aminahussein7661
@aminahussein7661 3 года назад
Kanichefua
@sarahbitalian7572
@sarahbitalian7572 3 года назад
Ni mimi tu ndo sijaona kitu cha maana hapo au roho yangu mbayaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@fadhilalukindo1659
@fadhilalukindo1659 3 года назад
Hata mm sijaona chochote hapo kiukweli vyote vya kawaida tu,au hiyo mashine yakufulia ya laki nne na nusu hahaaaaaaa
@salmanassor6368
@salmanassor6368 3 года назад
Hahaaaaa mbona wakorofi ivo jaman
@edinamahambo3485
@edinamahambo3485 3 года назад
Mbna pa kawaida sana jmn wapo walio vzur ndan kila ktu kpo kujishaua tuu 😂😂😂😂😂
@halimamayunga1911
@halimamayunga1911 3 года назад
Hahahaa sio mbaya
@nellymatalanga5033
@nellymatalanga5033 3 года назад
Heehe watasema una wivu but uko tusawa kwanza hilo jiko lake hata bafu la zari ni kubwa dah!!
@boke9196
@boke9196 3 года назад
Tunaosoma comment tujuane hapa 😂😂😂
@dexstarbullet5024
@dexstarbullet5024 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 inabidi tusome tu comment maana huyu Sista anajikuta mshua sijaona
@bobjohn9606
@bobjohn9606 3 года назад
@@dexstarbullet5024 mimi nipo
@winnienyimbi5031
@winnienyimbi5031 3 года назад
Nip na mm wakusom ila amezid kujisifia kaaa
@adidjauwimana7475
@adidjauwimana7475 2 года назад
Kuona jikoni nimeanza comment
@scholasticajackson6760
@scholasticajackson6760 3 года назад
Anaongea yeye mi naona aibu, 🙈🙈🙈🙈
@janethfredrick9161
@janethfredrick9161 3 года назад
Hahaaa hata mimi naona haibu
@tinkiboniface3342
@tinkiboniface3342 3 года назад
Afu ata Mimi sijui why hiv Kuna ulazima afu anasema hee mnashoot adi choon jamn wakat ndo anataka Ivo tujue dah
@angelamarlow510
@angelamarlow510 3 года назад
Hata mm duh
@zubedanyamsha1971
@zubedanyamsha1971 3 года назад
😹ad mim jmniiii being a woman hana analoweza ,
@scholasticajackson6760
@scholasticajackson6760 3 года назад
@@zubedanyamsha1971 mpuuzi tu huyo
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 3 года назад
Diva my dear girl mimi sio maarufu but kuanzia nyumba, vyombo,magari adi kupika nakuzidi. Unachonizidi ni huo weupe wa macream ya elfu hamsini. DAMN
@lucymasanja2947
@lucymasanja2947 3 года назад
Umenisaidia ata mm pia
@Beingme2024
@Beingme2024 3 года назад
Tuko wengi
@fatmahobah1042
@fatmahobah1042 3 года назад
Mm hata rangi namzid
@Atb300
@Atb300 3 года назад
Tell her
@jacquelineneema6117
@jacquelineneema6117 3 года назад
Hahahaa ila wewe
@neemaponera2037
@neemaponera2037 3 года назад
Chama cha wasoma comments mna Hali gani? 🤣🤣🤣🤣🤣
@ashuraumari1322
@ashuraumari1322 3 года назад
2po powa tunamuangalia maravi davi ajui kupika ila kitandani mkali😂😂
@jenifajuma5395
@jenifajuma5395 3 года назад
😀😀😀😀
@mgenisaid4499
@mgenisaid4499 3 года назад
Hana lolote hovyo kabisa
@betinamfugale3185
@betinamfugale3185 3 года назад
Najuta kumaliza bando langu
@Storm_bera103
@Storm_bera103 3 года назад
Poa tu tuna pita nazo
@tumahamza8972
@tumahamza8972 3 года назад
So sad such a girl prouding her self for being stupied. Ndio maana alitaka kujiua maana tabia hizi hakuna mtu ataweza kuishi nawe. Pole sana.
@marianapatrick5993
@marianapatrick5993 3 года назад
Jaman😎mambo mengine niyakuacha tu
@melensianakemanzi8325
@melensianakemanzi8325 2 года назад
Ahahahaaa jamani ata chupi anafuliwa uyu na ya mmewe
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 3 года назад
Yani mimi ni mwanaume bachelor lakini ndani kwangu ni kusafi kuliko nyumba ya mwanamke huyu asie jielewa daah kumbe kuna wanawake wachafu kuliko sie wanaume shkamoooo DIVA 😂😂🤣
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 3 года назад
😂😂😂
@saumsalim9966
@saumsalim9966 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣Ulkua hujui
@mariumpius9014
@mariumpius9014 3 года назад
😂🤣🤣 leta video yako
@user-me3ee4fu8w
@user-me3ee4fu8w 3 года назад
Wacha wivu nawe uchafu uko wapi kwa hio nyumba
@beatycosta9306
@beatycosta9306 3 года назад
Mbona co kuchafu jaman
@agriparose3942
@agriparose3942 3 года назад
Maskiniii Bora ukose pesa sio akili huyu vipi
@kombawinnie
@kombawinnie 3 года назад
Mchafu hata cjui anajishaua nn
@lucycronery2840
@lucycronery2840 3 года назад
Sijawahi ona mwanamke mpumbavu kama huyu Dah Zero brain
@ummykhanifa962
@ummykhanifa962 2 года назад
Mnawivu mpaka mnakera ukiona mwenzio kabarikiwa sema masha Allah pia umshukuru mungu
@shyakaeric2444
@shyakaeric2444 Год назад
Kabarikiwa nn? Hivo vitu kama.hauna nyumbani bac we ndio wa kumusifia ila sisi hatuna cha kusifia hapo
@ericklibaba1198
@ericklibaba1198 3 года назад
Viumbe vya Ajabu Kama Huyu ndio maana Harmonize anawaita WASHAMBA... 💥
@josephinajosephu6859
@josephinajosephu6859 2 года назад
Aiiiiii🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃🏃
@shekinahmurhububa7980
@shekinahmurhububa7980 2 года назад
Exactly what's is ??
@elizabethswai9670
@elizabethswai9670 3 года назад
Duh,Mm nichokoraa wa bariadi simiyu ila namzidi mavituuu huyu mwanamke mpuuxi,wa kawaida mnooooo
@verynicesamwel3312
@verynicesamwel3312 3 года назад
😁 😁 😁 😁 wapi watoto wa Bariadi Simiyu
@sandramwangi7231
@sandramwangi7231 3 года назад
Kuna muda inabidi tuwe na heshima kidogo, huwez mfananisha huyu dada na Zari. Zari ni mwanamke na nusu
@aminahussein7661
@aminahussein7661 3 года назад
Uyu sio mwananke uyu kahaba
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 2 года назад
Zari ni mwanamke na mpishi pia...💖
@aminathakirumbi3210
@aminathakirumbi3210 2 года назад
Kabissa diva ni bonge la ruzza
@edwigamassawe4321
@edwigamassawe4321 2 года назад
Kweli KBS,,huyu dada hajitambui
@priscambwambo1030
@priscambwambo1030 2 года назад
Zari sijui ni muntere ni mwanamke shujaa aliejua kutafuta pesa sio hao wadangaji
@anithaflorian1157
@anithaflorian1157 3 года назад
Sijui nta acha lini tabia ya kusoma comment😂😂😂
@florabaruti8032
@florabaruti8032 3 года назад
Tuko wengi
@jamilajumanne9561
@jamilajumanne9561 3 года назад
Hyo mm kabsa
@faithgeophrick5824
@faithgeophrick5824 3 года назад
Haha
@esthercharles5945
@esthercharles5945 3 года назад
🤣🤣
@eliashope1484
@eliashope1484 3 года назад
Haaaahh
@fatmamwanyangasi6498
@fatmamwanyangasi6498 2 года назад
You're very proud of telling us kuwa hujui kupika wala kufua...wanaume hapa piteni sipo pakuowa kabisaaa...
@eppiemodest
@eppiemodest 3 года назад
Ubarikiwe kwa kuwakumbuka yatima. Utapata mara dufu. Nakupenda sana kwa shughuli zako
@dicksonmaginga1376
@dicksonmaginga1376 2 года назад
Ukitaka.kumsaidia mtu sio lazma utangaze
@salmaluhombero8466
@salmaluhombero8466 3 года назад
Beautiful house asante kwa tour wewe ni kama uko mtoni wow
@mayungakikunda1442
@mayungakikunda1442 3 года назад
Haya maisha ya kawaida Sana anaishi nimeangalia jikoni tu na sijaendelea
@Theraldylaniscool
@Theraldylaniscool 3 года назад
She has a few things in a big house( I mean for a single lady) but they are all scattered around. A very disorganized lady. How can she arrange her stuff yet she doesn't do house chores?i pity her.....
@estersteven8772
@estersteven8772 2 года назад
And she is very proud of it by the way
@nuuringoogle4104
@nuuringoogle4104 2 года назад
I like her 🙏🏽🙏🏽becouse she have no fake life
@mwajumakhamiss9764
@mwajumakhamiss9764 2 года назад
Diva uko vizur sana. Mungu akubariki kwa kuhudumia watoto Yatima
@sitiabubakar2892
@sitiabubakar2892 3 года назад
Umeamka ukaenda kwenye kioo kujipamba nyumba yatoa mabuu chafu no wonder huna Mwanaume utamfanyia nn kupika zero usafi zero tabia ziro mavazi zero toka apaaa....utazeekea pekeako tafta kungwi akufunde
@thebosslady4597
@thebosslady4597 3 года назад
yan hana ata aibu jaman sisi wanawake tukiyapatia maisha tunajishauwa sana wakati hakuna raha kama kujipikia
@sitiabubakar2892
@sitiabubakar2892 3 года назад
@@thebosslady4597 ati atuonyesha nyumba au atuonyesha uchafu wa nyumba ovyoo
@bisalama4064
@bisalama4064 3 года назад
Ka
@mercyshakyz8707
@mercyshakyz8707 3 года назад
Imagine nyumba iko unarrange chafuu hadi anaona Aibu wasishoot...mxeeeeew uvivu na uchafu vinachangia
@hadijasaidi7709
@hadijasaidi7709 3 года назад
@@mercyshakyz8707 mshoti mdamlefu jamani mdada hahaha kufanya usafi hili jinga hili sijui nywele za naniihi anatokea na mada uzungu huu limbukeni hana maalifa
@bellabakera
@bellabakera 3 года назад
It is a shame. You need to know how to cook not for anyone but for your own health. Vyakula vya si deal
@joycefelix9047
@joycefelix9047 3 года назад
Anakudanganya bhana...anajus sana
@bellabakera
@bellabakera 3 года назад
Shame on her kama anatoa info za kipuuzi kwaajiri yakeí
@lilianmathias5786
@lilianmathias5786 3 года назад
Mmh Ila ww Ni mchafu jmn kikapu adi kitandani
@aminathakirumbi3210
@aminathakirumbi3210 2 года назад
Huyo dada ambaye anazungumziwa hapo analipwa bei gan lbda
@julitabonganda2167
@julitabonganda2167 3 года назад
🤣🤣🤣nimerudi hapa kwa diva baada yq kuangalia nyumbani kwa Nicole 🤣🤣
@maryamukabala375
@maryamukabala375 3 года назад
😂😂😂😂 nicole ni levels nyingne jmn her house ni 🔥🔥
@renny6132
@renny6132 3 года назад
The house is supper empty, raf, disorganized.......yaani weird 😕😕
@marianapatrick5993
@marianapatrick5993 3 года назад
Ni kweli kabisa
@mariammwaimu4552
@mariammwaimu4552 3 года назад
😂😂😂😂😂wonders shall never end
@uwitekamimy3431
@uwitekamimy3431 3 года назад
Nyumba tu ndo kubwa hapo ila hamna vitu vya hatari 🤔😂 Na vurugu kila mahali au ndo uchafu 😢 Maringo tu nyoooo 🤣🤣
@camilajohnson9059
@camilajohnson9059 3 года назад
Thank you for being you
@du8284
@du8284 3 года назад
SIJAONA CHAKUKIONESHA HAPO, KAWAIDA SANA TU.
@mussamivache4986
@mussamivache4986 3 года назад
Diva nimchafu jmn kumbe acjifanye kila kitu dada wa kazi anamajisifu ila kwa hadiapo ana asili ya uchafu kiufupi ajiwez aiwezekani nyumba ikawa rafu hivyo kama anahishi msela
@maurisiaatilio8439
@maurisiaatilio8439 Год назад
😂
@ungwamwanga8262
@ungwamwanga8262 3 года назад
Kama umesikia boyfriend wa Marekan gonga like 😂😂😂😂😂
@martalositotiktok6590
@martalositotiktok6590 3 года назад
Na waujerumani
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 года назад
Yani nimecheka kweli. Eti Marekani thubutuu
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 года назад
@@martalositotiktok6590 mbavu zangu. Na uchafu ule amtake nani
@ericklibaba1198
@ericklibaba1198 3 года назад
Hawa ndio aina ya wanawake wanaosababisha jina la kwa mpalange lisipotee Tanzania... Anaonekana anacheza nyuma ya uwanja husika...
@zawadingowi5748
@zawadingowi5748 3 года назад
Ahaaaa
@melensianakemanzi8325
@melensianakemanzi8325 2 года назад
Ahahaaa nimecheka sana mie baba wewe
@MichaelStewart-cl3fo
@MichaelStewart-cl3fo Год назад
Mhahahahaaaa😅
@believesalatiely1514
@believesalatiely1514 3 года назад
😂😂anaelezea historia ya maisha yake cjui tumpigie makofi simuelew😂😂limbuken huyuu daaaah
@faynestomath641
@faynestomath641 3 года назад
Sanaaaa limbukeni hili
@sameerarashid4641
@sameerarashid4641 3 года назад
Sanaaaa
@asnate8493
@asnate8493 3 года назад
Jamani luga yetu ya kiswahili inaaribiwa hivi. Hakuna cha maana kwenye hii video. Natamani kuwa Tanzania niishi maisha simple ya nyumbani na kufutahia nature.
@lemalily9897
@lemalily9897 3 года назад
Aibu ya mwaka🤗🤗
@colethamkasa5821
@colethamkasa5821 3 года назад
Mm nimeleewa, mtu jidai na ulichonacho bhana...eeeeh muachen mdada wa watu
@hbabe5320
@hbabe5320 2 года назад
Nyumba Zuri ,yakawaida🤩Next time dada Diva mwabie mfayakazi wako a fanye usafi before the camera shooting🤩 but at least you are real👏👏👏🥰.
@kubrymtutala9574
@kubrymtutala9574 3 года назад
Aliyeiona sabuni ya Jero kwenye Transparent mfuko kama mimi Gonga Like hapa😂😂😂
@christinajmnkenyi724
@christinajmnkenyi724 3 года назад
We sio kwahayo macho hahahaaa
@ezekielmgaya9783
@ezekielmgaya9783 3 года назад
Alie ona Mafuta ya alizeti nusu apige like
@btylove1870
@btylove1870 3 года назад
😂😂😂😂😂 Nimecheka tu sitaki zambi mimi. Diva mama tafuta msaada wakitaam umestack kichwani kwako kuna mushkel!
@kurianprincess9022
@kurianprincess9022 3 года назад
Good English Diva
@esabelfadhili8432
@esabelfadhili8432 3 года назад
Nice life..Live the way you want baby gal!Pazuri na pasafi haswa,nimependa jiko simple
@glorylimo8695
@glorylimo8695 3 года назад
Yooouuuuu 😁😁😁jaman embu tujifunze kua na productive mind tuache drama jaman..Mimi nilijua kua... !!!!.dah kwel maisha ya Instagram and redioni yanadanganya Sana..
@aishaabubakar8598
@aishaabubakar8598 3 года назад
Hahahhahahaa wangapi wamecheka sana kuskia yule mdada hajaja leo hahaha mwanamke mpambe wa mwili tu ndani ndarandara ndio maana mimi nampenda sana Zari
@ashuraumari1322
@ashuraumari1322 3 года назад
Zari noma ashindanishwi. Na msanii yoyote hapa tz kwa kila kitu kupika usafi ulezi wa watoto namengine kibao🌹
@gattyesther7024
@gattyesther7024 3 года назад
Huwezi mlinganisha zari na huo uchafu
@neemamaulidi4444
@neemamaulidi4444 Год назад
Hongera Sana dada umejitahidi san
@davidmwango9388
@davidmwango9388 3 года назад
hutumii mikoni in everything...unachambia mashine pia 😀
@happinesszuberi7364
@happinesszuberi7364 3 года назад
🤣
@wahiduitsverycommentmane5421
@wahiduitsverycommentmane5421 3 года назад
Huhuhuhuhuhhhh imagine
@nicemarymollel634
@nicemarymollel634 3 года назад
😜😜😜
@dicksonmdagachule3592
@dicksonmdagachule3592 3 года назад
Haha umewaza mbali
@lilianmyenda6331
@lilianmyenda6331 3 года назад
😅😅😅😅😅
@ashulamusin9811
@ashulamusin9811 3 года назад
Diva anapenda kujichetua huyu yani mungu angekujalia ukapata MTT nahisi huo wehu wako utapungua
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 3 года назад
We bwege eti anaishi kama Zari?nyumba za kupanga?
@jeyshillyjack4470
@jeyshillyjack4470 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@halimahalima5802
@halimahalima5802 3 года назад
Haha
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 года назад
Kumbe kapanga. 😂😂😂😂😂
@winfridaagidy1844
@winfridaagidy1844 3 года назад
Haswaa ajilinganishe na zari mtu kapanga🤣🤣🤣🤣
@anethbensoni700
@anethbensoni700 3 года назад
Nakuzidi mbari kwanza we nimchafu sana vitu vipo hovyo lakin unifikii hata robi
@zunaidaseif8741
@zunaidaseif8741 3 года назад
Mchafu daah.. Sasa huwez clean hadi dada
@jenifalasway3089
@jenifalasway3089 2 года назад
Bwana zar anampangilio wa nyumba yake sio huu upuuzi mnaotuonyesha
@catharinacostantine3429
@catharinacostantine3429 3 года назад
Sio wivu lkn wa kawaida tuu mbon unajua Kuna mtu Ana kuonesha life style take ya nyumban mpk usiku unashindwa kulal ukifikiria n Lin utakuwa na ww hivyo😳
@saadacharasaada1958
@saadacharasaada1958 3 года назад
Haaaa akija dada 😀😀😀😀
@saudafakir5421
@saudafakir5421 2 года назад
Ukisaidia mtu usiseme deep in ur heart u know what u are doing pia don feel proud bado sana
@aishahassan9812
@aishahassan9812 3 года назад
Mhhh Mambo ya wanawake wanawake Unavyomuongelea yule dad🤣🤣🤣🤣🤸 kaz sana Honger mway
@maimunaulotu2075
@maimunaulotu2075 3 года назад
Mungu akusaidie na akuhurumie
@dorislaizer8196
@dorislaizer8196 3 года назад
Kila kitu akija dada duh 😭
@rahmaawadh9411
@rahmaawadh9411 3 года назад
Anaona aibu anajitia oohh akija dada kweli ata kama ndio uzungu huyu kazidi nyumba haiko shagala bagala 🤣🤣🤣sijaelewa kitu mm nyumba nzr lkn manguo yako chini mweeeeee mtihani kwakweli
@rayambarouk9972
@rayambarouk9972 2 года назад
Ushsmba tu kwa nyumba gan nyumba yakawaida sana tena sana wala siyakupenda mtangazaj
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 года назад
I really like you Diva but hapo uliposema eti hufui wala hupiki am speechless 🇨🇭
@bertinaafonsorapaz8345
@bertinaafonsorapaz8345 3 года назад
Vituko kweli,sijaona cha ajabu,,afadhari hata nyumbani kwangu.
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 года назад
Kabisaaa
@lizzydiy4590
@lizzydiy4590 3 года назад
Kaabisa
@Sppah697
@Sppah697 3 года назад
Mbona Nyumba an vitu vyake ni vya kawaida sanaaa! Hata kaa afike Zari’s standard! Anajishauwa. Zari mwenyewe na utajiri wake anajituma kupika ndo maana Zari is the super Woman. Diva huna lolote ushamba tuu! Hakuna cha zaidi hapo mambo ya kawaidaaa kabisaaa! Low life!
@jumannesimba7891
@jumannesimba7891 3 года назад
nani ameona minyama uzembe
@dinajonas5566
@dinajonas5566 3 года назад
I have another jiko, nguo za yatima unapeleka kweli au unajikosha dada
@marysaituni4584
@marysaituni4584 3 года назад
Kawaida sanaa
@hawababuu4350
@hawababuu4350 3 года назад
I have never seen a foolish woman like this in my entire life... May God have mercy. 😂
@fadhilamohamed8304
@fadhilamohamed8304 3 года назад
Kumbe umeona kama nilivyoona mm
@melensianakemanzi8325
@melensianakemanzi8325 2 года назад
Mimi sijaona mshamba kama uyu na English za broken awezi kunyoosha sentensi alafu anajishaua du kumbe ambao atujapata ngazi ya kupanda juu kazi tunaweza kufanya maofisini
@senjabakari7715
@senjabakari7715 2 года назад
Mnyonge mnyonge ana English nzuri sana
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 3 года назад
Lkn mie nampendaga diva pamoja nakumchamba kotee. Msamehen.atajirekebisha🥰
@bertinaafonsorapaz8345
@bertinaafonsorapaz8345 3 года назад
Huwa hajari wala nini😂😂😂
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 3 года назад
@@bertinaafonsorapaz8345 umeonaeee
@saumsalim9966
@saumsalim9966 3 года назад
Atajrekebisha Lin mama Zima hyo apo alpofkia Ata chumba kaogopa ety mcingie uko kko rough 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@irenewilbard2513
@irenewilbard2513 3 года назад
😂😂😂😂 namm nisiwe mnafki aisee nampendaga hivyo hivyo na mambo yake😂😂😂😂😂.. ananifurahishaga Sana na vituko vyake😂😂😂😂😊😊❤️❤️❤️❤️
@marymamntine1909
@marymamntine1909 3 года назад
Hawez kuchukiwa na wote
@queenwilly6076
@queenwilly6076 3 года назад
Mmemuelewa😅Kama amuelew Kama Mimi like😅
@aminaabeid1735
@aminaabeid1735 3 года назад
Ni mchafu uyu dada km si awo wadada wakaz angekunya ata chumbani uyu hhhhhhh loh
@karamanazareno1556
@karamanazareno1556 3 года назад
😂😂😂🙌
@patricianjambi2933
@patricianjambi2933 3 года назад
Jamani😂😂😂
@gaudensiajulius9815
@gaudensiajulius9815 3 года назад
😅😅😅
@lizzydiy4590
@lizzydiy4590 3 года назад
Mi ni mchafu ila huyu dada kanizidi ivyo vioo uko bathroom vichafuuu fingerprint kama zoote
@fatommmaff705
@fatommmaff705 3 года назад
Kuna mwenzio alikua namali magar majumba pes atimae jana kaungua kama mkaa kilakitu kakiacha sasa iyo nisifa niujinga
@abelmshanga7519
@abelmshanga7519 3 года назад
Huyu dada ni kinyaaa
@fatommmaff705
@fatommmaff705 3 года назад
Kwakwel nyumb ikorafu hapiki wala hanyi
@floraflora9490
@floraflora9490 3 года назад
Haki mwambie askie
@florencealbat6649
@florencealbat6649 3 года назад
@@fatommmaff705 hahahaaaaaa weweweeeeeeee anakunya Huyo tena harufu ya apo utakimbia
@mariammose7329
@mariammose7329 3 года назад
Mwanamke kutojua kupika ni aibu
@doreenmalesi6039
@doreenmalesi6039 3 года назад
Dada WA Kazi dada wakazi mfyuuu
@luckyvenance4576
@luckyvenance4576 2 года назад
Kuchafu basi kabaki kasema mdada hajakuja
@diajames4380
@diajames4380 3 года назад
got al these sion spices zakusema got all these diva una jishauaaaa alf zero
@florencemuasya2629
@florencemuasya2629 2 года назад
Pole diva am very sorry for the loss of ur mummy am also an ophan I know the pain
@magrethbenjamin4969
@magrethbenjamin4969 3 года назад
Diva unaongea naskia aibu mimi yeuwiii,, anyway wetever wanvokusema alimrad vitu ni vyako vya kibachera hongeraaaaa
@evamwaipungu5026
@evamwaipungu5026 3 года назад
Hata mm dear
@orpamchomvu2730
@orpamchomvu2730 3 года назад
Unanishangaza kwa kweli yaani ukitoka kitchen unaingia shoes collection room beberu mweusi ww
@mwajabushaban6825
@mwajabushaban6825 3 года назад
Nimecheka wallah etii wanatwangaga wanawake ss cjaua yy mwanaume 🤣🤣🤣🤣
@zuwenamrisho5321
@zuwenamrisho5321 2 года назад
😂😂pengine yy mwanaume
@hadijamwanana2471
@hadijamwanana2471 2 года назад
Jaman mm mnikosoe tu Kama nna kiloho mbaya eti naona Kama uso umezid rangi Kisha namuona anajiashua kjjiona Kama tangu anazaliwa ajawahi kuishi maisha yashida mbuzi huyu mbayaaaaa ndo hela unayo ingekua huna hela we sura namwili sili yk
@bertinaafonsorapaz8345
@bertinaafonsorapaz8345 3 года назад
Hey dada dahhh,anafai kuwa dada😂😂😂😂😂ni vibweka2
@calvinpaul2671
@calvinpaul2671 3 года назад
Neno kubwa naona linakufaa ni pole sana
@nivicaspect3597
@nivicaspect3597 3 года назад
I really pity this woman. Kama baadhi ya kina dada zenu hakuna substance yoyote hapo. Ni aibu kweli lkn was hawaioni wanatuachia sisi watazamaji tuone aibu kwa niaba yao Mxieeewwww
@siaammo1104
@siaammo1104 3 года назад
Hahahahaha
@siwemammassa4929
@siwemammassa4929 3 года назад
Huyu dada anaoneka kazariwA familia masikini ndio maana kapata kidogo analingia dunia nzima
@siwemammassa4929
@siwemammassa4929 3 года назад
Kwaumri ulio naohukupaswa kwanza uvae hivyo
@farida4595
@farida4595 2 года назад
Ovyooo musmfananisha na zarii .zarii Yuko juu
@fatmahamad3765
@fatmahamad3765 3 года назад
Chefuuuu
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 2 года назад
Duh hatari Kuna watu Wana yawaza nandiomana kaamuwa kuvaa miwani mwanzo mpka mwisho WA kipindi, mana miwani inakufanya usiwe na hay
@victormushi6641
@victormushi6641 3 года назад
DAAAAAH DADA TAJIRI HUYU, NIMEKUPA UNACHOKITAKA SASA.
@meswalehjuma7838
@meswalehjuma7838 3 года назад
Nimekufa!
@heriethsixbert475
@heriethsixbert475 3 года назад
😂😂😂 kwakweli
@angeleliasi5247
@angeleliasi5247 Год назад
yanii unajisifiaa kulipaa helaa nyingii wakatii kwako kupoo kuchafuu hivooo duuu pole sanaa dada yanii ni muchafuuu sijawahii onaa
@jammyadam1698
@jammyadam1698 3 года назад
Nasom comment hadi naona aib mwenywe 😂🤣🤣
@anthonynetto4503
@anthonynetto4503 3 года назад
Analinga sana mtu mwenye we. Wakaida sana
@teddyaloyce5982
@teddyaloyce5982 3 года назад
We mshamba sana unajishaua kaaa
@idyjumanne9796
@idyjumanne9796 3 года назад
Diva mmbovu sana
@allymohamed7726
@allymohamed7726 3 года назад
Ushamba jamani kwanza sio smart ovyo ovyo vitu vya kawaida Sana
@danielzakariadanielzakaria7379
@danielzakariadanielzakaria7379 3 года назад
iyo mekaup au jivu 😅😅😅😅 ila fresh umetishaa
@sharifuallygisena1423
@sharifuallygisena1423 3 года назад
Pole mdada hata kazi hujui
@hawajj5768
@hawajj5768 3 года назад
Mimi coment za wabongo Raha sana nacheka mieeeee
@aisha-ro5fr
@aisha-ro5fr 3 года назад
Uyu ddaa amenichekesha 😄😄atari sanaa
@irenewilbard2513
@irenewilbard2513 3 года назад
Mi nimecheka mno😂😂😂😂 ingawa nampendaga hivyo hivyo tuu😂😂😂😂😂
@tibahsaidy7908
@tibahsaidy7908 3 года назад
Dada diva naomba kiatu na mkoba2 my
@nuuringoogle4104
@nuuringoogle4104 2 года назад
She have are nice place ,,just simple 🙏🏽🙏🏽❤️‍🩹❤️‍🩹❤️‍🩹❤️‍🩹
@martalositotiktok6590
@martalositotiktok6590 3 года назад
Ni wawapi huyu dada? Bora asingeonyesha kama mie
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 3 года назад
Muhaya
@alexandrinadomaino9868
@alexandrinadomaino9868 3 года назад
@@zaudatmakula3454 sio muhaya my ni mtu wa Tanga
@haniliciousbaby4987
@haniliciousbaby4987 3 года назад
Mwaya uko vizuri
@Doisvids
@Doisvids 3 года назад
Point zangu Kwa huyu mdada zimepungua Hadi sufuri.kumbe ni vipodozi tu na mavazi lakini ukienda nyumbani the house is full of trash.penda usafi mamaa.Thats so disgusting 🤮🤮
@kelvinjonathan648
@kelvinjonathan648 3 года назад
Ila mm sikukubali we kigagula japo naangalia hii ulikua unanikera Sana ulivyo kua una mponda mondi halafu ukajitongozesha mbwaaa shukuru Mungu. Mwana anaroho ya pekeake
@emmykidot1844
@emmykidot1844 3 года назад
Kila kitu dada,, duuh nyumb yenyew y kupanga
@yagalbyyaayuni7247
@yagalbyyaayuni7247 3 года назад
😜😜😝😝🤣🤣😃😃😀
@fadhilamohamed8304
@fadhilamohamed8304 3 года назад
Hatumii mikono in anything...Kwahio akinya pia hachambi
@devotajoel3730
@devotajoel3730 3 года назад
nyumba hata haieleki kaabis inazidiwa na yangu ya chumba na sebule🤣
@fatihyanassoro9707
@fatihyanassoro9707 2 года назад
Tanga mwanaume aende sokoni Nani kasema diva uogo aisee😄😄
Далее
Bike vs Super Bike Fast Challenge
00:30
Просмотров 21 млн
▼ЮТУБ ВСЁ, Я НА ЗАВОД 🚧⛔
30:49
Просмотров 531 тыс.
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 4
36:03
Просмотров 30 тыс.
LULU DIVA ALIVYOVAMIWA NYUMBANI KWAKE
6:03
Просмотров 272 тыс.
Bike vs Super Bike Fast Challenge
00:30
Просмотров 21 млн