Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5 Channel Administered by Slide Digital Instagram: slidedigitaltz
@@gressjoseph5615 Sasa Mungu yeye hajui tutakufa na kuviacha au? Au ni biblia gani imeandika binadamu asiishi vzr kisa atakufa na kuviacha? Acheni roho mbaya kila mtu ana ndoto za kuishi maisha mazuri.
@@yunyun799 watu wengine ndo wale mie nimezoea dagaa maharage, Nyama kila siku mie siwezi kumbe huna hiyo elf 3 ya kununua kila siku nusu ya nyama, Hebu kaeni kwa kutulia buana, Mimi maisha mazuri nayatafuta sana sana🙏🏻🤲
Kila mtu ana lifestyle yake so hatuwezi kuwa sale Hata Kama tutaweza kupata kipato sawa sawa ,hiyo ndio maana halisi ya maisha yetu Sisi wanadamu . hongera bi dada 👏👏👏👏👏😃😃😃😃😃🤣🏃🏃
Kafiri unamwambia mashaallah innalillah hyo ata riziki yake mayb ata c ya halali changanyikiwa apo na hayo maisha acha afurahishe dunia yataisha 2 cku 1 pumzi ikikatika
Nakuunga mkono Nicole. Friends are what you have just said. You’re very right. Enjoy your privacy and personal space. It gives you enough peace of mind:)
Dada nakupenda Sana na nimejifunza kitu kwako ,nimependa Sana Zaid kitu kimoja umesema hupendi umbea Kama Mimi sipendi umbea huna nafsi kwangu kwa kweli umependeza,mungu akujalie busara hvo hvo, Eid mubarak love
My fellow GEMINI she say it all exectly Asante Sana a very peaceful life without a friend a learn a lot in hard way and right now I don't have and I do not want a friend 🤨
Nyumbani kwa uwoya jamani jamani hivi kwa nini alituonyesha yaani hata jikoni kwangu peke yake ni pazuri na kunang'aa kuliko nyumbani kwa uwoya hapo bado sijafananisha na vyumba vingine ni heri hata nyumbani kwa Diva kuna nafuu kuliko nyumbani kwa uwoya lakini Nicole anawafunika bongo movie wote
Sio shabik wa huyu dada kivileeee ila napenda kidogo yan kidoncho sana anavyojielezea unakuta wengine namnukuu baba yangu magu mungu amrehem... Unakuta wengine hata ulaya hawajafika et yeah yeah yes you know... Sasa huyu kiswahil kingi kuliko kingereza 👍👍👍👍.... Sielewagi waoulizwa kiswahil na kuanza kushusha kingereza kama mwalimu wa chuo kikuu wengine hatuelewagi hatujasoma hicho kingereza.
Wallah nimetamani kucoment kwa voice yaan Nicole hajishauwi wala hajitangazi tajiri ndo anaishi maisha ghali sana lkn mwenzangu na mm anaemwaga pesa ht kuonyesha kitu vzr anashindwa yaan ht icho kiatu anachosema kanunua 1milion ni km kajiongeza tu ht nyumban ndani haistui kikabati cha nguo kadogo bado vitu vimepangwa chini doh…..Nicole shikamoo Dada ww sasa Ndio angalau tunaweza sema unastua kwa unavyoishi