Тёмный
No video :(

Dizasta Vina - Uwaridi jeusi Ft Baraka The Prince 

Dizasta Vina
Подписаться 54 тыс.
Просмотров 43 тыс.
50% 1

Official Music Video of Dizasta Vina perfoming Uwaridi Jeusi, featuring Baraka The Prince.
Stream/Download Uwaridi jeusi
Boomplay - www.boomplay.c...
Mdundo - mdundo.com/son...
Apple music - / uwaridi-jeusi-single
Spotify - open.spotify.c...
Audiomack - audiomack.com/...
Lyrics - genius.com/Diz...
Other musical contents
bio.link/dizas...
Connect with Dizasta Vina on social medias
Instagram - / dizastavina
Twitter - / dizastavina
Facebook - / dizastavina07
Lyrics
Williams Shakespeare said, Speak low if you speak love
No I speak loud because love is war, and war is really loud
I’ll tell you why, the course of true love never did run smooth
Love is rough some Cupid kills with arrows
and some with traps and the point is
You die at the end of the day
Yeah nilishare chozi alipolia,
Baridi ilipomfikia sikukimbia nilishare koti
Aliponiletea pozi, niikamzoe nikamkosea
Akanuna msamaha nikamwombea airpot
Wafanyavyo wazungu nikaonekana mpuzi mkuu
Dhahama mbele hadhara uzushi tu
Upendo wa dhati ilikuwa script ilikuwa ni uchi
‘Cause Vyote ilikuwa ni movie tu
Nikajajua wamebaki kwenye simulizi
Wale wakubaki njia kuu
Najua nilisema hivi nao wakanijia juu
Tofauti ya hayo maigizo na uhalisia huu
Kupendwa kwa hali na mali ni kwenye tamthilia tu
Tulioana na picha ikaenda slow slow
Aliniambia ananipenda kweli ndivyo
alivyomwambia Fredy
Kisha akamwambia Francy
Nami nikamwambia Betty Fetty
Na Nancy tukaenda draw draw
Hakuna aliyejiforce alie
Kati yetu hakuna aliyemdosheaaw machozi mwenzie
Hakuwa yeye aliyeziwinda pochi za mashemu
Au mimi mwenye namba nyomi za mademu
Tukajua kuwa mahusiano sio kitu simple
Alliniumiza nikamuumiza tukaishi hivyo
Mwanzoni tulichorana mpaka matching tatoos
Leo wote ni washenzi nafuu hatukuitikia wito
Chorus
Nikikumbuka huwa nataka kulia
Watoto na wakubwa wanaaga dunia
Kwa sababu wanaumia mama wanaumia
Wanaumia mapenzi mabaya
Matajiri walisaza dunia
Hata masikini wanaotanga na njia
Wako ndani wanaumia mama wanaumia
Wanaumia mapenzi mabaya
Ukweli hakuwaa mbali kuujua
Kati yetu hakuna aliyekuwa tayari kukua
Niliokota vidonge vya kutoa mimba nikauchubua
Akakuta condom kwneye nguo zangu kila alipofua
Tukaacha kufanya kwa siri kufanya salama
Kila akitaka aishike hatamu
Alilala na rafiki yangu rashidi bosi wangu kazini
Nikalala na dada yeke wa damu
Mapenzi noma nakuhusia
Shangazi wajomba wanajutia niulize mimi
Mapenzi kidonda utaumia
Yalimtesa kocha wa dunia Mwijuma Muumini
Hii game ikikushinda buni yako
Wanandoa wanafunga ndoa
Hawafungi mlango
Wakimaanisha kuwa yeyote anaingia
Nakumbuka hata nikimshika
Nikimbusu kwa hisia hafumbi macho
Mapenzi karaha nyie msije hata kusikia
Nishaona wajanja wanaziacha Career
Ninapoona wanafunzi nao wanataka ‘dandia
haki ya mama huwa nataka kulia
Huwa nataka kulia
Nishaona na mke wangu ana pete kidoleni
Akiwa na mshefa pembenj anasaini lodge anatimba ndani
Anaingia mi’ natoka mwili hoi nikiwa nimechoka
Pembeni nikiwa na mrembo ananiita honey
Akivua pete kwenye milango ya bar
Sikuchukia mi mwenyewe nina mipango kando kadhaa
Ngoja niwaambie wale wa true love msitaanie
Kumpenda binadamu ni ushujaa nyie
Kila alichofanya dhidi yangu,
Nililipa twende sawa mchongo ndo huo
Alichukuwa mababa
Mpaka wenye umri wa dingi yangu kuniumiza
Nikachukua vitoto vya chuo
Aliingilia kushoto niliingilia kulia
Alipobuni uongo nami uongo niliujulia
Alirudi nyumbani na tai za wanaume tilatila
Nikarudi nikiwa na love bite bila bila
Na umalaya wangu na koti la mtumba
Bendi nikakodi na maua rozi ya size kubwa
Nikampeleka mke wa mtu lodge
Nikazuga ka’ sijaoa na mishumaa
Ilibaki kidogo nichome nyumba
Hizi romance ni filamu tu
Mara nikikuona nasinzia sijui napata homa ya dunia
Ni filamu tu
Kutembea slow motion hatuwezi
ukimkiss kwenye mvua mvua hainyeshi ni filamu tu
Ni filamu tu
Kutembea slow motion bado hatuwezi
ukimkiss kwenye mvua mvua hainyeshi ni filamu tu
Alishindwa kuuchukua moyo wangu auwekeze
Nilishindwa kumfanya awe wife anipendeze
Ujanja umeisha uhalisia umeturudisha ndani
Tumeathirika na hatujui ndani kauleta nani
Ushauri kwa kina dada mahusiano ni vita
Wanaume wasafi wapo kwenye vitabu vya kuandikwa
Ukiolewa na ndoa ikayumba jiongeze
Mwanaume ni mchafu ukitaka aliyetukuka mtengeneze
Ushauri kwa kaka mahusiano si hija
Wanawake wasafi wapo kwenye filamu za kuigiza
Kwahiyo ndoa yako inapopinda jiongeze
Mwanamke shetani ukitaka malaika mtengeneze
Nikikumbuka huwa nataka kulia
Watoto na wakubwa wanaaga dunia
Kwa sababu wanaumia mama wanaumia
Wanaumia mapenzi mabaya
Matajiri walisaza dunia
Hata masikini wanaotanga na njia
Wapo ndani wanaumia mama wanaumia
Wanaumia mapenzi mabaya
Wanaumia mama wanaumia
Wanaumia mapenzi mabaya
Wanaumia mama wanaumia
Wanaumia mapenzi mabaya

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 214   
@siranathani2546
@siranathani2546 5 месяцев назад
Wenye nembo ya Dizasta Na Dam ya hip hop ya Dizasta Vina tujuane kwa comment na like piah mwenye nyimbo zaidi ya 20 kama mm za Dizasta nakusalimia Ndugu Yangu mm mpwa wako
@mankessy_tz2627
@mankessy_tz2627 6 месяцев назад
Kama wewe nishabiki wa dizasta vina acha like hapa.
@user-nw5eu2ff4w
@user-nw5eu2ff4w 6 месяцев назад
Kwenye uandishi wa mashair ya hiphoop bongo hii hakuna wakumzid disasta vina
@MkindiSaidi
@MkindiSaidi 6 месяцев назад
Nakubali since day one
@karimchindema9823
@karimchindema9823 5 месяцев назад
Kuna siku nawish nikuone mzee tupige hata story kidogo,,, vamos
@daudifortunatus9576
@daudifortunatus9576 6 месяцев назад
Kumpenda binadamu ni ushujaa nyie🙌
@davoscasto9114
@davoscasto9114 6 месяцев назад
“A flower bloomed in a dark room” .. 🔥🥂♥️
@uniqueboytz8166
@uniqueboytz8166 6 месяцев назад
Video za namna hii zimebaki chache Mno 🙌 Taifa linapaswa kujivunia mtu km DIZASTA VINA ❤
@edsonlaw1186
@edsonlaw1186 6 месяцев назад
Saf sana kaka Yan umenena vzr mno...
@landiismollel4075
@landiismollel4075 6 месяцев назад
Nahuzunika sana kwa sababu sijawahi kukuona live ila najivunia kuwepo duniani angali dizasta anaandika unyama wa Hip hop. Be blessed sana Brother 🙏
@ghyldinhoclassic9635
@ghyldinhoclassic9635 3 месяца назад
Sio kuropoka Bali ni rap Na elimu tosha sichoki kukuskiliza ninja🔥 wa East Africa 🇧🇮🇹🇿
@mchorajitz8396
@mchorajitz8396 6 месяцев назад
"mahusiano ni vita, "Mwanaume msafi yupo kwenye kitabu Cha kuandikwa.
@samuelantony4206
@samuelantony4206 6 месяцев назад
😂
@SultanJamal-ku3dm
@SultanJamal-ku3dm Месяц назад
msaani namba 1 kwangu
@onionpeeling5822
@onionpeeling5822 2 месяца назад
Yoooh Bongo hiphop is off the hook! Its about Time minakwambia ! Left Tz 30+ when it was the genessis ya Rap , leo mekutana na hii true Rap tune ! Bravo sana wazee ! Mwenge mmeusongesha to this type of track over here ! All l can say is Gaaadeym it ! GREAT WORK WHO EVER YOU ARE ON THIS JOINT ! IKO DEEP ALAFU INATIA HISIA KINOMA ! ❤❤❤❤❤🫡🫡🫡
@LambeDon_
@LambeDon_ 6 месяцев назад
Hamnaga mambo mengi kwenye video we deal with BARZ fans of vina ✊
@Msuki_icon95
@Msuki_icon95 5 месяцев назад
Big up genius hiphop song writer 🐐1🙌
@user-tx8ub9fc3k
@user-tx8ub9fc3k 4 месяца назад
Dizasta vina from🇿🇲🇿🇲
@joxxjonka
@joxxjonka 6 месяцев назад
Good music good vibe storytellar 🇹🇿🇺🇬🇰🇪 🔥🔥🔥💯👂
@OrbitMashinemaji
@OrbitMashinemaji 13 дней назад
Ukimkiss kwenye mvua mvua hainyeshi😂
@ibrahimunyaruhawa2416
@ibrahimunyaruhawa2416 6 месяцев назад
Vina BLACK MARADONA NI HATARIIIII🔥🔥🔥
@hancychriss721
@hancychriss721 6 месяцев назад
Wana ndoa wanafunga ndoa hawafungi MLANGO 💔🔥🔥
@Heisbry_
@Heisbry_ 6 месяцев назад
Dizasta vina❤ Hakuna rapper wa aina yako east africa
@KitangariGenerations
@KitangariGenerations 6 месяцев назад
Haujawahi kuniangusha Vina. Hongera sana kwa kaz mzur
@ALJUMAAYASIN
@ALJUMAAYASIN 25 дней назад
KING MASTER ⭐💪
@Dullahxella
@Dullahxella 6 месяцев назад
🔥🔥🔥🔥🔥DVN
@Dannytitoff254
@Dannytitoff254 6 месяцев назад
Hili ni bonge la hip hop mzee baba alafu pen siyo ya kitoto kwenye punchlines za kazi zako💪💪💪
@NgomaTz184
@NgomaTz184 4 месяца назад
Hakuna kama dizasta ❤
@snuffkikopo9503
@snuffkikopo9503 2 месяца назад
daah we mwana ni noma na nusu... hatari sanaaaaaaaaaaaaa
@iccibang4095
@iccibang4095 5 месяцев назад
Hela Zako Zipo Sehemu Utazichkua Siku Keep Pushing Man, NAKUBALI ZAIDI YA SANA
@OMYUUN
@OMYUUN 6 месяцев назад
Banger!!!!
@classicbarik
@classicbarik 6 месяцев назад
ngoma kali kikuma
@barretobacca9754
@barretobacca9754 6 месяцев назад
The King! Big shout out kutoka Moçambique 🇲🇿
@Joe-2904
@Joe-2904 6 месяцев назад
Dah prince naye 🔥🔥🔥🔥, kama vipi mfanye ngoma nyingine
@mpelwakikuba8025
@mpelwakikuba8025 6 месяцев назад
Ebhana, mi ata Sina Cha kukomenti maana huyu Mr is talented more than more
@sundaycharles7262
@sundaycharles7262 6 месяцев назад
This man 🤲
@mjamiionline454
@mjamiionline454 4 месяца назад
dizasta tupa mawe mzey
@jevuofficial5266
@jevuofficial5266 6 месяцев назад
🔥🔥 Always 🎙️
@edsonlaw1186
@edsonlaw1186 6 месяцев назад
Vina baba🙌🙌 unajua aseh!!!
@gaddibullahtzg5635
@gaddibullahtzg5635 6 месяцев назад
Dizasta vinaaaa umetisha kinomaaaaa
@user-lc8yc6ib7s
@user-lc8yc6ib7s 6 месяцев назад
👊👊👊
@alkaullahmediaTz
@alkaullahmediaTz 6 месяцев назад
mwisho wa ngoma pale kuna ujumbe mzito sana.
@acraba7568
@acraba7568 6 месяцев назад
Narcissistic😢😢😢😢I think all people are one people.spread love Vina ...🎉on top
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 6 месяцев назад
I told you He can kill that 🔥🇹🇿🔥🇹🇿
@talebanistudio4513
@talebanistudio4513 6 месяцев назад
Huyuu jamaa peni karatasi ziki mwona zina toka mbio atari ana andika sana anajua sana.... D ....wee ni noma sana
@hebronkibona6676
@hebronkibona6676 6 месяцев назад
Consiuus emcee dizasta vina 💥
@bashangeisrah2345
@bashangeisrah2345 6 месяцев назад
My Tanzanian tupac makeveli the Don
@josephchuwa9884
@josephchuwa9884 5 месяцев назад
Kazi kubwa sana hii Kijana wa mungu @Dizastavina
@RajabuJaphary-iq9mp
@RajabuJaphary-iq9mp 6 месяцев назад
Taratibu watu wameanza kumuelewa dizasta atleast nafurah kuona comment kibao kwa D jamaa anajua nyie
@mnenemakweta8871
@mnenemakweta8871 6 месяцев назад
Hatareeee big up vina
@user-sk3kf7wg1w
@user-sk3kf7wg1w 6 месяцев назад
Hii sasa ndio ngoma kali kuliko zote
@ProtasNassa-oe1wf
@ProtasNassa-oe1wf 6 месяцев назад
🙌🙌🙌 vina ni hatari...
@BarakaUrassa
@BarakaUrassa 5 месяцев назад
Hakika dizasta noma sana anajua hakuna kama yeye mzimu wa ngwea
@ibrahimunyaruhawa2416
@ibrahimunyaruhawa2416 6 месяцев назад
Ni filamu tuuu🔥🔥🔥🔥🔥
@user-gg7zg1tj9w
@user-gg7zg1tj9w 6 месяцев назад
Vinaaa
@user-sg8zb9hu2n
@user-sg8zb9hu2n 6 месяцев назад
Sijwahi kuwa na wasi wasi na Tungo za huyu Jamaa
@RobertMwamlima-ek9pd
@RobertMwamlima-ek9pd 6 месяцев назад
Viiiinaaa, vyenye maafaaa
@NeverGiveup-wk2cb
@NeverGiveup-wk2cb 4 месяца назад
Tanzania one kweny Muzik wa hip-hop king
@Zamaqshaqshamsudin
@Zamaqshaqshamsudin 6 месяцев назад
When we talk about hip hop Tz budaaa umewakalisha ngoma zako conscious sanaaaa zimebeba elimu kubwa sanaa ambayo mpaka mtu awe na mindset kubwa ndo anaweza elewa hii mistarii
@halunimwansite3674
@halunimwansite3674 6 месяцев назад
Bonge Moja project brother Vinna👊👊
@user-tx8ub9fc3k
@user-tx8ub9fc3k 6 месяцев назад
Dizasta vina best 🎉🎉🎉zoooona
@Billysign-li4qr
@Billysign-li4qr 6 месяцев назад
KUMPENDA BINADAM N USHUJAA NYIEE🔥🔥🔥🔥🙌🏿🙌🏿🙌🏿
@nobertalex7476
@nobertalex7476 6 месяцев назад
dizasta vina is THE TRUTH ❤
@SalimChaka-ez9iz
@SalimChaka-ez9iz 6 месяцев назад
Dizasta u jini brow we ni legend kabla wakati💪🎶
@keimnation1702
@keimnation1702 3 месяца назад
vina forever🙌🙌
@danielfesto5042
@danielfesto5042 6 месяцев назад
Ila una saut ya hiphop sana yan maneno yote yanasikika we noma sana
@dizastavina
@dizastavina 6 месяцев назад
Asante kaka
@islamshabani7840
@islamshabani7840 6 месяцев назад
Baraka da prince namkubar sana jamaa
@Loyoutfit
@Loyoutfit 6 месяцев назад
🔥 fire
@godfreyjeremiah8657
@godfreyjeremiah8657 6 месяцев назад
The verteller!!!
@reveliancyprzacharia6967
@reveliancyprzacharia6967 6 месяцев назад
Nomaa sana
@user-ry1nh9qg1b
@user-ry1nh9qg1b 6 месяцев назад
Sio uandishi tu kaka anafikiria na kuwaza sanaa 🎉🎉
@user-xp8jp7ks3d
@user-xp8jp7ks3d 6 месяцев назад
Mimi ni 1 kati wanao kuamini na kuueshim uwezo na kipaj chako kwa ujumla na malafiki wengi kitaaa changu wanakuamini ukosei
@dizastavina
@dizastavina 6 месяцев назад
Bless fam
@silasgerrychannel225
@silasgerrychannel225 4 месяца назад
Jamaaa anajua sana sana, tena sana
@davidpakei3497
@davidpakei3497 6 месяцев назад
Big up broo nakubali Jasili john
@Bookloveruntil2090
@Bookloveruntil2090 6 месяцев назад
DÍZY ON FIRE KAMA CASHMIA
@alphoncesamwel6973
@alphoncesamwel6973 6 месяцев назад
Story Teller.. Hii ndo inaitwa stop- start techniques .
@gagalinodenatrick1652
@gagalinodenatrick1652 6 месяцев назад
Ni makosa kisheria na taratibu za nchi yetu kumfananisha dizasta na rapper yoyote yule kwanza vina sio rapper huyu n real mc
@Cacti11
@Cacti11 6 месяцев назад
Nakumbuka nikimshika,nikimbusu kwa hisia,hakufunga macho
@user-ul8pj9cr8r
@user-ul8pj9cr8r 6 месяцев назад
Big up brother
@Suleiman99
@Suleiman99 6 месяцев назад
Super hero Dizasta vina
@josephnyamhanga1360
@josephnyamhanga1360 6 месяцев назад
Kumpenda binadamu ni ushujaa nyieeee 😢
@jevuofficial5266
@jevuofficial5266 6 месяцев назад
Mwanaume ni mchafu wakitaka alie tukuka wamtengeneze 🔥🔥
@emmanuelpius6387
@emmanuelpius6387 6 месяцев назад
Mapenzi yakofikia hatua unaona makes makosa kwa mpenzi wako na haumii au hauoni wivu basi moyo haupo tena pale
@officielyamndile3634
@officielyamndile3634 6 месяцев назад
Come again never get tired 🔥
@castotweve4945
@castotweve4945 6 месяцев назад
Vina dizastaa
@VictorodiloGhost
@VictorodiloGhost 3 месяца назад
Hakuna mwalim msanii kam dizasta
@jrolyjoseph4474
@jrolyjoseph4474 6 месяцев назад
Kituuu🔥
@user-ug6dg7gb8j
@user-ug6dg7gb8j 6 месяцев назад
Nikiwa nimetulia bila mawazo namsikiliza naodha wa hip Hop
@Jackjuneart_tz
@Jackjuneart_tz 6 месяцев назад
Ama Mungu wa rap
@Davkin-eq5xx
@Davkin-eq5xx 6 месяцев назад
Nkampeleka mke wa mtu Lodge nkazuga ka sijaoa "na mshumaa ilibaki kidogo nichome nyumba" jaman naomben mnisaidie tafsiri ya hayo maneno apo
@ibrahimunyaruhawa2416
@ibrahimunyaruhawa2416 6 месяцев назад
Hahahahaha means alimpelekea moto sana uko lodge nusu achome nyumba🔥🔥🔥🔥🤣
@Davkin-eq5xx
@Davkin-eq5xx 6 месяцев назад
😂😂😂
@marcouruva3912
@marcouruva3912 6 месяцев назад
Nakubali vina..
@vailethmbinile3161
@vailethmbinile3161 5 месяцев назад
Vinaaaaa❤
@corneliusondieki1496
@corneliusondieki1496 6 месяцев назад
Disasta vina mistari iko sawa
@barakaisack267
@barakaisack267 6 месяцев назад
Nahodha D vina
@chidiomari.65
@chidiomari.65 6 месяцев назад
Baraka umetisha sana
@Japharyhh
@Japharyhh 6 месяцев назад
Sana kaka
@misungwikids563
@misungwikids563 6 месяцев назад
Kama umekula madini ya Uwaridi jeusi na hauja-subscribe bas ujue ww ni shabiki maandazi😁😁😁 WHATSUP GUYS LETS SUPPORT THIS UNDERRATED TALENT🤘🏽
@Luiwamwasalanje
@Luiwamwasalanje 6 месяцев назад
Bongo nchi yakichawi Sana watu wasanaa hawamuoni mtu huyu!!? Akifa ndoataanzwa zungumzwa
@fadhilykaduma3026
@fadhilykaduma3026 6 месяцев назад
Never disappoinT
@muhsiniamiri9310
@muhsiniamiri9310 4 месяца назад
dah jamaa kanifny nmeanz kumfatilia
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 6 месяцев назад
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@RamseyYusuph
@RamseyYusuph 17 дней назад
Uwezo unajieleza acha tusambaze dawa
@mwambawamascat3115
@mwambawamascat3115 5 месяцев назад
Mzeee zote kuntu hajawahi kushake
@EdwardOmary-zo2kg
@EdwardOmary-zo2kg 5 месяцев назад
Dizastar nihaali
Далее
Dizasta Vina - Nobody is safe 5
6:07
Просмотров 109 тыс.
Dizasta Vina - Achia jala  Ft Kaa La Moto
8:34
Просмотров 118 тыс.
How to get Spongebob El Primo FOR FREE!
01:36
Просмотров 13 млн
Dizasta Vina - Wimbo usio bora (Official Music Video)
5:13
Dizasta Vina - Nobody is safe 3 (Official music video)
5:36
DIZASTA VINA MBUZI (UCHAMBUZI)
3:18
Просмотров 1,7 тыс.
Dizasta Vina - Hatia V
8:16
Просмотров 116 тыс.
Tribulation
11:27
Просмотров 26 тыс.
Dizasta Vina - Chupa moja ya ziada
5:04
Просмотров 41 тыс.
Oka Martin REACTION / Dizasta Vina - Top Shelf
14:26
Dizasta Vina - Nobody is safe 4 (Official Music Video)
5:15
Dizasta Vina - Best Friend
8:28
Просмотров 229 тыс.