DR. SULLE | HILI NDIO TUKIO LA MWEZI KUPASUKA VIPANDE VIWILI | HAPA NDIO UTAONA NI KWANINI MTUME NA SIO MWINGINE ANAE STAHIKI HAYA #Masjid_Mtoro_Online_Tv
Hahahaa Luka 10:21 "Naye alishangilia Rohoni akisema mambo haya umewaficha wenye hekima na ufaham ukawafunulia watoto wachanga " siri za Mungu huwa wanafunuliwa watu wa Rohoni wewe tapa unavyotapa ila roho wa Mungu ndie anaetoa ufunuo wa Mungu