Mungu kupitia Dua hii naomba vifungo vyote viniondkee mwilini mwangu nakz yangu ifunguke nipate pesa zakunikimu mahitaji yangu yatimie vifungo vyote viniondkee inshallah
Yaa Rabb Natawakkal kupitia hini dua unifngulie mambo yangu ( Rizki ) na uniondolee nuksi na mikosi katka maisha yang na mwezi huu mtukufu wa Shaaban Ya Allahu Yaa Rahman Ya Fattah Yaa Razaq Yaa Samiu Yaa Baswiru 😭🤲
Mungu naomba uniondolee vifungo na roho ya kukataliwana wanaume na dua hii iwafikiwe watoto wangu shuleni na kazini mungu naomba unifungulie milango yote iliyo fungwa kwangu mimi na watoto wangu
Ya Rabii kupitia dua hii nakuomba unifungulie vifunguvyote nilivyo fungwa na husda za walimwengu na unifungulie milango ya riziki na umlinde na mtoto wangu na familiya yangu
Naamini kuwadia hii mwenye kimungu atatusaidia zidi ya wachawi na uchawi wote utawaludia wenyewe ishaanlh kwa uwezo wa mwenyezi Mungu Mungu awape maisha marefu mzidi kutuelimisha tuseme amena
Aminaaa Inshallah Kwa uwezo wa Allah kupitia Dua hii naimani husda na uchawi unaofanyika juu ya familia yangu utawarudia wenyewe na hii ndio Kinga Kwa familia yangu🙏
Inshaallah allah nakuomba unifungulie kila kilichofugwa juu yangu watoto wangu na familia yangu mwenyezi mungu niepushe na matatizo yalio mbele yangu . Amin yaraabby