Тёмный
No video :(

DUDU BAYA AMTETEA HARMONIZE SAKATA LA KUFURU YA DINI, AMCHANA VIBAYA SHEHE 

Mbengo Tv
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 38 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

21 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 470   
@omosh2023
@omosh2023 4 месяца назад
Konki has wisdom. Few people will understand this.
@asentertainmenttz3128
@asentertainmenttz3128 4 месяца назад
safi sana hiyo Akili ndiyo tunaitaka dudubaya Wewe ni noma
@azizabuyonde8368
@azizabuyonde8368 4 месяца назад
Ubarikiwe baba labda hawa mashoga watasikiya,Mungu aendeleye kuiweka neno kwenye ulimi wako, Yesu akutanguliye
@judithatieno1095
@judithatieno1095 4 месяца назад
Dudu baya I agree with you 💯 mtu anaongea na mungu wake mwenyewe we are in no position to judge and tuwache kiki ama vipi thanks DUDU BAYA for sharing 🙏🏾GOD BLESS 🙌 universe God 14:08✌️1🤍🕊
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 4 месяца назад
Duuu.kuaobudu bangi na.migomba. subuhanallah Allah atujaalie mwishomwema. Kuwana baba shehe siyo sababu
@DavidMatata
@DavidMatata 4 месяца назад
Halo Konki umeongea viziri sana...Unayo hekima! Blessed .
@sulaimanalhabsi2355
@sulaimanalhabsi2355 4 месяца назад
Nyote Hamna akili
@DavidMatata
@DavidMatata 4 месяца назад
@@sulaimanalhabsi2355 Takbiriiii!Mwenye mtume wetu Mohamed saw.
@eastafricaqualitychickenfa9916
@eastafricaqualitychickenfa9916 4 месяца назад
Sasa uyo kafiri anaongea Nini mambo ya waisillam Dini ya kiisllam Ina wasemaji wake hili kafiri tu
@zulekhasaud483
@zulekhasaud483 4 месяца назад
Kamani ya waislam kwa nini munawahoji sasa .Bora nilio mpokea Yesu​@@eastafricaqualitychickenfa9916
@hadijamfala390
@hadijamfala390 4 месяца назад
Moi 6​@@sulaimanalhabsi2355
@RamadhanimashiHassani-tp1rv
@RamadhanimashiHassani-tp1rv 4 месяца назад
Msipindishe pindishe maneno bana harmonize amekosea huwez kuanza kumfananisha mungu na kitu kingine hukuletwa duniani kuja kumtafakari mungu fanya alichokiagiza nasio kumtafakari Yeye kuanza kumfananisha na vituvingine
@frankpaulofrank9302
@frankpaulofrank9302 3 месяца назад
Wewe kumaa toka hapa huelewi mbwa
@HappyBooks-dj6oy
@HappyBooks-dj6oy 4 месяца назад
Salute bother .No one perfect.Only God knows
@DansonMtambi-fq2ff
@DansonMtambi-fq2ff 4 месяца назад
Dudu baya napenda sanaaaa kufuatilia interview zako❤
@priscillawilliam3603
@priscillawilliam3603 4 месяца назад
Asante baba nimependa majibu yako.wa kumwomba toba ni Mungu tu si sheikh wala nani..toeni kwanza boriti kwenye macho yenu ndio muone vibanzi kwanye macho ya wengine
@rahiimal-shuwehdy1203
@rahiimal-shuwehdy1203 4 месяца назад
Well done , spoken perfect 👍
@obviousmphande8621
@obviousmphande8621 4 месяца назад
❤❤❤❤ yaani wew dudu baya uko sawa sana.
@chriskudilla5355
@chriskudilla5355 4 месяца назад
Mseminary
@user-el6mm4lh4m
@user-el6mm4lh4m 4 месяца назад
Konki...juuu...harmonize teacher... Mtamuelewa2 harmo...mwisho..wa cku...wabongo wanapenda kuzusha alochoongea tembo sahihi...uyoo yy amezaliwa na mgomba....mkeee we si ndo Kila ki2🎉🎉🎉❤❤
@zulekhasaud483
@zulekhasaud483 4 месяца назад
Asante sanaaa konk ndio nmeamini viongozi wetu wengi sanaaa wapo kusikiliza miziki ya dunia😂😂😂
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 4 месяца назад
I agree with you. Tanzania tunaabudu mama, nothing wrong! Tunaamini analeta mema bongo! Hapa bongo, mama ni zaidi ya Mungu, tunamwabudu! Let’s get real!
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 4 месяца назад
Uko sawa dudu
@user-yz7md8bd4k
@user-yz7md8bd4k 4 месяца назад
Na nabii nuhu mtoto alianga mizwa na baba yake nabii
@user-vj1ek5us4r
@user-vj1ek5us4r 4 месяца назад
Umeongea vizur sana
@kassimussimachanoh6971
@kassimussimachanoh6971 4 месяца назад
Isikilizeni tena au irudie post hii iliyoleta haya makosa mnampa makosa. Sizani kama ameongea na kusema direct mungu mwanamke!! Big up dudubaya kaka kwa uchambuzi wa uelewa KABISA...
@abdulsuleiman1244
@abdulsuleiman1244 4 месяца назад
Ww umemuelewa harmonize walio wengi wana kurupuka.
@fetehomar27
@fetehomar27 4 месяца назад
mungu huwezi kufananisha na kitu chochote yy hamo imani yake haipo vzuri kishaanza kuwa na mashaka na mungu na hayo mashaka anayazungumza hadharani mungu ktk qur an amesema hamna kitu alichofanana nacho uislam sio dini ya kuchezewa chezewa dudu ezi za maswahaba hamo angelikua habari nyengine
@backtoschool8142
@backtoschool8142 4 месяца назад
Inamake sense kaka
@jaysonwandiba6371
@jaysonwandiba6371 4 месяца назад
Brother uko very wise... Very right.. wasikilize strength of a woman by shaggy
@neemanziku5403
@neemanziku5403 4 месяца назад
Yan harmonise kamukosea Mungu wake siyo sisi mbona mnamuhukumu ninyi mmekosea mangapi?
@sharifu-story4644
@sharifu-story4644 4 месяца назад
Huwezi muelewa dudu baya kama hauna akiri timamu ana uwezo mkubwa sana wa kufkri
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 4 месяца назад
Kama hukusoma dini kama DUDU baya ndio mtaelewana
@fredducaunt
@fredducaunt 4 месяца назад
​@@hilalkhalfan1452fala sana dini kafie nayo mbele. Mtu na Mungu wake hawakuhusu Wewe na dini yako haitulishi Kula nyama nyamaza
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 4 месяца назад
@@fredducaunt siongei na wapagani kama wewe. ANAERITADI NA AUWAWE.
@fredducaunt
@fredducaunt 4 месяца назад
@@hilalkhalfan1452 siongei na nguruwe wasiofikiri. vichwa maji kama wewe Mmelewa dini na kuwageuza kupigana vita visivo na maana wenyewe kwa wenyewe kisa dini imesema dini imesema SHENZI 🚮🚮
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 4 месяца назад
@@fredducaunt mpagani sio kwako hapa. Dini msumeno sheria
@frankpaulofrank9302
@frankpaulofrank9302 4 месяца назад
Uko poa kaka nakupa maua🌹
@joshuanyonyi3313
@joshuanyonyi3313 4 месяца назад
Hata kweny Biblie ilikatazwa Binadamu kumuukumu Binadamu mwenzie... Ni kaz ya Mungu kuhukumu viumbe vyake....
@user-le6jm2tf5y
@user-le6jm2tf5y 4 месяца назад
Ni sahihi kabisa dudubaya
@Mussasshuba
@Mussasshuba 4 месяца назад
Huna maalifa mzee baba,kama yangekuwepo usingeweza kutetea mpuuzi
@user-bf6hq6gi2r
@user-bf6hq6gi2r 4 месяца назад
Kaeni kw kutulia mnachafua din yenu
@NasriSalim-gc4bs
@NasriSalim-gc4bs 4 месяца назад
M/mungu hafananixhwi na chochote kile
@zulekhasaud483
@zulekhasaud483 4 месяца назад
Nikwer lakini haipaswi binadam kumuhukum aye hukumu ni mungutu.na mungu husamehe
@AminaJuma-zb7xs
@AminaJuma-zb7xs 4 месяца назад
Allhau yaalaam
@sakinasakina1286
@sakinasakina1286 4 месяца назад
dudubaya unakosea sana wew binaadamu tumefikia kumfananisha na mungu na kitu chochote hapana tunamkosea mungu huyo kamkosea sana allah pesa inawasaulisha kuwa kuna mungu ndyo maana vinaropoka
@martinmkoba361
@martinmkoba361 4 месяца назад
Shida humuelewi dudu baya.dudu anachopinga sheikh hana mamlaka ya kumlaani mtu mwenye mamlaka ayo ni Mungu tu
@LodykomboTz
@LodykomboTz 4 месяца назад
Hii dunia ni ya kupita tafutani njia ya kupata pesa kwa njia munazozijua nyinyi ila sio kumtukana mungu na mfumo wa maisha anayoishi si mwislamu na toba yke ache mzinki na tabia zote anazozifanya hii dini si usanii
@HassanSalim-rt6zk
@HassanSalim-rt6zk 4 месяца назад
Ww brother kama harmonize hatokemewa basi watatokea wengine na wengine na wengine kuzungumza kauli kama hizo za kumtukana Allah na kudhalilisha Uislamu
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 4 месяца назад
Kuna njia nzuri yenye wamefaa waifate viongozi sio kumkashifu, harmonize akipiga goti ucku wa manane au time yyte aombe toba na Mola wetu mlezi atamsamehe.. Mana Allah ndio ajua kamaanisha au ni akili zake za bangi ni yy na Mola wake
@lukasmnyethi5903
@lukasmnyethi5903 4 месяца назад
Good
@josephgebra
@josephgebra 4 месяца назад
Konk master kwenye kutubu 7×70 na kuamini ni jambo kubwa mno sana hatutakiwi tuishi kwa mtizamo Bali kuamini katika amani Jah live🙏🙏🙏🙏🙏
@user-kv5rk9oy1i
@user-kv5rk9oy1i 4 месяца назад
Kwel cok umesema kak
@antonioafonsomachai7552
@antonioafonsomachai7552 4 месяца назад
Konki,konki,konki wewe ni master,kumbe wewe hunaelewa matatizo ya Dunia
@samwelkansheba2516
@samwelkansheba2516 4 месяца назад
Dudu baya uko vizuri nimekuelewa mzee baba
@ramsmkongaramazani
@ramsmkongaramazani 4 месяца назад
love u soo much.
@hassanyunus4634
@hassanyunus4634 4 месяца назад
Mimi nampenda huyu mtangazaji ma Shaa Allah, anajua kufwatilia habari, unahoji watu wote wale muhimu, Ili tufaidike
@YazidSalum
@YazidSalum 4 месяца назад
Anatetea USHILIKINA hajui kuwa Allah Hana jinsina NA ALLAH HAFANANI NA KITU CHOCHOTE
@YazidSalum
@YazidSalum 4 месяца назад
Kwa kutetea KWAKE USHILIKINA HUYU dudubaya akifa na hiyo Ali ni MOTONI milele
@domingosjohnraissemaikomai7930
@domingosjohnraissemaikomai7930 4 месяца назад
Nakukubali wabie
@FnellyB
@FnellyB 4 месяца назад
Kabisa konki kumbe kueli konki❤
@user-eu9qt3tb9f
@user-eu9qt3tb9f 4 месяца назад
Kweli kaka hakuna anayejua umbile la Mungu, NAKILA BINADAMU ANAISHI NA IMANIYAKE NA BINADAMU SIO JUDGES WA MUNGU KWA KUMKOSOA BINADAMU MWENZAKE.
@user-vj6qs8sv8i
@user-vj6qs8sv8i 4 месяца назад
Laanayullah Alaykum
@user-gx4vq6tw5s
@user-gx4vq6tw5s 4 месяца назад
Na wajuwe vizuri kwamba mungu huskiya maombi ya mwanamke haraka kuliko mwanaume
@KassimuGanya
@KassimuGanya 4 месяца назад
Hajathibitisha na hiyo Kuna watu wengi hawasemi kwa sababu ya hofu mungu ilivyo tutawala kwahiyo mashehe na mapadri misikitini na makanisani wawe wanatoa elimu ya dini ili binadamu waendelee kuwa na hofu ya mungu
@sonnyr1899
@sonnyr1899 4 месяца назад
Konki tutazo ni kwamba dini Ya wenzetu hawanaga matani na Kitabu chao Koran, Mtume wao Yani sio kama sisi hadi watu wanamvisha Yesu rangi za upinde ila poa tu. Konki waislam wanaheshimu dini yao sana na kuna mipaka sana katika masihara Ya kufanya. Konki we endelea uku kwenye Bongo fleva Ya dini waachiye Ma shehe.
@jacksonjamesndyabawe471
@jacksonjamesndyabawe471 4 месяца назад
Safi sana konki.. Wale habari... Zao.. Mungu mtu... Aombe msamaha
@jafarinauma6798
@jafarinauma6798 4 месяца назад
Sawa kaka tushakuelewa pigania tumbo utapata chochote kwa harmo lakini ipo siku utajua makosa yenu
@LukusaFrank-dg1ib
@LukusaFrank-dg1ib 4 месяца назад
Dudu baya oye oye👑👑
@user-vj1ek5us4r
@user-vj1ek5us4r 4 месяца назад
Mungu amuhid .atubu
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 4 месяца назад
Mungu hafanishwi na chochote huo ndio ukweli tena ulio uchi, hamonize amekosea mno lakin amemkosea mungu sio binadamu hivyo hamonize anatakiwa aongee mungu wake sio binadamu sema waislamu huwa wanajifanya wanajua sana kila kitu kwa kujifanya wakamilifu sana huku hawana lolote zaidi ya visasi, mungu anatuagiza tupendane na mtu akikosea tumsamehe saba mara sabini, sisi wakristo kwa kosa la hamonize tungemuombea tu mema msamaha kwa mungu sio kumuombea dua mbaya kama waislamu ohh akifa asizikwe, ooh atakufa kifo kibaya mara ooh tumtenge 😂😂 mara asomewe albadili ya kufanya yamkute mabaya khaa! asante mungu najivunia kuwa mkristo ❤❤ waislamu wanajifanya wana maadili lakini watoto wao ndio wana tabia za ajabu ajabu uwakute sasa kilo kona a'm proud to be Muslim 😂😂😂 huku watoto wako ni wazinifu tu, zuchu, jux,diamond ,hamonise,mbona, marioo nk ndio wazinifu wakubwa 😂😂 mtu akikosea waislamu hawamuombei na kumuachia mungu wao wanatoa hukumu badala ya kumbuombea abadilike 😂😂😂, jambo la busara via ngozi wa kiislamu walitakiwa kumuita hamonize na kumfundisha imani na kutenda yaliyo mema yanayomlendeza mungu kumuelimisha mungu anapenda nini? mungu hapendi hiki na kumuombea maombi maalamu kwa mungu amsahehe kosa lake alilolifanya na kumuombea abadilike awe na hofu ya mungu moyoni mwake, sio kuja huku kwenye mitandao na kutupigia kelele zao eti hamonize atengwe, akifa azikiwe kikafiri, hawamtambui kama ni mwenzao mara awaombe waislamu msamaha utazani amewatukana wao hamonize amemtukana mungu anatakiwa kumuomba msamaha mungu sio wao binadamu viongozi wa kiislamu huwa wana midomo mno ulishawai kuona kiongozi wa kikiristo anayeijua dini kweli kweli akatokea mkristo mwenzie amekosea akashindwa kumuombea kwa mungu asamehewe na kumfunza yaliyo mema akaja kwenye mitandao kupiga kelele na kumuombea yamkute mabaya NEVER ila waislamu sasa duuuu ni kelele na kumuombea mtu yamkute mabaya sasa hapo wanamfundisha mtu aliyekosea kutambua kosa lake ili atubu na kurudi zizini kwa kuendelea kutenda mema yanayompendeza mungu au wanampoteza kabisa mtu huyo?? yesu hakuja kuwakomboa walio wema bali waovu jamani waislamu BADILIKENI jamani khaaa!!!!
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 4 месяца назад
Konki anasema, mwenye haki ya kumhukumu Harmonize ni Mungu tu! Hao wengine waliolewa sifa na kujikweza ni wapiga kelele tu
@fetehomar27
@fetehomar27 4 месяца назад
sasa jamii nyengine ishakubali kua mungu ni mwanamke kwa sababu ya maneno ya hamo sasa bila kusema hadharani kua ile kauli nimekosea hawa watu walio muamini watabaki na imani yao mungu ni mwanamke nani atawaongoa wakati yy alosema kisharudi kwa mungu wake kimya kimya ikiwa ataomba toba ya kweli basi pia awajulishe na wale alowatia mashaka kuhusu mungu kua alikosea ili na wale wawe na imani ya kweli na mungu hawa wasanii kuna watu wanawaamini sana eti msanii ana elimu ya dini kuliko mashekhe dunia inapoelekea ni kwenye vurumai duni shetani anataka kututawala kwa kila kitu
@GnakoGnako-ee6jr
@GnakoGnako-ee6jr 4 месяца назад
dudu baya ww nijiazi ww unaupeo mkubwa sana viongozi wadini wote duniani jifunzeni najuha watu wasikua naupeo mtamlaumu dudu baya ila mwenye upeo awawezo kumlaumu ww nyinyi viongozi wadini kuweni makini ktk Imani mtu akikosea. muhite umuelimishe sio kujio hona ww nimwema sana kwamungu iyo ahipendezi mungu wabaliki viongozi wadini nauwape mahalifa yakuishi nawaumini wao hasante nawapenda
@emmanyahubah2074
@emmanyahubah2074 4 месяца назад
Brother uko vizuri !!!Hongera
@user-nx4eg7sf8u
@user-nx4eg7sf8u 4 месяца назад
Muislam hawezi kumfananisha mwenyezi mungu kwa chochote hata kwa bahati mbaya, tafakali vitu vyote baali usimtafakali mwenyezi mungu pumbu wewe
@user-vu6pd7pg9e
@user-vu6pd7pg9e 4 месяца назад
Naw usizikw kiislam n kafir ww
@asteriashios1852
@asteriashios1852 4 месяца назад
Kuna utofauti kati ya kuhisi alivyokngea kimawazo yake alihisi aliwanzia kitu km hicho ni dhambi pia kuhisi kitu ambacho siyo yaani Hana uhakika hivyo akiomba Toba Kwa mungu wake atasamehewa hata dhambi ikiwa nyekundu baba yeti Ambae ni mungu anasamehe hakukua na sababu ya kushupalia hivyo mnauminza akili zenu sisi wanadamu tuwazayo mabaya ni tofauti na mungu anavyotuwanzia makosa ya kushupalia yapo ila hili ndo mmeliona tuu mmgeona makubwa ya hayo mtafanyaje? Tujifunze kutokupaniki na kumeudia mungu Kwa Toba
@hamissomary6869
@hamissomary6869 4 месяца назад
Nakkubali sanaaaa mwambaaaaa
@JustineAloyce-lu8ux
@JustineAloyce-lu8ux 4 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤upo fact dudu
@hassansingano1150
@hassansingano1150 4 месяца назад
Huwezi kumfananisha Mungu na mwanamke, HAMO NI MUISLAMU lazima tumkemee.
@meshackthomas1341
@meshackthomas1341 4 месяца назад
Mashehe baada yakuona. Mtu huyu anawaza hivyo. Maana yake. Walipaswa. Watumie taaluma. zao na hekima. Kutoa somo. Kufundisha inawezekana elim ingewafikia weng nasio jaziba. Kwa swala mhimu. Maandiko Ya Mungu. Yapo ili watu wajue kweli ya Mungu 🙏 🙏
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 4 месяца назад
Exactly 👍🏼👌
@onlythestrong8659
@onlythestrong8659 4 месяца назад
Dudubaya naweza msikiliza siku nzima. Najifunza mambo mengi sana toka kwake.
@mateusjoao5584
@mateusjoao5584 4 месяца назад
Point kuliko uwezo dudu baya
@GerardNDUWIMANA-vd6rv
@GerardNDUWIMANA-vd6rv 4 месяца назад
Dudu baya kwel unahakili zitokazo kwa mngu akubaliki zaidi akupe maisha malefu kwasababu maswali ulio yajibu niwachache Sana at a viongozi
@user-gq6cz7mm3r
@user-gq6cz7mm3r 4 месяца назад
Ameandika hivyo kwa wasio kuwa na uelewa. Hamonize big up
@pira7439
@pira7439 4 месяца назад
dudu baya kaa kimya uislam huujuwi, mungu katoa hukumu mbali mbali ahukumiwe bin adamu hapa hapa duniani,dini hii si yko,uliza wenye dini usikurupuke, kasema babaake ni shekhe haoni anamtia babaake aibu.
@godsson5954
@godsson5954 4 месяца назад
mbona shaggy aliimba I WONDER IF GOD IS A WOMAN😂😂😂 Harmo alikua anaiga iga tu nyimbo za njjeeee hahahaha
@Hanif-Salaton
@Hanif-Salaton 4 месяца назад
hauoni hapa viongozi wa dini wanaionya jamii @dudu baya
@deusdedithsalvatory465
@deusdedithsalvatory465 4 месяца назад
Dudu baya is right. Ukweli haufichiki harmonize ni binadam pia ana mawazo yake. Mwenye mamlaka ya kuhukumu ni ya mwenyezi Mungu pekee
@Nasrhamisu
@Nasrhamisu 4 месяца назад
Kaka dudu umeongea ukwer nimeerewa sana na umenifundisha kitu
@ZitoJose-cl3pt
@ZitoJose-cl3pt 4 месяца назад
Yani nilichogundua watu wa mungu wamekosa maarifa mtu hunakasirika na kujifanya kana wewe ndo hunamjua mungu vizuri jamani mungu hatetewi mungu anajitetea mwenyewe hata hao manabii sio kama ndo walikamilika kivile hapana walikua wa2bwakawaida tu kama wewe, hila mungu hakitaka jambo lake hatakuinua hata wewe kupigana zidi ya adui wa mungu, kwaiyo hacheni miemko yenu mungu na huyo harmonize ni kiumbe wa mungu, na yeye mungu mwenyewe ndo hanajua jinsi ya kudili na viumbe vyake hacheni hunafki wenu
@neptuneplutonium86
@neptuneplutonium86 4 месяца назад
Dudu baya anaongea vibaya coz haelewi...uislamu ni kuhimizana mema na kukatazana maovu ..hivyo sio kuhukumu mtu ni kumkataza,kumkanya asiendelee kuyafanya...unatetea usilolijua Wala kulifahamu😢hauna elimu ya dininyoyote coz sijaona shekhe yeyote aliyesema eti anamhukumu harmonize ila ameonywa tu😢
@benjaminbilungu7771
@benjaminbilungu7771 4 месяца назад
Dudubaya nahamini unaongwonza na ROO MTAKATIFU WA MUNGU WAONGEYA VIZURI SANA
@jumaalfani4839
@jumaalfani4839 4 месяца назад
👍👍
@JosephuSwai
@JosephuSwai 4 месяца назад
Kweli kabisa
@methewbuzuruga-eg8oz
@methewbuzuruga-eg8oz 4 месяца назад
Mimi jamani nimeenda mbali sana kwenye hii tafakuri ya harmonize juu ya mwanamke nakja nikajiuliza ivi kwa nini sisi binadamu tuwapo hatarini hasa inapotokea hatari ya ghafla uwa tutaja vitu vitatu unaweza akasema mungu wanga mgine akasema hamad mgine akasema yesu wangu mgine akasema mama yangu hapa sjjui mama nae yupo kwenye kundi gani maana ndani kuna watume wawili lakini kwenye hatari mama uwa anatjwa sana aaa yaani bas harmonize naomba utunge wimbo kuhusu hiyo tafakuri kuna vitu vya kujifiunza humo naona kuna ujumbe mzuri
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 4 месяца назад
Konki ipo ivi wamepaniki nakulekebisha harmonise nikwasababu tu harmonise ni muislam na yeye anajitangazaga kuwa yeye ni muislam ndomana dokta sure alisemsema harmonise..kama harmonise atakuwa mkristo basi hawezw kusemwa..napia kuhusu harmonise kuhusu kuomba msamaha mungu adharani nikwasababu harmonise amemtukana mungu dhahiri ndomana dokta sure alimwambia harmonise asafishe mungu dhahiri alafu ndo amuombe msamaha faragha..mwenyezimungu tusamehe Kwakilichotokea usitukasilikie yarabi
@topplus_tv
@topplus_tv 4 месяца назад
Mungu unamuomba msamaha wewe na yeye sio kupayuka mataani kama walokole eti hee tubu hapana dudu baya smeongea big point sure ni binadamu kama binadamu wengine yaani mungu kweli harmonize kakosea na akiomba msamaha yeye na mungu wake pia anasamehewa ila sure yeye anahukumu
@user-lg9hw4dm6x
@user-lg9hw4dm6x 4 месяца назад
Wewe uko sawa
@paulojohn5504
@paulojohn5504 4 месяца назад
tuko pamoja dudu
@karenwillypaulthisiswhatwe127
@karenwillypaulthisiswhatwe127 4 месяца назад
Very true kabisa
@meshackthomas1341
@meshackthomas1341 4 месяца назад
Bro. Sheria. Ya din yao. nazan inaluhusu maana. Kuna kripu Moja. Toka saudi. Aliua nae akauliwa
@user-cr7vi4qp9c
@user-cr7vi4qp9c 4 месяца назад
Duda baya nakukubali sana
@user-xg5se4sy2t
@user-xg5se4sy2t 4 месяца назад
Dudu baya nikweli ila kunadhambi ambayo inakukamata ww kama ww Ila kunadhambi inakwenda kulingana na athari unavyo endelea kuwaathili watu sasa harmonize anawatu wanao mfuata na kumpenda sasa kama atatubia kwa mungu wake ni sawa ila kwa hawa wanao mfuata wataelewaje alafu ww mkristo huyo harmonize anajinasibisha na uislamu dini inayofuata muongozo wa mtume Muhammad sasa mtume amesema mwenye elimu ya dini ndie mrithi wake sasa hilijambo linahusu dini ww imba mziki na usitoe mifano ya dini nyengine harmonize anafaa kukemewa na kuzinduliwa shukran
@ogloc8831
@ogloc8831 4 месяца назад
Laàaanatullah dudu jibwa aka baya
@abdullahkazungu4025
@abdullahkazungu4025 4 месяца назад
Harmonise aliyaleta mwenyewe kwenye Mtandao wangefanya kimya kimya yangeisha kimya kimya .ukikosea kubali kurekebishwa , shekh alicho kifanya alipitiliza kweli ila bado yuko sahihi kumwambia wazi wazi kwamba kakosea ili kesho ajifunze.
@abdallahsalem8499
@abdallahsalem8499 4 месяца назад
Viongozi wa dini ni wajib wao wazungumze kwa kila kosa afanyalo muislamu, huu ni umma bora wa kukatazana mabaya na kuambuzana mazuri. Na wanamtaka Harmonize aombe msamaha kwa mola wake hawakuhimiza aombe kwa mtandao muhimu ni kuwa amuombe mungu msamaha na hilo ni kwa maslaha yake mashekhe hawafaidi wala hawahasariki akiomba ama asiombe
@fredducaunt
@fredducaunt 4 месяца назад
Hawamuombi ila "wanamtaka Harmonize aombe msamaha" 😂😂 Duh Mnamtaka kama watakatifu gani nyie 😂😂😂
@Erastomedard982gmail
@Erastomedard982gmail 4 месяца назад
Kaka uko sahihi 🎉🎉🎉
@hadijandenga6222
@hadijandenga6222 4 месяца назад
Safiii
@omarimmbaga5632
@omarimmbaga5632 4 месяца назад
Hapa nikuwa cc ndio tutakaokuxika, kwa mujibu wa dini mtu mwenye kauli Kama ya harmonize amejitoa kwenye Imani ya uislam, hivyo hastahili kuzikwa kwa mujibu wa taratibu taratibu za uislam,labda angejitoa rasmi,halafu unapomjadili harmonize usichanganye Imani konki
@MbwanaSamata-nt6pd
@MbwanaSamata-nt6pd 4 месяца назад
Huyu jamaa kavurugwa...mamb ya uislamu huya jui...harmo hajaukumiwa amekumbushwa
@YahyaSaiid-vx4rz
@YahyaSaiid-vx4rz 4 месяца назад
Mm namshauri tu afute zile post zake maana ata ukitubu ikiwa post zipo ni sawa na kuonja chumvi kwa kijiko na kuongeza ktk dishi
@aidanikasembe8191
@aidanikasembe8191 4 месяца назад
True boy
@shukranisibale1739
@shukranisibale1739 4 месяца назад
Maandiko yanakataa kumjadili Mungu acheni hio kitu mara moja
@fredducaunt
@fredducaunt 4 месяца назад
😂😂 hamfundishwi sifa za Mungu sjui allah huko madrasa Sasa hamuoni munamjadili😂😂
@husseinbakromar5865
@husseinbakromar5865 4 месяца назад
wakati wa mitume na manabii ndio adhabu zilikua za shuka papo hapo zama zetu ni kulingaliana na peana na saha na alie kamili ni mungu pekee anaefaa kuhukumu ndio maana yoyote anaeomba uongozi amejifananisha na mungu
@user-uw4su3ig8j
@user-uw4su3ig8j 4 месяца назад
JAMANI DUDU BAYA HAYO MAELEZO YKO SAWA KABISA
@user-hn6kv6xe7m
@user-hn6kv6xe7m 4 месяца назад
Mtangazaji upo vizuri.na konk unajibu vzri sana
@GoodluckMwalimu
@GoodluckMwalimu 4 месяца назад
Only the wise can understand.....kila mtu na imani yake na hata hao wanaopiga kelele hawajui mungu akoje na sio wakamilifu
@novatusabond9253
@novatusabond9253 4 месяца назад
Umeongea kweli, dudu
@user-hg4fn8le8h
@user-hg4fn8le8h 4 месяца назад
Inalillahi wainnailaih ilayhi rajiun kwkwel huyu hana uchungu n dini yake, yaan hornonize angekuwe kipindi cha omary bin khatwab hana kichwa tena
@user-qu1ut5ri2z
@user-qu1ut5ri2z 4 месяца назад
Kosa lipo lk inatakiwa aelekezwe atambue Kosa bas atubu cos atubu au asitubu hasara yake nakama faida yake pia hauwezi hukumiwa Kwa makosa ya mwingine lkn viongozi kukemea maovu ni wajibu wao
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 4 месяца назад
Lakumdiinikum waliyadiiin. Nyinyi mna diniyenu nasitunadini yetu. Amuabudu mnachukiabudu nasi.atuabudu mnachoabudu nyinyi
@bibimbwana3248
@bibimbwana3248 4 месяца назад
Wewe mwambie uyo bwanako aombe msamahaa kwa mungu
@SyedAhmedfaruq
@SyedAhmedfaruq 4 месяца назад
Harmonize Ana muabudu Lucifer, kwa hio mungu wake ni mwanamke
@levissifuna2852
@levissifuna2852 4 месяца назад
Ujambo na kariba siokwamba nasapoti harmonize lakini huyujamaa amesema unwell mtu anafaa kumuomba MUNGU msamaha nasio kwawatu
@samuelmuthui4699
@samuelmuthui4699 4 месяца назад
Harmonize angetoka katika uislamu hakuna shekhe yeyote angemfuata. Hata kuna Waislamu maarufu kushinda yeye lakini hawachokozi swala hilo.
Далее