Тёмный

HARMONIZE ATASOMEWA DUA, SHEHE ACHUKIZWA VIBAYA, ATUMA UJUMBE KWA BABA WA HARMONIZE, ACHA UISLAM 

Mbengo Tv
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 155 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 апр 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 666   
@user-lk8ws3fz9x
@user-lk8ws3fz9x 3 месяца назад
Mim ni mkristo lkn sule nimekuelewa Sana Tena unafaa Sana katika jamii🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@habogorimanaathumani6125
@habogorimanaathumani6125 3 месяца назад
Mwenyezi Mungu Akuzidishie elimu Sheikh wetu Suley
@omarsaid_1607
@omarsaid_1607 2 месяца назад
Amin
@bilalabas9636
@bilalabas9636 3 месяца назад
Dr nataman Allah aurudishe nyuma umri wako ww ni genius
@mpusssugimakKbrnh
@mpusssugimakKbrnh 2 месяца назад
Uyó ni kafiritu.
@zainabayubu1070
@zainabayubu1070 2 месяца назад
​@mpusssugimakKbr Allah akusamehe na akutoe ktk ujinga na ujahili
@yoramabubakar8012
@yoramabubakar8012 3 месяца назад
Mashaallah kwa ukweli doctor sule Allah akujalie kila la kheri Na akujalie umri mlefu wenye kheri na baraka.
@mwananganzi
@mwananganzi 3 месяца назад
Mashaalah Mungu akuweke Dr.Sule uzidi ukupambania Uislam na kuwakemea wanaomtusi Mwenyezi Mungu . Allah akuzidishie hekima. Aamin Inshaallah.
@omarsaid_1607
@omarsaid_1607 2 месяца назад
Amin
@omarsaid_1607
@omarsaid_1607 2 месяца назад
Amefafanuwa kwa ufasaha,,,
@mwasimwajambo4686
@mwasimwajambo4686 2 месяца назад
Ameen yarabby 🤲🤲🤲
@ZakiaSalum
@ZakiaSalum 2 месяца назад
Allahumma Amina Yaa Rabbil aalamin
@shafiitwahiru
@shafiitwahiru 2 месяца назад
Mashaallah tabalakallah Allah akuhifadhi inshaallah aamiin maalimu mzito.... barakallah fiihi
@AliBakar-sx7lu
@AliBakar-sx7lu 3 месяца назад
Na wewe mtangazaji ukivaa kiislam unapendeza Masha Laah .
@Sarah-tq2vc
@Sarah-tq2vc 3 месяца назад
Kweli kabisaa
@alimomade2712
@alimomade2712 2 месяца назад
Mash Allah Dr Sule umetema madini, lakini je kunyowa denge inafaa
@ShabanMohamedi-lb8hs
@ShabanMohamedi-lb8hs 2 месяца назад
Nikwel ahakustahiki kusema hivyo jaman
@Mwanatumu-gr7lp
@Mwanatumu-gr7lp 2 месяца назад
maashaallha shekh Allah akujaalie kwa kuipambania dini yetu ya kiislam amiin inshaallha na Allah atuepushe na matendo maovu atujaalie mwisho mwema amiin
@user-uj2nv2ns1t
@user-uj2nv2ns1t 2 месяца назад
Hata mimi naona bado anayo nafasi kubwa sana kumuomba msamaha Allah kama asemavyo Doctore . Alhaj Doctor sule. Harmonize (ALLAH) hafananishwi na kitu chochote au kiumbe chochote kile umaarufu unakutoa kwenye njia.Mdogo wangu Kaka yangu
@user-wp6uc6sn4z
@user-wp6uc6sn4z 2 месяца назад
Machaallah machaallah qu’Allah nous guide inchaallah merci infiniment
@user-oy8iz1mv4r
@user-oy8iz1mv4r 3 месяца назад
MashaAllah umeongea mazuri Allah akupe kheri shekhe sule
@chimami789
@chimami789 2 месяца назад
MashaAllah MashaAllah MashaAllah umeongea nime kuelewa ❤❤❤sheikh
@ramadhaniyusufu4088
@ramadhaniyusufu4088 3 месяца назад
🇿🇦🇧🇮❤shekhe Sule mwite Live please umulize kamanisha Nini
@user-bh3wo8rz2u
@user-bh3wo8rz2u 2 месяца назад
Amuite mubitu gani amemwambia kama amesikia atatoa shahada kam hataki atangamizwa kw nguv zamungu
@HakizimanaFiston
@HakizimanaFiston 2 месяца назад
Hakuna chakumanisha
@samxx411
@samxx411 2 месяца назад
Aitwe kwanini, kishakosea ikisha abembelezwe No..hajamkosea Sule alomkosoa ni Allah, anatakiwa yeye ndio anyenyekee kwa Allah, waislamu watamfundisha tu
@mansuleymc475
@mansuleymc475 2 месяца назад
Kabisa
@user-ss2vt5dx9u
@user-ss2vt5dx9u 2 месяца назад
Masha allah ya sheikh jazkallah Kheira
@user-fz3ib3gs5z
@user-fz3ib3gs5z 3 месяца назад
MashaAllah Dr sule baraqallah fickum
@abdulhakimhussein6039
@abdulhakimhussein6039 2 месяца назад
Allah Akubaarik. Asante kbs
@yuhamrwambo3739
@yuhamrwambo3739 3 месяца назад
Wallahi umenifurahish sana doc sule asipew mtu nafasi kuharibu dini kwasababu ya umaarufuwake,cheo chake au pesa yake SHEKHE
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 3 месяца назад
Mimi nimesha futa manyombo yake yoooote ktk cm yangu
@omarmwabege
@omarmwabege 3 месяца назад
Allah akuongoze.sio zake Tu uwache nyimbo zote.​@@mohammedrajabumwamba1322
@sweetylove9918
@sweetylove9918 2 месяца назад
Doc Sule mauwayako haya mashallah umeongea point kubwa sana
@user-ih4kw5eb3d
@user-ih4kw5eb3d 2 месяца назад
Kabisa vipeni vyake vyamsumbua vya freemason nendo ulaya uangalie milionia anampa mtu gari lakifahari nyumba napesa kwa kujifanya masikini kumbu ni tajiri mkubwa , jee yy hanaweza kumnunulia mtu gari ama honda nyumba yakiswahili, ni hawezi , nakama anaweza kwanini akangangania pesha kwenye sheree walipokua wanapewa chawa cjui laki tako nae akataka haibu
@omarsaid_1607
@omarsaid_1607 2 месяца назад
Kweli kabisa
@ZakiaSalum
@ZakiaSalum 2 месяца назад
Maa shaa Allah Maa shaa Allah Maa Shaa Allah jazaka Allah kheir
@user-ih4kw5eb3d
@user-ih4kw5eb3d 3 месяца назад
Hapo madam utaoga kwa Dr suleiman akunakitabu asokijua hadi vyamvunguni namkubali sana harmonize ameingia chakike ni amuombe Mungu msamaa na jumuia
@yasminally1015
@yasminally1015 3 месяца назад
Asallam maalequ Allahadulilah Maashalla Maashalla Maashalla Allahadulilah llove you so much Allah hjelp you Ishaallah
@nanabwambale1253
@nanabwambale1253 3 месяца назад
Bangi izo na madawa ya kulevya harmonaize Allah afananishwi na chochote punguza bangi za kimarekani
@Sarah-tq2vc
@Sarah-tq2vc 3 месяца назад
Kweli kabisaa bangi n nyingi sanaa
@amofesa8166
@amofesa8166 2 месяца назад
😂
@user-nx4eg7sf8u
@user-nx4eg7sf8u 2 месяца назад
Alhamdu lillah dr sulle, Allah akulinganie tusiwape nafasi watu fulani kumtukana mwenyezi mungu eti kisa umaarufu, umaarufu na muislam unaendana wapi?, wamepita watu maarufu waliojulikana na hawakusubutu kumtukana mwenyezi mungu
@user-ey3gj2qo7u
@user-ey3gj2qo7u 2 месяца назад
Allah akuyifadh baba yng unapambania din yet kbs
@user-zw9jg7ne8k
@user-zw9jg7ne8k 2 месяца назад
Subhanaallah, Allah amuongoze
@AishaJuma-pq4jc
@AishaJuma-pq4jc 3 месяца назад
Dr sule shukran Kwa kufafanua na kutuelimisha zaidi kuhusu uislamu. Mashallah
@chan_realb4837
@chan_realb4837 2 месяца назад
Allah akupe mwisho mwema suley
@faridapandu7579
@faridapandu7579 3 месяца назад
Subha Allah heee asant doct sule mungu akupewepesi inshaallah uzidi kutufafanulia dini
@namelockmaasailady8002
@namelockmaasailady8002 3 месяца назад
Asante Sana Dr Sulle,Allah akupe baraka zake
@RajabAthuman-md7zq
@RajabAthuman-md7zq 3 месяца назад
Bangi hizo mbaya sana ad Kwa Allah Mungu hafananishwi na chochote bro
@MwanarusiMwasaria
@MwanarusiMwasaria 3 месяца назад
Mashallah Mungu akuhifadhi Shee wetu Inshallah.
@user-el6mm4lh4m
@user-el6mm4lh4m 2 месяца назад
Ostrs Gani...harmo...mdaa wteee unazani we ndo mungu ....harmo juuu
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 3 месяца назад
Mm ni mkristo but neno uislamu ni matendo nikukubali mungu akupe hekima zaidi
@mbenamdudu7856
@mbenamdudu7856 3 месяца назад
Masha Allah shekh tukiwa acha Hawa wasanii wafanye wanachotaka ktk dini watatuharibia dini waambiwe wazi wazi kama hivi dokta sule unavyofanya maashaaa allah
@zamdauseni9787
@zamdauseni9787 3 месяца назад
Shehe sulile na Kibali kwa manenoyako yenye unasema Mungu akubariki kwenye ilimu yako 🙏🙏
@josephmwita737
@josephmwita737 2 месяца назад
Mim n mkristo ila sule mwite nmekukubali na unastaili Kwa jamii yetu hii ya sasa...very genius and blessed man
@MaulidMnyamisi
@MaulidMnyamisi 3 месяца назад
Harmonize ni kioo cha jamii. Kitondo cha kumkufuru Mwz,mungu kitaigwa na sehemukubwa ya jamii. Ilikuinusuru jamii ifike mahalia watu kama hamonize wanastahili kushtakiwa kwa Mungu. Kitakacho mpata kiwe fundiaho kwa Wasanii watu yenye fikra kama hamonize.
@AzizMangara
@AzizMangara 3 месяца назад
Awe BUBU TU
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 3 месяца назад
Laila ha ilah ilikuaje aseme hivo,ya rabbi, Allah,msamehe Harmonize,eee,
@RashidiTuwa
@RashidiTuwa 2 месяца назад
Nakuelewa sana Dr sule
@olivyechambikwa425
@olivyechambikwa425 3 месяца назад
Sheh nakukubari sana kwanasaha nzuri sisi waisram tunajivuniya kuwanamashehe waerevu kamawewe
@user-tq2fu8zm4l
@user-tq2fu8zm4l 3 месяца назад
Asante sana shekhe pesa na afya isikupe kiburi unamfananisha Muumba wa mbingu saba pasi na nguzo iblis mwenyewe laana za MOLA ziwe juu yake hakuwai fika huko ww harmonize ni nani Allah atuongoze
@HHKAHABBY
@HHKAHABBY 2 месяца назад
Allah akulinde dr shule
@nishawangaiwangai9765
@nishawangaiwangai9765 3 месяца назад
Masha allah Dr sure unatufanunulia vizuri
@Fidia-ie3fi
@Fidia-ie3fi 2 месяца назад
Asalam alehkumu ongera sana dr sule tz❤❤❤❤❤❤
@farjallahubeydabdulrahman4845
@farjallahubeydabdulrahman4845 3 месяца назад
Shukran Dr.Sule mpe vidonge vyake huyu harmonize mjinga kikweli anajiona ana mapeni ana kibri hana heshima kwa dini ya Allah
@rehemamaheri9358
@rehemamaheri9358 2 месяца назад
Mashallah tabarakallah well explained Dr sule
@user-og3sx6th9w
@user-og3sx6th9w 2 месяца назад
Asanteeee sana doct sule umenifurahisha sna unavyoitetea uislam allaha akupe umri mrefu wenye faida
@Maerys-xm8xt
@Maerys-xm8xt 3 месяца назад
Doctor,umenikosha moyo wangu,Allah akulipe kheri,nawengine wasikilie apoooo.waambie na aw wajiita wa islam wanavaa uchi mbele ya watu. Waitutukanishie dini yet nzuri
@AbuhariMohamedi
@AbuhariMohamedi 3 месяца назад
Allah akuhifadh sana shekhe wang axhukuriwe mola kupata watu kam wewe kweny uislam : napata picha ya kwamba walim ni waridhi wa mitume
@MaryamIbrahim-wb4qn
@MaryamIbrahim-wb4qn 2 месяца назад
Atubie amekufuru asiimlinganishe mwmungu na kitu Cho chote
@aishaomar2287
@aishaomar2287 3 месяца назад
Wallah binadamu hatuko kamili ila kwa kumfananisha Mungu na kitu au mtu aki NO! Tujiangalie sana hata kama ni kiki au kazi tunafanya😢...mbego tv🎉🎉🎉🎉
@user-ve3wu5jn1l
@user-ve3wu5jn1l 2 месяца назад
N kweli kiki zao wapeleke huko kwenye maujinga Yao . Huku alipofika sio sehem yake .
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 3 месяца назад
MAASHAAALLAH Dr SULE Genius maashaaAllah nakupenda kwaajili ya Allah ndugu yangu sulle unaeleweka vizuri hawa watoboa pua wanafanya Kufuru
@HamedYasir-kh3vr
@HamedYasir-kh3vr 2 месяца назад
Mungu akueke dokt sule
@youngtomuller-vh2pu
@youngtomuller-vh2pu 3 месяца назад
Suleh você está certo ❤❤❤
@mujingakabwiza5474
@mujingakabwiza5474 3 месяца назад
Mashallha Mungu akulipe Ameen
@swabrinahamed3620
@swabrinahamed3620 2 месяца назад
safi sana dkta suleh
@hustonsilver8453
@hustonsilver8453 2 месяца назад
Doktor sule Allah akupe umri mrefu kwakweli wakuelewa kaelewa hata asie kua mwislam,hii ni ilimu kubwa na siu utaufuti tena,,,,,walikuwepo famous na watukuja famous sasa kutengeneze mazuri na hadith nzuri
@BaransananiyeAussi-zs3gg
@BaransananiyeAussi-zs3gg 3 месяца назад
Allah ahlkuhifadh cheikh
@SubiraYussuf-kw4uz
@SubiraYussuf-kw4uz 2 месяца назад
❤❤❤ daah Allah ni mpole kwa waja wake humruzuku amtakae na ndie mwenye nguvu
@SamwelMkwizu-tn7zn
@SamwelMkwizu-tn7zn 2 месяца назад
Dr sule upo vizuri🙏
@saidmohd7240
@saidmohd7240 2 месяца назад
Hongera dr. Sule! Niko pamoja na wewe sana tu!!! Umesema Ukweli namna inavo stahiki hasa kwa namna ya Hishma ya Uislamu!!!
@user-xd9ye7wk6c
@user-xd9ye7wk6c 3 месяца назад
Asante kwa kuliongelea hili. Mashekhe wetu ALLAH awajalie kheri
@matiankomola2391
@matiankomola2391 2 месяца назад
Baba nimekuelewa sana! Bwana aendelee kukutumia ktk utoaji wa Elimu ya kumfahamu Mwenyezi Mungu!
@CKMO
@CKMO 3 месяца назад
Ahsante shekh sule ❤
@yusufabdikadir4260
@yusufabdikadir4260 2 месяца назад
Shekhe dr suley mwenye zimungu subuhana watalah akutangulie na kukujalia mafanikio makubwa na maisha marefu shukran huyo hamo rabundo nikafir Shekhe sitaki kusikia Habari zake
@user-cn6re5zq9f
@user-cn6re5zq9f 2 месяца назад
Wallahi shukran kwa Darsa lako, Allah (SWT) Akuhifadhi in Sha Allah
@mohamedimiraji5495
@mohamedimiraji5495 2 месяца назад
Dr. Sulley I'm not only agree with your arguments but also I appreciate them. Big-up
@omarynjoya9885
@omarynjoya9885 2 месяца назад
Masha Allah shekh mw mungu akupe maisha marefu ili kupambana na watu kama hawa
@ElizabethDau-wv4cm
@ElizabethDau-wv4cm 2 месяца назад
Umetupa elimu nzuri dr sulee
@hamadfaki7625
@hamadfaki7625 3 месяца назад
Masha shekh Allah akupe shahada wakat wakufakwako kwarrhma zake juu ya kutetea upwekesho wa Allah
@aishaaisha4549
@aishaaisha4549 2 месяца назад
MashaAllah sheikh wetu upambanie uislamu wetu napenda ujasiri wako kwa Dini ya islam
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 3 месяца назад
Nilisema Mimi harmonize mapenzi yanampeleka hovyo na nikasema amsubiri mazinge na Dr sule haya bado na kipozeo mufti Allah akupe umri mrefu.
@chantalharakandi2576
@chantalharakandi2576 2 месяца назад
Masha Allah alhamndulillah docta suley umefanya vizuri na wangine hawatarudi kujirusha akili Allah akubariki sanaaaa
@kombodenge9781
@kombodenge9781 3 месяца назад
Shehe hongera kwa kutoa darasa kwa uma ili tucije kuvuka mipaka kama huyu kijana
@allykwaya
@allykwaya 3 месяца назад
ALLAH AKULIPE HERI
@iddirajabu-vk7ej
@iddirajabu-vk7ej 2 месяца назад
Allah akujaalie mwisho mwema,na si wote ummat Muhammad inshallah
@farjallahubeydabdulrahman4845
@farjallahubeydabdulrahman4845 3 месяца назад
Allah Akuhifdhi Akupe umri mrefu yenye baraka shukran jazakallaahu kheyr
@user-zh6xn8jr2c
@user-zh6xn8jr2c 2 месяца назад
Mashallah, jazakallah khairan sheikh Sule.❤
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr 2 месяца назад
Masha Allah hongera shekhe Mungu akulipe jazza njema hii I elimu kwa wote
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 3 месяца назад
Mungu Anaemuelezea Harmonize Wenda Mungu Anaewapa Utajili Wa Mwendo Kasi Wenda Ndie Mungu Kwa Upande Wao Lakini Mungu Aliye Juu Ajawai Kufanana Na Mtu Wala Kitu Isipokua Manabii Kama Nabii Yesu Amefanana Na Watu Ndiyo Sababu Hata Watu Uigiza Movi Kwa Mifano Ya Kuona Japo Tunajua Siku Izi Wanaibuka Sana Manabii Na Kujitangaza Cha Ajabu Kwenye Makanisa Yao Wanataja Jina La Yesu Badala Ya Kujitangaza Wao Kama Manabii Wapya Hata Hao Wanaitaji Kuambiwa Kweli Kwanini Harmonize
@rahmakassanga9013
@rahmakassanga9013 2 месяца назад
Inshallah mungu akuweke sheh sule uzidi kutuelimisha🙏🙏🙏
@MalikiAthumani-bu8to
@MalikiAthumani-bu8to 2 месяца назад
Mashallah Doctor Sule. Allah akuhifadhi Inshallah
@BiafraSeleman
@BiafraSeleman Месяц назад
Mashaallah doct sule
@MtessaAlly-rd4hf
@MtessaAlly-rd4hf 3 месяца назад
Masha Allah daktari sulley... Na mtangazaji umependeza sanaaa
@karambashentertainment2255
@karambashentertainment2255 2 месяца назад
Dr Sule nakukubali kauli zako Sahihi Hakuna dhihaka katika kumchezea Allah na Mwenye anaunga Mkono kumtetea Harmonize yeye pia ni Mmoja katika Tabia hiyo..Dini ya Allah sio ya Mchezo ukiona Munkari kataza kwa kupitia mikono yako ukishindwa Mdomo wako na Mwisho ukishindwa chukia ila hiyo ni udhaifu wa Imani ..I respect you Sir Allah akuzidishie japo sina Elimu ya hivyo sana Lakini harmonise atajifunza kitu hapa.
@SeifAli-bb6tr
@SeifAli-bb6tr 3 месяца назад
Subhanalwah eemolawetu muokoe rajab katikatika akili ya kishetani nakamaniakiliyake mungu a muokoe aammin waislam wotekwapamoj tumuombeenikwapamoja kijanawetu mdogowetu mtotowetu. Arudikatika mtariuliosahihi na Dhani waislam mmenielewakwapamoja
@zuhumedia6184
@zuhumedia6184 2 месяца назад
Doct sulle inshaallah mwenyezi mungu akujaalie uwe na umri mlefu wenye mafanikio wa kuwaongoa wengine
@user-ik2fz3kg9y
@user-ik2fz3kg9y 2 месяца назад
Mimi ni fans wa Harmonize lakini kakosea kabisa kiasi namimi nikakwazika kwa kweli Fanya tauba na ushahidie kwa mara nyingine ili Allah atupokey Pepopi Allah ndie mjuzi namwenye elmu
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 3 месяца назад
Bado mazinge sasa masha'allah dr sule, sasa mbengo tv mtafute mazinge au sheikh kishki
@hakeemwamahoro5144
@hakeemwamahoro5144 3 месяца назад
Mazinge ndio balaaaaa😂😂😂😂
@rommybyser329
@rommybyser329 3 месяца назад
Kwa kweri apa bado mazinge kwer
@jaafarbayeke
@jaafarbayeke 2 месяца назад
Nakukubali Sheikh Sule, yule kijana asiuvae sana umaarufu akajaribu kudogosha Dini ya uislam.
@KhadijaKhadija-jh9of
@KhadijaKhadija-jh9of 2 месяца назад
Masha Allah asante kw ujumbe shekh sule
@yusufkuto2020
@yusufkuto2020 2 месяца назад
Hormonez acha upumbavu wa maisha katika hii dunia baba,kila mmoja na pesa zake katika hii dunia kakangu pesa za majini izo ndo zakusumbua kichwa mpaka unaamua kusema maneno ya kipumbavu kama ayo pole sanaa kakangu pesa za majini ndo zimekutawala brazaa ila mungu yupo nawe.
@YunusiAthuman-ep5mc
@YunusiAthuman-ep5mc 2 месяца назад
Mashaallah shekh allah akujalie umri mlefu
@mtunduwathatambala9848
@mtunduwathatambala9848 3 месяца назад
Sheikh wetu mungu akubaliki
@FatumaLulu-bp7ms
@FatumaLulu-bp7ms 3 месяца назад
Kiukweli kakosea sana amuombe ALLAH msamaha haraka sana...YA ALLAH Tujaalie mwisho mwema AMIIN.
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 3 месяца назад
Nikwer dokta sure umeongea kuntu .. nakupenda Sana doctor sure Kwajili ya mungu.. harmonise aombe msamaha kwamana ameongea pumba
@RayaRashid-dc2hn
@RayaRashid-dc2hn 3 месяца назад
Keep it up broo sule,wakome wa2 kama hao,pesa si chochote na ushamba wake wa wanawake bwege huyooooo
@Sarah-tq2vc
@Sarah-tq2vc 3 месяца назад
Maa shaa Allah Dr Sule Allah akuweke
@BARAKAMIKIDADI-pw5wi
@BARAKAMIKIDADI-pw5wi 2 месяца назад
Allah akupe umri mrefu sheikh Sule
@user-ew7yq4il1i
@user-ew7yq4il1i 2 месяца назад
Umeongea pwenti sana shee sule mungu akuzidishie
@LegendAdan
@LegendAdan 2 месяца назад
Sheikh shukran kwa mawaidha Allah atuongoze
@emmaculatewambua-ou9nu
@emmaculatewambua-ou9nu 3 месяца назад
Allah Akbar,nakukubali sana Dr.Sule
@user-jd6vr9xw1o
@user-jd6vr9xw1o 3 месяца назад
Sheikh Sule , Safi sana sheikh wetu umenena ukweli proud of you
@swafiirbulbul819
@swafiirbulbul819 2 месяца назад
Mashaa Allah.. Dr. Sule ❤
Далее
Harmonize - Na Nusu (Official Lyrics Video)
4:19
Просмотров 1,9 млн
🎙️А не СПЕТЬ ли мне ПЕСНЮ?
3:12:39
One moment can change your life ✨🔄
00:32
Просмотров 8 млн
DK SURE AMGEUKIA DIAMOND, AWASHA MOTO KUZAA BILA NDOA
16:42
STIVE NYERERE AONGEA KIKOREA UTACHEKA UFE.
27:29
Просмотров 3,2 тыс.