Тёмный
No video :(

DR SULLE APATA KIBOKO YAKE NI MUONGO ATAJA JINI LINALOMUENDESHA LENYE UTAJIRI 

Bongo Touch
Подписаться 741 тыс.
Просмотров 137 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 821   
@hawakassimu6120
@hawakassimu6120 Месяц назад
Mwenyezi Mungu atunusuru na atukinge na ushirikina Ushirikina unashika kasi Na hawa watu ndio wanao utukanisha uislam waislam wanaonekana ni wachawi na washirikina kumbe watu wana elim zao za kishirikina ambazo hazipo katika qur-an Yaallah nikinge mimi na kizazi changu dhidi ya ushirikina na washirikina
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 3 месяца назад
Ukimsikiliza Uyu Ostazi Maneno Yake Yamejaa Elimu Kubwa Sana Sijajua Kwa Watu Mnaomsema Mnawaza Nini Kichwani Maneno Yake Ziko Pointi Nyingi2 Moja Anasema Mtu Ukipata Pesa Kupitia Jini Ujue Wewe Unamuamini Jini Kuliko Mungu Na Yapo Maneno Mazuli2 Tuache Kusema Uchawi Uchawi Mimi Nachukia Sana Mashee Wale Kazi Yao Maubili Yao Wanawake Na Ngono Wanawake Na Ngono Mpaka Unawaza Inamana Kitabu Kinazungumza Ngono2
@abdulrauphaiy3032
@abdulrauphaiy3032 3 месяца назад
Naam.
@user-je7no7lq7d
@user-je7no7lq7d 3 месяца назад
exactly
@fredducaunt
@fredducaunt 3 месяца назад
Hakuna cha elimu Wala nn Ushirikina tu Mwogopeni Mungu Achana na mapichapicha Jini ndo ushenzi gani acheni dini za uongo
@user-pe1qv1sn5p
@user-pe1qv1sn5p 3 месяца назад
dunia hii inamambo mengi sana mwenyezi mungu atunusuru mana kila mtu analake kwasababu moyo wa mtu ni msitu Allah atuongoze ktk kheri zake atuepushe na tamaa za maisha haya kumekua na mambo mengi mnoo yaarabi tunusuru yaarabi
@Matunzo_Classic
@Matunzo_Classic 3 месяца назад
1a
@AbdulMikidadi-sl9gx
@AbdulMikidadi-sl9gx 3 месяца назад
Kuita jinn ni katika ushirikina ushahidi aya ya 6 suratul jinn na hadith ya mtume (s.a.w) alipomfunga sheytwan akakumbuka maneno ya nabii suleiman ('alayhi salaam) aliposema Allah (s.w) asimpe kiumbe yeyote uwezo aliopewa yeye wa kuamrisha majinn Hakuna wa kati na kati ktk kuleta rizk, Allah (s.w) haitaji pete kukuletea rizk wala jinn muogope mola wako rejea ktk manhaj sahihi ya ahlul athar wa sunna wa jama'a kutoka kwa ufahamu wa wema waliopita
@RamadhaniMsukuma
@RamadhaniMsukuma 3 месяца назад
We😂 nawe hata haujui tofauti ya shwaitan na jini
@AbdulMikidadi-sl9gx
@AbdulMikidadi-sl9gx 3 месяца назад
@@RamadhaniMsukuma tafauti yake nini?
@user-kn8pw7vk4e
@user-kn8pw7vk4e 3 месяца назад
Hadithi tu izo ...sifa za shetani hakuna wa kumfunga zaidi ya MWENYEZI MUNGU, funguka akili
@user-yv3qi1yf3j
@user-yv3qi1yf3j 3 месяца назад
Swadakta
@user-bc2wd1sq3k
@user-bc2wd1sq3k 3 месяца назад
Kesho Miele ya Allah kutatanda 😢😢😢😢😢😢 na jasho, Ya rab nisamehe mimi na unionize ktk kheri na uongoze ulimwengu mzima.
@ramadhaninchimbi8807
@ramadhaninchimbi8807 3 месяца назад
Huyu jamaa ni mshirikina...Tanbih kwa waowafuata hawa jamaa kwaajili ya tiba,,wajue wanawaendea washirikina wanaojificha ktk kivuli cha dini
@mohammedrutta4989
@mohammedrutta4989 2 месяца назад
Inna shshriki ladhulmun a'dhwiim.Hii ndo dhambi kubwa kuliko dhambi yoyote kuweni makini na hayo mnayoeneza na muandae majibu mazuri kwa Allah s.w
@user-rt5vq5vc3k
@user-rt5vq5vc3k 3 месяца назад
Subuhanallah Allah tujalie mwisho mwema
@Onchieku-cp8wd
@Onchieku-cp8wd 3 месяца назад
Uislamu ni miongoni mwa wachawi, washirikina na ushetani pia
@ashuraabdulmaalik5319
@ashuraabdulmaalik5319 3 месяца назад
Na Ukiristo nao je?
@AbdulqarimhassanSwalehe-sz2er
@AbdulqarimhassanSwalehe-sz2er 2 месяца назад
@@Onchieku-cp8wd sokweli ndugu uislamu ukombali nahivyo vitu
@jovinmancomedytz
@jovinmancomedytz 3 месяца назад
Mungu akujalie kaka mi nimekuelewa sana sule anatuongopea sana etikunamajini wazuri nimekuelewasana kaka
@alianboori9734
@alianboori9734 3 месяца назад
Mm pia namkubali
@saadislam718
@saadislam718 2 месяца назад
Namba ya simu dkt sulle tafadhali
@Ostica..Omie..junior
@Ostica..Omie..junior 3 месяца назад
Wewe mtangazaji..ni mgombanishi sana..DR sule ajasema kuwa aiwezekani kumwita jinni..amesema kuwa inawezekana rakini inaitajika uwe na elimu ya kutosha ya kuongea na majini...ninekusawisha vizuri mtangazaji..ukiwa na elimu ya kutosha ya kuongea na majini..utakuwa nao uwezo wakuwaita
@abdallahmkali3251
@abdallahmkali3251 3 месяца назад
Mtangazaji amejikanyaga
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 3 месяца назад
Alafu anataka kujua kila kitu mtu ashasema ni siri yake lakini yy analazima ajue khaa
@FridayMwassa
@FridayMwassa 3 месяца назад
Unamwita jini Kwaajili ya nini,nyie watu acheni uchawi, Muhammad hakuwa mtume wa Mungu na ndiyo maana hakuna mahali kwenye koran panaonyesha Mungu alisema naye kama alivyosema na wakina Musa, Yesu, Samuel au Daniel,mud ni muongo na ndiyo maana hata mafundisho yake yanachanganya sana
@hatibubalozi592
@hatibubalozi592 3 месяца назад
wewe mwehu huna akili​@@FridayMwassa
@maciaali3698
@maciaali3698 3 месяца назад
Mwamini Allah,hakuna mafundisho ya Pete katika Quran tukufu watanzania wacheni ushirikina
@abelwillium4286
@abelwillium4286 2 месяца назад
Kaka nimekuelewa vizuri Sana Ira mtangazaji hajakuelewa
@omarmzaham7248
@omarmzaham7248 3 месяца назад
!!Hii ni SHIRKI!! kwa muislamu yeyote anae soma labda hana uhakika hapa, tiba ya ruqya na shifaa yeyote inatoka kwenye Quran kwa idhini yake Allah(s.w.t) na RasullAllah(s.a.w) ame tu ongoza kwenye Sunnah zake zote na dini ime kamilika usi danganywe kwenye Bidaa,ingekua kweli haya mambo sijui nyusi za samaki sijui nini ..kutoka kwenye sahaba wa kizazi cha pili auTābiʿū al-Tābin ingekua hizi sunna zote ziko wazi kwa waumini...chunga imani yako na amali zako jitenge na kufur!...
@joshuaandrew386
@joshuaandrew386 3 месяца назад
Namshukuru MUNGU kuwa mkristo Hakika nipo mahali salama na pa uhakika ni njia isiyo na shaka yoyote.
@Anuarmustafa4128
@Anuarmustafa4128 3 месяца назад
Bado hunawa salama yesu anaenda kukukataeni mbele ya mungu
@AbdalahMtambuka-rh1dp
@AbdalahMtambuka-rh1dp 3 месяца назад
uoukilsto niushilikina kukubali yesumungu niushilikina kumpinga mtume Mohammad s.a.w. ukafili kukubali yesu kajakukomboa zambizawatu niushilikina nyinyi wakilsto amunaelimu yadin .atamwamposa nimshilikina
@AbdalahMtambuka-rh1dp
@AbdalahMtambuka-rh1dp 3 месяца назад
achakuogopa pumbavuwe uklsto niushilikina kaamini yesu nimungu kumpinga mungu kusema kunamungu baba namungu mwana niushilikina kuamin msalaba nakuutii niushilikina waklstowote niwashilikina kakuna mklsto anabisha nimpeandiko ndani yakitabuchake biblia awa wakilsto niwasomi ila awaisomi dini wanaelimu yakutafuta ajilatu kwaio wewe usiogope kusema ukweli abuwewe mklsto soma kwanza issaya 10..56
@user-ve3wu5jn1l
@user-ve3wu5jn1l 3 месяца назад
Hahahahaha . Allah akuongoe ujue njian sajihi
@OG_The_King
@OG_The_King 3 месяца назад
Amina, Hakika Yesu ni Bwana
@ala1608
@ala1608 3 месяца назад
Muthani kweli kweli mie nampenda sana sheikh Nurdin kishik havai pete kbsa 😢😢🤔🤔🤔
@SureBoy-o2t
@SureBoy-o2t Месяц назад
Kishki pia kipenz chang
@allyally5124
@allyally5124 3 месяца назад
Masheikh wa bongo njaa zinawasumbua sana.. Allah atawahuku.
@rashidbusanya5843
@rashidbusanya5843 3 месяца назад
Allah kuongelea shiriki Kwa mara nyingi zaidi Tena Kwa uzito kunamaana sio Bure
@user-yv3qi1yf3j
@user-yv3qi1yf3j 3 месяца назад
Wote washirikiina muislamu safi anamjua mungu pekee.
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 2 месяца назад
Abdullah ni neno la kiarabu, pia ni jina Abdullah maana yake ( KUMTEGEMEA MWENYEZI MUNGU ) sasa wengine Wanategemea majini kinyume na Mwenyezi Mungu. Hili ni balaa.
@saidissa8273
@saidissa8273 5 дней назад
Kwa hiyo ukimtegemea binadam ni sawa? Someni​@@ismailsoud3634
@nundabe
@nundabe 3 месяца назад
Mimi na YESU wangu fresh, pengine panatisha…
@softymoha5484
@softymoha5484 3 месяца назад
yeu hakuwa mkiristo. wala wakiristo hamufwati yesu wala mafundisho yake wala lolote alilolifanya yesu hamna mnalilifanya. kwa taarifa yako. yesu hakuwahi ingia kanisani, wala wakati wake hakukuwa na kabisaa sasa wewe unamffwata yesu yupi?
@AlfredZacharia-of3je
@AlfredZacharia-of3je 3 месяца назад
YESU ni kristo, na sisi niwakristo soma wagaratia 3:29. Na tunafuata mafundisho yake, kwanza tunaamini kuwa alikufa na kufufuka, tunabatizwa kama alivyowaamulu wanafunzi wake, matayo 28:19
@fredducaunt
@fredducaunt 3 месяца назад
​@@softymoha5484toka pepo
@hakizimanaselemani1995
@hakizimanaselemani1995 3 месяца назад
Mimi na fwatiya sana vipindi vyako : Ila naku hakikishia wote wana tumia ilimu ya Siri ambayo ki sheria yaki islam ni shirki aina ubish ndanimo , Allah pekee ndo mwenye kutowa utajiri na ku kadiria kila kitu , Allah ndo mlinzi , na akuna ushirika wowot saw bin’Adam n majin wot weny kumia ilumu y nyota wot nyuma yao kuna nguvu y jini hutumika nao yot ni ushirikina , haijalish alo sem ame vaa kanzu na kilemba au ni mwarabu au ni nani Ila dini yetu iko waz waz , ndoman mtume saw ame tumia miak mingi kuifundish tauhid, turizik n maish alo tukadiria … Allah uko shahid nime fikish
@aziziatumanially424
@aziziatumanially424 3 месяца назад
Asante mtu uliyenihubilia injili ya Yesu
@muhammadmbaraka4515
@muhammadmbaraka4515 3 месяца назад
ALLAAH akuongoze
@noors7030
@noors7030 2 месяца назад
Ukae ukijua wate ni washirikina wanamshirikisha Allah na majin Muslim humuomba Alla pekoe mmoja tu
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 3 месяца назад
Acheni uongo, kwa Mwenyezi Mungu hakuna siku mbaya, siku zote ni nzuri. Vinginevyo ni shirki. Na sio mnaita majini mnaita uchawi.
@LumolaSteven
@LumolaSteven 3 месяца назад
Una ushahidi gani kusema siku zote ni nzuri? Siku ya ijumaa ni siku bora kuliko zote imetukuzwa na tumepewa umati Muhammad.
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 3 месяца назад
@@LumolaSteven Siku zote ni nzuri, na Al jumaa ni nzuri zaidi Na ndiyo maana inawakutanisha waja pamoja..
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 2 месяца назад
Kweli, ubora uliomo ndani sala ya al jumaa ni bora kuliko uhai wako. Ila watu hawajuwi. Njooni kwangu niwafafaulie sala ya al jumaa na siku yenyewe. Nipo Toangoma( al musabih ) na maswali yenu yoye najibu Mimi mfano kama waliopita. Allah ameniruzuku elimu toshelezi.
@amyassyassin7909
@amyassyassin7909 3 месяца назад
Wote waongo hawa, si ktk mafunzo ya Quran wala mafunzo ya Mtume salallahu alayhi wasalla. Majini wema wanaomtii Allaah hawaingii ktk vichwa vya watu wala hawashirikiani na wanaadamu.
@KassimAlly-xp4dz
@KassimAlly-xp4dz 3 месяца назад
Swadakta
@thabitimkufi7388
@thabitimkufi7388 3 месяца назад
Yaani hawa waganga kweli leo ndio wanaiharibu dini kiasi hiki
@FatmaayoubsuleymanSuleyman
@FatmaayoubsuleymanSuleyman 3 месяца назад
(​@@thabitimkufi7388
@8pistons194
@8pistons194 3 месяца назад
Hakunaga shetani mwema acheni uzwa,wa
@FridayMwassa
@FridayMwassa 3 месяца назад
Majini wema uliwaona wapi, mafundisho potofu ya Muhammad,
@mohammedmasudi-dz6hb
@mohammedmasudi-dz6hb 3 месяца назад
SUBHAANA ALLAH SUBHAANA ALLAH YAARABBY TUONGOZE NAHAWA NDUGU ZETU KTK HAKI ZAIDI
@trophywilson7211
@trophywilson7211 3 месяца назад
Tunapata Maneno jinsi waislamu Wanavyoita Majini na Jinsi wanavyotajirika kupitia Majini
@sadikiissa7756
@sadikiissa7756 3 месяца назад
Waislam tujizatiti ktk kusoma Tawhiid na kujifunza tiba ya Ruqya ya kisheria kwa jinsi Mtume S. A. W alivyofunza.
@jesusislord9190
@jesusislord9190 3 месяца назад
Bado ni uchawi na majini watakuja tu uislam na majini ni kitu kimoja
@jpmanotaofficial639
@jpmanotaofficial639 3 месяца назад
Mtume wako kajifunza kwa nani na yeye
@jesusislord9190
@jesusislord9190 3 месяца назад
@@jpmanotaofficial639 mtume gani?? Sijawahi kuwa na mtume mchawi
@mohamedmwatuwano5526
@mohamedmwatuwano5526 3 месяца назад
Huyu jamaa anajichanganya. ALLAH ndio kila kitu, haya mengine ni utunzI na uzushi tu wa siku nyingi. Huyu jamaa ni kibaraka wa maandishi asiyo yaelewa vizuri. Muulize nani kaandika hivyo vitabu. Mwambie aende akasaidie wapalestina wasidhulumiwe na waisrael. Kama kweli elmu hiyo yawasaidia waarabu wangesumbuliwa na muamerika. Huo wote ni ulaghai. Kama kweli hio elmu yao na mapete yao yafanya kazi nawaruhusu waitumie kunidhuru mimi, wayatume kwangu majini mabaya sana wafanyie unyama watakavyo wao. Hawa watu wana elmu potoshi. ALLAHU AKBAR!
@fredducaunt
@fredducaunt 3 месяца назад
​@@jesusislord9190😂😂 washenzi hawa wananafasi yao peponi kuongopea watu na kupotosha watu sio bure
@allykigatta7564
@allykigatta7564 3 месяца назад
....HAWA WOTE NO WAGANGA WA JADI KUMAAMAYE ZAO....HAKUNA SHEHE HAPO WALA USTAADHI...HAO WAPO KWA AJILI YA KUUKASHIFU UISLAM TU BASI.....SHEHE NA MAPETE NI WAPI NA WAPI....KUANZIA DR SULLE NA HUYO MBWA UNAYEMHOJI HAPO WOTE NI WAGANGA WA JADI KIMAAMAYE ZAO...
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 3 месяца назад
Sasa matusi ya nini, au kuitana aina ya wanyama? Umekosea sana sana, umefika mahala pabaya mno kumtukana mtu asiehusika ni sawa ? Omba msamaha hata kimoyomoyo si jambo la kheri kumtukana mama au kuitana majina ya wanyama
@allahisone6386
@allahisone6386 3 месяца назад
​ UPEW ULINZ WAKUTOSH
@yusufkishiwa-wr3jn
@yusufkishiwa-wr3jn 3 месяца назад
Mtume Muhammad Aliwauluza ma swahaba mufilusi Ni mtu wa Aina gani? Ma swahaba wakajubu Ni mtu aliyefirisika Kisha Muhammad akasema mmekosa Mufilisi Ni yule mtu anayewatukana wazazi wake wawili mfano unapomtukania mwengine wazazi wake hapo Ni sawa na kuwatukana wazazi wako
@faridahalwaily85
@faridahalwaily85 3 месяца назад
Anaeeee Linda ni mwenyezimngu tuuu hakuna zaidyyyyy yakeeeee.
@aishathabit3732
@aishathabit3732 3 месяца назад
Swadakta
@yusuphibrahim-yq9mv
@yusuphibrahim-yq9mv 3 месяца назад
Allahu akuongoze ktk hqq ndugu yangu
@JumaHamisi-qh3lo
@JumaHamisi-qh3lo 3 месяца назад
Acheni kuusema uislamu kwa vibaya kwasababu ya haya maneno qur-ani na sunaa za mtume Muhammad swalla llahu alayhiwasallam hazjafundidha upuuzi 17:54 hio
@DeoMalungu
@DeoMalungu 3 месяца назад
Asante Mungu mimi kwakuwa mkristo
@abdoumadiousseni4835
@abdoumadiousseni4835 3 месяца назад
Kkkk
@joshuaandrew386
@joshuaandrew386 3 месяца назад
Hakika ukristo Raha na ukweli usio na unafiki YESU NDIYE NJIA PEKEE KWELI NA UZIMA.Aasante na namshukuru MUNGU kuwa mkristo.
@bakarithegeoinformatician7406
@bakarithegeoinformatician7406 3 месяца назад
Kwahio hapo kuna muislam unavyoona? Hao washirikina wote kuvaa kanzu haimaanishi kuwa wewe ni muislam. Kwahio hii kesi ya mchungaji kubaka inamaana kuwa wakristo wote wamebaka au wanabaka? Ni tabia ya mtu tu
@jaaffarabuu6750
@jaaffarabuu6750 3 месяца назад
Ww huna din nahuyo pia sio muisilam ndugu soma kumjua mungu wahak
@AlfredZacharia-of3je
@AlfredZacharia-of3je 3 месяца назад
Huo ndio uislam maana majini walisilim wakawa waislam
@OG_The_King
@OG_The_King 3 месяца назад
Karibuni huku Kwa Yesu hatuitaji jini ni imani yako. 🎉 Nipo mahala sahihi Yesu anaokoa Karibuni wote muokoke
@caswaralbadry8481
@caswaralbadry8481 3 месяца назад
Hivyo kusema hivyo tu tyr una majini elf washakupotosha
@albertpike6208
@albertpike6208 3 месяца назад
12:55 kitu chochote ukivaa kwa malengo ya kinga huo ni ushirikina hata ukiandika aya za quran alafu ukazitundika ukutani ama mlangoni alafu ukaamini ni kinga yako huo ni ushirikina
@jumaa052
@jumaa052 3 месяца назад
Je upo Sawa kabisa usitoe hukumu Hali ya kua hujui hukumu ya jambo
@thabitimkufi7388
@thabitimkufi7388 3 месяца назад
Yaani hawa waganga dahh dini inaharibiwa jamanii
@user-pl8pn7qb9e
@user-pl8pn7qb9e 3 месяца назад
Hawa waganga wa kienyeji ndo wanao tuharibia dini ,ushirikina umewajaa
@raiswamaraishalisi8426
@raiswamaraishalisi8426 Месяц назад
Tumekujuwa kupitia dr sule, Nenda ukasome kwake
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 3 месяца назад
HIZI ZOTE NI ELIMU ZA SHIRIKI MSIMFUATE WAISLAM. WAMUACHE ALLAH HAWA MASHEIKH NI WA GANGA KAMA WANGA WENGINE
@alianboori9734
@alianboori9734 3 месяца назад
Elmu zipo ila kuwa na mipaka yake
@thabitimkufi7388
@thabitimkufi7388 3 месяца назад
Sahihi
@SaeedMughayyar-jv8et
@SaeedMughayyar-jv8et 3 месяца назад
Kusoma hizi elimu sio shida madhali Allah ametuteremshia, ispo kua ni mbaya sana kiupande Fulani kama ukizojua Kuna asilimia kubwa sana ya kumuasi Allah. Binadam tumeumbiwa na tamaa
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 3 месяца назад
JAMAAA KASOMA HAYO MANENO SIO YA KUOTESHWA😊,,,NA NDIOMANA TUNAMSIKILIZA,,,OPTION NI 2 TU,,,KUBALI AU PUUZA,,,USIANZE KU CRITISAIZ WATU NA HUNA UNACHOKIJUA TULIA ELIMIKA.
@saidishekalaghe3496
@saidishekalaghe3496 3 месяца назад
SWADAKTA
@mpodilesefu3437
@mpodilesefu3437 3 месяца назад
😂Ni kweli kabsaaaaah
@BJMKANGALA1
@BJMKANGALA1 3 месяца назад
1.Mhoji na mhojiwa ni washirikina. 2.Hakuna kanisa la Kristo linaloshirikiana na majini.
@user-ly2tv5og1n
@user-ly2tv5og1n 3 месяца назад
Soma vizuri kuhusu kuundwa kwa Freemason utapata ukweli.
@triuneapologeticsevangelis5912
@triuneapologeticsevangelis5912 3 месяца назад
😂😂😂hata maswala Yako kwa Quran na waislamu lakini kwa unafiki wanajifanya yanafanika makanisanai... Ignorance 😂😂😂
@rukaka_jr4514
@rukaka_jr4514 3 месяца назад
Sule anachakujifunza hapa, ule wa sule ni ushirikiana wa wazi na kakufuru mpaka sasa
@kasichimoses6869
@kasichimoses6869 3 месяца назад
Wewe unasema kweli na hutaki unafiki, endelea kuweka wazi wengi wajue, mwenyezi Mungu atakukipa mema, achana na muongo dr Sule
@samsonfredricktv
@samsonfredricktv Месяц назад
Huo ndio uchawi hakuna Jini mwema alafu akiitwa lazima ahitaji damu Bora Mimi nime mpokea Yesu
@JamesMoses-jd1yq
@JamesMoses-jd1yq 2 месяца назад
Yaani huyu mwamba Muhammad ana nguvu nyingii za giza hadi kawafanya wafrika wakafata ujinga wake duh mungu tusaidie
@OmarMohamed-bs2hf
@OmarMohamed-bs2hf 2 месяца назад
Nanyie angalieni na watu mnaokuja kuwahiji uchawi ni sayansi hivi kunashekhe gani Tanzania hii anaemshinda Dakta sule kwa sayansi jini kuitwa mpaka akaja kunajazi na jini ambae anaitwa mpaka kukufika tayari ashaweka mawasiliano na wewe na hili dka sule asha lizungumza
@sulekhan7119
@sulekhan7119 3 месяца назад
Hakuna jini wakuleta pesa fanyeni kazi acheni kudanganya umati Muhammad
@issahajjiira5411
@issahajjiira5411 3 месяца назад
😂😂😂😂😂
@thabitimkufi7388
@thabitimkufi7388 3 месяца назад
Sahihi
@meckmussa1840
@meckmussa1840 3 месяца назад
Sahihi, Hawa wote ni wezi tu.
@alijuma675
@alijuma675 3 месяца назад
Mmoja kaua kisha kapotea mkali wa tiktok
@salumuledisalum8038
@salumuledisalum8038 3 месяца назад
wote hawa ni wezi tu wapumbavu hawa
@abubakarahyan9515
@abubakarahyan9515 3 месяца назад
Yye hyu anajita bin laden aah hwa wote matapeli wallah mungu shahid hta mm kanitapeli anatafuta umaarufu hana lolote Na ushahid ninao juu ya u tapeli wke asimponde mwenziwe, asitoe aibu ya mwenziwe wakt zak anazoo
@SuleimanMsechu
@SuleimanMsechu 3 месяца назад
Ulikutapeli je tuambie
@user-lr6ri8bx2f
@user-lr6ri8bx2f 3 месяца назад
Innalillah Wainailayhi rajiun
@shamimnelly.8042
@shamimnelly.8042 3 месяца назад
Huyu ana ukweli fulani mimi najua na naelewa chenye anakiiongelelea
@vijanawapendakherfoundatio5069
@vijanawapendakherfoundatio5069 3 месяца назад
Umemuelewa kwasababu ya rugha lakini akuna kitu
@vijanawapendakherfoundatio5069
@vijanawapendakherfoundatio5069 3 месяца назад
Watu wengi wamebabaishwa na lugha mkamuona huyu shekh apana ni shirki tu
@abuarifhassan6316
@abuarifhassan6316 3 месяца назад
Sikliza mpk mwisho amefafanua vizuri kabisa
@luqmanjafari
@luqmanjafari 3 месяца назад
Hakuna chchte hapo
@musapfute6608
@musapfute6608 3 месяца назад
Tukisema wabarakatu wafuga majini mnabisha
@MathayoAugustino
@MathayoAugustino 3 месяца назад
Mnamtania Mungu
@kaundemtanga
@kaundemtanga 3 месяца назад
Uyu kijana nilimjua mwaka 2021 anaitwaa sir Bin laden Nilimpata Kwa Bingo alinisahidia Sanaa kunitibia matatizo yangu uyu anajua haswaa Tiba SEMA umri wako ni mdogo
@gideonjohn8912
@gideonjohn8912 3 месяца назад
Habari ndugu naomba namba zake ninamgonjwa labda anaweza nisaidia
@faudhiasaidi3669
@faudhiasaidi3669 3 месяца назад
​@@gideonjohn8912 Kachukua kwenye channel yake inaitwa firdausi
@hamisiiddi7340
@hamisiiddi7340 3 месяца назад
Tunaomba namba
@GoodDeeds-Jesus
@GoodDeeds-Jesus 3 месяца назад
Naomba kuwasiliana na wewe tafadhali nikwambie Habari za uponyaji kupitia Yesu Kristo kama hutojali ​@@gideonjohn8912
@fredducaunt
@fredducaunt 3 месяца назад
Ukristu ndo dini ya kweli Duh nkajua mnaakili kumbe manyumbu tu Majini toka lini akawa integral part na Dini Upuuzi huu
@CKMO
@CKMO 3 месяца назад
Hii imekuwa Bishara ya uganga sasa wallahi j😢Jamani watangazaji acheni kutafuta waganga kwenye mitandao watu wote wenye tamaa fupi muwataingiza ktk ushirikina hii dunia imekuwa ya ushirikina tuu loooh mungu atuhifadhi
@shamimnelly.8042
@shamimnelly.8042 3 месяца назад
Huyu jamaa Ameongea vitu vya ndani saana tatizo watu kuambiwa ukweli ndio hawapendi
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 3 месяца назад
Kabisa, lakini Kuna watu kuelewa ndio shida
@rashidkapile
@rashidkapile 3 месяца назад
Wengi wavivu kusoma huyo dogo kasoma
@eliudieliya6394
@eliudieliya6394 3 месяца назад
Huyu ostadhi anapatikana wap
@user-yd3me5rr2z
@user-yd3me5rr2z 3 месяца назад
Huyu jamaa anaelmu kubwa sana
@BekhaChambaly
@BekhaChambaly 5 дней назад
Kwann usiishi kawaida tu majini wa nn Mungu hapendi kushirikishwaa
@maciaali3698
@maciaali3698 3 месяца назад
Hawa watanzani wote washirikina mtapata laana kutoka kwa Allah
@OmarMohamed-bs2hf
@OmarMohamed-bs2hf 2 месяца назад
Mm siofundi ila mm hizi mambo mnayo ongelea ni mjarabu sana sule anajuwa nn anacho kiongelea
@user-hd3pi3bc9v
@user-hd3pi3bc9v 3 месяца назад
Kuanzia ww unae hojiwa na huyo dokta sule wooote ni waganga wanaotibu kishirikina na wana itikadi chafu za kishirikina✓ Na waislamu msihadaike na washirikina hawa wenye sura za usheikh au sura za kiislamu✓woote hawa ni matapeli na pia ni wajinga wasioifahamu Qur'an Tukufu wala hawajui sheria ya kiislamu✓.
@Zaharaamiri
@Zaharaamiri 3 месяца назад
Subhanallah Allah Akbar Nyie ni washirikina wakubwa sana Na mtaingia motoni milele Mnatuaibisha ss waisilam
@abedimasudi268
@abedimasudi268 3 месяца назад
Wewe ma Doctor sule nyote hamna lolote ivi Qouran haiwatoshi Tatizo iman hamna ndiomana mnatumiya majini
@user-ei9rh7vh7e
@user-ei9rh7vh7e 3 месяца назад
Tumcheni Allah tungu zanguni kwenye uwislam elimu zote zipo tunaamin lakn so kila elimu inafaa kuifanyia kazi ,hapo hatuna masheikh wote wamrudie Allah kabla kufa
@rashidabasi7940
@rashidabasi7940 3 месяца назад
Sheikh naona karuka alipogusiwa sio makanisa yote.. Eti inawezekana Sio Tanzania.😂😂
@halimamohamed4842
@halimamohamed4842 3 месяца назад
Subhnallah Allah tujalie mwisho mwema😢😢
@user-qw3fj1zw6p
@user-qw3fj1zw6p 2 месяца назад
Munguninuxuru nauyu hoxtdhi yukoxahihi
@saidjuma4547
@saidjuma4547 3 месяца назад
hawa ni waganga wa kienyeji na sule vile vile wanatangaza biashara zao na watawapata watu wengi Sana
@saidjuma4547
@saidjuma4547 3 месяца назад
Wacha ushirikina nakuasa ndugu yangu
@SAIDNYUNGU
@SAIDNYUNGU 2 месяца назад
Huyu na dr sule wote wasafiri wamoja gari moja isipokua mmoja manamba mmoja konda
@mansoorsuleiman1645
@mansoorsuleiman1645 3 месяца назад
Acha uongo ndugu yangu kumbuka kuna kesho unaongea uongo tu na hata hufikirii hio elimu wenyew ya majini hujui acha kupotesha
@salebmohd7536
@salebmohd7536 3 месяца назад
Yaani huyu ndo kazidi uongo eti majini Wana wazuri mkuu sio kweli majini wote viongoz wao ni binadam Kwa mfano majini wa Tanzania kiongozi wao ni samia na wa marekani rais kiongozi wao ni biden huo ndio msimamo wa ahlu sunna...hao wote ni washirikina waongo tu
@mwatumsaidi5104
@mwatumsaidi5104 3 месяца назад
SubhanaAllah mtihani Allah atuepushe na shirki
@hashimudizele35
@hashimudizele35 3 месяца назад
Takwimu za mchambuzi bwana ......... eti karibuni milioni mia 6 au milioni 3 ......... hapa hakuna mtu
@azizabuyonde8368
@azizabuyonde8368 3 месяца назад
Yaaani jini anajuwa dini la kislamu, kanisani hatupandishi jini, sisi tuna Roho mtakatifu
@petermgonja8547
@petermgonja8547 3 месяца назад
Waislaaamu munatia aibu Sana. Acheni majini wandugu yatawazulia balaaaaaa
@moudy4realibrahim601
@moudy4realibrahim601 3 месяца назад
Naomba umuulize sheikh hukmu ya kumdhurumu mtu haki yake inakuaj kwa mwenyezi mungu
@MTAVASSYTv
@MTAVASSYTv 3 месяца назад
🤔🤔
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 3 месяца назад
Wenae shehe yukowapihapo. Hukumuyake mototu ukitakakusalimika umlipe
@user-qw3fj1zw6p
@user-qw3fj1zw6p 2 месяца назад
Mungu nijaariye mimi naummawako woote
@saidjuma4547
@saidjuma4547 3 месяца назад
watu wote hawezi kuwa sawa ktk Dunia hii wako wakiristo wako waislam Kwa undani wako washirikina wapo wapotovu wapo Wazinifu wapo wizi wapo waumini wakweli ktk uislam ila yule Alie sahihi ni yule muumin wakweli wadini ya kislam ambae hayuko tayari kumshirikisha mungu Kwa chochote
@mbarakassa4347
@mbarakassa4347 3 месяца назад
Amakweli sikuhizi Kuna wachawi watoto kamahuyu anaye zungumza aibu,hana Acheni ushirikina kaeni kitako musome wacheni njaaa
@raymondmunis3553
@raymondmunis3553 3 месяца назад
Unahoji watu wenye sifa hizo tafuta watu wenye elimu.Pete zilizokuwa zikitumika kipindi hicho ni alama au kama muhuri ilikuonesha ujumbe umetoka kwa nani?Hao ndio wanabadili sasa kuwadanganya watu
@hamzarangi7989
@hamzarangi7989 3 месяца назад
Mtangazaji umemsingizia dr sule huyo shehe yupo right ila umemsingizia dr sule hawezi kusema jini haitwi
@masoudjongo
@masoudjongo 3 месяца назад
Naisi huyu muandishi anaeye hoji ana kumbukumbu na anaowaoji unafarakanisha hapo
@omarbinjaa2801
@omarbinjaa2801 3 месяца назад
Wengi hawa ni wachawi na washirikina watu wa Elimu za majini na nyota n pete
@rahmasuleiman7888
@rahmasuleiman7888 3 месяца назад
Washirikina hawa wajivisha ushekhe wapotosha watu bila ilmu
@memorataedson7895
@memorataedson7895 3 месяца назад
Wakristo ukiwa na Yesu ty huitaji mti pete majini au kitu chochote ni Yesu tu anatosha
@huriyaomar3313
@huriyaomar3313 3 месяца назад
HAWA WATU WAMETUMWA NI MAMBO YAMETENGEZWA ILI KUUPAKA TOPE UISLAMU HAWANA ELIMU YOYOTE ZAIDI YA KUUHARIBU UISLAMU NA WENGI WAO NI MASHOGA NA WASENGE!! KAMA KWELI YEYE ANITUMIE MIMI HILO JINI NA WENGI WA WATANZANIA NI WASHIRIKINA NA WANAWAOGOPA HAWA MACHOKO!!
@MariamMganga-ss9mm
@MariamMganga-ss9mm 24 дня назад
Nilichokielewa,, huyu kaka angesema habari za ukristo saana,, kundi kubwa la waislam wangempigia makofi,, acheni tabia mbaya,, upande wa uislam tunaubinafsi saana na umimi ila ukweli muelewa anaelewa mpinzani ataendelaea tuuu kupinga
@user-po1cq9so9h
@user-po1cq9so9h 3 месяца назад
Kuna watu waongo sana duniani mpaka idadi ya majini wanawajua utadhani yupo katika sensa ya kuhesebu watu ngoja nikwambieni waislam mwambie alete aya ambayo inasema kuna jini muislam kwasababu viumbe hao wote wamelaanika hata ukitaka kusoma Qur-an kwanza unanza na audhubilahi nimashetwan rwajim kwanini
@issaosman7397
@issaosman7397 2 месяца назад
Dini ya kislamu inaweza tatua shida zote hapa duniani
@muhsinkimaro4283
@muhsinkimaro4283 3 месяца назад
Unajarib kukwepa maswal ya mwandish lkn uhalisia ww nk mshirikina live, pete unaisomea dua
@mahersuleiman5767
@mahersuleiman5767 3 месяца назад
Innalillah wainna ilayhi rahiun , hasbiyallah waniimal wakeel
@ochuMay05
@ochuMay05 3 месяца назад
Washirikina ni wengi sana siku hizi na wanajificha kupitia dini... Mwenyeezi Mungu atawahukumu wote wanaomshirikisha katika kufanya Shirki.. Maana yeye hakutufundisha kuyatenda hayo..
@nelson-cd7fr
@nelson-cd7fr 3 месяца назад
Allah atuepushe na hayo
@ismailsoud3634
@ismailsoud3634 3 месяца назад
Naam, wanamshikisha Mola ambaye ndiye muenzi wetu, kwa tamaa za kidunia.waiogope siku hiyo watakapo ambiwa haya waiteni hao majini wenu wakusaidieni. Innalillahi wainaillahi rajoun.
@user-nf1ms4ke5k
@user-nf1ms4ke5k 3 месяца назад
Hakuna katika uislamu Imani ya Pete wala nyota wala bahati, Hawa Ndugu zetu wameghafilika hawajui wasemao Pete si chochote si lolote Zaid ya urembo tu.Tunamuomba Allah atuongoze katika njia ilionyoka
@user-ih7nl5nv3c
@user-ih7nl5nv3c 3 месяца назад
Tuwasomeshe watoto wetu ttauhidi wasije kua waganga
@AishouSamantha
@AishouSamantha 3 месяца назад
Mmmmmh dunia iyi inamengi kwl allh tup mwisho mwem yarab
@hassankisuda1189
@hassankisuda1189 3 месяца назад
Hakuna uhusiano wa Uislam na UCHAWI NA MAJINI yote hayo ni ushirikina wa wazi
@bare-gj2mu
@bare-gj2mu 2 месяца назад
Da Hawa wakristo nao Hawana akili kabisa mwanaadamu anawezaje akawa mungu. Mtu amezaliwa anawzje kuw Mungu, jamani hii ni akili kwel ya Mt?
@sultanmbogo860
@sultanmbogo860 3 месяца назад
kidogo nimekuelewa ww unatumia majini ya kizungu katika elimu ya king solomon ndio maana maelekezo yaku yana pishana na na elimu ya kirohani
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 3 месяца назад
Rohani ni nani?
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 3 месяца назад
Kumbe washirikina mnajificha ndani ya dini ya Allah Na Allah atawaumbua
@josephdogani3419
@josephdogani3419 3 месяца назад
Si kwamba wanatumia dini k si kwamba wanatumia dini kufanya ushirikina bali koloani nzima no uchawi tosha ksbiss
@bassambashirou4604
@bassambashirou4604 3 месяца назад
Wapi Quran imefundisha hayo unayoyasema ?? Acha ubabaifu wewe yaani makafiri ufahamu ni tatizo yaani unashindwa kujua kama Hawa ni washirikina ??? Mashonde yanskusumbua 😂😂😂
@kahenatz3594
@kahenatz3594 3 месяца назад
Majina uliyo yataja ya majini ndio majina ya maraika waasi kwa mujibu wa kitabu cha henoko
@mohamediliyei5879
@mohamediliyei5879 3 месяца назад
Watu wengi wasiokuwa na elimu hutumia mihemko kufikisha yao unajua elimu hizi zipo nyingi Watu wamezama kwenye elimu mbali mbali ndio maana wazungu baada ya kuona wenye vyao akili zao ni kukopy na kupest bila kufuatilia mambo wenzetu wazungu wanavichukua na kuvitumia na kufanikiwa maeneo mengi sana lakini kwa hawa Watu waliojaliwa kubishana na kutukana mitandaoni ukiwachunguza kwa undani hawana elimu wasoma tabbatiada zao tu wameanza kujifunga viremba tu hata vyanzo na maana yake hawajui tusome elimu jamani tuzame kwenye vitabu msome msikalie matusi tu mnajichoresha tu
@HafidhKhamis-ph8qg
@HafidhKhamis-ph8qg 3 месяца назад
Hakuna malaika alieasi acha kufru wewe
@abuudachi3986
@abuudachi3986 3 месяца назад
Huyo sheikh mwenyewe anang'ata maneno hajaweka wazi anavaa hiyo Pete kwa malengo gani anatakiwa afunguke kama anavyo funguka mwenzie Sule
@jamesrichard3971
@jamesrichard3971 3 месяца назад
Siku ya kiama ndio tutajua, walio amin na wasio amin, na tutajua siku hiyo mbivu na mbichi
@hussenihamisi2862
@hussenihamisi2862 3 месяца назад
Achani kutukana uislamu kwa mambo yanu ya ushurikina uislima nidini anayo pingana na mambo hayo
@OmarMohamed-bs2hf
@OmarMohamed-bs2hf 2 месяца назад
Bina adamu ndio muwasiwa jini kwani mnawapa majini ahadi zeni hamtimizi
@ramadhanishabani2712
@ramadhanishabani2712 3 месяца назад
Wacha kudanganya nyie wote mnatumia pete kufanikisha mambo yote basi mtuambie ukweli sisi waumini ndio tujue ukweli mbona kila shekhe lazima akuwe mganga?
@sadathashimu223
@sadathashimu223 3 месяца назад
Huu ni ushirikina mtupu namuomba ALLAH mtukufu atuongoze sote maana Hawa ndo wachafuzi wa uislam kwa elim zao za kitaoeli za kutafutia ugali
@EshaShamu
@EshaShamu 3 месяца назад
Yan shehe umeongea kitu cha maana asierewa hapa hawez kuerewa kabisa ndio maana wanaongea tu wengine
Далее