Mnyika Acha kudharau wito kwa kusingizia vikao je ungekua ndani ungetolewa kwanza uwende kwenye vikao.pia huyo wakili wako ni mjinga atakutafutia matatizo ya kutokutii amri halali hata huyo wakili anatakiwa kuwekwa ndani acheni ujinga . Nendeni.😅😅😊
Si anajua ashagundulika hehehe chadomo safari hii mtajua hamjui mezoea kufanya uchafu chini kwa chini ionekane ni polisi au serekali lakini hii mtakoma magaidi nye
@@halimamasai2234 mmmh. Ukweli hii sio ushabiki kama wa mpira. Tunajadili uhai wa kiamba chetu wote. Haya mambo bila kujali chama tunahitaji tafakuri. Mganga kule singinda nani kamtuma?.Raia anaweza kutofautisha vipi kua huyo ni police wa ukweli na huyu ni mtaka viungo vya binadamu?. Kama Raia wanaona wapendwa na ndugu wanapoteza maisha je CCM itapata kura?. Je huo ni upendo kwa Viongozi wetu?. Tunafanya tafakuri ya kina ya madhara yaliyopo mbele yetu?. Je hatujui kuwa ni hatari sana raia kuhishi ombwe la utawala wa sheria?. Kule kanda ya ziwa na Manyara hatujasikia matokeo mabaya ya raia kuhisi kuwepo ombwe la sheria?. Tz tumelogwa na nini?. Laiti tukubaliane kuondoa NJINI mla watu katikati yetu. Shida sio mahiti zinazo onekana kwa kutafunwa na Jini. Tatizo Jini mwenyewe njaa ya damu za watu. Jini mla watu anachafua CCM na watawala kuliko hiyo chadema. Mwenye masikio na asikie. Rejea Mzee Butiku, Nchimbi na Hotuba ya Mbowe. Wote wametuonya vizuri tu.Ila tz tumejenga uchawa na ukasuku tu. Tunataka kuvuruga nchi ili twende wapi?. Tujitafakari bila kujali vyama na uchawa wa chama gani?. Yesu alisema yule anayedhani kasimama angalie asianguke. Kuua watu hakujengi taifa tunajilisha upepo. Tz ya sasa inashangaza sana. Wauaji wa na watekaji wana lengo gani. Kwa wakubwa kisasi wanajua Tz ya leo haina upinzani wa mrema na Mzee Mkapa au Kikwete na Dr Slaa. Sasa hofu hii nini?. Jirani Zetu walianza hivi hivi, kwa mauaji reja reja. Huku wengine wakifanya ushabiki kupitia vyombo vya Habari. Kilchotokea ni historia. Hapa pia tuko hivyo wakati vyombo vikubwa vikiona aibu kua upande wa pili. Mitandao inatengeneza vichwa vya habari chochezi.
Kwanza hajakataa, pili imechukua muda mrefu sana toka mauji hadi upelelezi kuanza, hvyo jinsi wao wasivyo ona uharaka ndivyo wamuache nae Amalize kazi za Chama ndo awasikulize, tatu hao ndo wahusika wanawezaje kujipeleleza..... Mwisho wanachofanya ni kuweka watu muhimu busy ili maandamano yasifanyike 23th Sept, Hiyo Intalijensia iliyo makini na Hali ya juu sana(according to SSH) imeshindwaje kujua wauaji wenye silaha za kijeshi toka jeshini?? Mpaka mnyika aende kuelezea.....mbona wanajua vikao vya CDM vya siri bila hata mnyika kuwaambia???
Lengo ni kudhoofisha upinzani mmeona uchaguzi umekaribia sasa mnaanza propaganda haiwezekani mnatuhumiwa ninyi halafu ninyi ninyi mpeleleze mnatufanya watanzania wajinga ninyi mapolisi mnaipeleka nchi hii pabaya
Siku mkifunguka akili zenu na macho yenu na kugundua ukweli itakuwa tayar tunalia na kujuta km Libya wanavyomlilia Gadaf...kuwen makin na wana siasa 99%hawapo kwa ajil wananchi bali ni kwa maslah yao wenyewe..fatilia Central Africa, Congo,, Libya yalianzaje..jiulize kwa nn Chadema wamechagua wa kupeleleza km wanataka uhak kwa nn wasiombe tume ikae ichague nchi ya kupeleleza...,kwa nn mnyika amekataa kufika kuhojiwa kisa kikao wakati wanataka kuandamana kisa tukio hilo je kikao in nyeti kuliko mauwaji?
Hata ingekuwa mm nisingeenda kwasababu hali ya utekaji Bado ipo je na yy akafanyuwa km awalivyofanyiwa wenzie na km akipenda aende na wanachadema wenzie
Chadema hawana lengo zuri na nchi hii hatunaimani nao tena niwachichezi hawa wa vurugu Muogopeni Mungu nyie viongozi wa Chadema msiivuruge Amani ya Tanzania