Тёмный

DULVANI AMCHANA HARMONIZE BAADA YA KUSEMA DIAMOND SIO WA KWANZA KUPOSTIWA NA CHRIS ''ACHA WIVU'' !? 

Bongo Plus
Подписаться 69 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

East African number one RU-vid channel for Gossips,Sports as well as Politics News owned By BONGO PLUS
KANUNI NA MUONGOZO
Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini. Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake,kutokuingilia faragha ya mtu,Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi.
NB:Tuna uhuru wa kufuta maoni yasiyokuwa na maadili au yenye matusi makali.
WeAreEverywhere
#entertainment #exclusive #trending #diamondplatnumz #wasafi #ayotv #update #updatenews #udaku #gossip #mwijaku #babalevo #tanzania #kenya #manara #hajimanara #bongo #habari #justinbieber #bieber #rap #hiphop #hiphopmusic #pop #rnb #rnbmusic #exclusivenews #tmz #tmztrends #arianagrande

Развлечения

Опубликовано:

 

20 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 27   
@SamwelRenald
@SamwelRenald 29 дней назад
Diamond apewe mauwa yake yawezekana sio mtu wa kwanza mondi kupostiwa ila ilo sio ajabu nikwamba mondi kapostiwa na msanii mkubwa hata mm nimependa sababu amefanya vizur na Tanzania kiujumla ebu tuacheni wivu tumpe hongera yake mondi
@BongoPlus
@BongoPlus 22 дня назад
kweli kaka
@user-il1kv9zv9j
@user-il1kv9zv9j Месяц назад
Kweli kabisa dulvani wambie ukweli
@paizinhosaide-cv9pm
@paizinhosaide-cv9pm 27 дней назад
Asante dul van
@Ebaynithsports
@Ebaynithsports Месяц назад
Mtu ni diamond platinum pekeyake wengine wote sensema
@Assab3167-j3d
@Assab3167-j3d 29 дней назад
Mondi noma
@georgeskambale6699
@georgeskambale6699 Месяц назад
Ku postiwa naku tsheza sio sawa
@CamweziKarrashnekov
@CamweziKarrashnekov 24 дня назад
Misomisondo aliwapost ila walikwa wanacheza nyimbo ya chris brown ila alimpost mond komasava na dance yake
@user-gc4rc8gj5u
@user-gc4rc8gj5u 27 дней назад
huyo niwivu mbn yeye aja post wana yoyote
@amirihamisi6913
@amirihamisi6913 26 дней назад
Kuna ushahidi upi ? Km breezy kwa hiari kafanya ivyo ?😅
@hawaynaAbdallah
@hawaynaAbdallah 28 дней назад
Konde upo sahihi yy sio wakwanza kupostiwa
@tomsijohni
@tomsijohni 28 дней назад
Kwanza huyo dulvan ni shoga
@Lanihsarumu
@Lanihsarumu 28 дней назад
Vishoga jamani
@Assab3167-j3d
@Assab3167-j3d 29 дней назад
Kweli harmonize miyeyusho
@EstherMulindwa-fp3ml
@EstherMulindwa-fp3ml 29 дней назад
Niwivu tu
@uaeuae1871
@uaeuae1871 28 дней назад
😂😂
@Boyluke-luke
@Boyluke-luke 28 дней назад
Harmonize ni nafk
@samuelniyonkuru5514
@samuelniyonkuru5514 Месяц назад
Niwivu hamo ambae anayo
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 21 день назад
Wewe nawe tupische mashavu Kama mimba ya Bibi mwakangara🤮🤮🤮🤮🤮🤮
@nahimanajo8993
@nahimanajo8993 Месяц назад
Sihukweli mtu hakisema hukweli anahonekana mubaya konde kasema hukweli kilasiku hukweli hunahuma sihoni mbaya konde kahongeya
@badeuxGerard
@badeuxGerard Месяц назад
Ukweli gani amesema kistuli wako? Eti yéyé kistuli ananyimbo ya kuchezwa na Chris Brown 😢 Chris Brown kahacha kucheza magoma yake lakini kacheza kamasava ya Simba weumeona jambo ndogo?
@seven127
@seven127 Месяц назад
we ni kabila gani unaandika vibaya
@user-el1bm1is4b
@user-el1bm1is4b Месяц назад
​@@badeuxGerardandika kiswahil fasahaaa😅
@ShafiiRashid-zg3sh
@ShafiiRashid-zg3sh 29 дней назад
Nenda shule choko ww😂😂
@SaintBlvck-ff2gg
@SaintBlvck-ff2gg 29 дней назад
Ona na ww hta kiswahili hujui vizur
@anjelinakasembe845
@anjelinakasembe845 Месяц назад
We bwabwa kwendra😛😛😛😛
Далее
Qizim 58-qism | Anons |Nimaga meni bolam o'ladi ?
00:47
Every Country On Earth Fights For $250,000!
18:13
Просмотров 199 млн
HAKUNA NDOA
11:49
Просмотров 279 тыс.
Must watch new special comedy wait for end 😆🤣
0:49
У Котика Отняли Игрушку 🥺
0:15
Утро в Нью Йорке
0:16
Просмотров 7 млн