Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala Prof. Geraldine Rasheli akitoa maelezo kuhusu Wakala na majukumu yake kwa wadau waliotembelea Banda la Wakala katika Wiki ya Ununuzi wa Umma yaliyofanyika tarehe 5-7 Mei, 2022 katika ukumbi wa AICC jijini Arusha.
#WikiYaUnunuziWaUmma #GPSATanzania #BohariKuuYaSerikali #Kaziiendelee
6 авг 2024