Wakala umeboresha utoaji huduma zake zote kidijitali kupitia mfumo jumuishi wa kielektroniki wa 'GPSA Integrated Management Information System' (GIMIS), na hivyo wadau wote wanapaswa kujiunga kupitia hatua zilizotajwa.
#GPSATanzania #GPSAMshindi3NBAA2021 #GIMIS #PataHudumaZaWakalaKidijitaliKupitiaKiganjaniMwako #Kaziiendelee #BohariKuuYaSerikali #GPSAIntegratedManagementInformationSystem
9 фев 2023