Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) umetekeleza Mpango Mkakati wake wa miaka mitano (2018/19-2022/23) ikiwemo ujenzi wa mfumo jumuishi wa kielektroniki wa GIMIS (GPSA Integrated Management Information System) wa utoaji wa huduma za Wakala pamoja na majengo mapya katika Mikoa ya Dodoma(Mtumba), Pwani, Simiyu na Songwe.
#GPSATanzania #BohariKuuYaSerikali #Kaziiendelee #GIMIS
22 окт 2023