Tuache ûtani; Eliudi atakuwa msupa balaa... Iyo sauti yake, story telling na contents za maisha ya kawaida ya kila siku.... Zitamfanya afike mbali sana. He's more than just a standup comedian! 😂
Uchekeshaji ni kazi kubwa sana tofauti na watu wanavyofikiria. Unatakiwa kuwa msomaji wa mazingira na mfuatiliaji mzuri wa mambo au mada unazotaka kutembea nazo. Ila jamaa ni mzuri.
Innocent Mathias Alex Cardo ni jina la muigizaji (Character) film za mapigano nchini marekani kama vile Bolo young au Tom poh alikuwa ni sterling kwenye movie ya Blood sport 3
Ni kwel kabisa Ogapa sana mtu anabadilisha stori ya kawaida tu na kuwa kichekesho yaan namna anavyoiwasilisha na kama c mchekeshaj unaweza kuongea stor hiyo hiyo na watu wasicheke