Nimeona Mara nying eliufi hamalizii jokes anadandilishia alikua anaongelea kuhus suala la kuingia chumbani kwa mama yake, akatak akutwe lakin hakumalizia kilitokea nn mama yake alimkutaa au laah akamuona Maria kaanza suala la maria
@@hyasintndimbo2998 mkuu nliwafatilia haswa tangu kina mama nyonzo cjui leonard anajua ila me simkubali kwa kumpa no 1 for me ndaro ...liud then hao washindi