Тёмный

ENEWZ - MAJUTO: Nimesamehe wote ninao wadai. 

EastAfricaTV
Подписаться 1,1 млн
Просмотров 354 тыс.
50% 1

MAJUTO: Nimesamehe wote ninao wadai.

Видеоклипы

Опубликовано:

 

27 июн 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 187   
@fadhiljnr2686
@fadhiljnr2686 6 лет назад
Diamond alimuombea mtoto wake awe muimbaji kama yy mzee wetu ataka watoto wake wajue dini.MashaAllah mungu amrehemu
@ivanlegera2133
@ivanlegera2133 6 лет назад
mzee majuto nimfano wa kuigwa wachache wanaokumbuka kusameh maden mzee wetu, baba yetu, babu yetu alazwe mahar pema pepon
@user-gi4ls3bh3l
@user-gi4ls3bh3l 2 года назад
Mashallah msikiti uyo unakulipia tawabu baba pumzika salama
@henricokanogu2223
@henricokanogu2223 6 лет назад
Inaumiza Sana Sana Mzee tangulia sisi tuko nyuma yako. Mungu akuweke mahali pema peponi Aminaaaaa
@rahmahussein4019
@rahmahussein4019 6 лет назад
Hao watu wanomzushia kufa kila siku kingi wetu Majuto ...nawambia watapata tabu sana....tena sana , tena sana , tena tena....Oh yes !
@ahmedalhabsi2713
@ahmedalhabsi2713 6 лет назад
Inna lillah wainna illah rajiuwn poleni sana
@gesusgegangphray7689
@gesusgegangphray7689 6 лет назад
Mzee majuto kuchekesha maneno.na tayari unaachekesha .Utaishi mzee kwa jina la Yesu
@salwa-jz1wk
@salwa-jz1wk 6 лет назад
Kila nafsi itaonja mauti. Mungu akuifadhi mahala pema peponi yarabby mbele yako nyuma yetu
@silanmchomvu1512
@silanmchomvu1512 6 лет назад
Kusameheana ndio kitu kikubwa kinachothibitisha upendo. Hata Yesu aliwaambia wanafunzi wake yapasa kusamehe kila unapokosewa au kudhulumiwa.
@sakeenakenya6110
@sakeenakenya6110 6 лет назад
Alhamdulillahi Rabil Allahmeen, mwenyezi mungu aijalie kauli yako isimame wallah, watoto wasome wawe wenye kusoma dini, waitafute Akhera, kweli kabisa babu, walai hatuna la kusema, ila kumshkuru maulana.
@nadiahussein9669
@nadiahussein9669 6 лет назад
Allah akupe kaur thabit mzee majuto pia Allah akupunguzie adhabu za kabr babu yetu amri athumani
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 6 лет назад
Innalilah Wainnailah Rajiun, Allah akuhifadhi maali pema peponi Babu yetu mpendwa, nakupenda sana.
@rahmahussein4019
@rahmahussein4019 6 лет назад
Maskini mzee wetu Majuto kakonda kweli M/mungu atazidi kumuafu Inshallah .
@axa29
@axa29 6 лет назад
Nakuombea Jannahtul Firdaus Mzee , Aaamin!
@111dudi
@111dudi 6 лет назад
Ana bahati sana kuweza kusema hayo
@rahmahussein4019
@rahmahussein4019 6 лет назад
Congratulations to you mzee Majuto you have a really nice house mashallah ..❤
@stellahfrank4377
@stellahfrank4377 6 лет назад
Pole san baba yang Mungu akufanyie wepes katika kila jambo upate kuwa na afya njema kama awali
@khatrarage4445
@khatrarage4445 6 лет назад
Mungu akujalie afy njema mzee akupunguzie maumivu inshallah
@twahirkassim3487
@twahirkassim3487 6 лет назад
Masha Allah umependeza sna baba yetu mungu akuongoze kwenye njia ilionyooka
@zenamohammed2623
@zenamohammed2623 6 лет назад
Allah atakuhafu juto wetu..achana nao wabongo wamezaliwa kwa bahati mbaya wanaishi kwa makusudi..kumuua ivyo mzee wa mwenzenu vp
@stewartmillanzi1596
@stewartmillanzi1596 6 лет назад
This is unbelievable...!! Wanaodaiwa na huyu mzee wasidhani wameshinda. Huu ndio mwanzo wa anguko lao. Wataishi ndani ya laana moaka watakapoingia kaburini. Wakitaka wawe salama ni vema wakajiongeza na kulipa madeni yote ya nzee huyu. Hongera mh. Mwakyembe kwa kujaribu kufuatilia haki za msanii huyu. Umeonyesha wema wa ajabu. Pia nampongeza raisi wangu mpendwa kwa tende hili linaloonyesha upande wa pili wa roho njema iliyomo ndani yake. Mungu aendelee kumtunza na kumlinda raisi wetu, shujaa wa watanzania wanyonge!!
@hamsohassan1715
@hamsohassan1715 6 лет назад
Allah akupe nguvu na afya njema ya kudumu kipenzi chetu mzee majuto.Shukran zenu east africa e news
@emmanuelbonifas3517
@emmanuelbonifas3517 6 лет назад
kuugua si kufa mzee mungu ni wetu ni mwema utapona
@eddysonmagezi2139
@eddysonmagezi2139 6 лет назад
pole sana mzee wetu tutakumiss
@mwanakhatibu3722
@mwanakhatibu3722 6 лет назад
Allah akufanyie wepesi kwakila jambo baba
@aishahassan9812
@aishahassan9812 4 года назад
Masha Allah Allah akurehem mzee wetu Kila nasf itaonja umaut
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 6 лет назад
Dah hadi machoz yamenitoka mzee majuto alikuwa mkarimu jaman apumzike salama
@ngumalimau5427
@ngumalimau5427 6 лет назад
Mungu azidi kukupa nafuu urudi kama zamani bingwa wangu
@shekhahamed7625
@shekhahamed7625 6 лет назад
POLE MZEE WETU USIWE MNYONGE BABA HAKUNA KISIcHO NAMWISHO MUNGUATAKUSIMAMIA MAJUTO WETU UTAPONA
@aminaissah2693
@aminaissah2693 6 лет назад
Pole baba yetu,utapona inshallah
@aminaali7072
@aminaali7072 6 лет назад
Pole xana mungu akupe afya na uzima urudi kma zamani na hilo la kusamehe nijambo zuri xana babangu Allah akupe umri mrefu
@zurahluvakhwa4277
@zurahluvakhwa4277 6 лет назад
Mzee get well soon zurah from Kenya kakamega County we are praying for Mr man .
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 6 лет назад
Pole sana mzee majuto mungu Akupe Afueniyaharaka inshallah
@maulidkhalfan7531
@maulidkhalfan7531 6 лет назад
yarabbi akufanyie wepesi mzee wetu
@gesusgegangphray7689
@gesusgegangphray7689 6 лет назад
Mzeee iyo comedy tosha.Mungu atakulinda.mzee unachekesha sanaaaa
@ladybilionaire379
@ladybilionaire379 6 лет назад
Pole sana baba hata sasa Mungu amekusaidia na tunaendelea kukuombea
@ambalifamili1086
@ambalifamili1086 6 лет назад
Mbeleyake nyuma yetu apumzike kwa Amani King Majuto
@jayomarion8183
@jayomarion8183 6 лет назад
sijawahi kukoment kitu but with this rest in peace babu
@exaverykalinga1487
@exaverykalinga1487 Год назад
R.i.p majuto pumzika kwa amani.
@uledimtumwa2406
@uledimtumwa2406 6 лет назад
Huku kwenye sanaa kunafitna na maneno ya ajabuajabu bora kusoma Dini ",kweli Mzee majuto.
@odaxjohn2200
@odaxjohn2200 6 лет назад
Polesana babu mungu akujalie utapona ukipona uwendele kuigiz
@ismaillalmohammed4001
@ismaillalmohammed4001 6 лет назад
Hapo amekusudia fitna za ufreemason Mzee kaona mbali ndio maana kaogopa watoto wake wasije wakaingia.
@aboudmsonde3137
@aboudmsonde3137 6 лет назад
Yani hapo kwenye maadili ya dini umepatia Allah akupe mwisho mwema lnshaallah
@kanisiamkoko7051
@kanisiamkoko7051 6 лет назад
pole Sana Mungu wetu ni muaminifu yupo atakupigania utapona tu.
@faybaibe9023
@faybaibe9023 6 лет назад
Duh inaniumiza sana. Tayari mzee kashatundoka
@marymah7149
@marymah7149 6 лет назад
Maskini mungu yupo utapona kabisaa mungu yupo
@ashaally3218
@ashaally3218 6 лет назад
pumzika kwa amani mzee wetu tutakukumbuka daima
@mamafatuma138
@mamafatuma138 6 лет назад
Wanao kusema vibaya babangu wawachie mungu atakulipea in sha Allah napenda sana mzee wangu
@abdullkassim9337
@abdullkassim9337 6 лет назад
dahh! sizani kama kuna mtu anaweza kukuchukia mzee majuto...ata akitokea basi imetimia azma ya uumbaji kua hakuna atakaependwa na wote...
@cutezaycutezay553
@cutezaycutezay553 6 лет назад
Mungu nimwema umepona love you babu yetu
@ahadimastone1550
@ahadimastone1550 6 лет назад
pole sana mzee majuto mungu akupe wepesi wa afya yako.mungu awe nawe mungu akubariki
@sylviemutwale9527
@sylviemutwale9527 5 лет назад
Mungu ailaze roho yake pema peponi
@aishamnamba1064
@aishamnamba1064 6 лет назад
Pole Sana mze wetu mungu yupo kungua cyo kufa Bali ni faradha
@millicentadhiambo3080
@millicentadhiambo3080 6 лет назад
Much love and respect ..May God protect you and your family!!!
@babylonathuman536
@babylonathuman536 6 лет назад
sana king mungu akupe maisha marefu
@frankmayige2950
@frankmayige2950 6 лет назад
Mungu akupe bukheri wa afya njema naamini mungu yu pamoja na wewe.
@anetikapami4228
@anetikapami4228 6 лет назад
Pole Baba Mungu yu pamoja nawe
@stevenmajoge4644
@stevenmajoge4644 6 лет назад
Mzee majuto kama umestafu na wewe hii kazi basi pengo lako halitofautian na la marehem kanumba.
@abdibakari641
@abdibakari641 6 лет назад
pole sana babu.. utapona tu in sha Allah...
@rachealmwanje7012
@rachealmwanje7012 6 лет назад
pole babaa utapona mungu yuko nawe, twazidi kkuombea
@ahmadseif7241
@ahmadseif7241 6 лет назад
Mungu akujaalie umri mrefu wenye neema.
@fabianjulius5274
@fabianjulius5274 6 лет назад
Utapona mzee wetu.. God is great always 🙏🙏
@anjelakiprop7311
@anjelakiprop7311 6 лет назад
My love babe I love you... May God protect you Sana.. Quick recovery dear
@insignejulius2155
@insignejulius2155 6 лет назад
Mpaka naitwa king kwa ajili ako ushapona jembe langu
@KilizaBamba
@KilizaBamba 6 лет назад
Pole baba allah at akujaalia kher
@YusufAli-jv3bj
@YusufAli-jv3bj 6 лет назад
Baba sawa kabisa Dunia hii si kitu wala si lolote
@magrethjoseph2059
@magrethjoseph2059 6 лет назад
pumzika kwa amani jmn mzee majuto
@montash866
@montash866 6 лет назад
Mungu yunawe king majuto
@sadaramustafa8401
@sadaramustafa8401 6 лет назад
Pole mzee cha muhimu ni kurudi kwa mungu
@seifmohamedseif9384
@seifmohamedseif9384 6 лет назад
pumzika kwa amani mwingine nembo muhim ktk sana huyu R.I.P
@kautharsaid5241
@kautharsaid5241 6 лет назад
Nakuombea kher kabisaaaaaaa
@abdulrahmanallui
@abdulrahmanallui 6 лет назад
Mungu akuafu Babu ekonda mungu akupe uzima
@tausak4568
@tausak4568 6 лет назад
I can’t stop crying 😭😭😭😭
@lameesrashdi1298
@lameesrashdi1298 6 лет назад
Pole. Sana. Mzazi. Wetu🌺🌺💓💓💓💓💓💓🌹🌹
@aliarkam1413
@aliarkam1413 6 лет назад
Allah atakujalia kupoa kwaharaka arud Kama mpya
@allyking324
@allyking324 6 лет назад
Daaah INNALILLAH WAINNA ILLAH RAJ UUN
@harunajimmy9577
@harunajimmy9577 6 лет назад
walipe tu kama wanadaiwa . amina
@Ali-gk5mv
@Ali-gk5mv 3 года назад
ALLAH AMSAMEHE NA AMREHEMU
@mr.headboy3398
@mr.headboy3398 6 лет назад
gud words... Allah akupemakaazi mema inhllh🙏
@calvinmaimu6791
@calvinmaimu6791 6 лет назад
Pole baba yetu mungu atakuponya
@mimahsaid2326
@mimahsaid2326 6 лет назад
polee mzee wetuu
@andrewsemka7191
@andrewsemka7191 6 лет назад
Pole sana mzee wetu mungu azidi kukulinda daima siku zote
@mwitamagabe8546
@mwitamagabe8546 6 лет назад
Daaa mzee wetu majuto anaumwa sana maombe yenu kwa wingi jamani
@careenheadsa7882
@careenheadsa7882 6 лет назад
pole sana my fadha
@hamissikassim5429
@hamissikassim5429 5 лет назад
inalilah wainalilah rajiun
@kabehoalex2817
@kabehoalex2817 6 лет назад
Duuh hakuna Dhambi kubwa kama mtu anasema amekusamehe na una haki yake nawe kwa ujinga ukae kimya bila kulipa Deni.mzee majuto mibaraka i juu yako acha wabaki na mizigo yao ya Dhambi.
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 6 лет назад
Kweli kabisa wakae chini wajifikirie endapo watakuwa wameskia maneno ya huyu mzee,jasho la mtu haliendagi bure hata siku moja
@marconmarconisdory281
@marconmarconisdory281 6 лет назад
mzee majuto apo pa kuacha kuigiza utaacha pengo kubwa sn plzzzzzzzz usiache daah me nakukubali babu yangu
@sixgeorge6393
@sixgeorge6393 6 лет назад
Pole sana mzee mungu akulinde
@monicabardan5132
@monicabardan5132 6 лет назад
pole babu jomon mungu akutunze
@linetwafula2621
@linetwafula2621 6 лет назад
We loved you. But God loved more. RIP
@edsonotaru6704
@edsonotaru6704 6 лет назад
mungu akupe nguvu babu majuto
@deogratiusmichael8130
@deogratiusmichael8130 6 лет назад
Pole sana mzee wangu
@stellaringo5156
@stellaringo5156 6 лет назад
Rest in peace king majuto
@zahramunir8596
@zahramunir8596 6 лет назад
Hiyo kusamehe kwako iwe ni sadaka ya maradhi yako
@algmobai2183
@algmobai2183 6 лет назад
Nauliza kwani kigwendu alienda wapi jamani maana simuoni kwa kuchekesha watu hile ya enyu enyu mutajiju... Jamani ni jibuni tu.....
@innocentmpagama1428
@innocentmpagama1428 6 лет назад
Lg Mobai kweli hahata mi umenikumbusha
@AbdulWahid-hp8qr
@AbdulWahid-hp8qr 6 лет назад
Mungu atakujalia inshaallah
@maryamali7700
@maryamali7700 6 лет назад
Rest in peace mr majuto mungu atakusamehea ya rabb
@samiasalim5662
@samiasalim5662 6 лет назад
Yani mwahoji mzee hata akiwa kwa hali hii? Woiye he is strangling to talk pole mzee and May you rest in peace
@sarahkigera1852
@sarahkigera1852 6 лет назад
penda sana majuto mie
@rehemamustafa8703
@rehemamustafa8703 6 лет назад
mwenyezi mungu akuponyee
@zurahluvakhwa4277
@zurahluvakhwa4277 6 лет назад
Oooooh Mzee quick quick recovery waaaa.
@algmobai2183
@algmobai2183 6 лет назад
Pole sana babangu we nikama babu yangu mungu akuponye in jesus name
@yusuphswalehe2502
@yusuphswalehe2502 6 лет назад
We mshenzi kwani unajuwa na yeye in kafiri kama we we mpaka unamuambia alone kwa Nina LA yesu?
@abdullyabdallah868
@abdullyabdallah868 4 года назад
R.i.p king
Далее
CHEKESHA: FUNDI CHEREANI | NAPIMA T TATU
9:10
Просмотров 76 тыс.
KIMBULU EPS 01: king Majuto
33:14
Просмотров 56 тыс.
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Просмотров 14 млн
HUYU NI MHE JOHN POMBE MAGUFULI 14 Nov 2013
13:38
Просмотров 279 тыс.
Kala Pina_ Wazaramo (Official Music video)
3:07
Просмотров 30 тыс.
MWAI vs MOI
6:38
Просмотров 3,1 млн
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Просмотров 378 тыс.
AZAM COLLA Ad-Majuto & sharo
0:50
Просмотров 396 тыс.
Stray Kids "Chk Chk Boom" M/V
3:26
Просмотров 43 млн
Miyagi & Эндшпиль - RudeBoys (Official Audio)
3:16
OG Buda - Сделай Мне Приятно Щас
2:24